Rayvanny Ft Misso Misondo - Kitu Kizito (Official Music Video)

  Рет қаралды 6,005,623

Rayvanny

Rayvanny

Күн бұрын

Пікірлер: 2 300
@ElieNzanzu-tf3bq
@ElieNzanzu-tf3bq Жыл бұрын
Ngoma kali sana😂😂😂😂😂 Oyaaaah! Wa kwanza kutoka Congo naombeni likes zang,kama una mkubali chui
@NYAMBISHANI
@NYAMBISHANI 2 ай бұрын
😂😂uchi kawa kiza jamani sijapendaa😂😂
@fettytindwa6043
@fettytindwa6043 Жыл бұрын
dah hii noma sana proud to be Tanzania oyaaa gonga like kama unamkubal rayvany na miso misondo
@RashidMkwesi-o7n
@RashidMkwesi-o7n 13 күн бұрын
Gdi😢
@CatherineLekule-c8h
@CatherineLekule-c8h 9 ай бұрын
Rayvany hatari yaani kama si yeye vile yank amechakaa
@issaswahibu4580
@issaswahibu4580 Жыл бұрын
Uchezaji ndio hatari
@AluleaCreateur
@AluleaCreateur 9 ай бұрын
Wazeee wa makoti gonga like kama unawapenda misomisondo 😅😅
@ZulphaYasini-qn6ds
@ZulphaYasini-qn6ds 9 ай бұрын
Misomison doo
@boston_jumba
@boston_jumba Жыл бұрын
Kenyans bana come here and let's put our signatures to this song. Kitu kizito. 🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@SalomeKazaura
@SalomeKazaura 10 ай бұрын
Oya ray ume tishamwnangu
@GladysChepkirui-n7y
@GladysChepkirui-n7y 8 ай бұрын
Kabisa
@TALESOFKENYA254
@TALESOFKENYA254 Жыл бұрын
Fans of RAYVANNY who knows he can't have a bad song gather here!!!🎉🎉🎉🎉
@forziriyto
@forziriyto Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nqC5gqCog9Z6nLc uga remix
@BenKuoh
@BenKuoh Жыл бұрын
We dey Odogu🦍
@DJPatcut
@DJPatcut Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jKHIZGSNmtGdqpIsi=whEW9NC_yCYr9a8R
@RukiaSamalu-kv5gy
@RukiaSamalu-kv5gy Жыл бұрын
That's is real Diamond platnumz
@Totoo-dv2be
@Totoo-dv2be Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nHbNoKubh96Bgbcsi=iYaey_tPabYuqAwj
@2116-n
@2116-n Жыл бұрын
Ubunifu wa humu ndani ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, Singeli Sasa ni rasmi tone ya taifa🇹🇿
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi Жыл бұрын
Amini kwamba
@KayesuNyagato
@KayesuNyagato 11 ай бұрын
😂😊😢 🎉❤❤❤ ​@@Muuzambuzi
@DolphinJoachim
@DolphinJoachim 9 ай бұрын
Kizaz xan blood 🔥
@EvelyneNsabimana
@EvelyneNsabimana 10 ай бұрын
Kazinzuri inyombo inanifurayishaka sanaaaa tu
@neemaurio-z8j
@neemaurio-z8j 9 ай бұрын
😮😮
@altraniq
@altraniq Жыл бұрын
Kama umekuja kwa ajili ya Wajomba wa Misso Missondo Gonga like hapa😂😂😂😂
@MusenyiaWambua
@MusenyiaWambua 11 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂😂😂😅😅
@dicksonsamsonsamson185
@dicksonsamsonsamson185 8 ай бұрын
😮😊c ​@@MusenyiaWambua3:36 3:36 3:36
@gitiganiibrahimdanhi7692
@gitiganiibrahimdanhi7692 Жыл бұрын
Kama unawakubali Hawa Jamaa Misso Misondo gonga like ya NGUVU 💪🏿💪🏿💪🏿
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 Жыл бұрын
💃💃👊👊😂😂😂😂😂🇹🇿🤸🤸🤸🤸🤸🤸
@Johnmbwambo-zr4mj
@Johnmbwambo-zr4mj Жыл бұрын
❤❤❤❤😂😂😂
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gracembogoro90
