RECAP: Ray Vanny baada ya WCB, ukaribu na Diamond utaendelea? Atachagua amani na Harmonize? NLM je?

  Рет қаралды 35,959

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Hatimaye Ray Vanny ameoandoka WCB kuwekeza nguvu kwenye label yake, Next Level Music. Nini kinafuata baada ya hapo? Ataendelea kuwa karibu na Diamond? Na je, atamaliza tofauti zake na Harmonize? Sky, Creez Favors na Esko wanajadili kwenye #Recap

Пікірлер: 250
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Pesa hata kama zimemtoka. Ni haki ya WCB ilipwe maana iko kwenye contract yao. Kwa nini aumie mbona amekuzwa hapo vizuri tu. Anaakili ya ziada Van Boy. Anaelewa wajibu wake. Abarikiwe sana.
@abdulmalikali9063
@abdulmalikali9063 2 жыл бұрын
Ray akimheshimu harmonize basi nitamsupport lakini akiendelea kumtupia vigisu sitomsupport abadan.kondegang for Life 🇰🇪🇰🇪
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
Sasa ww ni nani???
@floramalifedha6649
@floramalifedha6649 2 жыл бұрын
Kwani wew ndounampelekaga choon
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 жыл бұрын
Support atayoipata toka kw fans wa wasafi ni kubwa sana kuliko kwa huyo harmonize. So chill
@sadashabani9445
@sadashabani9445 2 жыл бұрын
Kwan ukiacha kumsupport ww n nn kitatokea ebu kakojoe ulale
@johnmike6059
@johnmike6059 2 жыл бұрын
@@kassimrajabu7805 😂😂😂😂
@user-jo2em4jg9q
@user-jo2em4jg9q 2 жыл бұрын
Rayvanny can also play low key like Wizkid and do well in music industry without wasting too much energy.
@dereckdavid9609
@dereckdavid9609 2 жыл бұрын
That's the tweet
@globalnature2265
@globalnature2265 2 жыл бұрын
SNS, it's great thing for a child to be independent, but in this case, what is behind the scenes? Can't you guys see that there is something hidden in in this case? Try to look in it with your third eye and see what we outlanders sees. SNS we still counting on you in Europe
@edissanzigama4108
@edissanzigama4108 2 жыл бұрын
I really love him so much ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥God protect you kwenye unaenda
@Global27World
@Global27World 2 жыл бұрын
Mmesahau kitu, Vile Voice za mumakonde azingemuacha salama WCB, nilijuwa tu itafika huku. Hatari sana 😢
@Global27World
@Global27World 2 жыл бұрын
Ndo kweli
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Rayvan ameshindwa kukiamini ndo nasema kushindana na mwamba harmonize ni ngum sana akaanza kutoa wimbo kumsema harmonize kutaka attention lakini mmakonde wangu hakumpa hiyo nafasi 😂🐘👈wewe ungeondoka kivyako kama mwanaume kweli sio kutaka kiki kumsema harmo yaan harmo humuwezi kwa mishale aliyopitia never
@jumasoli7818
@jumasoli7818 2 жыл бұрын
Mmakonde wako Kwan ww kajala?
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
Wacha mmakonde wako sijui makendende wako apigane na Hali yake huko,
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Makonde kaolewa na kajala ili kiki iende mjini 😁😁
@lamecknkini8774
@lamecknkini8774 2 жыл бұрын
Sasa Hamo anamaajabu gani angalia mangoma yake kununua views tu hii inamaana Hana mashabiki ndo maana ananunua
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
@@lamecknkini8774 ndo apo nacho msikitikia na huyo van boy sijui itakuaje hazoei ma kiki
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth 2 жыл бұрын
Sky naamini mnapatana sana na rayvanny so unaweza ukakaa nae ukaongea nae moja mbili my brother🙏
@saulielisha9729
@saulielisha9729 2 жыл бұрын
Maisha yametengenezwa, kwa daimond hakutak haondoke harmonize kwa reivanny bado wapo pamoja na daimond hiyo ni njia moja wapo ya kumpoteza harmonize but ndo haitawezekana.
