KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
TANDI SERIES .EP.. 62 .B STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
12:39
TANDI SERIES .EP.. 67 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
13:19
Big or Small challenge 😂 Giant chocolate mushroom or small sausage? 🧐 #shorts Best video by Hmelkofm
00:29
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Қарғалардың анасы бар ма? | 1 серия | Сериал «QARGA 2» | КОНКУРС
41:02
One day.. 🙌
00:33
TANDI SERIES .EP.. 61. STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
Рет қаралды 67,122
Facebook
Twitter
Жүктеу
1
Жазылу 51 М.
RAY THE GREATEST
Күн бұрын
Пікірлер: 110
@AfricanKheed-d4w
7 ай бұрын
Watching from watamu kenya watanzania mnajaribu kimbombo endeleeni kujifunza lugha hio
@IreneIsiaho-n5s
11 ай бұрын
Ray ungechapisha mbili mbili ❤❤❤❤
@MariaMhina-u2q
11 ай бұрын
Aby mashauzi mengi unaharibu
@makamwasina2090
11 ай бұрын
Abby wacha mashauzi mengi ...utaaachwa😂
@HamisiFaraji-ej5mf
11 ай бұрын
Naipenda sana tandi ❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@reginaIssa-m2j
11 ай бұрын
Duhuuu huyu dada jamani hafai kabisaaa 😢
@CatrinaDavidEvaristi-se1dh
11 ай бұрын
Mhh una haki ya kuwa hivyo ulivyo abigar kulingana na yanayomsibu. Namuonea huruma...! Poleee
@fihimmohd5432
11 ай бұрын
Can't wait
@BonifaceDavid-j2e
11 ай бұрын
Kwa kwelii watanzania mungu aliwajalia vipaji ongerenii sanaa❤
@UbaNsineno
11 ай бұрын
Yuaniudh hy ray hatulii nyumbn pia hajui watoto waishije
@ntungwanayoodette752
11 ай бұрын
Tand juuu❤❤🇸🇦🇧🇮🙏
@FelixWabwile-kq3ww
11 ай бұрын
Kiambu Kenya naisubili tu sana.
@ARNOLDMAKORA
7 ай бұрын
MOVIE ina vituko kweli kweli, nawafwata tokea DRCONGO, GOMA
@marthaelias3422
11 ай бұрын
Yaan mm mwenzen nikiangalia move ambauo kunamtu anaroho mbaya kama Huyu dada wa kaz nachukiaga. Bas tu😊
@collinsdindi1295
11 ай бұрын
Great work kigosi
@akimanamariam4451
10 ай бұрын
Mufanya kazi simupendi kweri
@simulizi24hrs
11 ай бұрын
Bro never give up umeacha watoto wametamba sana nimuda wako
@ushindidavid1330
11 ай бұрын
Ya usiku umetunyima kweli siyo haki kabisa
@abimaelkilasi2946
11 ай бұрын
House girl yuko sawa tuu hao watoto lazima wajifunze kazi.
@HusnaMgaza
11 ай бұрын
Nikweli kabisa kwa sababu Kuna leo na kesho leo wazaz wao wapo wasipokuwepo je
@HusnaMgaza
11 ай бұрын
Istoshe niwatot wa kike wangekuwa wakiume kweli
@Mwalim
11 ай бұрын
Matagazo yanakera sana yatutowa kwenye mudi tuondoleeni
@CharlesBaya-sf1fn
11 ай бұрын
Niko ndani kutoka malindi kenya
@NoelaShirima-l2v
11 ай бұрын
Nzur sana naipenda❤
@tchikomasakoma1963
10 ай бұрын
😮😮😮hooo
@twinssauditwinssaudi7248
Ай бұрын
We mfanyakazi ww mungu anakuona ila ucjulikane na boss wako utajuta😂😂😂😂
@LoversOfworship
11 ай бұрын
Hii kazi nzuri wala haina dhambi, waigizaji wote wako sawa 👍👌👏
@FatmaAlly-d5v
11 ай бұрын
Asante sana tuletee muendelezo
@abubakarmpole4000
11 ай бұрын
Ray ni level ingine, bro unajua sana pmja na team yako, salute, ila Abi pombe itamuua 👏👏👏👏👏
@NduwamunguAlex-m3w
11 ай бұрын
Leo nimewahi jaman
@AaBb-q2l
11 ай бұрын
Jamani uyu anti nibala ivi watoto wangu mtumishi anawatesaga
@dosaathman2176
11 ай бұрын
From Mombasa Kenya following
@saumodzumbo9671
9 ай бұрын
Huyu jeni simpendi
@aminamwivita7690
11 ай бұрын
Congratulations keep it up good job 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@khadijamoss293
11 ай бұрын
Muendelezo❤❤
@AnthonyObara
10 ай бұрын
Lilian haonyeshwi❤
