SIRI ZA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - Pastor Sunbella Kyando

  Рет қаралды 97,436

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Kila kitu kabla hakijafika kwenye ulimwengu wa mwili kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.Na pia vita yoyote ukitaka kuishinda lazima uanzie kupigana katika ulimwengu wa roho,ulimwengu wa mwili ni matokeo ya kile kinachotokea rohoni.Kuna siri za kuweza kuutawala huu ulimwengu(wa roho).Karibu ujifunze somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litabadilisha sana mtazamo wako na kukusaidia kushinda vita ulizonazo.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...
#Dodoma

Пікірлер: 121
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 жыл бұрын
Ww pastor ubarikiwe mm nimuislam bt umenifunza umenipa ujuzi jazzakallah khairan Allah akujaze nuru
@JacoboPhilipoJacobo
@JacoboPhilipoJacobo 9 күн бұрын
Amina baba ubalikiwe unanibaliki sana
@happinessakim2889
@happinessakim2889 3 жыл бұрын
Nifundishe kuvua samaki baba,,,Wala usinipe samaki ,,,,huu ndiyo urithi tosha kwang,,,,,,,🙏🙌🙌🙌
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Ameen.yani Roho mtakatifu ametumia lugha nyepesi kutufundisha hili somo ili tuelewe ulimwengu wa Roho vizuri bcause its important.Hallelujah Pastor be blesed.
@nehemiahsima1389
@nehemiahsima1389 8 ай бұрын
Naendelea kubarikiwa kupitia Ministry na watumishi wako Baba....
@fridaalexanda6170
@fridaalexanda6170 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana Mtumishi Heri tumbo la Mama yako aliekuzaa
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
😭😭kwa hakika hili neno ni langu kabisa juu nguvu za giza kiroho zinanisumbua sana.Natamani 🙏 nikutane na huyu mtumishi wa Mungu aniekee tuu mkono 🥹🥹
@godwinsimba1603
@godwinsimba1603 3 жыл бұрын
Hakika Mungu anawatu hapa Duniani. Very powerful teachings
@raysjames1776
@raysjames1776 13 күн бұрын
Kupitia kisa hiki Mungu ukanifungue nianze ujenzi kwenye eneo langu
@rodageoffrey8556
@rodageoffrey8556 2 жыл бұрын
Nlchelewa wap kuijua hii account👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😢😢😢
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 2 жыл бұрын
AMEN Mutumishi ubarikiwe baba kwa marifa unayo nipa
@dorothyshiyyo3370
@dorothyshiyyo3370 Жыл бұрын
Napenda sana vipindi vya neno la Mungu kupitia mtumishi wake.
@pstboragilbertmunganga9945
@pstboragilbertmunganga9945 3 жыл бұрын
Mungu Baba nakushukuru kwa neema kubwa kama iyi ya kusikiliza mafundisho haya
@eutropiangido9684
@eutropiangido9684 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa huduma hii imenilisha siku ya leo. Mtumishi Mungu akubariki
@onesmoemmanuel5821
@onesmoemmanuel5821 Жыл бұрын
Baba thanks
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumushi kwa mafundisho yako mazuri
@jeanrenengbebou7989
@jeanrenengbebou7989 2 жыл бұрын
82 Hakuna kitu kinachoweza kutufanya tukatae Ujumbe huu. Wala jela wala mateso kwa sababu Ujumbe huu wa Mwana-Kondoo ni kitu kikubwa zaidi ambacho Mungu ametupa hapa duniani na ni kupitia kwake tutamwona Mungu. Yeye ni nira na mzigo kwa wana wa giza, lakini yeye ni umande mtamu na furaha kwa wana wa nuru.
@irenemakokha2560
@irenemakokha2560 3 жыл бұрын
Thanks alot sir now l have understood kwamba kuna simba kwenye njia yangu ya ndoa
@dorothyshiyyo3370
@dorothyshiyyo3370 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana.Mungu aendelee kukupa neema ya kufundisha,Roho ya ufunuo zaidi hekima na maarifa yote. Mungu akubariki sana mchungaji. Nimejifunza sana kutoka kwako.
@margretmumbi43
@margretmumbi43 3 жыл бұрын
l am blessed Sana, God bless you pastor
@anordlaurent8751
@anordlaurent8751 3 жыл бұрын
God is good somo jamani n nzuri sana
@marckkish3304
@marckkish3304 9 ай бұрын
Following u Pastor
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@greetysiame-vr7yg
@greetysiame-vr7yg Жыл бұрын
Ahsante yesu kwa kumtuma msaidizi uliyetuahidi
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@dianamahundi4464
@dianamahundi4464 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@demarianiccky5812
@demarianiccky5812 2 жыл бұрын
Injili ya baraka kweli ❤️
@philipojangama
@philipojangama 3 жыл бұрын
Ameen
@agnesmbilo7270
@agnesmbilo7270 2 жыл бұрын
Huyo ni mimi kabisa baba. Ndoa.
