RECOVERY SESSION| TAZAMA JINSI YANGA WALIVYOFANYA MAZOEZI KWENYE MAJI.

  Рет қаралды 42,444

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@MagdalineKwezi
@MagdalineKwezi 8 ай бұрын
Kuna timu hapo Tanzania ina raha kama Yanga? Penda sana vijana wangu.Mwenyezi Mungu awpiganie mpate ushindi.🙏🙏🙏🙏
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 8 ай бұрын
Hamnaaa
@bibinyafuko
@bibinyafuko 8 ай бұрын
Amiin
@rehemabahati674
@rehemabahati674 8 ай бұрын
Best team in Africa ❤❤,
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 8 ай бұрын
Our time our happiness we love you Yanga 🔰🔰🔰🔰
@bonifasilameck9546
@bonifasilameck9546 8 ай бұрын
Kua ynga raha sna
@amaniomar1755
@amaniomar1755 8 ай бұрын
Pambaneni wanajeshi wetu tuko nanyi kwa dua 🎉🎉🎉
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 8 ай бұрын
Kama ulayaaa❤❤❤❤
@AishaAli-q9m
@AishaAli-q9m 8 ай бұрын
Love my team yani yanga inanipa burudani ila nkane jmn😂😂najikuta nacheka tu kashikilia chuma 😂😂
@bonifasilameck9546
@bonifasilameck9546 8 ай бұрын
Yanga raha
@maestrokiss7245
@maestrokiss7245 8 ай бұрын
Bacca is a swimming master
@amaniomar1755
@amaniomar1755 8 ай бұрын
Usisahau ni mzanzibali
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 8 ай бұрын
Ni mzanzibari wa kikojani
@maestrokiss7245
@maestrokiss7245 8 ай бұрын
Yanga raha sana
@dmswaggbamboostick4576
@dmswaggbamboostick4576 8 ай бұрын
😂😂😂oyaaa nkane mimi kambale😂😂😂🙌kibwana
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 8 ай бұрын
Nyie mayele akiona hivi anateseka
@SODAYABEMBA25
@SODAYABEMBA25 7 ай бұрын
❤❤masshallah my team and my brother's of yanga
@MubarakaRamadhani-vy1et
@MubarakaRamadhani-vy1et 8 ай бұрын
Walivyo washamba utasikia etiiiiii Majin yalikuwa Majin weeeeeee wakome SS hatuna mengi sana inshallah mora atujalie point 3 is possible god bless yanga
@claratango9262
@claratango9262 8 ай бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏
@ZaniaMohammed
@ZaniaMohammed 8 ай бұрын
Jamani nampenda sana aucho akiwa uanjani hana masikhara kila la kheri inshaallah pointi 3 kolo kashinda huku hivyo anazidi kutusogelea kwahio dua nyingi tunawaombea
@Zina-m2v
@Zina-m2v 8 ай бұрын
😂😂😂 sawaa nami nasema Inshaallah mwenyezimungu afanye wepesi tupate alama 3
@fredricknyamwe5163
@fredricknyamwe5163 8 ай бұрын
Hapo ni sawa kabisa kuweka mwili laini.
@salumkihuwi5495
@salumkihuwi5495 8 ай бұрын
Nyie chezeni tu kwenye maji mm nasubiri hiyo juma jumamosi muweke mnara wa 6 au 5
@Bquality
@Bquality 8 ай бұрын
Mbona nmeangalia hii video nkawa nacheka 😂😂😂😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 8 ай бұрын
DR Aucho unatumia nguvu nyingi sana Swimming relax hakikisha Elbo up
@Graciousmom679
@Graciousmom679 8 ай бұрын
Yanga Raha sana yn unaaangalia uku unatabasam😂😂😂
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 8 ай бұрын
Tunaomba Mungu ampe kocha hekima ya kujua watu alionao na timu anayopaswa kuifanya katika hao watu.
