No video

NIMETOKA CHUO NIKAANZA KUUZA MKAA | ALITOKA MAREKANI KUJA KUISHI NA MIMI CHUMBA KIMOJA USWAZI

  Рет қаралды 26,252

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

‪@mshanatheblacksmith‬ ameeleza safari ya maisha yake kutoka kwa familia ya duni, alikua ni mwanafunzi wa chuo lakini ambae anapambania maisha na alikua akifanya biashara ndogo ndogo kujikimu.
Mke wake wa kimarekani alikaa nae kwenye chumba kimoja na kupambana na maisha na sasa wanaishi Marekani
Please, Support his KZbin channel ‪@mshanatheblacksmith‬
Thank you Mshana for allowing this to be online
www.Oda.international

Пікірлер: 110
@zabibumwilelo853
@zabibumwilelo853 7 ай бұрын
MashaaAllah TabarrakAllah uyu kaka mm nampongeza sana kuwa mkweli kwenye dini cause wakaka zetu waki Africa wanapokutana na wazungu awatakagi kuwa honest na maisha yao pamoja na dini
@zainabsibuma-omary7061
@zainabsibuma-omary7061 12 күн бұрын
Masha Allah, interview nzuri sana! Shukrani za dhati kwa wifi na familia yake kwa upendo. Natumai Mshana utaweza kuenda shule na kupambania ndoto yako ya kuwa engineer. Elimu ni muhimu sana na itawezekana mambo mengi inshaAllah. Kila la kheri. Shukran Shena kwa interview 🙌 👌
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv 9 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah chamuhim ni ww kumuonyesha unavyo isamini dini Yako Na matendo ya dini Yako sababu huyo nimgeni kwenye dini Na Pia aisome itakua vyema nimependa stores Yako Kaka yangu mm nafatilia kutoka Bujumbura Burundi
@ambermshana9863
@ambermshana9863 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤asante sana dada yangu for doing this story on me and my husband
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana pia, Mungu awabariki sana 🙏
@leonardmary83
@leonardmary83 11 ай бұрын
Shena uko vizuri dada yangu USA na enjoy Video zako
@honorenduwamungu9831
@honorenduwamungu9831 11 ай бұрын
Hello Ombeni.
@ashafaulkner
@ashafaulkner 2 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance how to get hold of you
@ashafaulkner
@ashafaulkner 2 ай бұрын
What state are you residing
@safiam5338
@safiam5338 9 ай бұрын
Kitu muhimu mke na mume ikiwa niya zenu nzuri mungu anawabariki
@user-oc7ur4ob1e
@user-oc7ur4ob1e 5 ай бұрын
Aksante sana Mwanangu Shemi sijui nalipata jina lako Unasaidia sana vijana wetu kupata Elimu ili wanapoamua kwenda huko ughaibuni waweze kujipanga
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Shukran 🙏 Ni Shena 🥰😁
@Officalnaph
@Officalnaph 5 ай бұрын
hii kali sana INTERVIEW
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 4 ай бұрын
safi sana kijana, Mungu awabariki wewe na mkeo
@amneriyami2409
@amneriyami2409 10 ай бұрын
iyo ni bahati m/mungu kakuandikia
@BerthaKihanga-qd5hy
@BerthaKihanga-qd5hy Жыл бұрын
Everything is on point mrembo Shennah.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
That is true love..uwo ni upendo wa kwer na wadhati
@ahmadateguro4886
@ahmadateguro4886 Жыл бұрын
Good interview madam
@alexharriskajjubi1914
@alexharriskajjubi1914 11 ай бұрын
Hehehehe ka story kazuri sana, maisha ya watafutaji.( wana harakati) ila sasa hapo kwenye PARK........ kua parking hehehe Safi sana
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 10 ай бұрын
Ubaguzi marekani upo sema Ni sehemu na sehemu
@ChrispinBahizireATUOKOWE
@ChrispinBahizireATUOKOWE 3 ай бұрын
Hongera
@user-zd1cd5yj5o
@user-zd1cd5yj5o 4 ай бұрын
Dada yula mama wa ltalia ndan ndowa miaka 16 ya matezo mmmh adi Leo namfikiriaga lile Nigereza anatumikia anaitaj pongez boss
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 11 ай бұрын
Story nzuri sana duu Mungu mkubwa sana
@user-iu4qf3ro8z
@user-iu4qf3ro8z 8 ай бұрын
Nice
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
oraa sista nigani asee,shusha li insta lake hapo tumfollo tukaulize maswali naeza otea mlami mmoja nikafanya life
@user-qs4fb5fo5f
@user-qs4fb5fo5f 9 ай бұрын
Miaka 6 niliyoishi ubaibun kila siku naobwa pesa hawajuwi tunayopitia inafikiya mpaka unatukanwa
