Rayvanny feat Mbosso - Mon Amour (Track No.5)

  Рет қаралды 367,892

Rayvanny

Rayvanny

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@Shabanhaule-zg7tl
@Shabanhaule-zg7tl 7 күн бұрын
Jaman huyu mbosso 🙌🙌🙌 kama ulitoroka na daftar la yamoto respect
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 7 күн бұрын
mbosso kamfunika vivani boy 😂😂
@MurisalMpelembe
@MurisalMpelembe 7 күн бұрын
Uyu mboso akamatwe apigwe atueleze daftar kaficha wapi😂😂😂😂
@PrinceMpeshe
@PrinceMpeshe 7 күн бұрын
Maishamarefu kwenyu tunawaombea. 🇨🇩🇨🇩
@RobbysChris-q8f
@RobbysChris-q8f 6 күн бұрын
kweli vike
@YohanaWilliam-y9b
@YohanaWilliam-y9b 6 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Fabrice_Bobby
@Fabrice_Bobby 7 күн бұрын
Waliosikia Kwamba Mbosso ameshindikana weka likes hapa tujuwane🙌🏽
@christophekyandaza1113
@christophekyandaza1113 7 күн бұрын
Ni kweli iyo
@nelsonnovath6469
@nelsonnovath6469 7 күн бұрын
Huyu mwamba sio yuko syri nyingne sio poa ❤
@AndrewAnthony-gq6tc
@AndrewAnthony-gq6tc 7 күн бұрын
😂😂😂 daah mbosso kaua
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 6 күн бұрын
Ata maliza batu
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 6 күн бұрын
Mbosso atutuua huyu
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 5 күн бұрын
How many Kenyan's are here to support RAYVANNY & MBOSSO KHAN ❤🇰🇪
@TunuDzidza
@TunuDzidza 4 күн бұрын
Mm n mkenya Na support wote
@1234aishah
@1234aishah 3 күн бұрын
Endeni mkasupport Willy Paulo😂😂😂😂
@sipiliankwamboka5193
@sipiliankwamboka5193 2 сағат бұрын
​@@1234aishahVery true 😂😂😂😂 wasapport king wetu pozee
@rajabkanyama9152
@rajabkanyama9152 6 күн бұрын
Kama umekuja kwa ajili ya mbosso kama Mimi tupia like Yako
@eliabeliud490
@eliabeliud490 Күн бұрын
Potea panya wewe
@mimitrm3028
@mimitrm3028 18 сағат бұрын
Yaani wanajua jinsi ya kupromote nyimbo.
@waltonmbugua8360
@waltonmbugua8360 6 күн бұрын
Mbosso ikifikia ni love song no one east Africa anamtishia ❤❤
@adilhamid3677
@adilhamid3677 Күн бұрын
kweli kbsa
@OmolloRony
@OmolloRony Күн бұрын
Mbosso amekujaa sanaaaa 😂😂😂😂anaosha kila mtu jameniiii ❤❤❤😂
@AffemoAbelly
@AffemoAbelly 7 күн бұрын
Owa mie nilitamani sana mbosso khan na chui waachie ngoma hatimaye leo imetimia,, kama upo pamoja na mimi dondosha kopa ❤️❤️❤️
@LazarusSaimoni-f8n
@LazarusSaimoni-f8n 7 күн бұрын
❤❤❤ hatar
@RudiaelNassary
@RudiaelNassary 6 күн бұрын
Htar sanaaa
@lennahonsare
@lennahonsare 5 күн бұрын
❤️❤️❤️
@abubakalimavumbi5846
@abubakalimavumbi5846 4 күн бұрын
Rayvanny kafunikwa apo
@MimaMummy-zk2qi
@MimaMummy-zk2qi 3 күн бұрын
Mimi natamani mbosso khan aachie ngoma na aslay 🎉
@dvdkim224
@dvdkim224 6 күн бұрын
@Mbosso 🙌🙌🙌 Kwa tabia hii kuwa makini watakunyima collabo hao wasanii wenzako. Hawatavumilia kudharirishwa kwenye Ngoma zao wenyewe.