@gracembogoro90 9 ай бұрын
Hawa majamaa wamefanya nyimbo imenoooooooga hatareeeeee Big up saaana Rayvanny na miso misondoooooooooo
@annaki318
@annaki318 Жыл бұрын
Tumetoka mbalii tumemfata dj🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mnahatariiiiii Achia kopa kwa miso misondo na vannyboy🎉🎉🎉❤❤❤ kwa goma kaliiiii❤❤❤
@NasraAsed
@NasraAsed 10 ай бұрын
Rayvanny umeuwa kumshilikisha wa kunyumbaaa misomisondo kusini mojaaaa😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@k2official-bi7ky
@k2official-bi7ky 6 күн бұрын
Bigger kitu kizito❤❤❤😅
@gladnesngallah1711
@gladnesngallah1711 Жыл бұрын
huu ndio muziki wa Kitanzania 🔥🔥🔥
@AnnWairimu-h8m
@AnnWairimu-h8m 18 күн бұрын
rada
@Jofuboy
@Jofuboy Жыл бұрын
Kama unamkubali miso misondo gonga like tujuane ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
@AminaSalim-z9f
@AminaSalim-z9f 11 ай бұрын
Mambo zako
@AminaWaimba
@AminaWaimba 11 ай бұрын
kweli wale unmista misondo wamepigwa na vitu vizito
@AminaWaimba
@AminaWaimba 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😮🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢wapewe maua yao😂😂😂kula chuma iko
@safinajuma1046
@safinajuma1046 11 ай бұрын
I lv u rayvany na misso misondo❤❤❤❤
@EsterMwangonda-oy6cc
@EsterMwangonda-oy6cc Жыл бұрын
Tulio angalia mara kumikumi tujuane 😂😂❤❤❤
@GastorMazigo
@GastorMazigo Жыл бұрын
Hizi ndio Ngoma za kwenda nazo ulaya tukatambe na asili yetu
@atijaantinaneantinane8002
@atijaantinaneantinane8002 Жыл бұрын
Kabisa❤❤
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh Жыл бұрын
nyimbo zasikuizi mitusi mingi
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 Жыл бұрын
Hakuna Cha asili hapo zaidi ya makelele tu ukiangalia hapo kilichoimbwa ni Cha kawaida sana sema itakayo zaidi ni video kuliko audio Kwasababu ya hao majamaa wanavyocheza tu ndo wanavutia ila mashairi hayana jipya sas kila siku ex ndo anazungumziwa na pombe
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 11 ай бұрын
Kwani za Ulaya sio makelele 😅​@@geofreylucas7870
@BrantonKosgei-t4n
@BrantonKosgei-t4n 9 ай бұрын
😢ni kweli
@samueledward109
@samueledward109 Жыл бұрын
Pamoja ray v vanny boy
@MryessNo-om9lv
@MryessNo-om9lv Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu vanyboy umemuona misso misondo
@getrudenkami3784
@getrudenkami3784 9 ай бұрын
Umetishhhhhhhaaaaaaa❤❤❤❤
@JHKanus
@JHKanus 11 ай бұрын
The happiest people on the planet are found in Africa. We don't have much but we somehow found a way to be happy with the little we have. If our leaders can be a little patriotic and fix things, we would be in a good position to be even more happy and not think of traveling out of our countries. God bless you my African brothers and Sisters. Bunch of Love❤ From Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬, I can't exchange my Africans for anyone.😢😢..