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 8 ай бұрын
Vijana km mbelee tofauti kule ulaya hapa TZ ila nyie mna enjoy sana kwa umoja wenu na upendo nawakubali sana vijana wangu Allah awatangulieni kesho tupate ushindi hata goli 2 zita tusogeza mbele.💚💚🙏
@hamzakasebele5251
@hamzakasebele5251 8 ай бұрын
Daaah kilabu langu aiseee!!! naenjoy navyo ona wachezaji wangu wakiwahappy
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 8 ай бұрын
Timu hii ni Tamu saana💚🧡💛🖤💪🏅
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 8 ай бұрын
Nakuomba Mallah wng eazidishie Afya uwezo kwenye kazi zao Inshaallah
@AbdulHassanSamwel-f5p
@AbdulHassanSamwel-f5p 8 ай бұрын
Yanga tamu jamaniiiiiiii 💛💛💚💚💛💚💚💚💚💚💚
@BsekoMimi
@BsekoMimi 8 ай бұрын
Chama letu 💚💛
@shijamachiya3832
@shijamachiya3832 8 ай бұрын
Mungu tusaidie ushindi kesho😊
@reggezawady4994
@reggezawady4994 8 ай бұрын
Good luck 💚💚💚
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 8 ай бұрын
Good work all the best be blessed all shalom
@SalminShemsuma
@SalminShemsuma 8 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko💚💚💛💛💛
@furahamoja6582
@furahamoja6582 8 ай бұрын
Kwa Raha hizi lazima mayele amiss jamn loooooo
@othmanali7408
@othmanali7408 8 ай бұрын
Natakani nicomment kitu juu ya mtu Fulani mana jiwe jepesi kwa yeye lakini Bora nisimtaje ..😅😅😅😅
@iddybakar1946
@iddybakar1946 8 ай бұрын
Team kubwaaa mambo makubwaa zaid natak kumuona kibwana anavyo swim
@MwaniPh
@MwaniPh 8 ай бұрын
The shark 🦈 kagoma kuogelea
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu 8 ай бұрын
I love yanga💚💛💛💛
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 8 ай бұрын
I love you yanga
@KudraEliasa
@KudraEliasa 8 ай бұрын
Iko poa San jmn yanga laha san🎉🎉🎉🎉
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 8 ай бұрын
I love my team
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 8 ай бұрын
Allaah Akbar
@danielkihombo488
@danielkihombo488 8 ай бұрын
Anaejiita shark sas kweny kuogelea kawa mende😂😂😂
@sadahamad6158
@sadahamad6158 8 ай бұрын
Kumbe huyu aucho yuwaongea 😂😂😂 mm humuona kimya mda wote
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 8 ай бұрын
Ila SKUDU😂😂😂😂😂😂😂Ndo maana Wananchi tunawapenda sana mashujaa wetu mnatufurahisha sana💚💛💚💛💚
@husseinmkwachu6071
@husseinmkwachu6071 8 ай бұрын
Wana-enjoy sana hawa WATU...👍
@NickOrion-th7no
@NickOrion-th7no 8 ай бұрын
Noma sana
@angelathanas5993
@angelathanas5993 8 ай бұрын
Wananchiii💚💛🔥🔥🔥🔥🔥
@raymondmboyi8459
@raymondmboyi8459 8 ай бұрын
Bacca noma kwenye kuogelea
@frankisaya5050
@frankisaya5050 8 ай бұрын
Jamani kuwa mwafamilia wa yanga Raha sana😅😅 haturogeki haoooooo
@LightnessCharlseKimaro
@LightnessCharlseKimaro 8 ай бұрын
Mazoezi mazuri
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 8 ай бұрын
Yanga mbigea🎉🎉🎉
@Dopa7MC
@Dopa7MC 8 ай бұрын
Wananchiiiiii 💛💚💛🔥🔥🔥
@FadyMoker
@FadyMoker 7 ай бұрын
Kibwana anasema yy ni kambale 😅😅
@mosesjohn8686
@mosesjohn8686 8 ай бұрын
Job ACHA kutegea na msheri😂 nkane pia 😂
@HasnatShaban
@HasnatShaban 8 ай бұрын
Wahooooo😊
@maulidsaid4280
@maulidsaid4280 8 ай бұрын
Mwamnyeto apate psychologist
@melkizedekLyimo
@melkizedekLyimo 6 ай бұрын
❤❤❤
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 8 ай бұрын
yani kuna wengine tafrani..kocha kaanza kukita mguu wa left wengine wanakita wa kuliaaaa ooo😀😀😀
@elment7269
@elment7269 8 ай бұрын
Skudu yan kama last born kumbe ndio mzee kuliko wote 😅 vituko vituko tuu
@betshebadaniel1014
@betshebadaniel1014 8 ай бұрын
😅😅
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 8 ай бұрын
kwa nkane vip
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
Aucho kashakuwa mswahili bado tuu kukijua kiswahili chenyewe 😂😂🎉🎉
@mathiasmushi
@mathiasmushi 8 ай бұрын
Dah
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 8 ай бұрын
Gamondi anatamani lakini umri unamnyima raha
@angelathanas5993
@angelathanas5993 8 ай бұрын
😂😂😂
@ntakakasendebayi9992
@ntakakasendebayi9992 8 ай бұрын
Nkane morogoro hakuna bahari😂😂💚💚💛💛
@swaggerizedninjagoseprocom8523
@swaggerizedninjagoseprocom8523 8 ай бұрын
Skudu mbwembwe nyingi
@LatifahMaalick-nc6jd
@LatifahMaalick-nc6jd 8 ай бұрын
Kibwana... Mi kambare😂😂
@DavidMido
@DavidMido 8 ай бұрын
Daah maisha ya awa watu wafupi yanpndeza
@vibetz9991
@vibetz9991 8 ай бұрын
Nisipomuona Diarra,, bado nakua Sina Amani😢😢😢
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 8 ай бұрын
Yupo angalia vizuri
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 8 ай бұрын
Na metacha je 😅😅
@songombingo108
@songombingo108 8 ай бұрын
Hivi Madunduka huwa hawana haya mambo? Mbona siyaoni
@sajskodekijiko5063
@sajskodekijiko5063 8 ай бұрын
Kumbe KIBWANA SHOMARI ni KAMBALE na hamsemi😂😂😂😂😂
@georgettesaidi6809
@georgettesaidi6809 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 ай бұрын
Jibaleko mkwano gaucho
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 8 ай бұрын
Simuoni mdaka mishale mbona
@fadhilykayuki2786
@fadhilykayuki2786 8 ай бұрын
Wana mengi ya kujifunza kupitia Yanga
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@malietamaliet
@malietamaliet 8 ай бұрын
Mtu ukienda kule uongei na mtu lugha gongana uku watu Raha tupu kwanini usiseme umelogwa uku ulijiloga mwenywe kisa pesaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 8 ай бұрын
skudu anacheza mapiano kweny maji😂😂😂😂
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 8 ай бұрын
Hii timu ni hatari sana
@chollejr_
@chollejr_ 8 ай бұрын
Ivi skudu anakuaga criaz kweli😂😂😂😂😂
@asifusuleiman108
@asifusuleiman108 8 ай бұрын
Hili ndo jeshi la majini na nchi kavu
@MunirDaniford
@MunirDaniford 7 ай бұрын
Tukiwambia Gsm kaweka hela muwe mnaelewa jmn
@NickOrion-th7no
@NickOrion-th7no 8 ай бұрын
N hatari
@AminaAlex-e6f
@AminaAlex-e6f 8 ай бұрын
Yule Babu kule kashindwa kuongelea 😂
@magrethshishwa5481
@magrethshishwa5481 8 ай бұрын
Hizi raha huwezi ziona bunju😅😂😂🤣🤣
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 8 ай бұрын
💚💛💪
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 8 ай бұрын
Skudu kaja kupiga hela zetu
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 8 ай бұрын
💛💚💚
@malietamaliet
@malietamaliet 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 nkane kaoga kanaogopa adi swimming pool je ziwani unaeza kwel
@Last...born28
@Last...born28 8 ай бұрын
Yaani skudu🤣🤣🤣🤣
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
Kanichekesha hata mimi
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 8 ай бұрын
Bacca anakata maji😅
@damianmcba9525
@damianmcba9525 8 ай бұрын
Aucho utamuweza wapi bacca,,,mpemba huyo wanashinda baharini hao
@hidayahassan8014
@hidayahassan8014 8 ай бұрын
Skuduuuuu mammaweeee😂😂😂
@bennamush4616
@bennamush4616 8 ай бұрын
😂😂😂
@chollejr_
@chollejr_ 8 ай бұрын
😅😅😅mnakula bata t
@konjeitz4918
@konjeitz4918 8 ай бұрын
Atar
@kisamosch2nel648
@kisamosch2nel648 8 ай бұрын
Diara simwonii
@mbarakapandu101
@mbarakapandu101 8 ай бұрын
skudu haachi Vituko hadi raha sema bacca km
@cchuwa6980
@cchuwa6980 8 ай бұрын
Ila skudu 😂😂😂😂😂 kwa uogeleaji huo wakuchunge sana wasikuache peke yako utakufa maji
@Lim-v9w
@Lim-v9w 8 ай бұрын
Job muongo kichizi!!😂
@ahamadnalinga6825
@ahamadnalinga6825 8 ай бұрын
Nkane muoga sana 😂😂
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 8 ай бұрын
Mbona Kuna wategeaji na waona kwani ni wanajeshi gani Wana shidwa kufata maagzo ya mwalimu naona wanachok
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 108 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 748 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 58 МЛН
UTAPENDA UTANI WA MASSANZA NA MAROUF TCHAKEI
3:23
BLACK STARS TV
Рет қаралды 2,2 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 7 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 108 МЛН