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Love you guys! all the time. mko vizuri sana🙌 from 🇺🇸
@nasibujuniorbd5698
@nasibujuniorbd5698 2 жыл бұрын
Acha nimpe pongezi Ray vanny.kwamaoni angu Vanny boy kafanya kitu kizuli Sana kuondoka wsf Bila ugomvi wowote,inaonejana kuwa kule anapo elekea matokeo yatakua mazuri
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 жыл бұрын
Yeah kafanya vizuri mnooooooooooo kuondoka sio vita
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
Apakosi ugomvi kuna kitu
@constanciomarcos5484
@constanciomarcos5484 2 жыл бұрын
harmonize n tembo anaweza kupambana kivita, Ray aweze kupambana kama sisi wamakonde
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 2 жыл бұрын
Acha kuandika upumbav
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 2 жыл бұрын
Halafu ww pimbi Sana Ray anaaga family yake ww unamtaja Hamo ndo nn xx
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 2 жыл бұрын
@@rabsontryphon9254 hao WCB kama hawajamtaja mmakonde hawawezi hata kulala
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
Wamakonde ndiyo mko hivyo hamna shukrani, hao Wanyakusya ni wasomi, creative na akili kubwa so they have a different approach.
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 жыл бұрын
Harmonize amejaribu sana....from grass to grace...Mungu wake na bidii yake
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Akapambane sasa na hali yake tumwone kama teacher 🇶🇦🇹🇿
@WORDOFMYCREATOR
@WORDOFMYCREATOR 2 жыл бұрын
Miki niseme tu ni mapema sana kumsifia Rayvanny. Maturity ya wivu yakimwandama ndo mtajia uvumilivu utamshinda.Lately Ray amefanya makubwa lakini hajasapotiwa na WCB.Hii nikwonesha kwamba hawafurahii yeye kuondoka wanafanya haya kwa sasa kumkomoa Harmonize. Hapo mbeleni ukweli wote utaonekana tu.Labda iwe Ray amegawa % kidogo ya NLM kwake Diamond ndo watabaki marafiki kibiashara na kinafki.I kwa Mondi na machawa wake hawataki yeyote awe juu.Na Ray na Harmonize ni tishio kwa baba aliye watoa.Ubaya ni makasiriko watoto wakikuwa na Kufaulu.Na heshima ni ubaki legend ukiwasifia watoto ambao umewatoa.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Waambie hao machoko ambao hawajielewi bendera fuata upepo
@majutosanaelias4307
@majutosanaelias4307 2 жыл бұрын
Aya yangu macho
@khamismtaly3825
@khamismtaly3825 2 жыл бұрын
Harmonize hawezi kua tishio kwa simba wewe hujielewi
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 жыл бұрын
Rayvanny hawezi kuwa pamoja na harmonize. Harmo ni snitch. Anarekodi voice za wanaume wenzake na kuvujisha.
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 2 жыл бұрын
Huyo muoga na inatakiwa awe anajiamini na akumbuke mungu ndie kila kitu
@monicahkamuyu2371
@monicahkamuyu2371 2 жыл бұрын
Huu ni mwanzo wanasafisha jina ngoja uko mbele alafu ray alianza kujitenga na wcb kitambo
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 2 жыл бұрын
We love rayvanny ♥️.... rayvanny yupo pale juu y kina harmo, kiba....
