Kuna kitu nimekumbuka Leo kupitia mafundisho yako tukiwa mtaani kwetu kunamzee nilikua nampokea mizigo yake nampelekea nyumbani kwake mapaka Leo ndio baba yangu kabisa kaniozesha mana Mimi wazazi wangu walishafariki nikiwa mdogo namshukuru MUNGU Kwa ajili yake
@davidmuthama26433 жыл бұрын
Wow
@eunicekamamaa24372 жыл бұрын
Amen umenipa imani ...nyengine be bless however your
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Unanifanya nimpende huyu yesu ktk safari yangu.kiukweli nimepata kusongea hatu moja kwwnda nyingine badiliko naliona kutokea ndani ya moyo wangu.mungu akubariki sana
@rahelchilale10753 жыл бұрын
Yesu siyo yesu mtumishi
@eunicekamamaa24372 жыл бұрын
@@rahelchilale1075 Dada soma alicho kiandika mwenzako ...kupitia mafundisho mtumishi amemfanya ampende yesu huyo ndiyo nimeelewa
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Amen asante baba nimepokea sijatoka mtupu.mungu akupe afy ya roho na mwili ww na family yako. Ilituendelee kuppkea kuto kwako
@kasalinakonga98582 жыл бұрын
AMINA 🙏 mtumishi
@oliversebastian38082 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana mtumishi, God bless you kuna mahari unanivusha👏👏
@carolinamponji42943 жыл бұрын
Mungu wa madhabahu hii namuogopa najihuliza nilikua wapi kukutana na huduma hii nafwatilia kutoka mkoani lakini Mungu wa hapa ameniponya amenifungua sana sana Mungu anisaidie siku nimuone baba sunbella Mungu akupe maisha marefu baba
@modestamedard89013 жыл бұрын
Asante baba nmeumizwa mno na watu nliowatendea mema,you are a blessing ,nmejifunza 👏🏽👏🏽
@priscaadongo19223 жыл бұрын
Mtumishi Sanbela unaongea kama unaniona na macho yako hakika roho mtakatifu Iko ndani yako nakufuata sana kwa KZbin channel am from Kenya Diani beach
@vailethsiwandilo57483 жыл бұрын
Am blessed through this video 😭😭😭kupitia mambo magumu ninayopitiaa
@davidkamande42433 жыл бұрын
ooooioiii
@WinnerJ_3 жыл бұрын
Powerful, huwa sichoki kusikiliza neno la Mungu na mafundisho yako🙏🏾
Jifunze kujuetevusha nakukakimya nauwachane na mambo za wengine.kaa maisha yako.
@donathasimon92922 жыл бұрын
Hili kanisa lipo sehemu gani jmn. Mbona huyu baba anamafundisho mazuri sanaaa
@fadhilangao57562 ай бұрын
Sinza mori dia
@raphiamgongolwa76513 жыл бұрын
Ohhhh Lord Jesus I connect myself with this prayers. Naliinuliwe jina lako takatifu kupitia mahubiri haya.
@sophienico47362 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akuweke kwa ajili yangu watu mnaotungua huwa madumu🤲🙏nakuombe uhai kwa ajili ya wote tunaokuelewa mtumishi wa MUNGU.
@maryandason18153 жыл бұрын
Amen .. Bishop Sanbella 🙏 barikiwa Sana..bado sijakata tamaa . ninaendlea kutafuta jins ya kukuona mpka nikuone.aisee! Aijalish miaka miez imepita.. Barikiwa Sana Dad Sanbella kyando
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Neno langu hili Asante pastor Mungu akubariki sana.
@esmilykipele40083 жыл бұрын
Powerful preaching God bless u i missed the live service but iam so blessed
@jeanbaptiste55123 жыл бұрын
Amen. Amen. Mweshimiwa Mchungaji niombeeni ili Mwenyezi MUNGU Anijalie hekima ya kutosha niweze kufikia Hatima yangu.pia Asanteni sana kwa somo hili🙏🙏🙏
@neyhmrs77042 жыл бұрын
AMEEN
@leahwamwangi66332 жыл бұрын
Verse hii inanena ndani ya maisha yangu kwenye mwaka 2022. Nitamwona mungu wa musa
@hawailomo9013 жыл бұрын
I wish siku moja nihudhurie ibada Reality of Christ
@drvidah70303 жыл бұрын
Yaani haya mahubiri ni kama ananisema mimi jamani😪😭😭😭😭😭Mungu kwa siku hizi coaches zilizobaki naomba nipe hekima katika maamuzi yangu........
