Mheshimiwa RC Arusha mdogo wangu Makonda piga spana.
@Lundege_Hips5 ай бұрын
Chukua fomu ya uraisi sisi wanyonge tutakupigania
@CristinLyanga5 ай бұрын
Kwa sasa hapa Tanzania kazi ipo Arusha 'yani Tanzania nzima tunamfuatilia Makonda kijana mchapa kazi mcha Mungu. Igeni na mikoa mingine jamani kwani hamuoni? Sisi Watanzania tunataka kazi ya namna ya Makonda jamani" hebu zindukeni wakeup wa Mikoa mingine jamaniiiiiiiii duuuuu!!!!.
@JumaMartin-e4v3 ай бұрын
Piga spana baba piga spana
@oscarjokelijokeli5 ай бұрын
Mzee pga kaz kk akimaliza mama kiti unakaa ww mm sio mpgji wa kula lkn now kula yangu utaipta