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 жыл бұрын
Unaongea ukiwa umelalalaa ukiamka utajua ulichokiandika 🤣
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 2 жыл бұрын
@@jay-nyeye1900 Leta facts ...acha kuropoka kwa mihemko 🙂
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
@@jay-nyeye1900 kwa kweli
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 жыл бұрын
Harmonize ilimuuma kwasababu alilipa lakini bado wakawa wanamzonga 😀😀😀😀
@princekarani7836
@princekarani7836 2 жыл бұрын
Ndomaana ilimuuma,waliendelea kumfanyia fitina,maneno kibao,figusu nyingi,pesa amelipa lakini termination letter hawataki kumpatia,ndomaana aliwanyali ata yeye
@hajjabdalla3745
@hajjabdalla3745 2 жыл бұрын
Sns...all the way up from Germany,guys u are good in explaining the situation and the industry of bongo flavour.But Ray has a big eye on international market than any other artist in Tanzania and he will make it
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 2 жыл бұрын
Germany ipi iyo mzee 😆
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 жыл бұрын
Ray ni msani na nusu
@marcemarco3747
@marcemarco3747 2 жыл бұрын
We jamaa ACHA ujinga mwenye kofia mpk wanakushangaa unaongea ujinga konde ndo kila kitu
@emmanueljonas84
@emmanueljonas84 2 жыл бұрын
Alichokifanya Rayvanny kimenifundsha vyema,nimesikia huzuni na amani kwa wakati mmoja.Hiki kitu nilitamani konde akifanye lakini ndio hivyo.Ni kitu kizuri sana,hata kama ni biashara lakini ukionyesha kushukuru kwa yule uliye fanya naye biashara.Tutaendelea kuwa naye pamoja kwa kuwa hajaonyesha dharau kwa diamond
@fatumamalimusi8053
@fatumamalimusi8053 2 жыл бұрын
Konde afanyaje na kafanyaje akutakiwa kuondoka walikataa mwacheni HARMO jamani kheeee
@martinlucas7875
@martinlucas7875 2 жыл бұрын
I wish wasanii wawe wanasikiliza hizi,,wangejengeka sana
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 2 жыл бұрын
Swala la kulipishwa ni issue ya mikataba Jamani, tatizo watanzania tumezoea kufanya kazi kienyeji, hivyo tukiambiwa tufuate contents za mkataba tunaona tumeonewa, Diamond yuko smart sana haiendeshi WCB kienyeji anaiendesha kisheria na ndio mana Harmonize hakuthubutu kwenda mahakamani kwasababu kulingana na mkataba alitakiwa afanye vile.
@ElizabethKiluvia
@ElizabethKiluvia 2 жыл бұрын
Saaafii.chui.umeongea.vizuri.bado.tutakuunga.mkono
@flavourboyke
@flavourboyke 2 жыл бұрын
Ray all the way mtu wa heshima si kama yule mwingine wa makiki na washosho
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 2 жыл бұрын
Heshima gani alonayo, diamond kwa roho mbaya yake, anaiona vibaya tu
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
@@fatmafaki6163 Angekuwa na roho mbaya asingetengeneza vijana wakawa big stars, roho mbaya wanazo hao wenye labels lakini wanawabania artists wao wanabaki kuwa underground siku zote.
@flavourboyke
@flavourboyke 2 жыл бұрын
@@fatmafaki6163 ok alikiba ako na roho mzuri ametoa msanii mgani mkubwa, harmonize na yeye mbona akina cheed hawapati support kama yenye yeye alipewa akiwa wasafi kitu haujui ni diamomd alisign wasani ili wawe wakubwa na pia wafanye biashara lkn harmo anasign wasanii kujibrand tu hakuna promotion najua itakuuma lkn ndio ukweli mnyonge mnyongeni haki mpe
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
baba levo kasema mkataba ulimnyonya wcb wanajifanya watu vzr kwa jamii but ndani sio watu wazuri
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
Mpaka Leo ukimuuliza Baba levo kosa alilokosewa na konde hatokua na jibu kisa tu alimtetea konde kuhusu salam ya salam Baba levo akaitwa chemba alichokwenda kuambiwa huko hatujui kuanzia hapo babalevo akaanza kumtukana konde yaani unaona kabisa wasafi walidhamiria vibaya Kwa konde lkn ni MUNGU tu amemsaidia jamaa
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Hatari xana kumbe ndo ilikua hvo jamaniii, Khaaaaaa
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
@@missmwayway4704 ndio hivyo ndugu Baba levo hakupenda salam kukataa mkono wa konde akasema salam alikosea Sana kukataa mkono wa konde na ni ushamba baadae akaitwa wasafi sijui kaambiwa nini huko na kazi kapata kisa Tu kuanza kumshambulia kijana wawatu
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@FatimaFatima-wk1jk Daaaahhh aiseee Ila Allah anawaonyesha kuwa alipangalo yeye kamwe mwanadamu hawezi kulipangua, Tembo anaendelea kusonga tu. Sasa tumuangalie huyo sasa wanaesema kaaga kwa heshima 😊😊😊😊😊😊
@tuyisebgejuvenal
@tuyisebgejuvenal 2 жыл бұрын
Hapa inatakiwa aachie corabo yake na just buby aachie nahiyi nyingine na deruro
@lydiahmartinz925
@lydiahmartinz925 2 жыл бұрын
My all tym team. All blessings
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 2 жыл бұрын
Love from Mozambique 🇲🇿,🇧🇮 Burundi, WCB4LIFE
@m___ck799
@m___ck799 2 жыл бұрын
Rayvanny hana nyota uwezi compare yeye na Diamond na Harmonize hata kidogo!!