@SMCTRADER-b4t
@SMCTRADER-b4t 2 ай бұрын
Deep meaning
@ThelegendGeorge
@ThelegendGeorge 10 күн бұрын
Well said ❤😂
@WinifridaSwai
@WinifridaSwai 10 күн бұрын
i cant live without you❤❤
@abelkerenge
@abelkerenge Жыл бұрын
rayvanny fanya project vizuri tulipigie kura 2024 hili goma ujishindie grammy i tell you hili goma hatari sana ikiwezeka ngoma ilefushwe kwa upande wa beat koz vipande nivifupi mno kwa kucheza kama n uwezo wangu hili goma linge 15 minutes long ikiwezekana piga remix na mond ndo liende mbali zaidi otherwise big up
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 Жыл бұрын
Wazee wa makoti ndo wahusika wakuu wanafanya wimbo na video kuwa poa sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mariamhassan5247
@mariamhassan5247 Жыл бұрын
Upo sahihi na mm ndio ninawapenda nikiwatizama utazan n wazee wa 70😄😄
@LeilaMikidadi
@LeilaMikidadi Жыл бұрын
Walorudia kuingalia hii video mara mbili mbili tujuaneee❤😢
@danielmussa6944
@danielmussa6944 9 ай бұрын
This song deserves a Grammy💀
@MusenyiaWambua
@MusenyiaWambua Жыл бұрын
RAYVANNY can sing any type of song Singeli, Bongo fleva, Amapiano, na ata AFROBEATS unaweza 💞💞💞💞💯💯
@alexelieza8802
@alexelieza8802 Жыл бұрын
Kitu ambacho unaweza Fanya kikaburudisha roho za watu,we tiari ushatoboa😁🔥
@bramzymedia4553
@bramzymedia4553 Жыл бұрын
Daaaah misso unajua sanaaaa ambae kaona jinsi rayvanny katumia fursa hapa gonga like
@Best_tz
@Best_tz Жыл бұрын
Miso misondo unahatari 🎉🎉
@kichecheBurund
@kichecheBurund 11 ай бұрын
Misso missondo ❤pamoja tunaweza ❤❤
@ommyzinax1798
@ommyzinax1798 Жыл бұрын
High level of creativity...Masela tumekumbukwa leo...inataka busara kuelewa hii ngoma
@imran-wk9yl
@imran-wk9yl Жыл бұрын
hahaha
@albertkassian1495
@albertkassian1495 Жыл бұрын
Asante sana Rayvan 2023 inaishia vizuri sana na goma la kwenda umefanya vizuri sana pia Asante Sana misso misondo kwa kaz nzuri . GRAMMY AWARD IN 2024✅
@em_vee_josh
@em_vee_josh Жыл бұрын
Ila Chui ni mnoma kweli❤❤. Hatukupenda sisi kuwa single 😅😅
@samuelnyiro5744
@samuelnyiro5744 Ай бұрын
Huu wimbo rayvanny aliamua kujiburudisha mwenyewe 😂😂
@peterchacha-t4d
@peterchacha-t4d 6 күн бұрын
❤❤❤❤
@SmonTangas
@SmonTangas Жыл бұрын
Tajir Bambi kamabambooo
@SmonTangas
@SmonTangas Жыл бұрын
Waooo tajiri bamboo
@irshykhan8973
@irshykhan8973 Жыл бұрын
😅😂eeh bwana Mimi mkenya ila singeli Sio mchezo tunao uweza wakenya,proud African though respect Tanzanian bros and sisters ❤one love to all
@HellyMwilemwasenga
@HellyMwilemwasenga Жыл бұрын
🎉sana kaks
@Officiavoke2
@Officiavoke2 Жыл бұрын
Nice one
@neemambwambo2102
@neemambwambo2102 Жыл бұрын
Thanx Broo. Kenya ni ndugu zetu tunawapenda
@glorypius1903
@glorypius1903 Жыл бұрын
Kunywa soda nakuja kulipa
@DorahAlbert-e8w
@DorahAlbert-e8w 11 ай бұрын
We love you too dear❤❤❤
@MariadejesusDubuia-ll2jc
@MariadejesusDubuia-ll2jc 11 ай бұрын
Poderoso😂😂❤🎉
@Mtuwawatu1993
@Mtuwawatu1993 Жыл бұрын
Oya like za kutosha kwa aliyeirudia kuisikiliza zaidi ya mara moja ❤❤❤❤
@Hamisikahawa
@Hamisikahawa 9 ай бұрын
Aseeeeee. Mumeuwa kinyama
@ireneque9813
@ireneque9813 4 ай бұрын
Hapa NI kijijini kwetu chigugu..I am happy to see my people happy 😁Kama wanatanga manyang'o!
