Director kauwa, ma dancers wame elewa assignment, Angle nyigu katisha sana big up guys, this is taking Africa next level again💥💥💥
@official_python.oglife21546 ай бұрын
Tokea pindi wana vita vya wanawake, naelewaga kuwa ni wazi Rayvany anamkubali Harmonize..... i can see the happiness in his face
@gideonkithungi33936 ай бұрын
Kitu mwakemwake 🔥 from kenya 🇰🇪 need ya likes,number one fan of bongo music
@JumaYusuph-dv3ot5 ай бұрын
Total Respect 🙌🙌 kwa Vany boy na Konde Boy... Hii week inaendaa ya 3 Sasa ngoma Badoo Ipoo Trading... No 1.....kwanii nyiee Hamuogopiii
@yassirswaleh71274 ай бұрын
Tushaogopa na komasava , sensema 2 month 4.9million views , komasava 4 days 4 million views
@djamanitvonline36236 ай бұрын
Jamani Leo nimekuwa Wapii kukomenti msinseme Na marumbe Wimbo wa Taifa Chui Ft Tembo Hakuna machinga mshamba 💯💥💥
@raphaelmsafiofficial6 ай бұрын
Vipi dj
@GoldBouyNyati6 ай бұрын
Every artist's dream is to have friends who you will always come back together 💯💯💪💪💪. Congratulations to my brothers @harmonize and Rayvanny for putting your differences aside for greater good 👍. Very encouraging 🎉🎉
@Sharon-6365 ай бұрын
huku Kenya tushaanguka na ii wimbo🔥😍chui na Tembo all the way
@misojimasanja8868Күн бұрын
You can you call you back when you get a ❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉
@donaldmwachongomwamburi47226 ай бұрын
Jeshi akiua utajua tu. Utafkiri nyimbo kaiimba mwenyewe. Dah!. Jeshi.. Bombo claaaat!.
@fitnessmtaani6 ай бұрын
Hii nayo lazima ingepua trending number 1 na lazima ingie top 100 noma sana
@Didieuoxy6 ай бұрын
Ngoma kali sana sensema ni wimbo Wa mwaka huo🇨🇩🇨🇩
@Paulinekimiri5 ай бұрын
Rayvanny saa hii fanya mediation Kati ya temboo na Simba, warudi kama kitambooo
@benazzmusic6 ай бұрын
Nooooooomaaaaah yaani 🔥🔥🔥🔥🔥 showing love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni likes za Chui na Tembo jamani
@kensamusiqofficial2546 ай бұрын
Tazama huyu msanii anyeshinda wasanii wote east africakzbin.info/www/bejne/jmrOqqinqNKijJYsi=nIm5J7i41i6pQ9fH
@saddamsmasherkiddo9706 ай бұрын
Moto zaidi ya moto...wapi comment za V vannyboy❤
@claudeyuma4066 ай бұрын
🇨🇩 samaani wa Tanzania, mpelekeni Harmonize hospitalini, kikoozi chake kina kuwa kia malali, ana umwa. sikilizeni vizuri iyo fasi
@Thekidp37026 ай бұрын
😂😂😂😀Wewe Bamutu bakongo unatuchezea Wabongo 🇹🇿
@marianandisi16415 ай бұрын
We love to see this Reunion we want more hits Harmonize na Ray ❤❤❤❤. Muendelee na upendo muepuke beef za kischana . 🎉🎉🎉🎉 Bwana asifiwe , Ray na Harmonize wamekuwa marafiki. Sai imebaki Dai na Harmonize warudishe uhusiano
Wakenya tupo ndani tunapenda kitu quality 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ii ni kali our music industry hawapendi ku invest
@kennybizzoh6 ай бұрын
Senzemaaa
@abdoulmazeya54856 ай бұрын
Wa Congo 🇨🇩 fans Harmonize 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@HabibaSelf4 ай бұрын
Rayvanny ❤❤❤
@RAMBO2-p8g6 ай бұрын
Love from burundi.ngila kali,vidéo kali.chuiiii n'a tembo Ni moto wakuotea mbali bwana. Kama Niko sahihi ginga liké zako hapa.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Nipeni hizo like❤
@djrecklessdmcofficialdmcdj6105 ай бұрын
DAMN !! I AM A NIGERIAN DJ AND I AM SO IMPRESSED WITH THIS SONG AND THE NEXT LEVEL PRODUCTION OF THIS AMAZING BANGER !!