@WilliamShija-rk9ue
@WilliamShija-rk9ue 6 күн бұрын
Yaan mbosso utafukiri ndo mwenye wimbo halafu vanny kashirikishwa 😂😂😂
@AminaNdayizeye
@AminaNdayizeye 4 күн бұрын
mbosso wachanae yaani anatisha❤❤❤😂
@ARADINISALUM
@ARADINISALUM 7 күн бұрын
Mbosso baba kwenye kuandika una dunia yak pekee yak🫡
@suleimansalum7929
@suleimansalum7929 7 күн бұрын
Kumamamae mbosso ameuwa huyu mbwa ❤
@ProKakan
@ProKakan 6 күн бұрын
Ungesema ata paka basi, bwea duuh😅😅
@MoTalentTz
@MoTalentTz 7 күн бұрын
Daaah ila huyu mbosso noma jaman😂😂😂
@Shadadihamis25
@Shadadihamis25 7 күн бұрын
Rayvanny umeonyesha ukubwa wako humu...ila huyu mbosso siku nyingine tuwe tunampiga makwenzi inakuaje anatumia nguvu sana hivi aisee hapana😂😂❤❤❤
@Lenah-vm5si
@Lenah-vm5si 7 күн бұрын
First to comment from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you Chui
@omarisonsaad7844
@omarisonsaad7844 15 сағат бұрын
yooo
@mwaramimwago5724
@mwaramimwago5724 6 күн бұрын
Mbosso apunguze sifa kwenye nyimbo za watu
@husseinhassan7325
@husseinhassan7325 6 күн бұрын
MBOSSO KHAN FOR LIFE🙌🙌MBOSSO UKO TOP 5 YANGU YA MWAKA 2024
@ProKakan
@ProKakan 6 күн бұрын
Haujakosea 🎉🎉🎉
@Junetz666
@Junetz666 7 күн бұрын
Mbosso hana kazi mbovu Yan aki imba kwenye wimbo lazima utembee🙌🙌
@Melau001
@Melau001 7 күн бұрын
Jamani mimi katika hii album ya chui kwa ngoma zenye nimependa ukitoa nesa nesa by diamond namba mbili ni hii na mbosso khan mumeua sana ❤️‍🔥❤️‍🔥
@Yusufoso-h2m
@Yusufoso-h2m 7 күн бұрын
Oya kaka mkubwa vanny najua huezi jibu lkn kusema ukweli uyu ndo vanny boy mwenye watu wanamtaka achana na yule wa nesa nesa ukienda uko sana ndo watu wanasema umepotea...huu ndo mziki wako mzuri brother🔥🔥🔥
@5googleuuu727
@5googleuuu727 7 күн бұрын
Haswaa
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 6 күн бұрын
Aachane na nesa nesa
@marykimani4114
@marykimani4114 7 күн бұрын
Kenya hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪piga like
@chibudangote0126
@chibudangote0126 7 күн бұрын
POZZEE TYPING 😂😂😂😂
@BarakahareRuwa
@BarakahareRuwa 7 күн бұрын
Na mm pia tuwakilize 🇰🇪 🇰🇪
@RyanElias1
@RyanElias1 7 күн бұрын
Muache kumshirikisha Mbosso Ana tabia mbaya sana 🙌🏿
@ELJAHABDULL
@ELJAHABDULL 7 күн бұрын
Hii wimbo inatokeya kongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 imenikabakoo hii nyimbo asante
@godfreymusya3088
@godfreymusya3088 2 күн бұрын
Kama umeskiza hiyo nyimbo ukisubiri sauti ya Mbosso Khan gonga like
@brianonguka7602
@brianonguka7602 7 күн бұрын
Nakuambia Mbosso is always fire❤️🔥🔥
@JaredQuestJunior-wu4or
@JaredQuestJunior-wu4or 6 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 here let's show our neighbour bigg love ❤️ Mr Khan killungi bigg up Mr Boy Vanny
@williammsekwa5347
@williammsekwa5347 6 күн бұрын
Daah kweli nimeamini kuwa MBOSSO katoroka na daftar la YAMOTO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jacktons8614
@jacktons8614 7 күн бұрын
Huyu mbosso hafai kushirikishwa mwacheni aimbage nyimbo zake mwenyewe, anakamia sanaaa yan humu Rayvanny kama undeground asee🙌😂
@Seifbrown
@Seifbrown 7 күн бұрын
Jamani uyu mbosso 🎉😢😮❤ uko na dictionary 😊ya music ❤😊imefika tayari Bujumbura town mita la wa janja tume ipokea 😎💥✍🏾🙌🏾
@AminaNdayizeye
@AminaNdayizeye 4 күн бұрын