@Kharedhassan
10 ай бұрын
Songa mbele montex do cheia🎉
@ZakiaAlly-sj6iy
11 ай бұрын
❤❤ tandi jmn honger uroandaa hii movies
@FatemahFatemah-b3h
10 ай бұрын
We mm chibonge wanisinya wataka pesa ya bure
@AminaOmar-u6t
9 ай бұрын
Ndio Mombasa iko ndani
@CatrinaDavidEvaristi-se1dh
11 ай бұрын
Jamani house-g huyuuu anahatariii siku Jordan akigundua
@Kombea
11 ай бұрын
Ole wake
@cheiknamouna2058
11 ай бұрын
Mimi naona ni sawa hawa watoto wafanye kazi Ila siyo kwa kuwafokea hivi awasemee taratibu mama yao huko nae anakata maji kama mamba😂
@chadrackaugustin3180
11 ай бұрын
Ray Tu es très spéciale mon grand
@AnethJoseph-m5i
9 ай бұрын
Sijukii watoto kufanya kazi ila ukali huo siufurahii kabisa kama kweli😂😂
@danielmbango8056
10 ай бұрын
Abigail angekua mpenzi wngu ak, ningekua nmemkata kichwa nkakipeleka mombasa
@MaryamMoosa-g5s
11 ай бұрын
Nzuri sana naipenda tandis ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@TANZANIA-i7r
11 ай бұрын
Nipo na isubilia hapa Kwa hamu jamani
@Najmahnyangasi
9 ай бұрын
Nahuyu mfanyaji kazi si aliambiwa afanye kazi mbona nihao watoto ndo wanafanya kazi hiyu mfanyi kazi si mzuri aky
@NeillahMcute
11 ай бұрын
❤❤❤🎉kazi nzuri Rey
@FranklineMazera
11 ай бұрын
Mombasa iko ndani
@رقيةكينيا
11 ай бұрын
😂😂😂Nido tuko ndani
@sabahaamiry4257
11 ай бұрын
Kazi nzuri mr kigosi
@FauziahNambaka-bn2ln
11 ай бұрын
Naipenda hii
@Fatma-to6rq
11 ай бұрын
Uyu abii yuwanikeraa kweli maringo
@AminaOmar-u6t
9 ай бұрын
Ww maid uko na roho mbaya sna yani wata hao watoto wafanye kazi na wakati ww ndio mfanya kai nyoko ww
@hamisikazungu3796
10 ай бұрын
Naikubali san tandi kilifi pia tuko ndan
@jofreyndyalusa9515
11 ай бұрын
Abigal hata kama unaigiza umezidisha mpaka umeanza kutukela
@Clarice56
11 ай бұрын
Aki ana nikera
@lizmwende7790
7 ай бұрын
Jordan wanawake hawa watakupea pressure
@ValerianaMdendele
11 ай бұрын
Yaani dereva bajaj 😂😂😂 hatariiiii
@alhimnamussasaid3619
11 ай бұрын
Huyu ni mbea promax
@piterasifa3757
11 ай бұрын
Kuachia mtu anilelee wanangu hapanaa kwakweli
@NAOMIGOWELE
8 ай бұрын
Mbanà zinagoagoma kudawnload
@amosvenanse
11 ай бұрын
Niongezeeni bando nimalizie kuangalia
@AminaOmar-u6t
9 ай бұрын
Semeni kuwa anti yuwayesha😊
@AlfaiatariadepalmaMustafa
7 ай бұрын
Jordan upo matatani ndugu yangu una bahati
@delyselamiellairakoze8175
11 ай бұрын
Huyu mutmishi kabisa😢😢😢
@BahatiBeatrice-cu7ok
11 ай бұрын
Mbona imekawa jamani
@halimabindshaban3105
11 ай бұрын
Huyo house girl kaniboo sana,,hadi tumbo laniuma Watoto wafanye kazi yeye apate mshahara
@KhadijaMwalewa-m8r
10 ай бұрын
N kwel mnabour cz hatuoni Lillian
@neemamabena-xx5er
11 ай бұрын
Mwanamke gani Levi hivi
@mwanaishashanilamagoti1092
11 ай бұрын
Adi kesho jamani mbona mbali😢
@MwangiwachiraMartin
11 ай бұрын
Tuko pamoja
@mary-lx3hr
11 ай бұрын
Msijifanye hamumuoni huyu mbea professional 😅😅😅
@maryamtanzania9743
11 ай бұрын
Abigal ana kiburi
@ShabaniKwizera
11 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮Lilian story yake imekwisha🇧🇮🇧🇮
@prisca3210
10 ай бұрын
Nikwer
@kalou-td6pp
11 ай бұрын
Pongezi sana broo
@AmaniNangerembe
11 ай бұрын
Salute bro ❤❤
@reginaIssa-m2j
11 ай бұрын
Duhuuu 😢
@MwA-ni1uk
11 ай бұрын
Jodani pia nakuonea uruma
@BeniDonatien
11 ай бұрын
Sehemu ya 61 na 62 Mbona ina fanana
@everlinekenga437
11 ай бұрын
So beautiful series 🎉🎉🎉
@AnnastaziaFrancis
10 ай бұрын
Wanaume wenye tabia km za ex wa abi mraaniwe
@FarajaJeremiah