@WamomboComedy-uj3ju6 ай бұрын
Kenyans confirmed that harmonize and rayvanny are the beast of Amapiano🇰🇪🇹🇿
@DavidNgeleka-y5m4 ай бұрын
Napenda kabisa uyu wimbo Congo ndani ya roo🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤😂😂😂
@Excel-Elevation-School4 ай бұрын
Bamutu batalokota benyewe kwenye nyavu
@surusuru19944 ай бұрын
❤❤❤🇹🇿🇨🇩❤
@RajabuWilsoniАй бұрын
@@DavidNgeleka-y5m naenda ndy
@dr.mirashijr12986 ай бұрын
Hit song nimefurah hii collabo mabifu hayana maana
@abdulijuma39692 ай бұрын
Punguza makasiriko😂😂
@elgoncitystudio266716 күн бұрын
@@abdulijuma3969 Ive been waiting for this colab for years. Acha vijana wachape kazi
@Didieuoxy6 ай бұрын
Sensema 1006337vues siku moja tu eeeee wimbo hutafanya makubwa sana Kwetu🇨🇩🇨🇩 goma huna pigwa 𝐤𝐢𝐥a mtaa hunapenya🔥
@MosesKyaviro6 ай бұрын
mimi wa kwanza toka. Congo DRC 🇨🇩🙏💋. nipeni like zanguu kama unaamini nyimbo itakuwa hit songs 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DEV_DEVING5 ай бұрын
Twende tu Kaka 🎉
@MohamednurAbdijamil-mp4er5 ай бұрын
Tembo never disappoint🐘
@ModansirOffical6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 chui na tembo nyie ndy mlioshindikana
@Onepiecefamily-v1c5 ай бұрын
Walio shindikana kweli ndo hawa
@EresiaShedraki6 ай бұрын
Safi kabisa tembo na chui naona mmeingia mbugani sasa lkn mcumizane pls
@abubakarimsere6 ай бұрын
Kama unamkubali harmonize Fundi tia Saini hapa😂😂🎉
@Tipaptz6 ай бұрын
😂😂
@Sofiathefirst-2556 ай бұрын
@@Tipaptz😅😅😅😅😅ni fundi kwel
@ZitoJose-cl3pt6 ай бұрын
Yani huyo harmonize ni hatari sana
@REMMY1716 ай бұрын
Kashakwambia hkuna mmakonde mshambaaa😂😂😂🎉🎉🎉
@Sofiathefirst-2556 ай бұрын
@@REMMY171 😂😂😂😂😂
@suzernmaina66155 ай бұрын
My two most favourite musicians! Mad love from 254❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mohamedkissima48936 ай бұрын
Angel Nyigu never disappoint us. Very attractive woman and talented, All Tanzanian we appreciate you 🎉Good job. KondeBoy for Everybody. Let us go to next Level yaaan Duniani kabisaaaa. Likes zangu please 😮
@SimonOmari-dk2qu6 ай бұрын
I guess I'm the first one from USA 🇺🇸🔥 who grew up in Africa 🌻.....both kondeboy and rayvanny fan's acheni like apa kwaju ya sensema to the fullest 💰🤑
@@princekillian3640 what do you mean buddy? Kunijuwa kivipi😃
@mahamudaideed69226 ай бұрын
We mmakonde wambagala eti usa 😂
@wisdomgilen-zb1is6 ай бұрын
Sammyboy
@piscasassa29156 ай бұрын
Kuwa pamoja leo ni mipango ya allah!!! On va pas faire ce plaisir à nos ennemis 🖐️🖐️ futurs légendes en devenir Big up les gars 💪💪Une chanson qui donne autant de frissons depuis 🇵🇾
@markjames27535 ай бұрын
Nilikuwa nangoja sana mfanyie pamoja tena...kali hiyo
@VinaboyOfficial6 ай бұрын
The best orupiano in East Africa ☝️💯💯
@NDAbrunce6 ай бұрын
Wanangu wa chui🐅na tembo🐘 kwahiyo sensema nikwet nipeni like nying❤🇧🇮💯🇨🇦
@MishellNafula6 ай бұрын
So fine song
@NDAbrunce5 ай бұрын
❤❤
@aliyasaid79024 ай бұрын
Fc
@NDAbrunce4 ай бұрын
❤❤❤
@Venancykisesa3 ай бұрын
Sensema
@denniskabarak92096 ай бұрын