mbosso bado ni number moja yaani ukiskia mziki wa mbosso ukiwa kwenye mahusiano ambayo yameka vizuri utahisi bustani ya mapenzi niyako peke ukiwa single unatamani kua na mtu mwenye huba na ukiwa kwenye mahusiano chokesha waona wivu nakupatamani haya maneno uambiwe wewe😢 mbosso unatisha yaani uko vizuri❤😂
@AndrewFundi
@AndrewFundi 7 күн бұрын
Mim wakwanza kutoka 🇨🇩 nipen likes ndugu zangu wa tz 🇹🇿 Burundi Africa 🌍 yote show love 😘 nakukubali rayven chui 🎉
@BénédictionMpenda
@BénédictionMpenda 7 күн бұрын
Hongera sana bro 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mwenzako hapo
@AndrewFundi
@AndrewFundi 7 күн бұрын
@BénédictionMpenda Asante sana dugu yangu
@NathanKatumba
@NathanKatumba 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤zako ni apa
@AlfanTumaini
@AlfanTumaini 7 күн бұрын
Sasa upewe likes kwani wimbo ni wako??
@Raymond045-p4s
@Raymond045-p4s 7 күн бұрын
Fika g bro
@pozehlight
@pozehlight 6 күн бұрын
Imagine eti we ni mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪na unavuka hii😮🤔wapi likes za hii JAM ❤❤❤❤❤❤
@agostinhofilipemaporisse5107
@agostinhofilipemaporisse5107 6 күн бұрын
😹
@mathlineakinyi4285
@mathlineakinyi4285 5 күн бұрын
Ninawaka kama mbalamwezi😂😂😂😂😂
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 5 күн бұрын
Ninyi kaeni kwenu hukooo
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 4 күн бұрын
Go and support vya Kwenu😂
@Yusufoso-h2m
@Yusufoso-h2m 6 күн бұрын
Wewe mboso aya mambo yako ndo yalisababisha marioo akafuta verse zako kwenye ngoma zake🔥🔥🙌🙌tosha utawaua babaa
@EmanuelMjewa-c3p
@EmanuelMjewa-c3p 6 күн бұрын
Kumamae kali kisenge washenzi mmeua sana one love from Zambia 🇿🇲
@RamadhaniMshana-gk6vm
@RamadhaniMshana-gk6vm 7 күн бұрын
Mboso is kill again🎉🎉🎉
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 7 күн бұрын
Mbosso sio mtu mzuri akamatwe haraka iwezekanavyo😊😊
@KelvinDrt-y6b
@KelvinDrt-y6b 7 күн бұрын
Mbosso bongo akuna anae kuweza kwa tungo za mapenzi
@bakarimakonga
@bakarimakonga 6 күн бұрын
msikilize jay melody kaka
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl 6 күн бұрын
Jay melody kwa mbosso hafiki mbosso ana dunia yake​@@bakarimakonga
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 3 күн бұрын
Yan akuna
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 3 күн бұрын
#mboss moto mwingine ww😊
@alexismagros
@alexismagros 7 күн бұрын
Rayvanny we love you from Kenya. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🤩🤩🤩💯💯
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl 6 күн бұрын
Waacheni wasanii wetu 😅
@janga-platy
@janga-platy 7 күн бұрын
Mbossoooo mbossooooo mbossoooo upewe mkataba wa maisha WCB una kila sifaaaa🎉🎉...simba fanya jambo kijana anatishaaaaaa😅
@Nshimirimanaflorien
@Nshimirimanaflorien 7 күн бұрын
Jamani huyu mbosso mbona anajua sana aiseee nimeirudia vesi yake mara 20❤❤
@Ayanake
@Ayanake 7 күн бұрын
Mbosso ni mnyamaaa🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
@AishaVuai
@AishaVuai 2 күн бұрын
Dahh mbosso mshenzi sana tambueni raiyvany ndio alienda mchukua mbosso kijijini ilipo vunjika yamoto band akampelek wasafi ona Leo raiyvany alivyopigwa na mbosso mungu co asumaniiii
@vitalisomondi1821
@vitalisomondi1821 7 күн бұрын
Mbosso jameni❤❤
@StephenChai-i4h
@StephenChai-i4h 6 күн бұрын
