Kama munaona Tanasha kavaha mbaya na anajisikia ata haibu gonga like
@salummuhija44356 жыл бұрын
Kama umemuona tanasha anogopa kumsogelea shekhe gonga like hapa.
@fatmaabdulla61786 жыл бұрын
Hajaogopa MTU, Bali aliona ni fahari kuitwa mbele ya sheikh. Kama kweli anaiheshimu dini yake Nasib asinge mwachia tanasha amsogelee sheikh wala kuvaa mavazi ya uchi, Nasib utokako ni mbali unakokwenda ni karibu, life have no guarantee jitayarishe sasa kuonana na Muumba, kama si sasa ni sasa hivi. Nakuombea uzinduke kutoka kwenye huo usingizi, Allah akusameh mwanangu
@mamyally9586 жыл бұрын
Fatma Abdulla Aamin ni kweli kabisa
@zakyahya46456 жыл бұрын
Kam umemuona Tanasha anawasiwasi walivyo itwa mbele Gonga like apa
@reubendick40336 жыл бұрын
Alie ona diamond kavaa Eleni agonge like.
@mwanahamisjuma33616 жыл бұрын
Kama umemuona mama mai kwa mbaligonga like
@habibmohdali2066 жыл бұрын
Kama umemuona mkuu wa mkoa kashtuka kwa walinzi wa diamond weka like twende sawa
@shaabanramadhan67706 жыл бұрын
Mh makonda hii speech nmeipenda sanaaaaaa 👍 point tupu
@barakanyambele46736 жыл бұрын
Mkuu makonda umeongea vizuri sana, natamani sana cku nikudogelee hata karibu unipe a, b,c
@mrsb.j2836 жыл бұрын
Mbele ya mama mkwe ulishika kiuno, mbele ya waheshimiwa wote hao pia unashika kiuno, jifunze heshima na Mila na desuri tanasha
@kadechoabuu66356 жыл бұрын
mkuu uko vizuri hii bongo uchawi majungu .na mungu kwa amesema bola mchawi .sio wenye majungu.
@shabanmajasho71646 жыл бұрын
Boss leo umeongea point sanaaaa🔥🔥
@busegamediatanzania6 жыл бұрын
Kama umeelewa Mh. Makonda asemacho like hapo
@georgedamas70976 жыл бұрын
Nina rohoo wa Mungu!! Safi sana bless you
@herifredrickson20406 жыл бұрын
Tanasha Ni Dem mkali aisee!!!👏👏👏👏
@richardhegani58986 жыл бұрын
Ila wabongo tunamaneno sana ya majungu, tukio la hapo ni uzinduzi pafyum ya Hajji Manara lakini cha kushangaza maneno mengi kwa Diamond na Tanasha yanahusu nn, hayo ni maisha yao, ila nimeamini mafanikio ni chanzo cha kuwa na maadui.
@mbondokambi80536 жыл бұрын
Mm nakukubal sana Mzee baba Makonda
@abelsundi61056 жыл бұрын
Big up Mr Makonda,.
@josephbonday85106 жыл бұрын
Maneno yenye busara kabisa. Bigup mkuu!
@Mr.Ndelwa6 жыл бұрын
Manala anafaa nae ateuliwe mkuu wa mkoa, Gonga like nyingi kama unakubaliana nami....
@bettiejoy-mtotowamama6 жыл бұрын
Waaa Tanasha ata hayuko comfortable na hiyo gauni ,am sure hao watu wanaocheka wana mcheka Tanasha 😔😔😔
@christinanuurinkluge91186 жыл бұрын
Is True 😘
@modestarubunda38506 жыл бұрын
Wow!
@Imapolite6 жыл бұрын
Good job
@khatibucarroll53396 жыл бұрын
Makonda upo vizuri sana kwanasaha zako
@saloujohn36396 жыл бұрын
Safi kaka makonda majungu bongo ndio chuo kikuu umeongea vizuri saana big 5
@fauziaali67206 жыл бұрын
mavazi yako tanasha hayana heshima mama
@marysaituni46426 жыл бұрын
hajui kuvaa kbx
@jamilaomar98606 жыл бұрын
😁😁😁😁 kweli Tanasha kavaa kituko waaah
@modestarubunda38506 жыл бұрын
Mheshimiwa, nimekuelewa, hongera sn kwa neno la busara!
Shekhe Bigup.Kampa mkono Diamond ilivofika wakati wa kumpa mkono Tanasha,shekhe kajigeuza,Tanasha akupata mkono wa shekhe.Tofauti na alivyokataka Mkuu wa Mkoa.bigup shekhe.
@mariyaal53666 жыл бұрын
Daimondi umependeza sana ila ungemshauri tanasha kidogo kuwa hiyo nguo aliyovaa ni kubwa kwake huko juu imemuacha wazi sana Ila Mungu awe pamoja nanyi mfunge ndoa sasa
@salummasoud63956 жыл бұрын
I like it Haji
@hawamfumbi68016 жыл бұрын
Kuvaa hereni mwanaume izo bangi na ushooooo......... Gonga like kama umemuerewa shekhe
@rashidiwahi15336 жыл бұрын
Uislam sikanzu wala kofia Bali Imani uwezi jua anaweza badilika akawa muchamungu
Mh Makonda hawo ndo wa Tz ukitaka kuwajuwa tazama comments zawo humu wawo ni majungu tu na kuchunguza maisha ya watu ooh kava vibaya ooh simzuri, wa Tz badilikeni nguvu mnazo tumiya ku judge watu mngelizitumiya kupambana na maisha Tz ingelikuwa nchi ambayo inamaskini wachache sana barani Africa!!
@jacklinemutua4166 жыл бұрын
mm nakupendaga sana sina tu chakukupa Mungu akunyooshee kila unachopanga
@nururajabu85556 жыл бұрын
Yani natasha hiyo nguo aibu aibu aibu unaenda kwenye mikutano kama hiyo utadhani unaenda kwenye fashion show kweli mchagua nazi sana huangukia koroma tena kiroma liloliwa na mwezi 😎😎😎
@hadijahalifa54186 жыл бұрын
Inna lillah wa inna Illah raj'un!msiba wallah! kijana wetu kila mara nakuona na kilemba! Subhannallah!umetoka nae nyumbani amevaa hivyo na ukaridhika kweli!muogope mungu aliekufikisha hapo!sisi ni wa Africa sio mila zetu kuvaa uchi!si kwambii uislam!this is too much!dah!for the first time you've let us down my boy!
@mohamedaminsaid16036 жыл бұрын
Na herini aliyovaa platnumz je?
@truthhimself16 жыл бұрын
Nicr
@beatriceconsolataachiengan59796 жыл бұрын
Nguo gani hiyo wavaa washinda kuvutavuta, siungevaa ile iko comfortable.
@zeanorbx2796 жыл бұрын
Hio nguo inaweza kukuwacha uchi Tanasha
@bakarimatamba55216 жыл бұрын
Were Faith na ndiomana shekhe hakumpa hata mkono
@hamjohamohamedi78516 жыл бұрын
Mwenzangu ayibu Sana nguo hata haijashika maziwa Bora hata ingembana Kwa matiti yangekaa vizuri ona yamtepeta😁
@josej98886 жыл бұрын
@@hamjohamohamedi7851 hayo maziwa au ndara?
@herifredrickson20406 жыл бұрын
Simba huyo ndio saizi yako yaani kijana mwenzako so wale wazee big up chibuevara.
@jastinmsera95576 жыл бұрын
Jamani vazi gn hl hadi shehe kaogopa kumpa mkono Tanasha aibuu, kuna sehem zake hz nguo
@rayaali75516 жыл бұрын
Jamaniiiii munamlaumu tanashaa amepasishwa huyooo na huyoo mtovuwaadabu mwenziweee mwanamke hana hata heshima mbele kwa wanao stahiki heshima mwanamke ni ZARRY TUUU
@msanangomwarabu3016 жыл бұрын
MKULU kwa hili la kipaji umeongea nakupa mia mara mia.wanafiki wanaenda mbali mpaka kwenye shiriki ili kukwamisha tu.
@mumybhay49846 жыл бұрын
ahh!?😢 mondi nakupenda sana na maisha yako ..lakini hili suala la nguo anazovaa wifi tanasha hapana ..hebu fanya utaratibu ndugu yangu ..kaka ang nguo pia imekua kero kwa yy mwenyewe alivaa pia hana raha.maana c nguo ya maana.