From Kenya......jameni mnipee like ya konde boy tembo❤❤❤❤❤
@CabreraMichelle-gc4ji4 ай бұрын
Aki Wakenya hawananga wivu...we promote Tanzanian musicians alot 🎉🎉Next level music × Konde Boy music🔥🔥We love our neighbours alot ❤️❤️
@AbdirazaqNoor4 ай бұрын
Mambo vp mrembo mzuri
@kristofuraha4 ай бұрын
❤💪👊🙌🙌🔥🔥🔥🌏
@CabreraMichelle-gc4ji3 ай бұрын
@@AbdirazaqNoorHello 😍😍
@misojimasanja8868Күн бұрын
Head ❤🎉🎉
@InnocentAmpire-hp1yp6 ай бұрын
Wa Congo 🇨🇩 fans harmonize 🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
@NdakhiSusu-qz9md6 ай бұрын
Mashabiki wa Chui na Tembo tujuane kwa kulike hii comment🇹🇿💯
Hata iweje mondi amefanya jitihada kuleta hawa vijana mjini💥💥, bonge ya jiwe hili aisee
@mikehizedechef37642 ай бұрын
Badoh miezi tatu kapita ila hii ngoma lina hiti 🎉
@iteritekabenjos-xr7yv6 ай бұрын
Harmonize never disappoint me Kama unampenda like me🙏🙏🤟🔥🔥🔥🌹🇧🇮
@danatimusic6 ай бұрын
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve HARMONIZE xRAYVANNY this is a hit
@SylvestreAkpo-e1o6 ай бұрын
Togolese
@TonyWonder6436 ай бұрын
And Mozambique
@DollarDiana6 ай бұрын
Present family 🙋♀️🙋♀️🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬❤ 😊
@Bernazbz6 ай бұрын
She angolanos 🇦🇴 too
@EmmaPlacide-zx8qx6 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@InuaSocks6 ай бұрын
Enyewe bongo flavour Ni history, Dope jam though 🧑🏿🦯🧑🏿🦯🧑🏿🦯
@grizu1010 күн бұрын
CHUI 🐯 X Jeshi 🐘 - Sensema is 🔥
@KelvinKivamba-kl1ry6 ай бұрын
Nimeangalia mpaka mwsho nione kama harmonize ataanguka
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Hawa watu wakikutana ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥
@AnoldiMachinda6 ай бұрын
Wale tunaokipenda kipande cha harmonize 😅 gonga like kama zote
@ZitoJose-cl3pt6 ай бұрын
Huyu jamaa ni hatari
@Kiba-iz9fp6 ай бұрын
nnnomaaaa
@Chiunda-eh8lt6 ай бұрын
Mh
@Guccishootphotography60196 ай бұрын
Bien cordialement
@OnesmoElias5 ай бұрын
Mm hapa
@MissingKey-xm8lk26 күн бұрын
Uanzushi Tu unachangia subira ❤️❤️❤️ in love with the song
@GastonMbaigwa6 ай бұрын
Mmeuwa sana wanangu 🎉🎉🎉🎉
@Barnizeboy6 ай бұрын
Wa kwanza leo ❤
@luckyluchano16 ай бұрын
Wakenya🇰🇪 mko wapi muone bonge moja la collabo🔥🇰🇪🇹🇿
@SaumuSaidi-s8w2 ай бұрын
Bhu
@Man_Freja5 ай бұрын
Huu wimbo na jinsi mlivyo wakubwa!! Mmezingua sana , nyie sio wa kuimba ujinga kama huu
@THEREFRESH-eg5xo4 ай бұрын
Yani harmo kavaa na suti kwenye nyimbo kama hii
@Mbarack-bn5fr6 ай бұрын
Waaaaaah!!! Yani majirani kimziki mnatukimbiza na kubwakubwa Sana,,,, anyway, sio kwamba mziki wenu tunaipenda tu burebure,, una mvuto.🇰🇪🇰🇪💪 Sensema sana
@HamisiChipotele-fl8xo6 ай бұрын
Jamani mbona nyie mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmanuelruben36906 ай бұрын
Goma safi ila ndo mmepita nakastail ka babaenuond kuchezesha miguu..lakin safi nyie familia
@emmanuelruben36906 ай бұрын
Kastail ka mond kuchezesha miguu lakin saf kaz nzur
@ashaali71546 ай бұрын
@@emmanuelruben3690Sio stail ya Mondi na yeye pia kaiga kutoka kwa wenye amapiano yao.
@RayblessRaybless5 ай бұрын
Umereject kwanza??