@dominiquebirler2791
@dominiquebirler2791 Жыл бұрын
In Jamaica we say nuff Respect 🇯🇲 🇯🇲
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 Жыл бұрын
Tulipigwa na kitu kizito tumemfuata na chuiiiiiiiiiiiiiì ntakupa dadaaaaaaaa❤
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Rayvanny mjanja Sana unajaua kutembea na upepo. Big up misso misondo na wazee wa makoti👏👏👏👏.
@ZariMartha
@ZariMartha Жыл бұрын
Kula CHUMA hichoooooo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤
@MariyamShan
@MariyamShan 11 ай бұрын
Kwanza mimi nikupe pongezi kurudia kwa Mke wako utie mleee mtoto tuna taka dada mtu banaa True love Burundi ❤
@saidiukumu2993
@saidiukumu2993 Жыл бұрын
Hii balaa chuma imekaa namba moja mpaka sasa hakuna wakuishusha duh🙅🔥🔥🔥🔥
@Anastazia-o5f
@Anastazia-o5f 10 ай бұрын
Nomaa😅😅😅 Sanaa 😂😂 mzee wa makoti 🧥🥼🥼🥼🧥🧥🧢👒
@VioletMushi-s5k
@VioletMushi-s5k 2 ай бұрын
Flrkfn
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ 10 ай бұрын
Umepiga je hapo❤❤😂😂😂
@EmmanuelDaniel-hf7pp
@EmmanuelDaniel-hf7pp 9 ай бұрын
easee wametish
@smuange
@smuange 2 ай бұрын
Ni kizito hicho 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️💯✌️✌️
@DeniceSimeo-ul8dk
@DeniceSimeo-ul8dk Жыл бұрын
Sawa Bw.Chui, nimependa Kila kitu Bro. Mungu azid kukupa maono zaid.
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n Жыл бұрын
Kam unajua ume toka mbali san goga likes❤
@leylita87
@leylita87 23 күн бұрын
❤❤❤
@Blackjiniofficiel
@Blackjiniofficiel 10 ай бұрын
Atari misso misondo🇨🇩
@SarahIsike
@SarahIsike Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza kupenda nyimbo za chui , kiukweli nilikuwa simuelewagi ila hapa kama amenipata ivii
@GasperLyaruu-mi7qx
@GasperLyaruu-mi7qx Жыл бұрын
Utamwelewa tu Ni swala la muda tu
@Vunja-w9s
@Vunja-w9s 11 ай бұрын
👍👍 nice brother
@LucyNnko-c1o
@LucyNnko-c1o Жыл бұрын
Iiiiiiiiii umeua nasema hiii imeenda I so proud of you van
@ZulfaKasembe
@ZulfaKasembe 11 ай бұрын
We misso utaludi nyumbani kwel 😅😅🎉🎉🎉
@Iam_Johcountry
@Iam_Johcountry Жыл бұрын
Tunafunga mwaka na hii....💨💣💣
@lolo_Kalolo
@lolo_Kalolo Жыл бұрын
Hujapita kwa Rappcha huko😂
@barakammchiwa9820
@barakammchiwa9820 Жыл бұрын
Kaz nzuli🔥🔥🔥🔥🔥
@MadeliTV
@MadeliTV Жыл бұрын
Kwa wanaomfatilia Misso Misondo kitambo wanajua yeye ndo hii ngoma. Vee Van kapita na upepo. Ilifaa iitwe miso ft rayvany miupepo
@hilmarimwita23
@hilmarimwita23 Жыл бұрын
Rayvany hii Ngoma ni Balaaa sana toa part 2 maana pale mwisho kama inatakiwa iendelee alafu umeikatisha
@AmriMussa-y5j
@AmriMussa-y5j Жыл бұрын
Nyimbo mbaya ila kwakuwa ameenda na upepo wa miso musonda ndomana inaangaliwa Pengine na watu wengi
@fatmahjuma1945
@fatmahjuma1945 Жыл бұрын
Acha wivu 😂😂😂😂😂
@PauloAseno
@PauloAseno Жыл бұрын
Na huo ndio uzuri wa nyimbo
@phenielwinslow9945
@phenielwinslow9945 Жыл бұрын
Huna LA kusema,, akili tu umejaa uji,, we hili vaibu hulicheki!!?