Daaah shekhe wa mkoa mbele ya mvaa nusu uchi na kijana alie vaa heleni uislam haikubaliani na hayo
@bxrkeshorts7386 жыл бұрын
Ni nguo gani hiyo alovaa mbele ya watu wenye heshima zao
@husseiniddally90366 жыл бұрын
Sheikh wa ccm kimbele kimbele sana
@albatrose98656 жыл бұрын
Yaani umemfanya shehe wa mkoa ni wakufungisha ndoa za mkeka?halafu hayo mambo ya watu binafsi hayakuhusu mpaka mtu anaona aibu anaomba akakae.yaliyokuleta ni ya manara wacha uchokozi kama unaheshimiwa.
@salehsuleiman12186 жыл бұрын
Dada yng limekutoka hashuo pumbav kwenye heshima sasa unapata aibu popote wendapo lazima ujue nendapo naitajika kujistir kwa hali yeyote kwan huwez kujua kipi kitajir huko. Yan mm niliposkia njoon mumpe mkono shekhe basi skutaka hata kuangalia
@annievibes87946 жыл бұрын
dah huyo tanasha kasimama km bouncer
@fatmawaleed24436 жыл бұрын
baba upo vinzuri sana tutazindi kukuombea mungu uendelea kuiongoza taifa baba wataifa akimaliza mkatamba wake nadhani ww unafaa kuongoza taifa lkn huyo bibi harusi ndo katuaibisha wanawake wa kiislam maana hata taifa lolote lalalamika kuhusu shekhe wa mkoa amelaumiwa sana lkn msimlaum shekhe kwani niibilisi tu alitawala hapo kwenye sherehe tumsameheni bure msimhukum kwani aombe tu msamaha kwa mola wake
@charlesrachier54446 жыл бұрын
Huyu mko wa mkoa huwaga poa sana kutoka kenya pongezi
@rhinaamiry85356 жыл бұрын
Akufanya pow kumuita shekhe mbele ya wadhinifu
@hellenpascal96056 жыл бұрын
Global online TV nawatafuta
@zeanorbx2796 жыл бұрын
Tanasha angevaa nguo ingine
@angelwamiye87276 жыл бұрын
Uyo tanasha afai kuwa mke wa mtu
@aloycemwakatala26346 жыл бұрын
Mzee dude nimekusoma kwa kutuelimisha watu wa mikoani kwenye move zako ubarikiwe, nawaona watu wapo vifua wazi kama wanaume wabeba vyuma kumbe ni wanawake tena waliojiandaa kwa kuolewa.
@astaqueen39796 жыл бұрын
walai umeongeya kweli kabisaaa baba makonda
@mohamedothman97696 жыл бұрын
Kweli duniani kuna makauzu.
@mwakipesilealfani26666 жыл бұрын
Nikweli
@mimaakenirram14056 жыл бұрын
tanasha nguo kubwa uko juu maana unapandisha mda wote na ziwa mbona ndara kwani unamtt pia hiyo nguo uliyo vaa siyo mzuri ilibidi ata umueleweshe mwanamke wako nguo za kuvaa kwenye sehemu kama hizo ww diamond ata shekhe kashindwa kumshika mkono ata kusogerea karibu kwa alivyo vaa
@watsapsese3306 жыл бұрын
jaman acheni majungu kuvaa kwa Tanasha hakuwahusu nyie ndo mnaoongelewa mwenyewe. kakamata maisha. nyie hata Hera ya kubadirisha mboga hamna mtakalia hayo hayo mwacheni mtoto wa watu hajala cha Mtu
@philipongenzatv6 жыл бұрын
Ujinga na ligaun juz Rais alisema madili lakn zero
@mwantumswalehe67286 жыл бұрын
Allhadi mche Allah. Hivi hapo panafaaaa?
@ombenikisunga50596 жыл бұрын
Mama Mai amependeza
@preccypressy22266 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea mambo ya busara ila kwa mafumbo huwezi muelewa usipokuwa makini. Diamond mfunze mpenzi wako jinsi ya kuvaa maana ushampenda Hata akivaa skirt na t shirt mapenzi bado yananoga tu
@salamashabani79226 жыл бұрын
MUHESHMIWA MAKUU WA MKOA HUWA NAKUPENDA SANA WEWE NI MSEMA KWELI KWAMAANA WATU WA PWANI NI WAVIVU SANA KWA KUJITUMA LAKINI KWA MAJUNGU NA ROHO MBAYA WANAONGOZA, NAHATA HUKU KWETU MWANZA WAPO KAMA UNAVYOJUA ILA MUNGU ATAWADHOOFISHA
@franciscomasungulwa35756 жыл бұрын
Hii shughuli ya Haji, sijaona sbb ya kumsimamisha Dimond kwa swala la kuoa......