@شعيبشعيبمحمدعمرالعوبثاني5 ай бұрын
@@emmanuelruben3690 rahaaaaa
@danilondayizeye6 ай бұрын
Hapa Burundi, we love you chui & tembo🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@GilbertMusutsi5 ай бұрын
Nafurahi nikiona watoto wa Simba,,,wamekutana tena kujuliana Hali...any kenyan here, show love ❤❤❤
@ElizabethMtweve-nb8xh4 ай бұрын
😂
@dianawawiramuthoni57593 ай бұрын
,😂😂😂😂@@ElizabethMtweve-nb8xh
@HASSANULEDI-x6k2 ай бұрын
Kali sana
@symochanji68966 ай бұрын
Konde boy ni King 👑 wa Amapiano Tanzania,kama unamkubali nipe like.much love❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@stephenmwakasonda8926 ай бұрын
Huo ni uongo😅😅😅
@yassirswaleh71276 ай бұрын
Uwongo uwongo 😂
@kristofuraha33696 ай бұрын
Naomba na wasanii wa Kenya watoe mapiano jamani!
@kristofuraha33696 ай бұрын
@@stephenmwakasonda892Ukweli ni upi sasa?!🤔
@BarakaHarrison-l4t6 ай бұрын
Ukwel
@YoungblackPeople-qf7vx6 ай бұрын
Team konde hapaaaa ❤❤💛💛💛💚💛💛
@EliasMroki6 ай бұрын
Team harmonize like hapaa🎉🎉
@anordgerase33726 ай бұрын
😂😂❤
@MudJumaa-jg2cu6 ай бұрын
❤❤
@MungalaGreen6 ай бұрын
Mg Zambia nikiwa huku naikuba xn
@SmilingCookingApron-fz7wo6 ай бұрын
Mmbo
@SmilingCookingApron-fz7wo6 ай бұрын
Hi
@kahitila25595 ай бұрын
Hata mkikaa mwaka mzima namba one mnadeserve kama vipi mkae milele maana goma kali sana
@GiftYusuph-zb3lb6 ай бұрын
Nawaona Hit Makers hapo 🐅 X 🐘🔥🔥 Mmeua
@mugalansekelele9096 ай бұрын
Zambia 🇿🇲 is feeling the jam ❤
@Fidele26 ай бұрын
Wakwanza 🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥
@RaymonTz7465 ай бұрын
Chui kama chui kazi nzury sana kama
@paulzacharia58976 ай бұрын
sijawahi kupata hata like 50 kwa ryvany ngoja nione leo❤❤
Diamond platnumz hana bahati kwa uyo mziki wahao wavijana waw2 umevunja record duniani kote big up sensema yake rayvanny namze wakazi konde boy jeshi
@RoseMvella5 ай бұрын
Many likes 2 u
@BarnazidMsafe6 ай бұрын
Harmonize Bado ako juu ..... From Kenya
@NmAnton4 ай бұрын
Napenda kabisa uyu wimbo Kigali ndani🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤❤
@DEEP-jDEEP6 ай бұрын
Rwanda likes here 🇷🇼🇷🇼
@tovinent14146 ай бұрын
hii ndio tunaita brotherhood sasa much love from 🇰🇪
@KibweOnlineTv6 ай бұрын
Kiukweli Hii combination inatakiwa iwe hivi nakumbuka mbali enzi wapo WCB now wapo wenyewe na ngoma zipo za moto hapa mafundi wamekutana kama unawakubali gonga likes za kutosha...🎉🎉🎉
Angalieni bwana huyu mkali kuliko wasafi👇👇👇 mzimakzbin.info/www/bejne/jmrOqqinqNKijJYsi=nIm5J7i41i6pQ9fH
@Kiba-iz9fp6 ай бұрын
🎉
@mutuielija6 ай бұрын
Kenyans gather here😊
@mutuielija6 ай бұрын
I love how you acknowledge God💯
@eulariachinduva5 ай бұрын
Será que sou a única angolana aqui? 🇦🇴 Rayvanny sou bué tua fã yeah 😍
@Gevcotprogramtv6 ай бұрын
From Kenya Wapi likes za bongo Tz ❤
@YowasnicholasDuhama3 ай бұрын
🎉😢😢
@YowasnicholasDuhama3 ай бұрын
🎉😢😢
@samwelenjuma33126 ай бұрын
Representing all maasai here ngoma Kali ila harmonize na chui 🎉🎉
@NYENJENDEU6 ай бұрын
Mmetisha saaana wakuu🎉🎉🎉🎉 😂😂
@FreddyJackson-d3mАй бұрын
🔥🔥🔥🔥 chui na tembo nyie ndy mlioshindikana 2024.