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 Жыл бұрын
music is all about timing na jamii inataka nn kwa wakat huo kwahyo acha wivu mzee kaendelee kumsikiliza zuchu tu
@henryj3304
@henryj3304 Жыл бұрын
Wazee wa makotiiiiii. You can't get bored in Tanzania and Africa at large 🌍😍❤️🥰🔥🔥🔥🔥
@directorsnigar9334
@directorsnigar9334 Жыл бұрын
DAAAAAH NIMEIRUDIA SANAAAAAA NA BADO HAINICHOSHI ASIIII BIG UP SANAAAAAAAAAAA
@merymanswet7724
@merymanswet7724 Жыл бұрын
Vp
@AminaSalim-z9f
@AminaSalim-z9f 11 ай бұрын
Vizuri san kama umerudi sanaa
@Pa1Tour
@Pa1Tour Жыл бұрын
Aaah. ....chui....nikupe tu maua Yako bro🎉 .....umetisha mzee....sikupingi
@petroerinest6962
@petroerinest6962 Жыл бұрын
Goma la moto saaaana,chuiiiiiiiii ft misso missondoooooo😂😂😂maaaaamakeeeee wacha tufunge nalo mwaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Gee16.01
@Gee16.01 Жыл бұрын
Wazee wa Makoti blings me here more love to dem❤❤
@MaruzzoTz
@MaruzzoTz Жыл бұрын
SIO POA MWANANGU CHUI, LISTENING FROM EUROPE, HOME SWEET HOME FIREEEEEEEEEEEE
@shabaniRashidi-q7s
@shabaniRashidi-q7s Жыл бұрын
Miso misondo mtu hatari ila bado kwa mushizo akaze buti
@musoLE123
@musoLE123 Жыл бұрын
iyooo kitu kizito njo inani maliza hadi unapewa dada vany🙆‍♂️nasikiliza nikiwa 🇩🇪
@RichardPastor-qv4qb
@RichardPastor-qv4qb 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤ hongeren xana miso misond mko vzr❤❤❤❤
@Hamisi-cc5mj
@Hamisi-cc5mj Жыл бұрын
Rayvan thenx xana misso misondo ilo ni balaaa jingine 🎧🔊🔊🔊🔊🔊🔊
@gitiganiibrahimdanhi7692
@gitiganiibrahimdanhi7692 Жыл бұрын
Naomba likes 10 Tu za Chui na Misso Missondo🐆🐆🐆🐆😁
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 Жыл бұрын
JAMAA ANAJUA, ANAJUA SANA, ANAJUA TENA..... AMEIMBAJE HAPO 🔥🔥🔥🔥🔥
@johnfatal2282
@johnfatal2282 Жыл бұрын
We rayvan umepigaje apoo 😮😮
@lemnaponda
@lemnaponda 11 ай бұрын
Napaenda everything about the video. Kuna mama fulani akaingia na yeye chafu chafu priceless
@kazobajoseph9410
@kazobajoseph9410 Жыл бұрын
Being alone” does not mean that other entities in the world do not exist. They do exist, but they are different from him, he is unique.Rayvanny
@cletusmayage4153
@cletusmayage4153 Жыл бұрын
tumetoka mbalii ,tumemfata na chuii🔥🔥🔥🔥
@Joyceandongwisye-k7o
@Joyceandongwisye-k7o Жыл бұрын
Wee makoti hayo jamani mpaka raha
@christinangombo4732
@christinangombo4732 Жыл бұрын