@ayushjhay4361
@ayushjhay4361 2 жыл бұрын
Horn yuwaforce umaaruf.na yuwataka kushindana saba
@frankmsigwa153
@frankmsigwa153 2 жыл бұрын
NINJA HARMO YUPO SAWA NA MEDIA ZNGINE COZ AMEBEBA UGOMVI WA HZO MEDIA NAKUZITUMIA KAMA NJIA YA YEYE KUWA SALAMA"(Akili kubwa kama unaona kidgo huwezi ona)
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Rizk yake Haina barka
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 жыл бұрын
SNS ndio media naipenda kwa sasa bongo ,,💯🔥
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 жыл бұрын
Hatuna uhakika Kama kaondoka vizuri ✌️
@paulineonkoba1196
@paulineonkoba1196 2 жыл бұрын
Next level is Java
@victormartin1696
@victormartin1696 2 жыл бұрын
WCB kwa maana ya Mbosso, Zuchu, Lava Lava wanawakati mgumu sana naomba nieleweke vizuri WCB na sio Diamond Platnumz
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
SNS tumupe siku atatwabiya peke yake kuaga sivibaya ila ikubuke ana roho tena Ray ni musani
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth 2 жыл бұрын
Tutamsaport Leo Hadi kesho NLM/WCB 4life❤️❤️
@marcemarco3747
@marcemarco3747 2 жыл бұрын
Subilia muda c mrefu.... Mtakuja kujua tuu... Maana pesa inauma San na sauti hyo alikuwa anaumia Sana
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 2 жыл бұрын
kama WCB wasafi fans tumekupa bless zote V VAN BOY nenda kwa amani uiendeleze muzik ya bongo flava, tumekupenda sana na tutaendelea kukusapot kama team moja.. WCB FOR LIFE
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
kisa nyie miungu watu
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
My always people on it .... ⛏⛏⛏😇 hakunaga linalowashinda. I believe in Rayvany ni talented sana lets support him .. atatoboa Zaid ya pale Mungu ambariki kikubwa afya na heshima,.. Harmonize angetoka vzr sema walimkazia sana hawakutaka kabisa asepe na by the way Creez umeongea vzr Rayvany kapata experiences from Harmonize what to do and what next before kusepa so all and all Harmonize ndo aliwasaidia wengine watatoka kwa njia hiyo hiyo coz na daimond alikuwa muelewa after Harmonize kuondoka watu weng walimwambia awaachie watoke cyo vita ... ni kusaidiana
@christinembeye5489
@christinembeye5489 2 жыл бұрын
Nimependa Recap Yenu Wana SNS. Keep Up the Good Work 👍 ❤ Watching from🇺🇸/🇹🇿
@janethmosha2104
@janethmosha2104 2 жыл бұрын
Kaaga vzr nimependa Mungu amsaidie
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
Tbh nilisubiri kwaham #RECAP🙌🙌
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 жыл бұрын
Hakuna tofauti na Harmonize it is the same. Mond alikuwa na hofu ya Harmonize kumpita
@johnkipata9752
@johnkipata9752 2 жыл бұрын
Clean image 🙌🏾💧
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 2 жыл бұрын
Wanyakyusa tuna utu jamani ❤️ rei
@mustaphathabiti6392
@mustaphathabiti6392 2 жыл бұрын
Nyinyi hamjuii lolote hasa uyo wa kushotoo mwenye amevaa Black Nakupa miezi mitatu utaona figisu atakazofanyiwa
@arthoabdi8310
@arthoabdi8310 2 жыл бұрын
we wait and see but my bet dongo zitarushwa soon .. waiting for the shade to begin. kweli u guys think Diamond is just gonna let it go?