@zakiamseka96982 жыл бұрын
Mtumishi hana mbwembwe ni Neno tu..Pia nafatilia sana masomo yake ni mazuri
@manuaripatrick33023 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@eliyasakana61762 жыл бұрын
Nmemuona Mungu kupitia kwako baba
@innocentnsengimana16002 жыл бұрын
Amen.Asante Roho Mutagatifu
@neyhmrs77042 жыл бұрын
AMEEN AMEEN AMEEN
@esmilykipele40083 жыл бұрын
Woow what a revelation !!! Kings connect with Kings
@deoandrea9474 Жыл бұрын
Upako + Mungu= Hekima na maarifa
@EdithMuhiluАй бұрын
Amen May God bless you pastor
@AgripinaLunono2 ай бұрын
Hakika mungu akuzidishie
@vedastogwido53113 жыл бұрын
Hili somo limenigusa sana , ubarikiwe mtumishi
@maggymutevu65972 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi umenivusha sehemu nyingine barikiwa sana
@christinesavai8843 жыл бұрын
Amen
@beatricegideon87003 жыл бұрын
Amen, be blessed servant of God, power sermon 🙏😇
@diananyanda30612 жыл бұрын
zzq
@Godisgreat202432 жыл бұрын
Amen.Amen. Amen!Baraka juu ya baraka. Asante sana Pastor kwa neno nzuri sana.
@carenmsafiri84982 жыл бұрын
Asante Baba kwa neema hii 🙏🏻🙌🏼
@vanemomanyi68083 жыл бұрын
Amen,thanks to God for everything am blessed with the word of God,be blessed too servant of God 🙏🏽🙌 Let God add you more years to live by doing His work 🙌
@joelsmart94192 жыл бұрын
Amen
@agneskainga143 Жыл бұрын
Jose mwanangu uzima uwe juu yako in Jesus name 🙏
@obedimunguachiza84343 жыл бұрын
Asante Mungu Baba kwa neno lako , nisaidia kutimiza hatma yangu, na umbariki mtumishi na kanisa lako.
@aishavogelmann50212 жыл бұрын
Asante sana Barikiwa sana
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Amina sana mtumishi.
@RoseChaz-f5v5 ай бұрын
Amen neno la mungu limenibariki bwana ahimidiwe milele.
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏
@ellietyboniface51662 жыл бұрын
Ameeeeen🙏🙏
@neemanyagawa94793 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Pastor, ufunuo huu ni mpya kwangu. Blessings
@catherinecharles9322 жыл бұрын
Amina mtumishi Neno limenikaa
@sudimakenzi27333 жыл бұрын
Asante Mungu
@sirisam28902 жыл бұрын
Amina mtumishi barikiwa
@roseayako37782 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,maubiri yako hunibariki zaidi, niko Kenya
@esmilykipele40083 жыл бұрын
Have missed the services got to listen to this
@aikaaws9 ай бұрын
Ubarikiwe sana Baba
@sheshem54533 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi... Powerful sermon...
@annagwamenyo48393 жыл бұрын
Kweli wewe ni mtumishi Mungu aliye juu mbinguni, Mungu azd kukutumia kufungua wengi
The message was so powerful we bless the Lord for using you.indeed it was my message for this year,Mungu akuzidishie.shalom
@janetmalanga2432 жыл бұрын
Asante Sana mutumishi was Mungu. Am blessed thank you for sharing the powerful word.