Duh mbosso baba inatoshaaa🙌🙌🙌unawatibu wenzio nkweli umetosheka baba inatoshaaa umeuwa kudadekiii
@RoyAshuma
@RoyAshuma 6 күн бұрын
Mbosso Khan mnyama...kenya tumekubali...kijana huyu balaa...kijana kashindikana🔥🔥♥️♥️🇰🇪🇰🇪
@NicomedMdee
@NicomedMdee 2 күн бұрын
Nyimbo kali sema mbosso unymwe kolabo
@StarbornDexter
@StarbornDexter 2 күн бұрын
Huyu Mbosso Unamwita Kwako mcheze fifa anakugongea mamaa live😂
@RomaMutai-xv8wm
@RomaMutai-xv8wm Күн бұрын
Huyu ni mkenya 😂
@JAYpicMEDIA
@JAYpicMEDIA 6 күн бұрын
Mbosso ni fundi,,,,, eti---nawaza mungu agepanga mchana ngiza usiku jua do nuru ,,,,,
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 7 күн бұрын
Yani ungefanya wimbo mmoja na founder tz,ingeenda mbali sana
@mussaandrew9502
@mussaandrew9502 6 күн бұрын
Una kitu
@EricMuathe-zc3tu
@EricMuathe-zc3tu 6 күн бұрын
Mbosso ni moto 🔥 🎉😮 wanaomkubali pigeni like 👍
@chotaramswahili2835
@chotaramswahili2835 7 күн бұрын
Mbosso has saved this song, asingekua yy ingekua Ngoma mbovu sana
@TommyBella
@TommyBella 7 күн бұрын
Thx Bro kwa kutuletea mfumo mpya na kuikosoa kalamu yako ... Naona kdg umepunguza matusi
@youngG-qs3gs
@youngG-qs3gs 7 күн бұрын
Mbosso kwa colllabo we ni mkali hii wimbo hapa na Ile mmeimba na D voice tunapendana we ni mkali unafa utengeneze concert Yako peke Yako kama ile ya yamaha ❤
@AffemoAbelly
@AffemoAbelly 7 күн бұрын
Uhakika, mbosso khan ni balaaa
@catherinenkuzi2039
@catherinenkuzi2039 3 күн бұрын
Wow....Mbosso na Van Ni Shida Jmn.....Hii ni Kali ya Xmas. Mmetuweza Kwakweli...Big Up
@cadarclever4224
@cadarclever4224 7 күн бұрын
Huyu mbosso kwenye colabo anatakiwa kuanza la sivyo nyimbo inakuwa yake
@difella-l1t
@difella-l1t 7 күн бұрын
😂😂😂
@byZahrahth
@byZahrahth 3 күн бұрын
Sasa si bora abaki mwisho akiwekwa mwanzo ndo anamaliza 😂
@BeesDees
@BeesDees 7 күн бұрын
Rayvanny weeeeee ulikuwa unawaza nini kutokutoa ngoma kama hizi hapo nyuma kaka🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@lareineminah1353
@lareineminah1353 5 күн бұрын
Mbosso utakuwa hupewi collabo nini ss kuwa uwa una uwaa hivoooo🤩🤩🤩🤩
@Qaswidaeastafrica
@Qaswidaeastafrica 7 күн бұрын
Mbosso khann🔥🔥🔥🔥🔥
@MiddletonChingwanangwana
@MiddletonChingwanangwana 6 күн бұрын
from zimbabwe rayvanny is the best in Africa
@chenboy6660
@chenboy6660 7 күн бұрын
Daaaaah trac ipi nimbaya sasa mbona sion ngoja niende mbelee 🔥🔥🙌🫂
@NasoniZotefidi
@NasoniZotefidi 6 күн бұрын
Kaka mbosso inatosha mzee wangu Yani unatufanya tuliopo single tutafute wapenzi ili tusikilize nyimbo zako daaah uko vzr Khan 🔥
@Jaydanny_Chawaboy
@Jaydanny_Chawaboy 7 күн бұрын
Ila mbosso we umeumbiwa kwenye dongo la mapenzi tuh au sio❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😢😢😢
@KotrosDucap
@KotrosDucap 6 күн бұрын
Mbosso ajengewe sanamu ❤❤ from Burundi 🇧🇮
@EdinaMagige
@EdinaMagige 2 күн бұрын
Mbosso nakuita mala tatu❤ basi sawa si umeamua niwe chizi bas sawa, anua wewe baba❤
@husnamwatime3099
@husnamwatime3099 14 сағат бұрын
Nice songs it relaxes mind bwana❤❤❤😊😊
@DrjumaPapazuru
@DrjumaPapazuru 7 күн бұрын
But sure Mbosso is number one artist in East Africa for now ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PaulNdegwa-sp4ty
@PaulNdegwa-sp4ty 6 күн бұрын
Mbosso ameuwa as always mad respect kwa Mr KHAN.....