11 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@جيهانسالم-ج3خ
11 ай бұрын
tunaisubiliya kwahamu 🇧🇮 to saudia ;boss hayuko mututumiye tandi bila biss wangu hajarudi akirudi tu tatiza roho iko juuu
@josephinejoseph3919
11 ай бұрын
❤❤
@DaudiMtumwa-zb6yv
11 ай бұрын
Mbon hii ya yastini na mbili imejirudia tena tuleteeni kwa mpangilio jamani😅
@FatumaMasoud-fc2ek
11 ай бұрын
Ww house girl siku za mwizi arobaini
@bernadetachari7648
11 ай бұрын
Yani huyu mupeleka bajaji nimumbeya kweli,samahaji jameni kwakweli umbeya wataka muda
@ashakarisa-qi9gx
11 ай бұрын
Nakupendea tuu hivyo chande,😂tamaa na pesa haujapata 😂
@ReziqiRez
11 ай бұрын
Macho yake juu juu tu ya utapeli😅😅
@omariselemani6578
11 ай бұрын
Hivi huyu Abigael kaishaolewa nini Ray niambie
@sailasambeyisailasambeyi742
11 ай бұрын
Bila lilian amna kitu
@pro_the_dj
11 ай бұрын
🔥🔥
@LaurenceSaleh-rt5iv
11 ай бұрын
Kwani lilian alienda wapi jameni
@LydiaStephano
11 ай бұрын
Jordan achana na aby chukua radhia
@mirryanniellansengiyumva
11 ай бұрын
Kabisa
@TabiaNchimbi
11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KamariaAmeir-rx2dc
11 ай бұрын
Rey kimoja hakitoshi tupe angalau mbili
@GloryPeter-c5u
11 ай бұрын
Ww abigael kila ttz pombe😂
@hamidumuhamedjuma2217
11 ай бұрын
Tunaomba vipande viletwe viwili kwa siku jamani filam ni kali mno
@BonifaceDavid-j2e
11 ай бұрын
Watanzania mungu aliwapa vipaji kwa kwelii ongereniii❤❤
@neemakarisa6117
11 ай бұрын
❤❤❤
@BonifaceDavid-j2e
11 ай бұрын
Watanzania mungu aliwapa vipaji kwa kwelii ongereniii❤❤
@BonifaceDavid-j2e
11 ай бұрын
Watanzania mungu aliwapa vipaji kwa kwelii ongereniii❤❤
@ARNOLDMAKORA
7 ай бұрын
alafu DRCONGO??
@BonifaceDavid-j2e
11 ай бұрын
Watanzania mungu aliwapa vipaji kwa kwelii ongereniii❤❤
12:39
TANDI SERIES .EP.. 62 .B STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 59 М.
13:19
TANDI SERIES .EP.. 67 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 70 М.
00:29
Big or Small challenge 😂 Giant chocolate mushroom or small sausage? 🧐 #shorts Best video by Hmelkofm
Hmelkofm
Рет қаралды 13 МЛН
00:50
Long Nails 💅🏻 #shorts
Mr DegrEE
Рет қаралды 20 МЛН
41:02
Қарғалардың анасы бар ма? | 1 серия | Сериал «QARGA 2» | КОНКУРС
OMIR
Рет қаралды 981 М.
00:33
One day.. 🙌
Celine Dept
Рет қаралды 66 МЛН
5:43
Huyu hapa MAMA TANDI, achaguliwa kuwa Mke FAKE wa IDRIS SULTAN ndani ya Ahadi, afunguka haya
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 24 М.
24:52
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 42 | Love Story
DONTA TV
Рет қаралды 236 М.
16:30
HEART AND SOUL | EPISODE 01
One Blood Tz
Рет қаралды 796
15:34
TANDI SERIES .EP.. 55. STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 53 М.
21:29
JAMILA MTUKUTU episode 1 (swahli series)
BONGO Hot News
Рет қаралды 1,1 МЛН
14:08
TANDI SERIES .EP.. 64 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 71 М.
4:38
Vituko na kasheshe - Kapuni | Maisha Magic Bongo
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 541 М.
19:03
NANDI episode 1 imetafsiriwa kiswahili .tucheki whatsapp kwa mwendelezo +255718566938
LOCAL MUSIC STUDIO
Рет қаралды 334 М.
26:07
TANDI SERIES .EP.. 119 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 72 М.
14:55
TANDI SERIES .EP.. 78 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.
RAY THE GREATEST
Рет қаралды 67 М.
00:29
Big or Small challenge 😂 Giant chocolate mushroom or small sausage? 🧐 #shorts Best video by Hmelkofm
Hmelkofm
Рет қаралды 13 МЛН