Ray siezi kukulaumu kaka uko sawa na uko tofauti na wasani Wa Tz
@zennakailo81064 жыл бұрын
Nmecheka sana Huy ndo Ray 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😝😝😝😝🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼etiiii nn akikaa na wanawake karibu anapat malenge malenge 🤣🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Wats the meaning of ths interview,achanao Ray focus on ur work, Tandi is the best series evr,kp it up🎉nko🇰🇪
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
Ray uko sawa
@KimanziJOSEPH5 ай бұрын
Tajiri mwenye aki pia💫
@jenfan87814 жыл бұрын
Pole chuchu, wakat unamliza Johari ulitegemea ninii, pole sana
@monicamwanjisi6934 жыл бұрын
Muosha huoshwa
@sifathabit49694 жыл бұрын
Kwa mwali uliwa na kwa somo huliwa pambana
@wemaomarywema68524 жыл бұрын
Alijua akizaa nae ndio ataishi nae milele
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
wanawake tufike mahali tukae mbali na mwanaume wa wenyewe"""watu mnakaa na mbavu za wa2 zikianza kuwasumbua mnaanza kulalamika""Cha mtu MAVIIIIII"""aaaa!!!nasikia hasiraaa
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
alipenda aanze kuziniwa halafu nyumayake afkiri ataolewa, never 😏
@mariabora13584 жыл бұрын
Joharii Dada Yangu chukua kapu ukavune
@zuhrajafari70064 жыл бұрын
Hahaha! et labda anapenda yeye kulialia... Kama hili neno limekufurahisha kama mm gonga like apa 2juane
@henriettenkuba70784 жыл бұрын
😀😀😀😀
@sabringwal30794 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂
@hassanhancha14134 жыл бұрын
😂😂mi limenichekesha sana
@wabaremasandiko10244 жыл бұрын
Safi umejibu kiume bro!!
@esterkimario11264 жыл бұрын
safi ray labda anapenda kulia
@rehemaahmed48044 жыл бұрын
watanzania sijui watakuwa lini mwanamme mmoja anatembea na wasichana karibu wote leo huyu kesho huyu yaani mnabadilishana kama dala dala panda shuka
@stellandege55944 жыл бұрын
Msimchafue Ray bnaaa mtakula magumi 👊👊👊👊ya uso aiseee
@sheysarahnjeno93264 жыл бұрын
Ray kweli huna sikeñdo mbaya
@tatuheke14833 жыл бұрын
Natamani kuigiza na wew
@celinamgundoi56014 жыл бұрын
Kwel Rey wewe noma yaan ukikutana na wadada bac kwako majanga ujumbe umewafikia haoo mashakugongoo
@jumaradhm39264 жыл бұрын
Mtangazaji anavotngsha kchwa,utasema Ni JINI.🤣🤣😂🤣😂Oyaaaaah gonga like hapa,Kama mmemuona JINI anamuhoji RAY KIGOSI???
@chachabeauty97804 жыл бұрын
😂😂😂
@ashuraalijma66594 жыл бұрын
Hahahaha
@sikudhanjuma39874 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa mbvu zngu
@elizabethlizy27314 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@farhatrashid20634 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣umeona eeee
@fatmaamran13354 жыл бұрын
Umekuwa black mjuba..maji yalikauka au 😀😀😀😀
@EvarKapinga-z9cАй бұрын
Akome alivyomliza mwenzake johari alijikuta yeye mzuri
@akshaydavid1594 жыл бұрын
Huyo ndo Kigosi bhana.
