Wangapi wanasuburi couple ya radhia na Jordan 😂😂gonga ❤ apa
@cheiknamouna205811 ай бұрын
Naibariki kwa mikono miwili ndoa ya Jordan na Radhia ikakubaliwe😂❤
@msokole505011 ай бұрын
Daaaaaa nimekubali Sana tandi inanifunza mengi mnoo ikiisha hii utuletee ingine kazi zako hua nzuri na hazijawahi kuchuja godboy ❤❤❤❤
@melitalaunoni401811 ай бұрын
Tujuane tuloitazama hii movies kwenye sinema zetu leo tunaludia tena
@dianaauma374811 ай бұрын
Huyu dereva wa Bajaj ni mdomo sana😂😂😂 Jordan na razia ndio watakua wapenzi😂😂 much love from Kenya Ray
@riziankassam441011 ай бұрын
Hata mm nimeshaona ivo
@PlacideOlame-p5w11 ай бұрын
Una waza kama mimi😂😂😂❤❤
@cellcelll215111 ай бұрын
Me pia naomba wawe wapenzi mana wanabusa 😂
@OriginalSource111 ай бұрын
Tatizo Abigail anafanya vitu vya Siri vingi kitu ambacho hakitakiwi kwenye ndoa
@dianaauma374811 ай бұрын
@@OriginalSource1 Abigail kiburi Cha pesa,,anaona hawezi abiwa lolote
@AnethJoseph-m5i9 ай бұрын
Vicent kigosi ❤❤❤🎉🎉🎉💯
@robertCharo-n1s3 ай бұрын
Nasaha zako ni nzuri Mr Jordan kwa kweli najifunza kutoka kwako ❤❤❤❤❤❤
@robertCharo-n1s3 ай бұрын
I am learning some lessons and enjoying this movie❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
@procossypei11 ай бұрын
Tunasubiri ❤❤❤tandi inapendaza kwa kweli ngalao mada iwe refu kidogo
@MwambaHeri11 ай бұрын
Kweli mkongwe wa film ananifuraisha sana safi sana kaka Ray from USA
@lilianamon228910 ай бұрын
Chande anamacho fulani hivi amaizing
@mathakilaviti176411 ай бұрын
Congratulations 🎊 Nacheza hapa hapa mpaka kieleweke
@LoversOfworship11 ай бұрын
Yaani utabiri wangu utakuja tokea kweli, jameni mapenzi ya Jordan na razia soon ❤❤❤
@zamdaabdul347011 ай бұрын
😂😂😂ctaman itokee
@mariaphilipo10 ай бұрын
@@zamdaabdul3470ata mimi
@AngelOkota-f5d11 ай бұрын
Hiii move Mimi inaniacha hoi wakitaja police tu watu 🏃🏃
@LevinaMsafiri11 ай бұрын
ninzur jaman na inafundisha mengi naipenda tandi jaman hogera kwa wahusika wote watandi
@eulalibitnkoy653011 ай бұрын
Can’t sleep before watching this part tonight. Can’t wait ❤️🤣🤣🤣🤣
@jofreykalori11 ай бұрын
Tunaisibilia kwa hamu ❤️❤️
@shakilasharifa911 ай бұрын
Chande kitakulamba 😂😂😂😂😂😂
@robertCharo-n1s3 ай бұрын
Mr gordan i like your answers❤❤❤❤❤
@MaryamMoosa-g5s11 ай бұрын
Na mimi reo. nimewahi 🎉🎉🎉🎉🎉
@JaisuriaPidas11 ай бұрын
Safi sana Mr KIGOSI, ila jamaa wa bajaji hajafiti ipasavyo, kitengo mlichomtenga hakimfanani kabisa, hilo liamini Mr KIGOSI, ninaham sana kuona mwisho wa LINDA
@Najmahnyangasi9 ай бұрын
Jordan na radhia❤❤❤❤🎉🎉🎉 yaani much
@Najmahnyangasi9 ай бұрын
Jordan na rdhia wapenzi ❤❤❤❤ nafurai sana kuona Jordan na radhia ❤❤❤❤❤😂😂
@aminamwivita769011 ай бұрын
Congratulations keep it up good job 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@SamsonMaindo11 ай бұрын
Waly hii ndo move Ray kigosi aliact🎉
@MeswalehShaban-mg5kk11 ай бұрын
Dereva bajaji nawe kazi unaiwez😂😂😂...