@selemanishabani126
@selemanishabani126 2 жыл бұрын
Fireee
@Dawah99
@Dawah99 2 жыл бұрын
SNS, bond yenu ni nouma sana, keep up the good work. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🇹🇿
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI 2 жыл бұрын
" .. au kuenda kwa Paula .. ambako ndo kuna changamoto zake .. ". 🤣🤣🤣Hapo kwa changamoto hapo sasa🤣
@dixminderjngao1056
@dixminderjngao1056 2 жыл бұрын
Nakushauri ray omba msamaha kwa harmonize ili ubaki kwenye game.Alichokifanya rayvanny harmonize amekifanya sanaa kwanza alikaa muda mrefu bila kusema mabaya japo walikuwa wanamfanyia figisu lkn alikaaa kimya na aliendea kumshukuru diamond mara kadhaa kwenye nyimbo hivo nawapinga mnaposema harmonize alitoka vibaya
@muamudoamade6912
@muamudoamade6912 2 жыл бұрын
Bass asikiki tena
@fadhilisafari6403
@fadhilisafari6403 2 жыл бұрын
Harmonise angeshikiliwa kama alivyoshikiliwa Ray, angekuwa juu sana sana sana;; but WCB saw this wakamkunzia
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 2 жыл бұрын
Bado mapema wabongo hawana dogo watamponda mwezi ujao wa kwanza BABA LEVO na Kama hawajamponda muniite mbwa nipo hapa nasubili.
@africanpioner4090
@africanpioner4090 2 жыл бұрын
VISIT TANZANIA 🇹🇿
@njyendakumanarechard1536
@njyendakumanarechard1536 2 жыл бұрын
Konde ssahivi anapiga mihera unaona zamani urizani atapoteya sasa pambana nawe tuone kama utatobowa mama mana sirahisi
@janethmosha2104
@janethmosha2104 2 жыл бұрын
Kaaga vzr nimependa Mungu
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
Maigizo hayo bro, muda utaongea. Jeshi ni jeshi, walio salia wote waoga sana
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Bin Adam wengiii hufurahia mabaya
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Kuna oga n'a Kuna umakini kwenye maisha huyo tembo wenu rough rough tu
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 жыл бұрын
Nimependa only media ilonipa good analysis,nawashkuru sana tim yote.
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 жыл бұрын
What do you mean by kutoka vibaya...Diamond will never have a good vibe with this little boy....he always wants to be on top, life doesn't work like that, rayvanny lacks confidence
@delphinkakudji
@delphinkakudji 2 жыл бұрын
Preach
@charlesmatesorehani5012
@charlesmatesorehani5012 2 жыл бұрын
Nenda kwa Amani Chui Baraka zote twakupa kabisa unaenda kwa Amani
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
Nimependa uchambuzi.. Ray atasimama ila anahitaji utulivu wa akili ili mguu wake wa kwanza nje na maisha ya wcb uwe ndo tobo
@jafariabdallah7669
@jafariabdallah7669 2 жыл бұрын
ukiona rayvany katoka wcb alf bado wanacheka ujue wanahisa zao pale
@freadyjackson315
@freadyjackson315 2 жыл бұрын
Chuiii RAVNNYN
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
I will still remind you all watanzania we are End Time Stop those ungodly life and hate one to another... "REPENT" and return to GOD THE MOST HIGH☝️
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha yetu macho na masikio 😄😄😄😄😄😄😄😄
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
😂😂🤣🤝🤝🤝
@makatym6151
@makatym6151 2 жыл бұрын
,😄🙄🙄🙄🙄😄
@levienlevismmbenga2415
@levienlevismmbenga2415 2 жыл бұрын
Atafeli huyo dogo Amtafute harmonize njo atatobowa
@ramadhanmsangi4676
@ramadhanmsangi4676 2 жыл бұрын
Mm ni msoma comment to wewe unatakiwa ukapimwe yani @rayvanny amtafute harmonize kwalipi 1😀😀😀😀😀
@byaminarehema6745
@byaminarehema6745 2 жыл бұрын
Itakua ngumu rayvanny akiwa sawa na harmo kua sababu harmo alivio mutakia mabaya ahende jela miaka 30 daaa 😠 itakua ngumu
@freadyjackson315
@freadyjackson315 2 жыл бұрын
Chuiiiiii vip
@njyendakumanarechard1536
@njyendakumanarechard1536 2 жыл бұрын
Aca oga fanyakazi kwabidi ukizuba utapoteya
@orym4447
@orym4447 2 жыл бұрын
Esco una miaka mingapi? Recap ungekuwa unakaa behind the Camera utajifunza mengi
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Imepangwa waseme hivyo nikwambieni kkwaajili wazungumze vizuri
@elishaelisha6755
@elishaelisha6755 2 жыл бұрын
Akili nyingiiiii sn mnyakyusaaaaa,,,,
@constanciomarcos5484
@constanciomarcos5484 2 жыл бұрын
yeye moyo weke umeshaodoka zamani wakati wa Next level, apa anajalibu kutugizia tu
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Umeonaeee
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 2 жыл бұрын
Fact broo
@sammahona8240
@sammahona8240 2 жыл бұрын
Vanny sio wa mabifu! Mbwembwe za kikazi hizo hizo ndo Vanny zitampeleka mbali sana na mziki wake. Kwani alipokuwa Usafini mbona hakuwa mtu wa matukio ya ovyo na still alikuwa at the top Go Vanny tupo pamoja sana mpaka
@therealomisakulu5416
@therealomisakulu5416 2 жыл бұрын
Appreciation ya Rayvanny sio kuwa ni ya Amani wala sio ya nia nzuri ila ni kwasababu anaogopa kupoteza mashabiki. Ni muoga.
