Yani Mimi nikiona picha ya Sanbella na like hata Kama sijaply Cha kwanza na like kwanza
@estamwatukuju67192 жыл бұрын
ahsante sana napenda sana masomo Kama haya,, ULIMWENGU WA ROHO NI HALISI, Ila Wana wa giza wanatushinnda kwasababu Wana wa Nuru Wana nguvu lakini hawajitambui,🤔🤔🤔, ee Mungu atusaidie
@lazarouscheyo85589 ай бұрын
Ee mungu kupitia mafundisho haya ya mtumish wako sunbella naomb unitazame na uniongoze katika mapenzi Yako..ameen
@SAULIHAMISI-i1nАй бұрын
pastor nimebalikiwa sanaa na mafundisho yako ❤❤❤
@ProsperBinmedad Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@rockykoala35842 жыл бұрын
Through this ,am delivered in Jesus name🙏
@flobad.mhubiri5 ай бұрын
Ee MUNGU wa sunbella kyando namupenda sana mtumishi wako sunbella sana sana tena saaaaaaaana yaani sana .
@REGINAJulius-s9w10 күн бұрын
Mungu nisaidie
@joycesanga69512 жыл бұрын
Amina baba kila unachokiongea kinamashiko kwenye maisha yetu. Mungu akuongezee Neema ya pekee unayoihitaji kwenye safari ya maisha yako.
@samoskiyalo6095 Жыл бұрын
Bwana asifiwe Yakobo alisema majali hapa panatisha nami nasema Mumgu akupaye haya mafundisho A natisha sana Hakika Bwana amekuita kwa jina lake Akufiche na kululinda Aminaaaa
@hapinessobeth41312 жыл бұрын
Mungu atanisaidie kupata wangu wa Maisha ameeen
@joycesanga69512 жыл бұрын
Ni kweli Baba Mafundisho yako yamekuja kurestore maishayangu Mungu ni wa ajabu.
@doreenanthony15632 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana, cjui nimefikaje hapa Ila hili SoMo limenipa relief!
@gladnessnkya1169 Жыл бұрын
Asante mtumwa wa Nena nafsi zilizochoka🙌
@vedastogwido53112 жыл бұрын
Aminaa 🙏 baba MUNGU akubariki kwa somo nzuri
@timotheostanley14692 жыл бұрын
Asnt Sanaa👏🤝
@TommyUlomi7 ай бұрын
Ubarikiwe pastor ilisomo ninyeti Sana ulifundsha ila sjuii niwangapi tume kwelewa kama ulivo Manisha mafundisho
@marycharles77652 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏🙏
@s_d_r-lindadad-ministry-Tv2 жыл бұрын
Amina baba. Saluting kwa Yesu
@shirleenlime97382 жыл бұрын
Tumekumiss sana baba karibu tena
@olindebisimwa64512 жыл бұрын
Amen 🙏
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@gidionmheni3165 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumish wa Mungu
@romanajames34382 жыл бұрын
U always touch my life for the way Holy Spirit use you... May God favor me to meet u on diz december🙏... By Dorothy🙌... May God keep u for his will here on Tanzania 🙏
@samsonkibona73762 жыл бұрын
Amen Baba
@lovedleonard83982 жыл бұрын
Mtumishi huwaga unamibariki Sana🙏🙏
@elishasoka6692 Жыл бұрын
emen
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
I KNOW IT MUNGU ANAKUSUDI SANA N MM JMN MWENZENU NNAYOYAPITIA MUNGU ANAJUA BUT MPK KUFIKA KUMSIKILIZA HUYU KAKA KUNAKITU KITAISHA TU SOON. NATESEKA SANA AND ITS BEEN LONG DEAR LORD PLEASE LET THIS MAN OF GOD SEE ME
@rehemakatana11372 жыл бұрын
Kabisa mtumishi wa mungu
@elinurujohn9752 жыл бұрын
Amina
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙏😪
@doreenminja2912 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🏽
@elinurujohn9752 жыл бұрын
Aamen
@joycegeorge47122 жыл бұрын
Aisee yaan Kama unaongea na maisha yangu mtumish
@silvatondayizeyendayizeye78742 жыл бұрын
Asante sana nasaidiwa sana
@silvatondayizeyendayizeye78742 жыл бұрын
Jamani na omba namba ya pasta Sanbella plz
@lucymwanjali96572 жыл бұрын
Yesu nisaidie nipate nafasi hii unayonipigania hakika ni wewe uliyeileta kwangu