@tiffatzhemedy94854 жыл бұрын
Hahahahaaaahaaaa rey umenifulahisha et huna ushangingi Wala ushangingo
@Dalaman104 жыл бұрын
Huyu ray ana choyo sana. Hapendi mtu apate alimkaa kooni kanumba sasa na yeye kafa kama kanumba. Bora mwenzie kazikwa kajulikana yeye kapotea duniani
@aminahhuawei11334 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenifurahisha sana rey atiii ninaalaji na wanawake zeen ushangingii na ushangongoooo😅😅😅😅😅😅nakupenda sana rey
@dottnatta3104 жыл бұрын
Ety ana areji na wanawake anavimba vimba malenge renge 😂😂🏃♀️🏃♀️
@OmanOman-sm6dv4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@stellandege55944 жыл бұрын
Kaka Rey ww uko poa wala siwezi kukuhukum sawa katika mtu hana skendo mbaya moja wapo ww wakuache
@divinebernard26244 жыл бұрын
Kabisa
@shufaaabdulla49614 жыл бұрын
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake
@salamamsusa1994 жыл бұрын
Yaliomkuta kibeku ungo nae yamemkuta🔥🔥🔥
@salhaphilmon44364 жыл бұрын
Kama uliskia ushangingi na ushangingo gonga like
@natalyaneyzar20934 жыл бұрын
Aaaah naona ray unajibu shot Kati tu duuuuh 😅😅 Aya Baba nmependa kauli yako eti labda anapenda kulia duuuuh hatari sana
@teresiamwende86064 жыл бұрын
Jama Rey n mu handsome 😍. wana mwonea tu. Iia ata ukipeana aijiandiki kisogoni nimepeana inje leo😜🤣🤣🤣🤣 Ela kuwa makini kaka
@merveillekasai89364 жыл бұрын
eti sina tabiya ya shagigi na ushagogo ahhha kasema kweli tu na kukubali sana ray
@winfridamwamban10784 жыл бұрын
Aaaaa alegi hiyoo veeeep
@emanuepeter7654 жыл бұрын
Nampenda rey baba tandi
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Udaku!!!
@sheysarahnjeno93264 жыл бұрын
Rày umezungmza vizur
@katushaberinah33763 жыл бұрын
Kumbe unayo..yaigiza it's not kuigiza..ndo urivo??very disappointed🙄
@jokhasuley36614 жыл бұрын
Ushangingi na ushangingooo🤣🤣🤣
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Jokha Suley weee🤣🤣😂😂🤣🤣
@mwanaidimzeeonar32524 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂
@fatumaabdallah74984 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bifezadofra44534 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maimamood70334 жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaaaa
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Nimechek majibu ya ray🤣🤣🤣🤣hatak maswal ya chuchu kuulizw jmn Haw ndio wanaume bhna 👌ana vimba
@sarahsimon80604 жыл бұрын
Nana we malaya kwann unaharibu ndoa za watu
@modricnoma36864 жыл бұрын
Ila jamaa huwa yupo na majibu ya fasta sana yani 🤣🤣🤣🤣
@khadijaomar27234 жыл бұрын
😀😀😀
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
ujuwe huyo Ray ni mcheza cinéma kwa migeuzo humuwezi...
@ashaally66624 жыл бұрын
Ushangingi ushangingo😂😂😂😂😂
@davejoe59494 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji😂😂😂😘
@FatmaAli-oy7yu4 жыл бұрын
Nana anaonesha anapenda kudanga
@vivianlucas63894 жыл бұрын
Sanaa
@veeJesus4 жыл бұрын
Danga mdogo anakuja kuja kuja
@fatmazullu49334 жыл бұрын
Wajinaaa!
@hamidsaid25724 жыл бұрын
Sina uzoefu na uandishi wa habari lkn mtazamo wangu huyo jamaa hajuwi kuuliza maswali!!!
@janenana58914 жыл бұрын
Nkweli kabisa
@lupandesimukindje81704 жыл бұрын
Bila shaka ndugu yangu mtangazaji ovyo sana
@sumayahfathi94134 жыл бұрын
Tatizo Wagogo wanajisikia huyu wa Mpwapwa hana tafauti na Wagogo wenzake Dodoma
@ashazubere38374 жыл бұрын
Ww hataree sana wagogo tuko good 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@beatycosta93064 жыл бұрын
Mtangazaji mbona kama huwa unackitika sana hadi kichwa unainamisha nn tatizo?
@maxlattinokiki81054 жыл бұрын
Mtangazaji huyu ana maswala ya maudhi 😁😁😁!!
@deborasalum10154 жыл бұрын
Ushangingi na ushangingooo😂😂😂😂😂😂 duu rey
@davejoe59494 жыл бұрын
Acha usenge play boy sio Pub na disco, may be una piga house Girls www 😂😂😂😂
@sumatraveler19574 жыл бұрын
Media za BONGO noma ndo maana amhendelei yaana maswali yenu upuuzi tu sasa badala yakuoji maswali muhimu eti mna focus kwenye maswali yakipuuzi tu lini Bongo movie ita songa mbele.
@D-Man.B-Free4 жыл бұрын
Tatizo media hawasapoti bongo movie why wasiwaite kwenye show kama wanavyofanya kwenye bongo fleva,wape support please!!!sio umbea tu
@bakarymray42884 жыл бұрын
ray baba una teseka sana
@habibatyntosso14364 жыл бұрын
Yan rey jinsi anavoongea na anavoigiza hamna utofauti 😂
@deborasalum10154 жыл бұрын
Anaaleji na wanawake
@hussenyassin34994 жыл бұрын
Nakubal xn
@ukhtyrayyan78844 жыл бұрын
Majibu yake kama anaect.mchezo.ivi
@fauziakitenge80614 жыл бұрын
Mnafeli na maswali yenu kwa kweli...mnauliza watu maswali yanayaoudhi
@hawasandale55954 жыл бұрын
Hahaha Rey hana tabia ya ushangingi na ushangingo
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Hahahaha Ray buana eti labda yeye anapenda kulialia.
@lizychris47764 жыл бұрын
Mbn huo mdomo wako hauko sawa kama nilixoea
@twalib094 жыл бұрын
Aaaliyah mwaaahest
@daisyajanga3254 жыл бұрын
Naongea kiswahili lakini ya TZ imenishinda. .waaaah! !!!!
@daisyajanga3254 жыл бұрын
@Change Mindset sure
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
kwa sababu ni kizuri mnoo nakipenda sn kiswahili lugha yetu
@danneismail54424 жыл бұрын
@@zaitunijuma7831 na hao wanaipenda ya Mombasa
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
@@danneismail5442 sijuwi man siwez kusemea mioyo ya wtu
@husseinchea55244 жыл бұрын
Acha cha TZ tu ata kiswahili cha Mombasa (Pwani ya Kenya) kinaweza kukushinda😁
@doi2554 жыл бұрын
Malengelenge😆
@khadijaomar27234 жыл бұрын
Huyu mtu anavyo foka kwenye movie zake nyinyi wenyewe majibu mnayo
@khatibkhatib22494 жыл бұрын
Hili sengee saanaa nalo
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Ray bana et anaushangingi na ushangingo 😂😂😂
@januarymwingwa29624 жыл бұрын
eti nikionana na wanawake navimbavimba malengelenge😆😆😆😆😆
@lailamohammed3204 жыл бұрын
🤣🤣🤣 sina ushangingi na ushangingoo
@salhamrishoaish92924 жыл бұрын
Kumbe umesikia
@beautywithnay59744 жыл бұрын
Yaani ray unazingua eti labda anapenda kulia kulia😂😂😂😂
@fatmamakalo30684 жыл бұрын
Mahinda nayy alilia sana zamu yko
@samiaarimkonekonko50964 жыл бұрын
Jamani🤣🤣🤣🤣🤣
@deboss59354 жыл бұрын
Huyu Jamaa Alimchamba Soudy brown, dah yule brown alijichanganya sanaa😁😂
@sisterttrouble43314 жыл бұрын
Ray munamsingizia sio play boy
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
Dada enu mtangazaji leo kava nini nyie😑
@alimohd12404 жыл бұрын
Njoo kwangu chuchu achana nae uyo play boy
@bimumaulid11714 жыл бұрын
HEEEE HUYU MTANGAZAJI MWANAUME😢😢MBONA USHUNGI 😁😁😆
@fatmamansour23694 жыл бұрын
Wamempata show siku hizi watangazaji Wa bongo kuvaa shungi wanaboa
@ashourahsaleh89584 жыл бұрын
Huyu ndo zake ushungi sjui anann
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
ehéee ndo wote hawo wa Juma Lokole 😂😂😂
@veeJesus4 жыл бұрын
Hii ni for security reasons
@shakylahamad83264 жыл бұрын
😁😁😁
@aamyaamy85044 жыл бұрын
Mimi nanyamaza maana NANA alikua akisema kistarabu kweli kama hana mahusiano n rayvan lkn mwisho siyuko n rayvan junior so mtashindana n huyu kigosi husu n msanii mkubwa anajua kupanga maneno,,,,,langu n moja watajijua wenyewe😂😂
@leymundjr50114 жыл бұрын
Ooh
@luckyrasulyrasuly98234 жыл бұрын
Jaman huyu Ray mbona kawa mweus au ni hii lockdown mchina akakosa usafir. Au. Mapipi yameisha maji
@chumemarehema83284 жыл бұрын
Aliacha kunywa maji mengi na zoezi😂
@shamuada22164 жыл бұрын
Ray ka pole kweliii 🤣 lkn kwangu mm ray anajitetea
@neemathomas20084 жыл бұрын
Hicho kichwa Cha mtangazaji hakitulii Kama robot mweeh...Ana vitukooo
@nehanasri45314 жыл бұрын
😂😂😂 ushangigi na ushangongo kumbe Ray anaongea ivi!
@volo-music22634 жыл бұрын
this journalist hawezi kabisa
@davejoe59494 жыл бұрын
I never New Ray is super Ego 😳
@fatumachagudadui31384 жыл бұрын
Exactly
@liciouscharles33704 жыл бұрын
Nlikuwa nasubir aseme UNASEMAAAAAAAA
@zigespagogba88494 жыл бұрын
RAY:Kuna tofauti ya Playboy na Malaya MTANGAZAJI: Ww tukuweke wapi apo? Me: Hii ndo WCB 😀😀😀😀
@danisrael83584 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@danisrael83584 жыл бұрын
😂😂😂😂
@coletashirima21934 жыл бұрын
Kwa majibu ya Chuchu tu inaonekana kabisa hamjali Chuchu .
@divinebernard26244 жыл бұрын
Nanyinyi watu hajasema ndo kitu anachokipitiya ila alisema ni expérience aliyo ipata kwa watu wa karibu walipokuja kumpa tatizo zao
@liciouscharles33704 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣maisha ya nini ray????
@mariacassian78924 жыл бұрын
Sasa kama ukikaa na wanawake unavimba vimba mbona hujapasuka maana chuchu mwanamke johari mwanamke nahao unaoigiza nao 90/ niwanawake siungeisha pasuka zamani sana?
@sarahogama95404 жыл бұрын
Alafu hili jomba halijui kudanganya haahaa laonekana tu lapenda madem ata venye laongea haahaa
kama sio umalaya ni nini 🙄🤔, halafu mtoto wa kiarabu, hovyooo mchiiiiiii
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
nashangaaa
@queenwinnie2564 жыл бұрын
@@zaitunijuma7831 kulilia ona sasa huyo mwanaume sasa anavyojibu,
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
@@queenwinnie256 yan anajibu utumbo2
@kingnicky25684 жыл бұрын
Maisha yako ya maji vp
@Bam2684 жыл бұрын
Huyu mtanzaji choko?
@ashrifaabdalla38684 жыл бұрын
Huna ushangingi wala ushangigo
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Yaani chuchu kazi unayo, uyu ray atakuliza mpaka macho yafumbe, anavyo ongea tu unaelewa
@Dalaman104 жыл бұрын
Ray mjinga tuu. Ana majisifu sana, anajiona kama boss lady wa uganda hahaaaaaa
@akshaydavid1594 жыл бұрын
Duh! Boss lady Tena??!
@cestlaviecestlavie40734 жыл бұрын
sasa nyie watangazaji kwa kweli mnashuhulikia kusapiti zina, huyu Ray hajamuowa huyo chuchu, wameanzia zina, na Ray yuko anatafuta mchumba mbichi wacheni kumsumbuwa, awo wabibi wanopenda kuzalishwa bila ya ndowa wataingiza akili mwaka huu 😏...