@masomekitwala3758
@masomekitwala3758 Жыл бұрын
iko vizuri,zari la mentali
@mariamtumwebaze389
@mariamtumwebaze389 11 ай бұрын
Story nzuri haki ♥️♥️♥️♥️
@user-go8nq7gi5k
@user-go8nq7gi5k 4 ай бұрын
Nitajifunza Asante dada
@user-xj6rk8nv1k
@user-xj6rk8nv1k 11 ай бұрын
good story
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 11 ай бұрын
story imenyooka safi sana
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
shena naona sasa mambo ni moto kwel kwel nainjoi sana.
@KIMALEX255
@KIMALEX255 Жыл бұрын
Mshana anatumia data saver inabid aitoe picha zake ziwe quality
@JoyceakaJowi
@JoyceakaJowi Жыл бұрын
Akawa kioooo cha jamiiii kwenye daladala😂😂😂😂
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Tunakusikia tunawaona. 🇹🇿🇹🇿🇸🇪🇸🇪
@madalanasri2226
@madalanasri2226 9 ай бұрын
Nimekulewa vizuri sana
@michaelprofessional7574
@michaelprofessional7574 11 ай бұрын
inaonekana kuingia marekani kipengele na kuanza maisha kipengele sana ,.
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 4 ай бұрын
Hongera dashana
@fridanyoni2867
@fridanyoni2867 7 ай бұрын
Hata mm nakusikia vizuri nipo Oman nafanya kazi hause maid
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Hapo kwa kuumwa mzungu akiwa Africa asipopata tiba haraka ni hatari sana sana. Wazungu hawawezani na magonjwa yetu Africa, haswa Malaria, UTI na magonjwa ya tumbo. Wanakufa chap.
@user-xj6rk8nv1k
@user-xj6rk8nv1k 11 ай бұрын
Kaka anajua kuaimulia jmn nimependa sana
@user-wm5lg8xg1c
@user-wm5lg8xg1c 3 ай бұрын
Iko sawa
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
I wish to have my own mzungu😭
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Utapata wako
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance 👏👏👏
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 10 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance.unatumia page gn kwaajili ya mtu kutaka mawasiliano na WW??
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Kijana jiongeze hiyo nafasi usiipoteze.,umepata nafasi yakujiendeleza kimasomo.,kwenye maswala yako ya engineer. Chance hiyo kijana.
@adelinemanongi5999
@adelinemanongi5999 10 ай бұрын
Good point
@frolianraphael4861
@frolianraphael4861 10 ай бұрын
GOOD
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 10 ай бұрын
Daaaah mjuba kaokota Dodo kwenye mchikichi😂
@naimuothman3493
@naimuothman3493 11 ай бұрын
Long life kaka
@user-um3qo8lu3o
@user-um3qo8lu3o 11 ай бұрын
Masha allah Allah akubariki
@user-jb8rg5xo5g
@user-jb8rg5xo5g 11 ай бұрын
Ni kweli Kwa mtangazaji ina mwangwi
@monicagaino7191
@monicagaino7191 7 ай бұрын
Story nzri ❤
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 ай бұрын
Siwasikii vizuri
@abdul-hafidhothman9310
@abdul-hafidhothman9310 Ай бұрын
Shena tunaomba malizia swala la ubalozini na visa umemkatisha mkaka
@user-rg1ob9fz9x
@user-rg1ob9fz9x 4 ай бұрын
Mwangwe sana
@halimahassan3031
@halimahassan3031 5 ай бұрын
Sio ndugu wa Zanzibar huo ndio uislamu, muislam huwezi kula ukashiba huku jirani anakufa njaa
@happinessclement6066
@happinessclement6066 Жыл бұрын
Hongera kaka
@hafsamkam
@hafsamkam 6 ай бұрын
😊
@anzerranisadiki2443
@anzerranisadiki2443 4 ай бұрын
Kaka ana furahi Sana
@user-rg1ob9fz9x
@user-rg1ob9fz9x 4 ай бұрын
🎉
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 9 ай бұрын
Wakosa wa South Africa
@maryali2122
@maryali2122 7 ай бұрын
Lunga ni kila.mahali sio uko tuu pia wewe mwe yewe uta ejoy luga nikitu cha kawaida mm niko ugabuni pia luga ya hapa niliko.ningumu sa KIARABU LAKI I TUNASAVAVU ALLAHMDLIHA
@othmanabubakar6630
@othmanabubakar6630 Жыл бұрын
Hongera broo
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉 great 👍
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Yaani hizo tabia za ukiume wa ngozi nyeudi na kuonewa ndio maana siwaelewi mimi jamanii.
@joharimillanga1587
@joharimillanga1587 4 ай бұрын
Walimu wa vyuo wanaofanya hizo tabia ni wauwaji kabisa
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 5 ай бұрын
Ndio na kwa mwasha ipo chini
@sherry7339