@Aso_Irk
@Aso_Irk 7 күн бұрын
Kama umeskia mbosso kauwa ngonga like apa🇧🇮✌️
@therealizacky96
@therealizacky96 7 күн бұрын
mbosso ukimpa kipande kwenye ngoma yako ya mapenzi anakufunika vibaya sana 🤏😎
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK 7 күн бұрын
Kuna watu wanajuwa alafu kuna mbosso ❤❤❤❤❤
@DieulaKingela
@DieulaKingela 3 күн бұрын
Le Goat de la musique d'Afrique m'y king of king Kiba twasubiri vidéo na piya na mchakuru chuï kwani yeye ampenda kiba tangu zamani.
@jovinmahende
@jovinmahende 7 күн бұрын
KING khan n mmoja🙌anaeingia kweny mfumo anakufa hunaga kaz chafu..
@ondiekibosire6174
@ondiekibosire6174 4 күн бұрын
Mbosso.. Mbosso... Mbosso 😂 Mi naanza kuskiza song na part ya Mbosso. Hayo mashairi 🙌🏿. It is like Mbosso is the new talent wasafi❤❤❤
@milicentsmasha8365
@milicentsmasha8365 7 күн бұрын
We love you🥰🥰🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ceoeric5253
@ceoeric5253 18 сағат бұрын
Mimi ata swezi skiza sauti ya mbosso nikiwa nimekaa...naskia ni kama nguvu zinaniishiaa😮😮😮 Super talented
@footballsite11
@footballsite11 7 күн бұрын
Mbossi kwa hiyo Umeamua Uwe Mtu Uliyeshindikana 😊😊😊
@stephenmwakasonda892
@stephenmwakasonda892 7 күн бұрын
Huyu ndo chui
@BEZMUSIC007
@BEZMUSIC007 6 күн бұрын
mbosso mbosoo!!hii tabia ya kukatili wenzio inabd ikomeshwe haraka sana
@tiffanyakramJr814
@tiffanyakramJr814 2 күн бұрын
Mon amour, je t'aime tellement chérie 🫡 Gee ❤️‍🔥 Tee 💫
@salemaleburta
@salemaleburta 3 күн бұрын
Yessssirrrr... Lemmi launch this Album to my neighbourrs😂😂🙂wataiskiza adinmwisho
@arjaieugyvelle3279
@arjaieugyvelle3279 7 күн бұрын
Mbosooooo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@christophernilongo364
@christophernilongo364 7 күн бұрын
Hiii yenyewee hongeren sanaa mmeupiga mwingii, wee nbosso hayo mashair Wacha kabisaaa
@ChenchiKing
@ChenchiKing 7 күн бұрын
Ila Mbosso Ana Nin Jamani Mbn Kam Amepaniya Kufany Ubaya Tu🔥🔥🔥✊✅
@SsbrKidd
@SsbrKidd 7 күн бұрын
Nyie uyu mbosso 🙌🙌🙌
@gboy3909
@gboy3909 6 күн бұрын
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪😂 I wish pozee was in this album 😅
@ClareOngachi-h5o
@ClareOngachi-h5o 6 күн бұрын
Fear Kenyans imgn akuna views 😅😅
@ebuelasimba
@ebuelasimba 5 күн бұрын
Mbosso akamatwe afungwe jama iyi siyo aki tena. Kwani wewe kila wimbo una upaniya ❤❤❤❤
@AffemoAbelly
@AffemoAbelly 7 күн бұрын
J'adore cette chanson forte From 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@MwanamisiMfunga
@MwanamisiMfunga 3 күн бұрын
Ila mbosso jmn nimeipenda cna hii nyimbo utatuuwa wew walai ❤❤❤
@Monsuly1
@Monsuly1 6 күн бұрын
Kama wewe ni mkenya piga like🎉🎉❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ChrisEdmond-p8c