@abduladinane6 ай бұрын
Gonga like nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿 kwa harmonize
@DesireMakandammunga6 ай бұрын
Bado mambo ahijahisha ndo mwazo🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩kama unapenda kondeboy like......
@DestineNakalala6 ай бұрын
Mafans🎉 wa Harmonize mko wapi nawaomba likes 50 tu❤❤❤❤twende kazi🎉🎉
@LilianJoseph-nw3hq6 ай бұрын
Upo
@DestineNakalala6 ай бұрын
@@LilianJoseph-nw3hq Nipooooo
@SmilingCookingApron-fz7wo6 ай бұрын
P
@RozzyRoshanАй бұрын
😊7nhn@@DestineNakalala
@ashuraally90644 ай бұрын
King ngoma kali na unaweza kutizama hii video hata na family ukiwa nyumbani
@LyricalLenix6 ай бұрын
Nimecheza huu wimbo karibu na paka wangu akageuka saiz ni tembo😅❤❤
@LindaMbilinyi-n3nАй бұрын
😂😂😂😂
@CharlesMatafwali-c5y6 ай бұрын
I guess I'm the first one from Zambia 🇿🇲🔥,,,,, 1K likes
@AehSimsim2 ай бұрын
I am here after 3 months too
@GiseleKahindo6 ай бұрын
Pole kwa walio ingiliya bifu yao 😂😂😂waliozani wataendeleya na bifu mpaka mwisho 😅poleni jamani.Asanteni Rayvanny na Harmonize kwa ngoma kali
@idrisshareef73782 ай бұрын
wow its so good and nice haaaa haaa 😇😁🤣🤕🏆🏆🏆🏆
@mtwaraboy_236 ай бұрын
Oya wanangu kutoka mjengon #kondegang like ziwe nyingi hapo tumeuaaaa sanaaa
@MercyMwaniki-xx1em5 ай бұрын
This song has got some kikuyu vibe...me inanimaliza can't stop dancing to it...its taking me deep into my Kikuyu traditional culture...and yeah I am a kikuyu traditionalist that's my spirituality so I relate with this song...
@Ice_Cracker6 ай бұрын
Chuiii on 🔥 🔥🔥 song of the year
@CreasSir-G4 ай бұрын
Wallae harmonize kafunikwa na chui chui mkali sana
@Mungapatient816 ай бұрын
Mlikuwa wapi kutowa bonge la surprise kama iyi hein chui x Tembo Namipa like zangu kwa Roh moja 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@azurecoast15375 ай бұрын
Video on top of the world signature Approved 👌❤️🔥💯💯 watching from Zim 🇿🇼🇿🇼🇿🇼
@user-yd8sp4es9n5 ай бұрын
Kama unamkubali rayvany fundi itia saini hapa 😅😅🎉
@JerryMuhimbani-fu1yi4 ай бұрын
sanaaa
@_Nassor_said_5 ай бұрын
Ila wabongo tuko mbaliii 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥
@SadalaHappy-q5q4 ай бұрын
Zuchu
@Gstonner2544 ай бұрын
Tembea kenya
@_Nassor_said_4 ай бұрын
@@SadalaHappy-q5q khaaa we nani zuchu
@_Nassor_said_4 ай бұрын
@@Gstonner254 wewe sitaki mjadala , mm nasifia nchi yangu, ww sifia nchi yako, ww wanijua mm?? Mm nishatembea sana Kenya hunambii kitu, acha shobo!! Ww ndo hujaja kwetu,
@AinebyonaDaphine-u1i4 ай бұрын
Hi sir how are you
@rachellpeter88385 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka napenda sana kazi zako natamani hata siku moja nikuone.tupia like kwa rayvanny 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@WilliamOtieno-px5fh6 ай бұрын
I'm a big fun and I'm actually happy about this....I will mtu angekuwa anaeza like mara kumi❤
@Nickymediahouse6 ай бұрын
Kenyan🇰🇪number1 fun wa harmonize 🔥🔥🔥
@MaryOlunalo4 ай бұрын
Kazi IPO bado hatujasema na tujaanza Wala kukumbuka kuanzia kusema yoooo moto Kama pasi hii ya leo😅😅😅❤❤❤❤❤
@AUGENSYLIVAND-rq7hz5 ай бұрын
Goma linakimbiza hatari Tanzania 🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼 oyeeeeee