GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 15,242

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Жыл бұрын

1 Ikawa makutano walipomsonga wakilisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa amesimama kando ya ziwa la Genesareti, 2akaona mashua mbili zimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.
3.Akaingia katika mashua moja, ndiyo yake Simoni, akamtaka aipeleke mbali kidogo na pwani. Akaketi, akawafundisha makutano akiwa katika mashua.
4 .Na alipokwisha kunena, alimwambia Simoni, Tweka mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki.
5. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.
6.Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
7.wakawapungia mikono washiriki wenzao waliokuwa katika mashua nyingine, waje kuwasaidia; wakaja, wakazijaza mashua zote mbili, hata zikakaribia kuzama.

Пікірлер: 21
@nancyosoro7153
@nancyosoro7153 10 ай бұрын
Bwanayesu naomba unipe ufumilifu wa kusubili wakati wako AMEN,,mtumishi asate kwa mafusho umetupea❤
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 6 ай бұрын
Amen Amen. Niko tayari bwana Yesu kulipa gharama
@nancyosoro7153
@nancyosoro7153 10 ай бұрын
I RECEIVE IN JESUS NAME AMEN
@JacoboSichone-ps2zx
@JacoboSichone-ps2zx 6 ай бұрын
Asante Kwa ujumbe muzuri
@pascalrichard9108
@pascalrichard9108 4 ай бұрын
My hero
@GaspardMKmilingo-nz8il
@GaspardMKmilingo-nz8il Жыл бұрын
Amen
@user-pq2qt6nl9u
@user-pq2qt6nl9u 7 ай бұрын
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo naomba neema,neema ya kutosha kusubiri umalize kuhubiri nitupe nyavu kama mitume wako. Amina. Asante Mtu wa Mungu kwa neno na huduma. .
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Mungu yupo mahali apa,nimeona moto wa roho mtakatifu
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumushi barikiwa sana
@olindebisimwa6451
@olindebisimwa6451 Жыл бұрын
Mungu nipe unduma kubwa namiye
@akimanaaaron5931
@akimanaaaron5931 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen amen
@narggdhdv765
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Asante Roho mtakatifu
@christinesavai884
@christinesavai884 Жыл бұрын
AMEN
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Gharama Yenye Faida 🙏🙏😘
@irenemtenga5716
@irenemtenga5716 Жыл бұрын
Amen daddy 🙌🙏
@jemaaloyce8096
@jemaaloyce8096 Жыл бұрын
Amen
@andrewmanaku
@andrewmanaku Жыл бұрын
AMEN
@cyprianmwela8287
@cyprianmwela8287 Жыл бұрын
Amen
@michaelfaraday9568
@michaelfaraday9568 Жыл бұрын
Amen
CHUPA YA MAFUTA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:18
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 11 М.
MUNGU WA AGANO  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:43
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 19 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 7 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
MATESO YATOKANAYO NA VIFUNGO VYA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
JINSI  YA KUMILIKI UNACHOKITAKA.
38:48
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 63 М.
OMBA MACHO YA ROHONI #PastorNathanMwakabana.
3:01
LGC-EAGT SEMTEMA IRINGA
Рет қаралды 499
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:16
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 20 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14
JUA SABABU YA UGUMU UNAOPITIA - Sunbella Kyando
40:17
Reality of Christ Church
Рет қаралды 48 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
NINI CHANZO CHA MIPANGO YAKO KUHARIBIKA?
43:38
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 30 М.
TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
17:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 33 М.
UCHUMI ULIO HURU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:24:51
Reality of Christ Church
Рет қаралды 4,6 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН