RECAP: WCB WALIFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI TANZANIA, WAMEONGOZA KILA KITU, AMAPIANO VS BONGO FLEVA??

  Рет қаралды 8,836

Bongo5

Ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 61
@RamadhaniMshana-gk6vm
@RamadhaniMshana-gk6vm Ай бұрын
We bro unaongea fact big up
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign Ай бұрын
Courage les tanzaniens même nous aussi les congolais 🇨🇩 nous sommes prêts de vous espéré.
@ShamanyekisimbaTravail
@ShamanyekisimbaTravail Ай бұрын
Nakubali kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪🇨🇩🇨🇩💪🇨🇩💪🇨🇩 wcb for life
@Akili820
@Akili820 Ай бұрын
Congo ni baba kila siku 🇨🇩🇨🇩💪💪
@meameamusa3394
@meameamusa3394 Ай бұрын
Hata naija Bado hawajafikia kiwango chamuziki WA congo
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Ай бұрын
Jaman bongo 5 hamjaona Hennessy by young lunya,sarkodie, khalighaph jons,ladipoe+++ tuleteeni na muichambue
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk Ай бұрын
Bila daimond mziki wetu mmmh!! Mashakani, daimond anatisha bhana.
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d Ай бұрын
yes WCB leble is second leble in Africa is true 100%
@EdmondNyirenda
@EdmondNyirenda Ай бұрын
Ndio ilivyo mku 🦁🔥
@user-qf6dh9hy8c
@user-qf6dh9hy8c Ай бұрын
Daaa Jamaa unanikosha WCB ndo habàri ya mziki chuo kikuuuuu❤❤❤
@TheOneAndOnly_19
@TheOneAndOnly_19 Ай бұрын
Shida ni hamjui kutofautisha between MZIKI NA BURUDANI 😅😂😂
@MasudiRashidi-sk8xo
@MasudiRashidi-sk8xo Ай бұрын
Guys before uhongeye abari zako ebu fanya utafiti vizuri congo we the best for all the time
@SugarIgaUfe1
@SugarIgaUfe1 Ай бұрын
Kaka yangu mimi ni @sugar Igaufe msani kutoka Congo 🇨🇩 lakini katamani kazi zangu zije Tanzania 🇹🇿 nasababu yaku kuandia napenda sana unakio kifanya pia una jua vitu vingi naomba uwe manager wangu nakuomba sana Asante
@babalao3250
@babalao3250 Ай бұрын
Wapo machokochoko watakaopinga mi najua
@kizibotv9661
@kizibotv9661 Ай бұрын
Bro kikweli unaongeaga ukweli
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov Ай бұрын
Bro tz niya kwanza kimziki afrika , kinachoifelisha ni rugha wanaotumiya kwa uimbaji.laa sivyo hata wanaija hawana na fasi mbele ya tz music. Love 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@fulness_jazz5844
@fulness_jazz5844 Ай бұрын
Achakusema mambo ya namba
@choeursaintjeanmarie
@choeursaintjeanmarie Ай бұрын
Shida wa congo Hawa wekezi nguvu kwenye digito naku shindana kwenye ma tuzo Lakini radios na tv Ndo soko zabo Ndomana wao wakifanya shows hata inje ya nchi wanajazaga tuu
@cizungubigabwa910
@cizungubigabwa910 Ай бұрын
Kaka Congo kuna wa star wa kubwa maitre gims , dadju wa view wengi
@BushaBoy
@BushaBoy Ай бұрын
Gims wako Ku France wewe
@bashimalu5334
@bashimalu5334 Ай бұрын
Tatizo ni kupoteza identity ya mziki, Congo wana style ya muziki wao Rhumba/afro congo ila tz Mara Amapiano akitakaimba kingereza mnaenda naigeria
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku Ай бұрын
hata mondi ajawai pata views 150 bila kumshirikisha mtn so all is same bro
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Ай бұрын
Acha bangi bro Muziki wa Congo ukoju mbali sana
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z Ай бұрын
Mondi ndio msanii buster Harmonize anaimba na kutunga mziki mzuri ili awe mkubwa zaidi ya Mondi, Rayvany anaimba ngoma nzuri kutokana na sehemu aliyotoka, Ally kiba anajitahidi kuimba mziki mzuri ili ushindani wake naa mondi uendelee kuwepo, Marioo anaimba mziki mzuri kutokana na hasira zake Kwa mondi kumchukulia Mimi mars so ana hasira sana nae awe mkubwa kuliko mondi😂😂😂
@BenjaminPeter-t2w
@BenjaminPeter-t2w Ай бұрын
Niko pamoja nawewe kaka.
@JacquesDasilva-yx1bi
@JacquesDasilva-yx1bi Ай бұрын
Apo njo Ume aribu usiweke Tanzania Mbele ya Congo 🇨🇩 ndugu yangu
@choeursaintjeanmarie
@choeursaintjeanmarie Ай бұрын
El Mando hajuwi ku tafautisha ndomaana ana sema hivo hahuwi kama Congo 🇨🇩 sio watu wa mitandao nawala Hawajali digital
@user-xr4dp1cs5b
@user-xr4dp1cs5b Ай бұрын
Wcb ni lebo saiiiiii
@user-cs8yr1ew6g
@user-cs8yr1ew6g Ай бұрын
kweli unachosema ila ndo wasanii wa tz wameanza kujitafuta kwenda international usiwai kuwalinganisha na wasanii kutoka congo wale na wa nigeria niwachawi sana wana sumbua sana international
@fulness_jazz5844
@fulness_jazz5844 Ай бұрын
Léo nikutukane Kwanza kuhusu kusema DRC.
@makamejuma6959
@makamejuma6959 Ай бұрын
Kwa ufaransa wa congo watajaza sna kwani wanaongea kifaransa
@JacquesDasilva-yx1bi
@JacquesDasilva-yx1bi Ай бұрын
South Africa 🇿🇦 Aina views nyingi KZbin wewe mouuzi
@FaithaAli-cy5nr
@FaithaAli-cy5nr Ай бұрын
Wewe nae Ni kama WCB wanakutomba kila mara kuwasifia tu🖕🖕
@vanjay8685
@vanjay8685 Ай бұрын
Kwani rayvanny io tetema kaimba na nani? Mbona unajisahaulisha?
@Alhadinholyrics
@Alhadinholyrics Ай бұрын
Bro,Don’t compare Fally is the best , is the best musician in Africa
@moisekashindi9607
@moisekashindi9607 Ай бұрын
Kwahiyo tanzania Kuna msanii mkubwa zaidi ya Fally ipupa
@benson23823
@benson23823 Ай бұрын
Wewe wame kuambiya mtowe fally Ipupa ule ni mzee weka wengine
@kasereka-vy3mw
@kasereka-vy3mw Ай бұрын
trend siyo cho chote tuangaliye vile kwenye show zakimatayifa
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr Ай бұрын
Asa io namba 3 na. 4
@christophemaurice
@christophemaurice Ай бұрын
Sasa awo ma views mbona atuwaona kwenye concerts? Ferre Gola uwa ajibez na ayo mambo ya views ila akifanya concert bala yake ni ayo.
@alexshabani2012
@alexshabani2012 Ай бұрын
Mziki ulikuwa epo tena mkali tatizo mahendeleo hayakuwepo mitandao jaukuwepo mambo mengi hayakuwepo nandiomana unasema wasafi ina change muziki
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r Ай бұрын
Kwend uko mwanahabar gn ww Kila siku nkusifia diamond ww nshabiki take sema t ukwel usiogopag watu Kila siku ambaye amepelek mziki n mondy Yani huoni hao wengine waliofany makubwa kushinda huyoo mtu wako mnafiki sana wwe hunachocht
@Bless215
@Bless215 Ай бұрын
@@user-qz8gn6bn6r kama inakuuma kunyw sim
@kiatu
@kiatu Ай бұрын
Afro Congo ni genre? Najua soukous
@alexshabani2012
@alexshabani2012 Ай бұрын
Wasani wazamani sho zawo ikuwa pesa mdogo pia Nigeria 🇳🇬kipindi kile waliwa bado why because technology haikuwepo so inabidi uwelewe bro almando
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe Ай бұрын
Sipingi hata kidogo
@SamweliEmanuel-lb1in
@SamweliEmanuel-lb1in Ай бұрын
Mbona hujamtaja rayvanny wakati tupo ulaya tokea leo nakuama
@officialelman2
@officialelman2 Ай бұрын
Uyu jamaa ni mropokaji sana WW una juwa wasani WA congo vizuri mbwaaa kabisa, generation hii una mjuwa Maître gims sawa ww
@choeursaintjeanmarie
@choeursaintjeanmarie Ай бұрын
🤣🤣🤣
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Ай бұрын
Bro tueshimiyane basi ata kidogo, kumlinganisha Diamond na fally, koffi, Gola,... Nikama kumlinganisha harmonize na diamond, kama diamond anavimbiya wa Nigeria leo nikwasababu from the beginning Congo tulimubeba kama mtoto wetu, papa wenba, fally, koffi, innos, wote wali beba msanii wenu, leo mnataka tulingalisha na mtoto mdogo tuliyemkuza. Ivi ukitowa diamond mkowapi kimziki afu yeye mwenyewe bado hawezi jaza show tunazo zijaza youtube sio kipimo cha ukubwa wa msanii jifunze mziki before talking nonsense.
@Wapoletz13
@Wapoletz13 Ай бұрын
Nah innossb sio this generation go check his background
@augu-rg2kn
@augu-rg2kn Ай бұрын
Bila kuwa saabu Gims dadju Youssoupha ninho ao ote niwa Congo 🇨🇩
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b Ай бұрын
Kuna tofauti ya utaifa na asili
@kakozimakongo8875
@kakozimakongo8875 Ай бұрын
Mfatilie mohombi wa congo 🇨🇩bro usicho kifaamu uliza
@user-ts8cm1rq2k
@user-ts8cm1rq2k Ай бұрын
Brother ww mnafiki sana leo unaongea ili kesho lie ndio mahana w2 wala.awakuzingatiii mshamba ww
@user-cw4gr1bl1x
@user-cw4gr1bl1x Ай бұрын
Tu ne peux pas comparer les chansons congolaises🇨🇩🇨🇩🇨🇩 avec ceux de la Tanzanie là tu fais une erreur
@dollabrucy
@dollabrucy Ай бұрын
Bro Congo hawapo kwenye Numbers za KZbin hao wanajaza Arena watanzania ndo maana hamuwezi fika mbali fatilia wasani wenye wanaishi ulaya wa Africa utachoka tanzania mnakua mnaomba Collabo kama mna numbers kwa nini wasani wakimataifa awawaombi Collabo
@bonrich717
@bonrich717 Ай бұрын
Huyu jama hajielewi
@user-kq9dg5id7c
@user-kq9dg5id7c Ай бұрын
Uko naongea vitu Aujuwi uyo daimondi Auwezi kujaza ata apa arena ya Belg ao niwa sani wa apo Tanzania uki taja fally uwe nae shima
@bonrich717
@bonrich717 Ай бұрын
Huyu jama hajielewi
@user-kq9dg5id7c
@user-kq9dg5id7c Ай бұрын
Uta shindana na watu wanao jaza arena 😂😂😂😂😂😂wewe ata wa nijeria wenywe
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,3 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
спидран по ютуб шортс 86 | Ушные свечи
0:35
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,6 МЛН