Arusha mtuhurumie hatuna chochote kipya, Mji umebaki km Jiji la Makumbusho. Kweli Arusha hatuna hata stand ya wasafiri. Jiji linazidiwa hata na Singida, Kweli mnaiona Arusha au mnakejeli, Huyu Bwana Waziri azungumzie Jiji la Arusha aache hizo hadithi ndeefu, Arusha tunazama jamani.
@AbuuRamadhani-o7kКүн бұрын
Mnatakiwa mumuwaike mbunge wa jimbo ndo mngefanya la maana hapo
@AbuuRamadhani-o7kКүн бұрын
Wazir unatakiwa usimnyenyekee mkuu wa mkoa unatakiwa umpe amr ili mambo yaende