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
True
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 жыл бұрын
Haters wa Diamond mna kazi sana, yaani mpaka mtu agombane na Diamond ndiyo mnaridhika lakini Rayvanny obviously amelelewa kwenye familia so he knows hatred is never a solution.
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 2 жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka afanye kama kunduboya hata kama Hana mgogoro
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 2 жыл бұрын
Kwayo wewe unapenda ugomvi kuliko hamani
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 жыл бұрын
@@adamnasibu5931 hata huyo konde hakutaka shida but hao wasafi ndio walitaka shida na konde but ndoto zao zimeshindwa mumebaki chuki tu
@erickabel6201
@erickabel6201 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@fatunam7721
@fatunam7721 2 жыл бұрын
Rayvan atamsaini Tanasha Dona
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Crise anaongeya ukweli Diamond anasadiya ila ukivuraga tu anaeda kipesa sana
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Nawa amini mukizungumuza kitu kinakuja kutokeya aya maneno nayasamini100% nayatakuja kutokeya Paulaa atarudi tu kwa Ray tuyasubiri
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 2 жыл бұрын
Wale wakaks wsliendaga wapi Fred na mwenzio nilikuwa nawapenda
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI 2 жыл бұрын
" ... mshindi ni babamkwe .. "🤣🤣🤣
@4dakulture651
@4dakulture651 2 жыл бұрын
Muda utaongea
@allanothuman2941
@allanothuman2941 2 жыл бұрын
Lava lava yup wp n anafanya nn hp wcb
@majutosanaelias4307
@majutosanaelias4307 2 жыл бұрын
Aya yangu macho
@mahamudumkande1250
@mahamudumkande1250 2 жыл бұрын
Ray hajiamini!
@hubimogela9167
@hubimogela9167 2 жыл бұрын
Unaleta ukonde gang potea
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 2 жыл бұрын
Kwaiyo angemtukana diamond kama njomba nchumali ndo angekuwa amejiamini sio!?
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 2 жыл бұрын
Jinga ili unazanu watu wa mbeya tunaangalia kujiamin tunaangalia heshima na nidhamu kwanza hiloio
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@chrispinmkanda6097 Kwahyo ww Unafurahia Harmonize alivyokua anatukanwa? Choko wewe
@rahmaidd1246
@rahmaidd1246 2 жыл бұрын
Ulitakaje
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
Wcb watamfanya ajutie kuondoka, ni wanafiki sana siwapendi #wapumbavu
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
10years contract He paid 8 to 850M🥺 By #BabaLevo
@menza4064
@menza4064 2 жыл бұрын
Amefanya jambo zuri sana
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 2 жыл бұрын
Jamani acenikusema Rayvanny asiace kuludiana na paula hatanamimi nahitaji waludiane
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 жыл бұрын
Sky tujipe muda ndugu zangu..
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 жыл бұрын
Mbona King hanaga life style ya Marose rose
@mwanaishiaomar5695
@mwanaishiaomar5695 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰👏👏👏👏
@benardsamba5248
@benardsamba5248 2 жыл бұрын
sky unasikika kabisa upandewako uliko try to balance when you have a program like this
@chalionthebeat9448
@chalionthebeat9448 Жыл бұрын
Anajipendekeza huyo hiyo ni njia yakutaka arudishe wa fans wake kutoka wcb
@bama9271
@bama9271 2 жыл бұрын
We are together sns
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
PLAN B _ Episode 15
27:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 4,9 М.
Raya Mke wa Barnaba amvaa Dulla Makabila, adai amemdhalilisha mumewe
3:43