Mheshimiwa Tulia mungu akuzidishie imani.na mungu akulinde wewe na familia yako.
@PaulineMbeke-n6j15 күн бұрын
Hakika napenda watanzania saana kwa hili,,,mungu bariki watanzania saana...mungu pia anibariki nisaidie orphans na wasiojiweza
@reginaandrew689110 күн бұрын
Jamani! Wawoo! Asante sana Mh! Mungu akuongezee utakapopinguza
@vitalismarunda676012 күн бұрын
Mama Tulia For sure You are so Intelligent Mungu akuweke Sana endelea kusaidia vijana wengi Wafanikiwe kupitia Ww Mungu kakupaa huo uwezo utumie mumy
@kinglusa867815 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati 🙏 🙏 Safi sana kusaidia wahitaji kama hivi,,,Na wapo wengi mno hususani sehem nyiiing za vijijini Eeh,wanyoshee mkono wako nao wapate kuguswa,,🤲,, Amen Inshallah 🙏
@karimukalema461315 күн бұрын
Masha Allah siku moja na mm nitapata uwezo wa kusomesha watoto yatima na wasiojiweza na kuwaendeshea maisha yao ❤❤❤ Allahuma baarik ❤❤❤❤❤
@FatimaAli-of4gh15 күн бұрын
Aamin Mwenyezi Mungu akujaalie uwezo ndugu yangu kwa kuwa una malengo mazuri kwa wasio jiweza
@Sharmy_0215 күн бұрын
Amen Kila lenye kheri kwako.
@RehemaMwakisyala-k9u15 күн бұрын
Amina MUNGU atupe mahitaji na matamanio ya mioyo yetu
@PrincessMaryam-c1r15 күн бұрын
Ammina Allahuma amin ata mm natamani ivo kiukwe
@ibrahimuakwilombe15 күн бұрын
Nipo Nachingwea Lindi'nimevutiwa na uamuzi wako MB DR Tulia 'mungu akupe afya tele na umri mrefu
@reginaandrew689110 күн бұрын
Moyo mzuri sana nimeguswa sana Mama Mungu akulipe
@HusnaHamidu-z6p14 күн бұрын
Asante sana mh.Tulia Mungu akuhifadhi 🙏
@lutumbinduta170215 күн бұрын
Barikiwa sana Mheshimiwa. Mungu akutunze mama!
@gombeeernest447315 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mh. Dkt. Tulia Akson, hii ni ndio maana halisi ya rudisha kwa jamii! Mungu atakulipa tu 😢
@luisevarist481915 күн бұрын
Hongera kwa ukarimu na moyo wa kusaidia watoto yatima mm pia nimepitia mazingira kama hayo mungu akubariki sana dada mh spika
@mgalami13 күн бұрын
May God bless you Dr.Tulia
@ip_header15 күн бұрын
Kudos Dr. Tulia huo ndio ubinadamu
@AnethMushi-c3e12 күн бұрын
Nakudhukur kwa niaba yke na kwa sjili ya Mungu
@EvaMashera15 күн бұрын
Tulia Mungu akubariki sana tena sana
@PhotonatusChiee8 күн бұрын
Barikiwa mno
@mbarakajohn355115 күн бұрын
Jambo zuri sana spika, ila watoto wanaoishi kwenye mazungira kama hayo ni wengi sana, naomba uwe kiongozi wa mfano wa kuunda kamati ya kuwasaidia watoto wote Tanzania wenye changamoto kama hizo. Wananchi tupo tayari kuwachangia hata kidogo kidogo
@FatumaMamlo-st8pj15 күн бұрын
Kwahio unasemaje asafirie nyota ya mwezie ndomana mnafanya watu wasisaidie mtu akijaribu afanye jambo utasikia nakule kunamwengine khaa kila mtu na bahati yake jaman
@nsiamasawe457815 күн бұрын
Wazo zuri
@ashaMbena-l4x9 күн бұрын
Mm nipate mmoja nimtunze ingawa sina maisha mazur sana😊
@allyalsubhy689913 күн бұрын
Good Jop
@HanifaOman-oo4pl15 күн бұрын
Allah akuzidishia. Dada yetuTU lia❤❤
@CharlesSomeke-p8m15 күн бұрын
Mioyo ya hivyo ndyo mioyo tunayohitaji hongera sana kiongozi kwa moyo wa upendo
@MarryMwamwezi12 күн бұрын
Tulia aksoni. Tulia mama mwenye huruma. Mama nakupenda sana
@ashahemed984314 күн бұрын
Machozi yananitoka ,pole sana dogo na hongereni kwa kujitolea ,hakuna maisha magumu kama kuishi bila wazazi
@shadyahamad372414 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukubariki muheshi iwa tulia 🙏
@shakilarajabu805914 күн бұрын
Mungu ni mwema sana 🎉
@tatuaamuuinyi963315 күн бұрын
MashaAllah..mungu human amtaka na humnyima amtakae
Dah dunia hii , kwenye maisha tunapitia changamoto nyingi
@SabihaibrahimRajabu15 күн бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah
@majaliwamussa134315 күн бұрын
Allah akubariki
@GeradinaJohn-xh8pw15 күн бұрын
Very painful😢😢😢😢😢😢
@FatumaJaphari15 күн бұрын
Nimelia kwa uchungu 😭😭😭
@JechaMakameIssa-gs2bl13 күн бұрын
kabla hajtambulishwa kuwa huyo ndio Bibi nilzania ni dada yke daah ila hongera Bibi kwa kumtunza
@khadijafeda859815 күн бұрын
Hadi raha
@melkiadgangai527115 күн бұрын
❤
@joscamwoshezi298614 күн бұрын
Wapinga jema hawakosekani.
@TeofridaKabudi14 күн бұрын
Jambo zuri
@EdithaEditha-z3s14 күн бұрын
Jambo Zuri mweshimiwa
@GeradinaJohn-xh8pw15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@HanifaOman-oo4pl15 күн бұрын
😭😭
@silverman693015 күн бұрын
🙏❤️🙏
@jenjoseph727015 күн бұрын
Jamani Yani Mimi nafurahi na kushukur kama mtoto wangu kafanyiwa hivo
@aaa64sa1315 күн бұрын
😭😭❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps15 күн бұрын
Msimuachie mbunge pekee hata mtoaji taarifa ana uwezo wa kumsomesha mtoto jitambueni jamii
@paulmushi242815 күн бұрын
Mfuko wa Jimbo utamsomesha pesa za wananchi asante Watanzania kwa kulipa kodi zinasomesha Wenye changamoto
@omanoman204414 күн бұрын
Et venya ndo kiswahili gan hiki duuh
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy15 күн бұрын
Maisha Aya ACHA tuu ani
@MwajumaElias15 күн бұрын
Munichukue na Mimi jaman
@AgnesJohn-f1r15 күн бұрын
😂😂 ukafanyeje na smart phone yako kuwa serious basi
@ProfesaKahulu14 күн бұрын
Hahhaha@@AgnesJohn-f1r
@salummussa113914 күн бұрын
Ntakuchukua mimi usijali
@JescaMagesa-n5w15 күн бұрын
Ni razima ufanye hivyo si unajua ni mwaka wa uchaguz
@SajoAbel15 күн бұрын
Kwakweli
@samwa949615 күн бұрын
Kweli
@MnubiMm15 күн бұрын
Mwambie na Sugu achukue Mtoto nae ni Mwaka wa Uchaguzi Kama unaona hiyo ni siasa acheni watu wasaidiwe msiwavunje Moyo wakaacha kusaidia kwa kauli zenu za hovyo zisizokuwa na Stara