Reggae la Wanamuziki Mitaani ( 'Buskers'), London

  Рет қаралды 83

Kwa Simu Toka London- Na Freddy Macha

Kwa Simu Toka London- Na Freddy Macha

Күн бұрын

Krismasi 2022 inajongea. Mitaa mikuu ya London imetimba watalii, masela na familia. Hapa ni Picadilly Circus - magharibi ya jiji.
Mpiga besi , Lion, toka Jamaica na mwimbaji wa Kibrazili wakitumbuiza nyimbo za hayati Bob Marley.
Utagundua mfuko chini ambapo mashabiki hudondosha senti. Picadilly Circus, pana kismati au fursa kwa hilo; na hugombaniwa sana na wasanii.
Shughuli hii huchangia ajira za wanamuziki siku wasipokuwa na 'magigi' ( maonyesho) ya kulipwa.

Пікірлер
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 575 М.
British Accents: LIVERPOOL / SCOUSE
6:31
English Like A Native
Рет қаралды 4,2 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Hali ya Kiswahili - Mahojiano na Obanda - Sehemu ya 1
10:58
Kwa Simu Toka London- Na Freddy Macha
Рет қаралды 257
Inside 29 Million, 4 Bedroom Maisonette - House Tour // DREAM HOUSE
21:36