@Ganzaboke11 ай бұрын
Kigoo siii king GOSI
@AlfredMaganga-n9k11 ай бұрын
Kutoka marekani California 🙏 nimeielewa sana hii episode ya 64 ongereni sana
@Gambasingu_Gilitu9 ай бұрын
Sema mwamba chande mitihani imemgeukia😅
@KharidMlawa11 ай бұрын
Nzur
@IlAMPAYELUCAS-jz1mm10 ай бұрын
Huyu mwanasheria jmn ana kula huku na huku 😂😂😂😂😂😂😂
@NarcisoMandhate7 ай бұрын
Razia Ana 😂😂😂😂 Kwa Kuendeshe kiatu
@samyabahatialhiani40111 ай бұрын
😂😂😂😂😂laziya na Jordan wawacunge Jordan umeshindwa kutuliya sehemu mujya🇧🇮
@NimpayeFrancine-g2l10 ай бұрын
Razia hajuwi kuendeshe kiatu kadogo aanguke
@BarakabalumeJean2 ай бұрын
Sio mbaya abiga akijirekebisha
@GuillenShambani11 ай бұрын
Can' twait❤😂😂😂
@alfredtebeka24979 ай бұрын
Kumbe lameck na chande ni wanaume wenye wanaogopa police sana😂😂😂
@SofiaMohd-n5g11 ай бұрын
Oya Rey kigosi achia mzigo
@AminaJuma-p2b11 ай бұрын
Heeee jaman leo wakwanza 🎉🎉🎉🎉🎉
@edmarboniface586311 ай бұрын
Ray kwa hili sitakubali kutuwekea vipande kidogo kwa siku
@UmutoniwaseRosine-re3rs11 ай бұрын
Tandiii,🎉🌲🫶♥️🇷🇼
@aishafrancis771411 ай бұрын
Dereva wa bajaji kazi unayo😂😂😂😂😂
@FatmaAlly-d5v11 ай бұрын
Ipo vizur sana
@Verochanel12311 ай бұрын
Abby anaonekana anaingiza Kabisa sio km anafanya kweli anaboa
@Alphathomas-z9w11 ай бұрын
Mwanasheria kanyooka
@TANZANIA-i7r11 ай бұрын
Mimi nafurahi tyu na tandi wangu jamani mwee
@saumodzumbo96719 ай бұрын
Hongereni sana ❤❤❤❤❤
@josephhassan785111 ай бұрын
Jamanii tunaomba muda urefushwe kidogo hata ni dakika 25
@Nahdiya-nr3de11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 chandy anckia police mitini 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Aisha-ty7rh11 ай бұрын
My naikubal sana
@evanstarit928211 ай бұрын
I like it guys
@Is-hakaKassim-t4s11 ай бұрын
Ww dereva bajaji acha shobo
@AmosiMalimi11 ай бұрын
Yan
@MariamSekwao4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@shumeyahamisi205311 ай бұрын
Movie zake nzuri tatizo mda kodogo😢
@aminakatana872111 ай бұрын
Niko niko sana
@aishaomar962111 ай бұрын
Chande umeona umemkomoa radhia ila utalipa kwa hili😂 alfu wajiona kidume kapata kidume mwnzieo jordan kakurabisha kwenye ulimwengu mwengine😂😂😂😂 dereva bajaj mbea kweli😅😅
@EdnahRabera-s8y11 ай бұрын
Kimekuramba Jared
@NancySinoya11 ай бұрын
Good job brother ❤❤❤❤🎉
@hassanswale11 ай бұрын
Dereva Bajaj ni mnoko sana
@josephmryani223111 ай бұрын
Niko hapa wa Kwanza leo❤😂
@LightPocket11 ай бұрын
Yn ray amuoe ty razia uyo abigael aolewe na chande