@jimjam41626 жыл бұрын
We makonda auna tofauti na uyo tanasha
@amirybng48416 жыл бұрын
Jim Jam mbona mna msema sana kavaen nanyie vp
@janethjaneth86696 жыл бұрын
Acha ufala ndonyie wachawi wenyewe mumejaa majungu fitina kwendraaaa saa makonda amekosea nini hapo watu wasio penda maendeleo utawaona tu
@everrineanyango74106 жыл бұрын
daimond couple beautiful hakunawakufananisha na tanasha she is hot ukweli sumu.kunyweni sumu watu wa mavi mafungu
@mardinhalfany14136 жыл бұрын
Ha ha ha huyo jamaa wa mafungu namtafuta
@yousufharthy68766 жыл бұрын
Everrine. Either you are blind or must be ugly person. This woman Natasha could stay naked in front of me and wouldn't bother take a second glance. Frankly she has nothing to offer . I would rather be with Zari a 1000 times. Diamond has no test in woman
@everrineanyango74106 жыл бұрын
Yousuf Harthy zari siku hizi anatembea na costume pekee
@yousufharthy68766 жыл бұрын
@@everrineanyango7410 Jaribu kufahamu kuwa Kila nguo especially kwa mwanamke lazima iendane na umbo lake mfano ikiwa mnene uvae loose clothing na ikiwa mfupi uvae long clothing inakufanya uwe opposite na vile ulivyo. Breast cut dress yataka mtu mwenye maziwa yalojaa ili yotokee kwa juu kama vile embe dodo. Sasa ule Ana vigozi vinaninginiya mpaka kanzu inashuka Kila Mara ni aibu tupu. Hajuwi kuvaa
@Nicehomerecipes6 жыл бұрын
Waambie tena na tena
@astaqueen39796 жыл бұрын
alitaka kumfatiliya zari rangi ambayo aliyo iva hasubui . tanasha tuliya zari anajuwa kuva atari .ona gisi umeika nguo inaka inakusumbuwa coz eti unamfatiliya zari rangi aliyo iva hasubui☺😁
@witnesskivaria74836 жыл бұрын
hahaa ndiokwanza anafundishwa kuvaa mshamba hawezi pambana na zariii atulize moja yake
@tamaraseff.97076 жыл бұрын
Mm aki io nguo naiangalia naona aibu.mpaka ckumalizaia makonda amalize kuongea aki
@sofiaabubakar27366 жыл бұрын
Natasha gauni hilo balaaa
@mdauzedonabouttruckadventu18506 жыл бұрын
Usimjaji mtu wakati wewe hata chupi ya elfu tano inajushinda acheni ujinga watanzia, nasikitika sana watanzania kuwa na majungu na siyo kufikilia lini na mimi nitakuwa kama yule, kuwa na tamaa ya kutafuta na siyo majungu acheni ujinga.
@vivycosmaa84826 жыл бұрын
tamaa mbele
@consolatamedard90396 жыл бұрын
Duuuuh jaman uyu dada simzima nguo gan iyo iliyovaa jaman mnampa mitihan shekhe tu apo mana kutoa mkono kashindwa
@mtaanitv39916 жыл бұрын
cyo kwa aibu hyo
@fediliaulomi49696 жыл бұрын
uyu demu kavaa nini jamani kweli tanasha kiboko
@stevemirambo056 жыл бұрын
Diamond
@kizzarebecca74476 жыл бұрын
Uganda
@robaiagweyuh50006 жыл бұрын
"Tuache kuoneana wivu"
@carloschris86806 жыл бұрын
nakula bigijiiiiii
@astaqueen39796 жыл бұрын
tanasha harusini usituvalie maajabuuuu kwakweli
@julienemuchiga6 жыл бұрын
Sasa matiti yote inje ni ya watu yote wala ni ya Diamond