@arongabrielmushi69642 жыл бұрын
AMEN❣🙏
@upendoabely51132 жыл бұрын
Asanteee mutumish kwa neno Zur nimebalikiwa . Naweka hitaji juu ya maish yang mung snipe hekim ya kimung anatani nitumukie mung katika maisha yang ameen
@issackwillium8993 жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwabwana Yesu tu barikiwa mtumishi
@tasokwamichael24332 жыл бұрын
Somo hili mafundisho haya yanahusu maisha yangu yote Mungu niongoze /nitangulie katika Safari ya maisha
@khalidimsuya41652 жыл бұрын
Amina Mungu naomba unifunisaidie napitia kipindi kigumu sana Ee Mungu nisaidie 😭😭😭👏👏
@eunicekamamaa24372 жыл бұрын
Usiwe n shaka mungu yuko
@mussamchena95952 жыл бұрын
This is me for sure
@adambinsmith62012 жыл бұрын
Ubarikiwe daima mtumishi wa mungu
@aikaaws9 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji nabarikiwa na mafundisho yako
@happyissa45263 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@adammjomba5814Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu hiyo history ya wasomali + waarabu ,serekali za Swiden fland na Denmark na Norway zimeshindwa kuzibiti uzazi wawatu hao maana ,wamezaliana sana na wengi wapo ktk hospital na migration na kwenye kodi ya mapato na sasa hivi wazungu wengi wamekimbilia mavijijini maana wazungu hawapendi kelele .kwa hiyo mijimingi ya nchi hizo ipo chini ya wasomali na waarabu ,jina la bwana lihimidiwe wameshinda wasomali na waarabu ,na sasa masikini imemea kila conner ❤
@mhamdahmd77583 жыл бұрын
Amen baba Mungu akubariki sana
@angeljoseph46663 жыл бұрын
Asante Mungu, amen 🙏🙏
@sekelamwagobele84922 жыл бұрын
Nimebarikiwa na nimejifunza vitu vingi kwenye hilo Somo. Narudia kusikiliza mara kwa mara. Mungu akutunze Mtumishi 🙏
@jacquelinembanda3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na haya maombi 🙏🏽🙏🏽😂Kweli mwakani ni mwaka wangu 🙏🏽🙏🏽
@aploniamasaki8953 жыл бұрын
Ameen🙏
@mercykimani97412 жыл бұрын
Ala! Aina ya marafiki ..Nashukuru kuwajua
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Nimelipenda sana ili somo 👏👏👏
@leticiadevine68863 жыл бұрын
Daaah hili somo nimelifurahia Sana👏👏👏very powerful message 🔥🔥
@eugeniachoma38332 жыл бұрын
Amina sana, somo limeniinua sana
@neemaloy8892 жыл бұрын
Nimeguswa, nimepokea ujumbe mzito nitautendea kazi kwa jina la yesu!!!
@emanuelandronicus25743 жыл бұрын
Pastor nimejifunza vitu vikubwa sana kwako kwa mda mfupi nilioanza kukufahamu
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Asante sana baba.nimebarikiwa sana baba.asante mungu kwa ability yako
@mercykimani97412 жыл бұрын
Amen thanx LORD this Revelation is great to me in 2022 help Jehovah to increase my faith in you
@susanwk42393 жыл бұрын
Wa injili imeingia Hadi Kwa mishipa,God bless you servant of God
@tasokwamichael24332 жыл бұрын
Mungu niongoze
@susannamatinde48132 жыл бұрын
A men a men mtujshi blessed so much
@jerubetjoan202 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nimebarikiwa
@Empressever2542 жыл бұрын
Be blessed pastor👏🙌🙌🙏 indeed I'll never b the same May God continue to fight our battles
@zebidaisaka95852 жыл бұрын
🙌🙌
@mercykimani97412 жыл бұрын
Napenda Sana mahubiri haya mtumishi wa mungu🙏🙏
@alicejaneth1132 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ujumbe mzuri ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
@joelsmart94192 жыл бұрын
Am blessed
@veronicateophil85203 жыл бұрын
Nmebarikiwa Sana mtumish wa Mungu ubarikiwe na Mungu Sana sana
@emmymatigula48703 жыл бұрын
Huku huku niliko Nimebarikiwa saana Mpakwa mafuta S Kyando wa MUNGU BABA ALIYEHAI Ninajifunza kila nisikilizapo Barikiwa saana mtumishi .
@happymrema67283 жыл бұрын
Mungu Ni mwema
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Powerful
@maryngina96423 жыл бұрын
Amen Mungu anipe hekima
@jescaedwardkurumela43333 жыл бұрын
Amina, Mungu akubariki MTU wa Mungu,
@ngwisuswillah40413 жыл бұрын
Asante sana baba🙏 nimebarikiwa mnoo
@stephaniakalenji90303 жыл бұрын
Barikiwa sana Baba❤️
@ezekielisamu39812 жыл бұрын
Ameeen amen
@aminatwahiri3273 жыл бұрын
Nimepitia magumu sana ila nimebarikiw sana na somo lako😭😭
@winnyrocha1903 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@janelucas81233 жыл бұрын
Duh aiseee am blessed beyond.. napenda sana unyenyekevu wako na hekima zako.