@reginakirway3626
@reginakirway3626 2 жыл бұрын
Lakini waimbaji wa sanbela mnaharibu sana pambio zakuabudu yani mpaka basii yani pambio inaimbwa na mwimbishaji mpka mwisho yani waumini hawapati ladha ya pambio kabisaa maana inaimbwa kwa kupindishwa pindisbwa mpka basi. Lakini mahubiri yanabariki mpka mipaka ya 🇹🇿 🥰🥰.
@bishoperickgodfrey4290
@bishoperickgodfrey4290 Жыл бұрын
Mungu akubariki pastor good lesson
@mporanzikarasharira
@mporanzikarasharira Жыл бұрын
Nashukuru sana na neno mungu apewe sifa najegwa sana
@pstboragilbertmunganga9945
@pstboragilbertmunganga9945 3 жыл бұрын
Amen amen hallelujah
@winfridamahali6349
@winfridamahali6349 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi na mafundisho haya 🙏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Hallelujah 🙏😍
@carenmsafiri8498
@carenmsafiri8498 Жыл бұрын
AMEN UBARIKIWE SANAA MTUMISHI
@godlovewarwa
@godlovewarwa 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@meshackmanofgod8151
@meshackmanofgod8151 2 жыл бұрын
Tokea nimeanza kukufuatilia ktk you tuble MUNGU amekua akinifungua sana namboyangu yanaendasana kiukweli unaneema kubwasana baba atakae kuelewe atafanikiwasana
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 3 жыл бұрын
Asante pastor
@tatukadope7213
@tatukadope7213 2 жыл бұрын
Tangia nianze kusiliza mafundisho yako kwel kabisa kunavitu ndo nimegundua Sasa mungu azid kukutumia
@josephinecharles8615
@josephinecharles8615 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@vivienshubi8746
@vivienshubi8746 2 жыл бұрын
Namshukuru Bwana Yesu kwa huu ufunuo. Bwana Yesu namuomba azidishe nguvu na mafunuo yake kwa Pastor Sunbella
@amosenock5096
@amosenock5096 2 жыл бұрын
Kiukweli mafundisho yako yananibariki sana..barikiwa sana mtumishi wa MUNGU..by happygrolly Maige from kahama
@pstboragilbertmunganga9945
@pstboragilbertmunganga9945 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
@onelovedjonlinetz5989
@onelovedjonlinetz5989 Жыл бұрын
Amen barkiwa. Sana
@pstboragilbertmunganga9945
@pstboragilbertmunganga9945 3 жыл бұрын
Very powerful
@pstboragilbertmunganga9945
@pstboragilbertmunganga9945 3 жыл бұрын
Bwana tusaidiye
@dionicyndelwa663
@dionicyndelwa663 2 жыл бұрын
Amina Sana mtumishi
@tevymgalla4360
@tevymgalla4360 3 жыл бұрын
Powerful🙏🙏
@josphinejosphine8439
@josphinejosphine8439 3 жыл бұрын
I am bleased sana man of God
@prettybraids3079
@prettybraids3079 2 жыл бұрын
Asante kwa SoMo zuri ubarikiwe mtumishi wa Mungu🙏🙏
@simagalikani3850
@simagalikani3850 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@leahkalekwa7592
@leahkalekwa7592 3 жыл бұрын
Powerful 🙏🙏🙏
@abigaelnyanchera7694
@abigaelnyanchera7694 2 жыл бұрын
Ameeen
@amosenock5096
@amosenock5096 2 жыл бұрын
I,m so blessed..daaaaah!GOD bless u pstr
@meylcebenjamin2429
@meylcebenjamin2429 2 жыл бұрын
Blessings to you
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 2 жыл бұрын
May God bless you beyond your boundaries man of God
@danielzablon8388
@danielzablon8388 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kuhusu Somo Hili.
@veronicanyalinga2845
@veronicanyalinga2845 2 жыл бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@hildergardmehrab5857
@hildergardmehrab5857 2 жыл бұрын
God Bless You. Asante kwa ajili ya somo hili
@ayoubmwaitebele9174
@ayoubmwaitebele9174 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi
@matabsjay0919
@matabsjay0919 2 жыл бұрын
Be blessed pastor 🙏
@naomifavor2887
@naomifavor2887 3 жыл бұрын
Sauti iko chini Sana sikupati
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
tuned
@amosjblack9614
@amosjblack9614 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana mtumishi wa Mungu
@chinatanzania7133
@chinatanzania7133 3 жыл бұрын
Blessed teachings, Mungu azidi kukutumia Minister Sunbella Kyando
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 2 жыл бұрын
Mungu apewe sifa kwa ukweli huu🙏🙏
@gomarakimwanzaro9903
@gomarakimwanzaro9903 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi
@jenifercynthiakazimoto5392
@jenifercynthiakazimoto5392 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana namafundisho yako mtumishi wa Mungu!
@loveandnature2821
@loveandnature2821 2 жыл бұрын
ASANTE YESU
@mariakingu1221
@mariakingu1221 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@abigaelnyanchera7694
@abigaelnyanchera7694 2 жыл бұрын
O Lord ,God of mercy my strength restore my life to live in a spiritual world
@aidanongole9341
@aidanongole9341 2 жыл бұрын
amen
@estherfaidamalkia4021
@estherfaidamalkia4021 3 жыл бұрын
Shalom
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Bwana akutumie vema!
@irenemwamfupe8994
@irenemwamfupe8994 3 жыл бұрын
Barikiwa kwa somo hili nimejifunza kitu hapa
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 3 жыл бұрын
naomba uje mbeya pia pastor
@babalao910
@babalao910 2 жыл бұрын
My loard
@marygrory8268
@marygrory8268 Жыл бұрын
May GOD bless you
@chedielnyirenda9664
@chedielnyirenda9664 2 жыл бұрын
Msaada mtupu!
@jonaskilima1711
@jonaskilima1711 3 жыл бұрын
Safi sana, mtumishi...umeokoa wengi katika kipengele hiki.Mungu akubariki
@jescaemmanuel100
@jescaemmanuel100 2 жыл бұрын
Well have got something there. MUNGU anisaidie nianzie rohoni kwanZa
@kakadkarima2448
@kakadkarima2448 3 жыл бұрын
Jumatano ya tarehe ngapi mtumishi.
@user-ye3zx3sy8h
@user-ye3zx3sy8h Жыл бұрын
Powerful teachings
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi kwa mafundisho mema ,nabatikiwa nikiwa 973
@julietmateru5789
@julietmateru5789 2 жыл бұрын
I connect to collect
@vumiliamaturo9991
@vumiliamaturo9991 3 жыл бұрын
I'm so blessed with this lesson God bless you pastor
@prosmacharius7074
@prosmacharius7074 Жыл бұрын
Chanell gani IPO huduma katika tv
@derrickboaz5099
@derrickboaz5099 3 жыл бұрын
Pastor Sunbella Kyando.
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 жыл бұрын
Cz nafunga naswali bt nilikua sijui mda maalum wakupigana bt saa hii nimejua mda kamili
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 жыл бұрын
Maarifa na neno la Mungu pia ni muhimu sana!na mamlaka uliyonayo ktk ulimwengu wa Roho ktk jina la Yesu Kristo hakuna kitakushinda
@aquilineanthony1115
@aquilineanthony1115 3 жыл бұрын
PASTOR UBARIKIWE SANA HAKIKA NIMEGUNDUA KITU KUNA ENEO NINA CHALLENGE YAANI HATA SIOMBAGI. NITAOMBA VITU VINGI SANA ILA ENEO LILE SIKUMBUKI KABISA.
@linetayuma202
@linetayuma202 2 жыл бұрын
Amen🙏🏻🙏🏻🤲🤲👏
@bensonmenyi9158
@bensonmenyi9158 2 жыл бұрын
Powerful sermon
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Mwendelezo Wa hili somo tunaomba .
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Mwendelezo wa Somo hili itafanyika jumatano ijayo Dodoma
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Asant nalisubir Kwa hamu sana.
@julianalawrence5327
@julianalawrence5327 2 жыл бұрын
Nataman siku moja ni kasali hapo
@lydiawasai9439
@lydiawasai9439 2 жыл бұрын
"Bwana wajua hitaji la moyo wangu" hahaha.. halleluJah
@lydiawasai9439
@lydiawasai9439 2 жыл бұрын
That statement has made me happy. Thanks so much mchungaji b blessed
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Au nalipataje???
@marthaselemani173
@marthaselemani173 2 жыл бұрын
Mtumish mtu anajuaje unapotaka kwenda mahar kufundisha? Tunapitwa
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 жыл бұрын
Yupo dodoma sehemu gani? Uyu Pastor pls
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
DODOMA tuna ibada kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama, Area C njia panda ya kuelekea Arusha.Karibu sana.
@jeanrenengbebou7989
@jeanrenengbebou7989 2 жыл бұрын
14 Na wewe, tangu wakati uliposikia jina Kacou Philippe duniani, ingawa hukuniamini, ujue kuwa uko chini ya hukumu ya Mungu na ikiwa hutatii yote niliyoamuru kutoka kwa Mungu hadi binadamu, jua kwamba dhambi zako zitakuwa juu yako mpaka utakapokufa. Huwezi kujua kwamba kitu ni kibaya na nenda kafanye hivyo. Hii sio sababu ya kifo cha Bwana Yesu Kristo msalabani. Na ikiwa hukuwa unajua, sasa unajua leo.
UMUHIMU WA KUIFAHAMU VITA UNAYOPIGANA NAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
45:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 45 М.
KANUNI ZA KUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:25
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 30 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
58:50
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 6 М.
JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
34:04
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 70 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 76 М.
ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE - Pastor Sunbella Kyando
1:30:43
Reality of Christ Church
Рет қаралды 29 М.
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha III
33:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН