Mungu aendelee kukuinua zaidi ili tuendelee kushiriki hizi baraka.
@gonzagagodfrey11264 жыл бұрын
Ubarikiwe mama Yangu wimbo nzuri mno hii
@glorymsofuofficial4 жыл бұрын
Ongera mmy kazi zuri Sana Mungu akubariki.
@happyjonas93824 жыл бұрын
Nyimbo zako mtumishi zinanibariki mno
@joycemwaikofu49234 жыл бұрын
Hongera sana Wimbo mzuri sana
@bonavithambogo59704 жыл бұрын
Wimbo mzur
@jacklinembindyo28474 жыл бұрын
Wow nice beats and song
@staciekimath95224 жыл бұрын
Nzuri sana
@teachergodfreypeter90524 жыл бұрын
amina yesu yuko hapa nilipo sasa anaenda kujibu haja yangu, barikiwa sana mtumishi wa mungu.
@richardtaji53634 жыл бұрын
Hallelujah! Yuko hapa Mungu
@lembojunior19204 жыл бұрын
Ameeen kazi nzuri sanaaa
@oshimamsungu32944 жыл бұрын
hakika yupo hapa Mungu yupo hapa yesu
@benignanjaidi55904 жыл бұрын
Amen. Kazi nzuri mtumishi wa Mungu👋🏾👋🏾🙏🏻
@lilianmassawe62294 жыл бұрын
ASANTE SANA KAZI NZURI SANA BARIKIWA KIPENZI
@melnaskilibwa58454 жыл бұрын
Nilisikia umeachwa Huzai pole dadaa
@christinmulongo84834 жыл бұрын
Am christin mulongo watching from Bahrain country imenibariki Sana hii wimbo mungu aendelee kukutia nguvu katika Jina LA yesu cristo amen
@gervasmagadula5023 Жыл бұрын
Simama na Mungu tu dada Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani yako
@leticiamadinda3977 Жыл бұрын
Ubarikiwe Rebecca Mungu akusaidie update mme uzae watoto dear ninamwamini Mungu mwaka huu haupiti
@jordanmweluka54904 жыл бұрын
Haya Mtumishi, kweli yupo hapa
@micracyrbukulu81414 жыл бұрын
Balikiwa SANA Dada yangu
@melnaskilibwa58454 жыл бұрын
Ninakuombea upate watoto vumilia yote Mungu Atafanya tu japo ni kusimama sana nakupenda sister
@neemakidala16312 жыл бұрын
Hakika ubarikiwe tumuombee Amevumilia mambo magumu mazito mi siwezi hata seconde
@StillEllonoxband4 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌yupo hapa Mungu👌
@magrathmichael74752 жыл бұрын
Mungu uko ktk familia yangu ukatuponye na kutusaidia
@lizzykay13212 жыл бұрын
Amen amen I'm enjoying with your song sister Rebecca
@witnesskivuyo21454 жыл бұрын
ninakuombea upate mme pole
@boazrhithik26972 жыл бұрын
Yupo kwetu dadangu kipenzi ubarikiwe sana
@geoffreymukisi3113 Жыл бұрын
Powerful music from zambia
@emmanuelivictory2242 жыл бұрын
Hogela san mpedwa napeda san huduma yako Mungu azidi kukuinua
@mathayohenry78924 жыл бұрын
Ubarikiwe mwanangu
@lydiakoloseni87232 жыл бұрын
Hongera sana, Rebecca
@priscahance684 жыл бұрын
Mungu Atafanya
@daudimhoha8942 жыл бұрын
Yesu.ni.mwema.kwelikweli
@hellenmartin28172 жыл бұрын
Ameen
@hellenmartin28172 жыл бұрын
Ameeni ubarikiwe dada uko na mungu sana
@oliverdenis83214 жыл бұрын
Hakika yupo hapa Yesu anaenda kudhirisha ukuu wake kwangu
@pastor.magwazatv61594 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@furahishamgaya24744 жыл бұрын
Waoooo ubarikiwe wimbo mzuri na umeutendea haki mtumishi wa Bwana
@yasintamerere99982 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo sister
@pstelphasumwela79462 жыл бұрын
Kwa Hali zote tunazozipitia tukumbuke "Mungu Yuko Hapa" nabarikiwa na huu nakupata ufunuo mkubwa.Barikiwa dada Rebecca
@eliaplastus4784 жыл бұрын
Zaaa waha tunataka mtoto ndo tukurudishe hahaaa
@pendomagana88834 жыл бұрын
Wimbo Mtamu
@StillEllonoxband4 жыл бұрын
Blessings 🙏
@braitonmaiko90943 жыл бұрын
mama nakupenda sana tangia uje handali nikaaza kukufatilia nyimbo zako uko vzuli sana MUNGU akulinde na mabaya yote kwa iman yangu naamin MUNGU anakubadiki sana zaid ya hapo name maiko robert mdachi dodoma handali ubarikiwe sana mama angu
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amen 🙏 God bless you all 👏
@titanhfc30424 жыл бұрын
God is good🙏🏻
@lucypaul70702 жыл бұрын
nakupenda
@pasianceturumani62032 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@janemdesa89594 жыл бұрын
Usiogope Mungu Yupo
@reginahmwangi65303 жыл бұрын
Magaba dadanguuu... Barikiwa sana....
@eliusmushi88823 жыл бұрын
Huyu Dada Ana nguvu nyingi Sana za Mungu zaidi ya Samson
@lightnessdaniel15553 жыл бұрын
🥰😍🤩🤔💝💯
@VincentOndieki-m3i6 ай бұрын
Amen good song 🎵 as a Kenyan I love it be blessed
@twahambeyela57243 жыл бұрын
Mungu akupe faraja ya kuwa mke na watoto
@janemdesa89594 жыл бұрын
WEWE NI MAMA LA MAMA MCHAPAKAZI MWANAMKE MPAMBANAJI UTAOLEWA TU
@braitonmaiko90943 жыл бұрын
natamani tena litokoe tamasha kubwa uje utupe neno mama zuli handali
@lightnessdaniel15553 жыл бұрын
God bless you 🙏
@tanoricdavd62813 жыл бұрын
Ubarikiwe ujumbe konk
@successmusicafrica89362 жыл бұрын
Dada naomba uinuke popote ulipo sikia sauti hii usikate tamaa na hata kama huna wa kukutia moyo Yesu akutie moyo inuka umepitia magumu sawa inuka mtumishi wewe ni mtumishi kuhani musa,mwamposa mwakasege na wale wote mnaoongozwa na roho wa mungu huyu binti asipotee
@rachelandrew7145 Жыл бұрын
Ameeeni yuko hapa kweli
@Marylimo3 жыл бұрын
Usiogope dear usimuache Yesu jitie nguvu Nilipitia uliyopitia nikaogopa na kukuogopa ulicho vumilia amini huu ndio wakati wa Mungu haikuwa akili yako kakutoa Mungu mwenyewe pale anaposema imetosha omba usiache vyote alivyokuapia kuwa ukizaa ama kuolewa basi Yeye sio mha hayo matamko yafute kwa damu ya Yesu
@andrew85430 Жыл бұрын
Mwanamke Bora unaempenda Mungu ubarikiwe sana mtumishi
Amina,kati ya waimbaji ambayo hawajajichanganya tumebaki na wewe dada Yetu Rebecca,tunakuombea usije na wewe ukajichanganya na hao manabii wa uongo wa mafuta na maji.
@edsonsanga572 жыл бұрын
Nakuombea
@sarahmartin49122 жыл бұрын
Inuka tena dada tunamis nyimbo usiache huduma naomba uinuke hata kama huoni mbele kumbuka huduma uliyopewa ni kubwa sana usikubali kuiiuwa mtumishi utadaiwa naona umechoka sana kumbuka uliwa kumjeruhi ibris usirudi nyuma plz dear inuka 😭
@winniekadenyi-ds1rr Жыл бұрын
God bless you mom🙏🙏
@janehabakuki4564 Жыл бұрын
Jitie nguvu inuka tena
@KuansambunsiabanganguDidos-f7w4 ай бұрын
Falho A partir De Capital Da República De Angola Luanda. Também - Tepesso Favor de irmã procurar Tradutor Em Português