ANGEL FACES EP 42 WASICHANA WATATU WALIOKUTANA KWENYE UTAFUTAJI WA MAISHA NA KUWA MARAFIKI... FUATILIA KISA HIKI. #vincentkigosi #raythegretest #raykigosi
Пікірлер: 148
@fatma-jh2lf11 ай бұрын
Duuh nimekua namba tatu tuaomkubali doctor suzan gonga like
@PrettygirlPretty-ck9dj11 ай бұрын
Penda sana Dr Suzan ,una hekima sana,watu waliokuzunguka wana enjoy suzan
@aminakatana872111 ай бұрын
❤susun na mungu akuzunguke kwa wale wote wanaokuwazia mabaya siz uwaombee na uwapende pia much love you sana from kenyan
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Wa 13 leo tunao penda Angel faces wekeni like apa ❤❤❤❤from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯🇨🇩
@sambambawerawera11 ай бұрын
Leo wamenikocha sanatena sana
@beckyokumu983911 ай бұрын
My best actress Dr.Suzan you're the y🎉❤🎉
@Aishajsaid11 ай бұрын
Ombeni episode 3 kwa siku co kuomba like tu😅😅
@NshomaSayi11 ай бұрын
timu dr suzan tujuane❤❤
@danielkitui787011 ай бұрын
Wanawake sumu,,,wanatumia mili yao 😢😢 kutafuta pesa mali na kazi inauma
@ancillarneema11 ай бұрын
Doctor Susan kua makini sana ju kati ya adui zako Jenifer ni mmoja wapo🎉🎉🎉❤❤❤
@giannagianna-j7x11 ай бұрын
Dr suzan😘
@Roby-nw8sz11 ай бұрын
Jennifer ana tabia mbya jamaniiiii sijapenda Koo utaqamaliza madoctor wote Kaz kujitia kibur una dharau wenzako huna lolote Iko xku utaumbuka
@KhalidAshjaie-cz7vg11 ай бұрын
madam Suzy mambo❤❤
@MaryamMoosa-g5s11 ай бұрын
Nimewahi sjacherewa.sana
@BerthaEzekiel-ss2dq11 ай бұрын
Jamani hii mmeweza Sana sijapata ona hongereni
@samyabahatialhiani40111 ай бұрын
Wapili2 ❤❤❤🇧🇮
@YoungblackPeople-qf7vx11 ай бұрын
King kumbe ana goma la usevenzi ❤😂alafu mwongoo episode ya 41 alisema amekuta ajaliii ❤😂😂😂😂😂
@jaydantel68517 ай бұрын
Mke wa doctor Lewis kasimama kweli❤
@ShimmyDarling9 ай бұрын
Suzan ile kwel ako xwa mashallah
@AminaMwavita10 күн бұрын
Big up ray
@ShaniLamay-ln6se11 ай бұрын
Daah dokta Suzan I love ue Maddame umeact vizuri sana
@schadrackanyimbu912011 ай бұрын
Congratulations Mr ray kigosi tangiya mwanzo nilisema kwamba séries iyi itakuwa Kali na tamu sana.😂😂😂 Tumesau tandi. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AnnaSolomon-dc1st11 ай бұрын
Dr Jennifer kiboko hatak kupoteza kete😁😁😁
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
Bado uja sema ❤❤ kingu
@methodnkundumukiza636711 ай бұрын
Ni namna gan mtu anaweza kupata hii nyimbo?🙏
@malkiamommy29311 ай бұрын
Jennifer uko n roh bay san wew san ww suzan kuwa makin natokea +254 😊😊😊😊
@nacyfloflo949411 ай бұрын
From Burundi ❤😊
@MarthaAlly-y7s11 ай бұрын
Doctor suzani nakupenda
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
❤❤❤ bonge muvi
@MichaelDj-f2b11 ай бұрын
Bonge la series🎉🎉🎉
@VeronicaMaico-ik3ju11 ай бұрын
Ongera sana Suzan unajitaidi❤❤❤❤🎉🎉
@saummubi622511 ай бұрын
Doctor Jason kesi imeisha, ulivyomfumania Jennifer na Doctor Lewis 😂😂😂😂
@dainamickdady413711 ай бұрын
Kingu umepata mwanamke anayekustahili
@JumaKona-i2b10 ай бұрын
Suzani yupo sawa
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Tuna kuwa na elekeya ku zuri saaana ongera Ray thegreatest ❤❤
@mishiabdul283411 ай бұрын
Next plzz ya 36
@EmmanuelTango11 ай бұрын
Suzan nampenda mno ametisha
@RehemaSamwel-h8n10 ай бұрын
Uyu jenifa ananikeraa mnooooooo
@jazminewatanzi185411 ай бұрын
The way I enjoy Jennifer 😂😂😂😂
@onesmusfondo767911 ай бұрын
Kweli Dr.Jaison amepona,huna msala tna bro.....💪
@WaydaHaji11 ай бұрын
Kumbe Dr pius nawe unaendeshwa n mkeo
@AbusalimButchery11 ай бұрын
Jamani jennifer siutamaliza ma Dr wote hapo hospital khaa😂😂😂😂😂😂
@Fatmajereko-mz2rs11 ай бұрын
Pk anakera😂😂😂looo
@aminahkimwana10911 ай бұрын
🔥🔥🔥
@HappyKibure-iz9xk11 ай бұрын
Zuri sanaaaa mnajitaidi
@MwanaMisi-v3r11 ай бұрын
Huyu Jennifer anamadharau sana na hana chochot anacho kijuw zaidi ya umalaya tu😊
@RosemaryStanley-k8g11 ай бұрын
Nzur Sana lakn wanachelewesha episode Kaka ray tufanyie wepes
@Fbmovie25411 ай бұрын
Dah ofisa wa serikali kachanganywa n watoto wa bongo flavor 😂😂😂😂😂 mie nacheka adi bc dah Ata wew unacheat ukifika Kwa mkeo unajitoa ufaau😂😂😂😂
@maryd153811 ай бұрын
Good job❤❤❤
@ZamdaRashid-w9t11 ай бұрын
43 ifuate jmn mnatycheleweshea mwe😢🎉
@lydiajoseph820711 ай бұрын
Mbn haichezi
@CharlesCharles-ri8rd10 ай бұрын
Uyo mmwnye kishungi uyo
@sambambawerawera11 ай бұрын
Rey leo ungeraaaaaaa sana ulipomfuma jenifa nimefurahi naanza kumpenda jenifa
@reginaIssa-m2j11 ай бұрын
Mmhh kimeumana 😅
@Captainkweche11 ай бұрын
Movie inaanza kua moto😂
@hamisijm843711 ай бұрын
Duu Atanacheka Aki kweli Mapenzi Ataufanye nn Uweziyaficha .. good working
@Nahdiya-nr3de11 ай бұрын
Jane mbona huna Utu jamani wamtafsh mwenzioivo 😢😢😢😢😢😢
@jumamgandi-wi1cp11 ай бұрын
Nmekua wa 12 leo duh...
@yusterchesco881811 ай бұрын
Jenipha kiboko nahisi hata kazi alipata kwa stail hiyo Hana elimu yoyote anacheti feki huo jipu hilo😭😭😭🤣🤣
@RAMADHANHASSAN-j3t11 ай бұрын
excellent
@user-gb3fk1yt8n11 ай бұрын
Kazi. Nzuri
@giannagianna-j7x11 ай бұрын
suzan🥰
@MwanashaKopa11 ай бұрын
Weeeeh hatari noma
@pur-ple-girll-3048 ай бұрын
How are you 😂😂inakuhusu😅😅😅
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
Hii muvi tam
@JadinMukali11 ай бұрын
Ww mukali bro
@StevenChacha-q9x10 ай бұрын
Sasa baki kwenye hii office ufanye kazi wewe,,pumbavu😂😂Dr jayson,,unachekesha wewe😂. Alaf tunangoja tandi ujue
@kadkadzo754311 ай бұрын
Jennifer amekuwa Meri mela😂😂
@aminahissaa555111 ай бұрын
Suzan ni mtu mzuri sana anaekubaliana na mm aniambie