@ChrisEdmond-p8c 7 күн бұрын
We mbosso mbona unakuwa mbinafsi ivi kk duh ,i like it my brother khan 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@prixmaphoto_
@prixmaphoto_ 6 күн бұрын
UYU MBOSSO UYU JAMAANI KHAAAAAAA 😢😢😢 ANAWADHARIRISHA WATU WAZIMA 😅😅😅 #mbosso
@MutuaJulius-vq5dy
@MutuaJulius-vq5dy 7 күн бұрын
Mbosso Amefanya Kazi kuntu!
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 күн бұрын
Hii chemistry haijawahi kufeli🔥
@LucasMponda-cm6gf
@LucasMponda-cm6gf 6 күн бұрын
Ukimpa kaz mbosso amin imepita!hapo Leo wote mafund❤❤
@FreddyGati
@FreddyGati 6 күн бұрын
Kabisa
@Jajuuh
@Jajuuh 7 күн бұрын
Mbosso mwenye mapenzi yake maana so kwa hii style
@masoudamour
@masoudamour 7 күн бұрын
yani mbosso akiandika mstr wake bs hua ni waubunifu mkubwa sn huwez upata popote❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@McMegastar254
@McMegastar254 6 күн бұрын
Love from mbosso #kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fadhilzumbe2764
@fadhilzumbe2764 6 күн бұрын
Ila Mbosso🙌🙌 Tutaanza kukunyima Collabo sasa
@MapenzichanzingeMapenzichanzin
@MapenzichanzingeMapenzichanzin 6 күн бұрын
Wa Congo tujuwane ambao tumewakubal chui🎉 mbosso jet aime mon amour 💕💕🇨🇩🇰🇪🇺🇬🇹🇿🎉🎉🎉🎉tukubaliyan
@ronofestus99
@ronofestus99 6 күн бұрын
Watching from kericho Kenya,I salute you Rayvanny,my favorite musician ♥️♥️
@Kitwe-z8w
@Kitwe-z8w 5 күн бұрын
Oaa rayvanny albam hii mbona kama ameiandikia cuba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎤🎤
@AlbinoTomás-m3j
@AlbinoTomás-m3j 7 күн бұрын
Mimi albix kutoka Mozambique hii nyimbo kali kabisa nachoomba rayvanny asiache kufanya collaboration na wasanii wcb naona wakikutana wanachia nyimbo kali kabisa kasi nzuli
@carbajalxerouk
@carbajalxerouk 7 күн бұрын
I don't know Swahili but from Mexico I send love to Tanzania and its great artists. 🇲🇽 🇹🇿
@Pastorbarakamwanjala
@Pastorbarakamwanjala 7 күн бұрын
❤❤
Rayvanny feat Alikiba - Naoa (Track No.3)
3:21
Rayvanny
Рет қаралды 335 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Tunapendana
3:35
D Voice - Topic
Рет қаралды 284 М.
Tunapenda song
3:36
Kiganjo comedy
Рет қаралды 203
MON AMOUR-Rayvanny ft Mbosso official lyrics video
3:49
MUSICLY LYRICLY
Рет қаралды 9 М.
Marioo feat Bien - Nairobi (Track No.4)
3:24
MariooOfficial
Рет қаралды 597 М.
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Mampi Queen Diva - Upezeko Wina (official video)
3:31
Mampi Zambia Official
Рет қаралды 6 М.
Rayvanny feat Jay Melody - Slow (Track No.6)
3:39
Rayvanny
Рет қаралды 118 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН