Adui acha kushindana na mimi.Mimi ni level nyingine..
@kissaisrael1957 Жыл бұрын
Tunalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani. Hongera sana
@carolkola1862 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Baba yangu ndiye anayenijua hakika acha kupigana nami sifa na utukufu ni Zake Jehovah Mungu Ebenezer milele na milele Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
@lucasshirima2880 Жыл бұрын
Hakuna Mashaka na Muumba wa Mbingu na Nchii...Sote tunaishi kwa Neema ya Mungu...NEXT LEVEL....
@safarijuma9410 Жыл бұрын
Shetani alikusukumia mwanaume kutoka kwake aliyekuwa amebeba roho ya mauti ya ndoa,watoto maisha huduma ashukuliwe Mungu umebaki hai japo umepoteza miaka 20 kwenye hakuna jitie nguvu na hayo anayoyatengeneza yatapita pia usiogope
@neemakidala1631 Жыл бұрын
Hongera dada yangu. Mungu azidi kukuinua 🙏
@Bonifacemwaitulo Жыл бұрын
Kweli kabisa wanaofanya vita hawajui mtu yukoje.Mungu ndo nguvu yetu.Barikiwa kwa wimbo mzuri.
@hondwamathias Жыл бұрын
Daaah hongera Sana dadaangu, Wimbo Mzuri Sana, 🔥🔥
@songeatv2 Жыл бұрын
Amina mtu wa Mungu your next level
@SarahMagesaOfficial Жыл бұрын
Amen
@sikudhanimajala8382 Жыл бұрын
Kabisa kabisa mungu ndio anapaswa kuabudiwa🥰
@BienvenuMchaguliwa-sz2zo Жыл бұрын
Bwana akubariki Sana kwa kututiya moyo kwa wimbo nzuri
@JulianaManyama-qq3rj Жыл бұрын
Hongera my dada mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi. Wimbo mzuri sana na unafundisha.
@elinyanje Жыл бұрын
On another level. Nice song. Waiting to hear from you on Friday Citizen Radio.
@charlesmathai1961 Жыл бұрын
Very encouraging in the midst of opposition
@petermwabulambo3919 Жыл бұрын
Ameni sana chombo cha Bwana YESU KRISTO
@GraceKasongo-xg2hv Жыл бұрын
Hongera wimbo mzuri Sana.
@deliverancetvinternational Жыл бұрын
Barikiwa sana By Apostle P.K.E
@VioletChumo7 ай бұрын
Ubarikiwe Dada wimbo nzuri,waja kushindana na mimi utahumia bure👈👈 mimi n level nyingine....
@olivertadeo6991 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu
@heriethinnocent3283 Жыл бұрын
Hallelujah 🔥🥰🥰 my Mama. Hakika Mimi ni level nyingine
@jennylopez285 Жыл бұрын
Amen,,,, I'm so blessed..mm n level nyingine.
@nabarikiwasanaannamtunguja4602 Жыл бұрын
Iko powaaa saaana
@cathymasanja9730 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema sana kweli anatupambania kila iitwapo Leo,Rebecca kazi nzuri uinuliwe ktk viwango vya juu zaidi ya hapo
@zakayomjengi7146 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mpendwa wangu
@marinahongori3343 Жыл бұрын
safiii dadaanguu nakukubalii sanaa
@habilwereministries3082 Жыл бұрын
Wewe ni level nyingine. Hallelujah AMEN. Ahsante kwa ujumbe. Barikiwa sana.
@janenepatao5677 Жыл бұрын
Blessings dear, press on.
@puttenyanthony9284 Жыл бұрын
Kazi njema
@pastorkamandabonge7851 Жыл бұрын
Barikiwa Sana
@annuherman1878 Жыл бұрын
hongera maaa Mungu akubariki
@winniekadenyi-ds1rr Жыл бұрын
Aki thank you Rebecca magaba for this sweet song🙏🙏🙏 Level nyingine
@erickmutungi8792 Жыл бұрын
Video nzuri sana.....
@Justinaombay7 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu. Japo maadui wanashindana na mm lkn hawaniwezi. Mimi n level nyingine. Mungu nitaziimba sifa zako usiku na mchana
@safarijuma9410 Жыл бұрын
Pole sana mtumishi watanyamaza tu tunaijua hekima yako na unavyompenda Mungu hakuna mbegu isiyoota hata mmeo ajiandae tu kumtumia Stella ili naomi akuchafue haisaidii Mungu awe faraja kwako mtumishi
@juliuskitheka7105 Жыл бұрын
Congrats nice song
@amosmahovyo65468 ай бұрын
Mungu akutie nguvu rejesha furaha usoni hakuna jambo mungu asiloliweza dada
@rebekahosea498311 ай бұрын
Hakika wimbo ni mzuri Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi
@realmark8728 Жыл бұрын
Nice song, very nice
@godwincathbert8936 Жыл бұрын
UBARIKIWE
@jemiljay19462 ай бұрын
Seeing this wen am at my lowest but I believe God has a reason why I have to see this today yet am a fun of Rebecca Magaba
@elisantennko1585 Жыл бұрын
Barikiwa kuhani
@pastorkamandabonge7851 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@pstelphasumwela79468 ай бұрын
Naenda level nyingine,Mungu ananishughulikia.
@andrew85430 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Mungu AKUTIE NGUVU
@rispercharo810 Жыл бұрын
Amina🙏atete nao wanao shindana na mimi.
@ChristinaMitambo Жыл бұрын
HONGERA SANA.
@irenekessy5191 Жыл бұрын
Rebecca hujaachwa Amini yesu anakupenda sana huyo mmeo alibeba roho ya mauti ju ya huduma uzao maisha ndio maana kaoa mke wa tatu kabla hujafa Mungu anakupenda sana shukru tu
@Estherbongo Жыл бұрын
Dada Mungu akupe faraja ya Mme bora watoto afungue uchumi Wako pole Kwa yote
@farajajacksonmalumbi5400 Жыл бұрын
Amen 🙏🏻
@mwita75053 ай бұрын
GOOD SONG KEEP IT UP MY DEAR
@KabasekeDyilo3 ай бұрын
Mungu Aku bariki kwa maonyo wako aksante
@CheruiyotVikingsKimm Жыл бұрын
🎉🎉
@livemusicsound1217 Жыл бұрын
Kaza mwendo sister usiogope
@ulimbagamwakatobe21225 ай бұрын
Mwambie tena akuache kabisa u malaya wake wa kuoa owa mke wa tatu harafu anapewa madhabahu ahubiri uchafu mtupu songa mbele rebecca mme utapata tu na hata watoto utapata Mungu anaweza yote
@emmachilihanze43 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada kwa wimbo mzuri
@joshuakimario1528 Жыл бұрын
Wow
@eliakimwangwe46817 ай бұрын
Mungu apanue huduma hii
@Lena-qq8gm Жыл бұрын
Hongera sana sana mtumishi wa Bwana
@samuelmainachege1236 Жыл бұрын
Barikiwa sana dadayangu unaenda bali
@kajenjesarah6 ай бұрын
Ubarikiwe mi Niko morogoro
@isabelasanga11 ай бұрын
Mzuri sanaaa
@SolangeMwayuma Жыл бұрын
Uko biyee
@evafarijala5623 Жыл бұрын
Jipe moyo mkuu
@BrightMalimbwi9 ай бұрын
Achana nao dear
@masuomeno8281 Жыл бұрын
HD video mungu akubariki sana
@rosenakikoti3031 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada
@mwafrika78 Жыл бұрын
🎉
@charisykawiche36469 ай бұрын
Songa mbele
@ethelwakio9609 Жыл бұрын
AMEN 🙏
@AngelinachindeleMateus-hb9ki Жыл бұрын
Lindo quando confiamos em Deus os inimigos vêm mais pela graça que está em nós eles caem bendito seja o nosso Deus poderoso em todas as batalhas dos seus filhos FIES Aleluia
@jameskazyoba5049 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@HerenaMasilili7 ай бұрын
Wakuache
@gecykigen3444 Жыл бұрын
Vocals ako nayo
@yvonnejoyce Жыл бұрын
Amen so powerful 🙏
@dativamapesa31576 ай бұрын
Mmeo huku arusha kila Kanisa anaingia 😅 kuomba nilisikia kaoa mke mwenye pesa hamna kitu kawaida tu analea watoto wa mke
@songeatv2 Жыл бұрын
This not my war
@KuansambunsiabanganguDidos-f7w4 ай бұрын
Serva de nosso senhor Jesus Cristo Bom dia! Queiro Falar Com irmã Só que Não entendo suahili , mais Vou procurar Um Tradutor para mim Falar Com Irmã. Só Irmão João Vinduque Pertences Igreja Metodista Unida
@Annachilumba-g1w Жыл бұрын
Wakuache mbwa hawa kila siku yanakuchafu mbweha waende huko aliyekuwa mmeo ndo anamtumia stella kuandika mabaya na kumtumia naomi lijinga kweli