Misso missondo unahatariiiii nitakupa daadaaa
@BintladaHassan-si4kl
@BintladaHassan-si4kl Жыл бұрын
Watoto wa mtwara wanafujo😀😀😀😀
@OmmyGTz796
@OmmyGTz796 Жыл бұрын
Misomisondo kitu kizito
@Royspark_Reiz
@Royspark_Reiz Жыл бұрын
Africans let's gather here for this hardworking talented man Vanny Boy🎉
@forziriyto
@forziriyto Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nqC5gqCog9Z6nLc uga remix
@omarypetro3207
@omarypetro3207 Жыл бұрын
Respect to you V Van Boy ✊✌️👊🔥🔥💯 miso misondo & wazee wa Makoti mmeua aiseee🇹🇿😂😂😂
@KadoRaphaely-dk2re
@KadoRaphaely-dk2re Жыл бұрын
Misooooooo chuiiii
@PendoErasto-m2q
@PendoErasto-m2q Жыл бұрын
Woyoooooo weweeeee imeenda hiyooooooo❤❤❤❤
@PendoErasto-m2q
@PendoErasto-m2q Жыл бұрын
God
@lonnyboy5248
@lonnyboy5248 Жыл бұрын
Hii nyimbo itakaa trending mpaka lini??
@Victoria-ti6zq
@Victoria-ti6zq Жыл бұрын
Proud to be Tanzanian 🎉🎉❤
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 Жыл бұрын
Miso misondo una atariii nitakupa dada
@joneskessy5649
@joneskessy5649 Жыл бұрын
Dancers chukueni mauwa yenu..kwanza iyo style na mavazi na dancing mmetendea zadii ya haki yake..respect mziki mzuri sana
@luckytaruvinga7170
@luckytaruvinga7170 7 ай бұрын
All love from Zimbabwe watu wa Tanzania watu wema, ngoma hii ni tamu, ❤❤❤❤. Nyimbo nzuri sana 😊
@fistonkyuing9888
@fistonkyuing9888 Жыл бұрын
Nilikua nasubiriya hiyi colabo Na najuwa ni kifunga mwaka kabisa ❤
@oscarvalence5080
@oscarvalence5080 Жыл бұрын
We miso misondo umepigaje hapo
@abdulazackabdul1894
@abdulazackabdul1894 Жыл бұрын
Proudly Tanzanian 🫶
@rashkahussein2662
@rashkahussein2662 Жыл бұрын
STFU... If you are proudly Tanzanian you shouldn't be the 1st Tanzanian To view Rayvan's video after 20018th non Tanzanians citizen (Foreigners) viewed and your comment got zero likes and proudly African" comments have like 5likes and above... Shame on you😂😂
@kuambi_tz6671
@kuambi_tz6671 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnm8kpZqgr2SfK8si=wb63dRguxRZhLLAR
@elisifalema1804
@elisifalema1804 11 ай бұрын
Hii ngoma sichoki kuisikiliza naweza kusikiliza hata cku nzimaa 🥰🥰🥰
@vacco2481
@vacco2481 Жыл бұрын
Boss's🙌🙌🙌
@kaizerabilahi5958
@kaizerabilahi5958 Жыл бұрын
Wazee wamokoti tunaweka hapa like zetu.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 3,1 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН