Napitia album nzima toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Tanzania mnaimba...producers wenu wako vizuri...unyama mwingi..Rayvanny na jay nyinyi mbona mnajua mpaka mnakera🔥🔥🔥🔥
@robbykofficial99017 күн бұрын
Napitia album yote mdogo mdogo. Much love ❤️ from Kenya 🇰🇪.
@hopeofthenations35357 күн бұрын
Mbaki na Willy Paul wenu😂😂😅
@robbykofficial99017 күн бұрын
@hopeofthenations3535 hiyo ndio nani. Mimi sijui huyo Koko. Napenda bongo music na artists.
@ernestkhalifa14146 күн бұрын
@@robbykofficial9901🎉
@Ally-b4q6 күн бұрын
Alafu nyimbo zetu mnaita takataka
@masukijones51525 күн бұрын
Tuko pamoja kaka. Much love from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Daughterofthesoil2546 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪from TikTok,,Ray na Jay mwaka huu niueni nizikwe dah😢 mapenzi niue nikaragaze niuze nyumba ya urithi
@TEDDYBROWNEBOYZENDEMU7 күн бұрын
Woowi hatari bin danger two Tigers on a battle,,,kama umeshindwa Nani kaosha mwingine gonga like hapa 🔥🔥🥰💯
@user-lh3hh9uw7s7 күн бұрын
Kenyans let's gather here to support rayvany🇰🇪...
@sherickkilamlya87016 күн бұрын
nyimbo zetu si takataka au
@AggieWambui-j2s6 күн бұрын
Eti wi gather here? We ni bure kabisa ,#supportkemusic
@YoungGee2546 күн бұрын
Siwezi umeona hiyo album haina hata mkenya
@cathbetsolomon31516 күн бұрын
@@YoungGee254😂😂😂afu wewe bhnaaa
@CharlesWafula-x9s6 күн бұрын
We can't stop supporting the boy he is ours🇰🇪
@dabosla2547 күн бұрын
This Album Fire🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,Jaymerody Hakutoiii Hapaaa Chuiii 😂😂😂😂😂😂,,,,Ngoma Kesho inatrede
@paulobentomiguel65103 күн бұрын
Ukiwa mpole sana watakupanda kikwani…… from Mozambique
@JanetOnyango-p5q5 күн бұрын
Rayvanny ❤️❤️ Mimi nakupenda 2bure🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bramwelmshiringani56876 күн бұрын
Rayvanny amenzakurudi sasa kenya 🇰🇪 tunakupenda
@stevensilungwe416 күн бұрын
This is real music good concept. Rayvanny wazambia 🇿🇲 tunakupenda sana.
@rashidingole15886 күн бұрын
Vanyboy ngoma aina hiz ndo zako lakn amapiano au zile ngoma za vurugu huziwez achana nazo simama humu tu
@carolineotieno81545 күн бұрын
Wakenya 🇰🇪🇰🇪 wezangu nipeni likes hata mbili kwa ajili vanny, hanaga baya huyu wala maringo mengi
@BeesDees6 күн бұрын
Hizi ndo funga mwaka kbs acha tuburudike hizi banger❤❤❤❤❤❤
@otisenisterclassic41426 күн бұрын
Chui plus melody ni Sweet melody much love from Kenya 🇰🇪
@savanny_music3 күн бұрын
Congrats Rayvanny,this is the best album since you started music 🎉
@AishaShaban-s5r4 күн бұрын
Kam unamkubali chui na unaamin ameua kweny hii albam ya the big one tupia lik hap ❤❤❤❤
@Natchinaomie7 күн бұрын
Wa Congo goma tuna kupenda🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bienvenukichambaomar50674 күн бұрын
Lubumbashi🎉
@AlistarSimbajeshi4 күн бұрын
Song poa sn wa Congo 🇨🇩 tuko tayari kwako chiiiii🐯🐯
@bienvenukichambaomar50674 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko frère mais sa chanson avec Alikiba 🎉
@JaredQuestJunior-wu4or6 күн бұрын
I came with peace and love from 254 Kenya 🇰🇪 One love ❤️ our neighbour bigg love ❤️
@EvanceKifunda-p3d5 күн бұрын
Nyimbo nzuli sehem inayo kuvutia ni Bata linaliwa na sisi na pare una era kama mbwa afa darasaa kauwa kamasifia vany boy oya eee mtoto mdogo mwenye pesa nyingi Ngoma Iko pw chief godlove nakuelewa sana enderea kutuamasisha sie vijana tupambane akuna kupoa mwamba 🎉
@Meshluck17845 күн бұрын
🔥🔥🔥 I listened only one song and now I'm going through the album coz hizi songs zote zimeninice for sure 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kahogoasili20247 күн бұрын
Nimekubali sana chui na jay Melody KWA kazi zuri
@SylnaiNaitemu14 сағат бұрын
Jay❤❤❤penda wewe saana Kenya 🇰🇪 mpo❤❤❤
@DremoDreezy-pk4ud7 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 no .1
@badboyjephanie-uh3mz7 күн бұрын
Tunao mkubali Jay tujuane kwaku like hii comment
@SalumuPatlicki-qq9ph7 күн бұрын
Huyu ndo chui ninae mjua sasa
@AlexNgereza-v9q6 күн бұрын
Wangapi tumebalikiwa na mtumishi☝🏿
@officialshanmij3 күн бұрын
Can't have enough of this🥰This track is🔥
@TinabeaTina4 күн бұрын
Jay melody utanifanya nijione yatima wa mapenzi jamani❤❤❤❤❤lyrics on 🔥
@FreddyJackson-d3m6 күн бұрын
Kama unamkubali rayvanyn gonga like hapa
@BrianWangila-lz6kr6 күн бұрын
Nomaa sana vanny b
@rhosestephenz52826 күн бұрын
An album wont be complete with out JayMelody and kompa beats. ❤🎉🎉🎉😊. Sending love from Ghana.
@SepamaybeMsafii7 күн бұрын
Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
@01realChrisKhanlove4 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abubakalimavumbi58464 күн бұрын
Nilivyo muona jey tu nikasema waso again 🎉🎉🎉🎉
@timokalunju5 күн бұрын
Unafuatia ngoma hizi kutoka nchi gani mimi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kama una mkubali rayvany gonga like kisha ni subscribe.
Yan katika Ngoma nilizo sikiliza japo naendelea kufanya hvo lkn hii moja ya Ngoma ilitulia kinyama kiufupi ni dangerous ❤
@mustaphaernest5906 күн бұрын
hilo beat na kibodi zilizopigwa humo zimekopiwa kwa msanii mmoja kutoka haiti
@WhispaKid6 күн бұрын
Mwaka unafungwa na banger kibao❤❤
@husseinhassan73256 күн бұрын
Ray sasa huyu ndo wewe sasa(best album)
@chenboy66607 күн бұрын
😂😂😂 Sema J watoto wa kascazin wamesema usipite mbea utapigwa mawee 🙌🙌🔥🔥
@CyprianTraiphon5 күн бұрын
Rayvanny ndo msanii pekee Bongo mwenye collabo nyingi na wasanii wakubwa wotee..... Hapo bado Kuimba na marioo tu y auehand-pink-wavinghand-pink-wavinghand-pink-waving