@sherry7339 4 ай бұрын
Hata mimi nakuona
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 ай бұрын
Unafanya kazi gani huko Marekani
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Subscribe kwa channel yake utaona safari yake ya kujiunga na jeshi la Marekani @mshanatheblacksmith
@honorenduwamungu9831
@honorenduwamungu9831 11 ай бұрын
Kijana nimempenda nawezaje kupata namba yake ya simu? Mimi nipo Canada. Naitwa Komba
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 5 ай бұрын
Mmmmmmh
@user-ql4os3co6l
@user-ql4os3co6l 9 ай бұрын
hapo sauti sasa nisawa
@MussaRamadhani-lv6eg
@MussaRamadhani-lv6eg 3 ай бұрын
Nitake radhi awadhi mii mpare
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 10 ай бұрын
Hebu nikuulize kufuatana na mazungumzo yako swali kwangu sababu gani wengi wenu mnataka Uraia pacha ?
@engpaul5791
@engpaul5791 6 ай бұрын
Blacksmith jitahidi kufupisha maongezi ambayo not useful
@FIBEKONGA-hd2dg
@FIBEKONGA-hd2dg 3 ай бұрын
Sasa tunakusikia
@salhamvungi1744
@salhamvungi1744 Жыл бұрын
Mshanaa😢 Kwanini? Wapareee kwenye lugha lakini😂😅
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 Жыл бұрын
C katumia kabila lake kuna ubaya gani
@salhamvungi1744
@salhamvungi1744 Жыл бұрын
@@aysherkitoi5507 jus joking dear and b’coz na me ni Mpare
@IANA2030
@IANA2030 11 ай бұрын
Uwewe kuna uchawi huku uzunguni bana 😂😂😂do your reaserch witches and wizards are common in westernised country
@sherry7339
@sherry7339 4 ай бұрын
Ndio sauti inajirudia
@user-jg1gb9oe8j
@user-jg1gb9oe8j 4 ай бұрын
Hakai venye anasema
@ghanimajongo7817
@ghanimajongo7817 4 ай бұрын
Inajirudia
@fadumayusuf3018
@fadumayusuf3018 11 ай бұрын
Alijifunza kiswahili?
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 10 ай бұрын
Wotewatu wazani watuwo wakiwa inje wanApesa asawandugu waki afirika watuwanapAmbana
@mmarycalvin6395
@mmarycalvin6395 3 ай бұрын
Kabisa
@user-lj5mq4sp7w
@user-lj5mq4sp7w 10 ай бұрын
Unawatoto wangapi na huyo mzungu
@skujuwahamad1702
@skujuwahamad1702 Жыл бұрын
Sauti kweli inarudi
@luluhilaly5694
@luluhilaly5694 4 ай бұрын
Ndio IPO hivyo
@amneriyami2409
@amneriyami2409 10 ай бұрын
A/alakum habibt mie nipo mascat napendasana kukusikiliza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 10 ай бұрын
Shukran sana 🙏
@SawiaNjovu-xx1mf
@SawiaNjovu-xx1mf 3 ай бұрын
Sauti imajirudia
@Mazoea
@Mazoea 10 ай бұрын
He Kaka upo state gani
@LeylatVlogs
@LeylatVlogs Жыл бұрын
Which state are you in?
@Mazoea
@Mazoea 10 ай бұрын
Dada lyls upo state gani .Asante Mimi nipo maryland
@BeatriceJohn-di5oh
@BeatriceJohn-di5oh 3 ай бұрын
Haloow ninaomba tuwasiliane ninashida na wewe​@@Mazoea
@user-wm5lg8xg1c
@user-wm5lg8xg1c 3 ай бұрын
Akiongea na muangalia wife wake atadhani ana muongelea yeye...akae akiangalia mbele tu
@zahramohammed2337
@zahramohammed2337 Жыл бұрын
Kama si msambaa sijui😅😅😅😅😅
@LoishiyeMollel-ck9bx
@LoishiyeMollel-ck9bx 11 ай бұрын
Y
@NunuSuleiman
@NunuSuleiman Жыл бұрын
Ndio inajirudia
@user-ev8dg6yw4q
@user-ev8dg6yw4q 5 ай бұрын
Zali la mentali
@joycenshala1310
@joycenshala1310 10 ай бұрын
Sauti inajirudia
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 ай бұрын
😂😂😂😂 WANAUME wa KiTz / kiafrica WENGI NI WANAUME MAPEMBE 😂😂 , KWA ULAYA YANAVUNJIKA MAPEMBE LAZIMA MKAE CHINI NA MUONGEE MSOLVE CONFLICT ZENU ILI FAMILIA IENDE NJE YA HAPO ,KAZI NGUMU
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Du..asee
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 nice story
WAZUNGU WANASUBIRISHA| NILIMWAMBIA NATAKA MAHUSIANO SERIOUS HAWEZI AENDE
1:38:01
Official Dating Assistance
Рет қаралды 16 М.
NIMEDATE WAZUNGU 200 | NILITOKA KUA MTOTO WA MTAANI MPAKA KUA MPISHI
1:11:57
Official Dating Assistance
Рет қаралды 15 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,9 МЛН
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 17 М.
Wanaume wa kituruki 🤔
31:10
Winifrida in Turkey
Рет қаралды 1,2 М.
UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE
45:45
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 22 М.