Rehema Simfukwe - Neema Yako (Live Music Video) SMS Skiza 9841078 to 811

  Рет қаралды 4,609,845

Rehema Simfukwe

Rehema Simfukwe

Жыл бұрын

Neema Yako ni wimbo wa Dua kwa Mungu kwenye yale mambo ambayo yamekua maombi yetu ya muda mrefu kwa Mungu wetu na mengine tumeyakatia tamaa kwani katika Neema yake ipo nguvu ya kuendelea mbele, Katika Neema yake ipo nguvu ya kuanza upya! Katika Neema yake ipo nguvu ya kushinda yale tuliyoyashindwa!
Neema Imefunuliwa!
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa. Tito 2:11-12
Live Recorded at Ubungo Plaza
Music Director - Samuel Yonah
Video Director - Huruma Charles
Assistant Director - Kababah_digital_media
Video Editor - Fredrick Stephano
Audio Captured by Sam Mboya - choosenrecordsinternational
Audio Mastered/Mixed by Samuel Yonah - samyonstudios
The BAND (Vocals&Musicians) - Team Halisi
MD/Arranger|MainKeyz: @samyonah.tz
Drums: @_officialhans
Bass: @topbeyz
Guitar 1: @andrewmichaelkan
Guitar 2: @kaz.benjamin
Acoustic🎸: @bezalelmwandete
Aux 1 (Synth Lead): @am_keifer
Aux 2 (Brass//synth chord): @fred_yonah
Aux 3 (Marimba/Bells/synth): @nasamwa_keys
BACKVOCALS :
(Soprano)
@jennifer_ulomy
@jackieayub
@mellyrites
sherie
@markybeyz
(Alto)
felister
@lizblecng
@nejamaly
@sarahjohnmenas
(Tenor)
masolwa
@georgesangiza
@joshualugendotz
@haggaimic
LIVE SOUND:
Live Audio Engineer FOH: @gadi_sl 🔥
MonitorBvs: @therealmujwahuki_mj
MonitorLVs&Music: @b_ngowi
FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd
Truss : @soundmusictz
Hospitality: @lightness_rhody
---
Make-up & Rehema’s dress & designer: @shatafrika
Ladies: @kuyacreations
FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd
Truss : @soundmusictz
Decoration/LED Screen
@simplyspecialdecor255
Lights: @allanlighting & joram
Lyric interpreter- Venisia Zephaniah
Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
#RehemaSimfukwe #NeemaYako #MusicVideo

Пікірлер: 2 500
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 9 ай бұрын
Huu wimbo ulifanya ni badilishe dini wakristo mnipokee kwa mikono yote miwili 🎉 tumsifu Mungu 🎉🎉🎉🎉
@eunicekariuki3139
@eunicekariuki3139 7 ай бұрын
welcome to the Kingdom, may the holy spirit put a seal on your salvation
@HappyLema
@HappyLema 7 ай бұрын
Karibu saanaaaa,Yesu anakupenda mnooo❤❤❤❤❤❤
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 7 ай бұрын
​@@eunicekariuki3139❤❤❤ Amen🎉
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 7 ай бұрын
​@@HappyLema❤❤❤ Amen be blessed 🎉
@HappyLema
@HappyLema 7 ай бұрын
@@NYAHURURU_ICON amen
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Neema yako nahitaji Bwana Ndugu zangu wote waokoke. Mungu azidi kukuinua Rehema
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 Жыл бұрын
Nabarikiwa na huduma Yako saana mtumishi , Mungu ameweka thamani kubwa kwenu Kwa kizazi, Mungu awainue saana .
@robertonlinetv8908
@robertonlinetv8908 Жыл бұрын
Amen 🙏 dad more blessing to you in the Mighty name of Jesus Mungu awajalie ndugu zetu
@anethdanfrey5238
@anethdanfrey5238 Жыл бұрын
You are blessed man of God. Umegusa roho za wengi
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 Жыл бұрын
Ev. Boaz Danken Mungu aendelee kukutumia. Napenda unavyowaunga mkono waimbaj wenzako.
@samwelymchomvu5385
@samwelymchomvu5385 Жыл бұрын
Barikiwaaa
@worldofworders5070
@worldofworders5070 10 ай бұрын
God God funua neema yako kwa wote wano soma hii comment iwe kwa ajili ya familia ,pesa biashara au afya zao
@elizabethapolinarymatemu5698
@elizabethapolinarymatemu5698 4 ай бұрын
Amen
@BupeElly
@BupeElly 4 ай бұрын
Amen amen
@ClariceWakilo-cv5zg
@ClariceWakilo-cv5zg 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@reginamusembi477
@reginamusembi477 Ай бұрын
Amen Amen
@TumainiHassan-bd2wj
@TumainiHassan-bd2wj 24 күн бұрын
Amen.
@dianandinda83
@dianandinda83 Ай бұрын
Haya ni maombi yangu kwako Wote ninaowapenda wasipitwe Na neema yako Basi ikiwa ipo ahadi Ya kuingia rahani mwako Sitaki kukosa Na niwapendao Haya ni maombi yangu kwako Wote ninaowapenda wasipitwe Na neema yako Na neema yako Funua neema yako Familia yangu ikujue Funua neema yako Marafiki zangu wakujue Funua neema yako Mataifa yote yakujue Neema yako Eeh Yesu Tusipitwe na neema yako
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 Жыл бұрын
Wale ambao familia zetu walitokea kwenye uislam , tunaomba waliobaki nao wasipitwe na hii neema . Weka likes
@isayamwakabenga3621
@isayamwakabenga3621 Жыл бұрын
Uamsho juu ya uamsho🔥🔥🔥
@sarahprudence4117
@sarahprudence4117 Жыл бұрын
Amen
@germamassae9037
@germamassae9037 Жыл бұрын
Hongera sana Wifi yangu Rehema Bwana aendeleee kukutumia.
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Amen familia yangu yote itatoka huko
@kelvinmapunda7483
@kelvinmapunda7483 Жыл бұрын
Kawahubirie Injili! 😇
@ericgichane1608
@ericgichane1608 Жыл бұрын
This song is such a powerful prayer, I can't stop listening, GIVE A LIKE to appreciate Rehema Simfukwe, a voice of Grace in our times ........ My 2023 Prayer Do it for me, Lord Jesus ..... FUNUA NEEMA YAKO😭😭😭
@goodluckrahim5210
@goodluckrahim5210 Жыл бұрын
Haya ni maombi yangu nisipitwe na neema yako Mungu
@thekingdomlegacy231
@thekingdomlegacy231 Жыл бұрын
I tell you. I find myself singing along so loud in the house!!
@nelsonmoti7282
@nelsonmoti7282 Жыл бұрын
X f
@victorypraisechoir8687
@victorypraisechoir8687 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aIDGaKefp9CjrMk
@oliveraaronkachepele1622
@oliveraaronkachepele1622 Жыл бұрын
My song of months
@mswairimuslifestyle4371
@mswairimuslifestyle4371 3 ай бұрын
Funua neema yako over my mum health she has been sick for 7 years now... And as i right this now she is unwell and everyone is confused but qe are trying our best to help her. At this moment i call on God funua neema yako over my mums health mataifa wote yakujua cozni belive she wake up on her bed and walk again in Jesus name
@peternjora6346
@peternjora6346 3 ай бұрын
Neema Ya uponyaji itafunuliwa juu yake❤
@bernardkiarie6028
@bernardkiarie6028 2 ай бұрын
​@@peternjora6346yoy
@felystarzorwaru6157
@felystarzorwaru6157 2 ай бұрын
🫂🫂🫂🫂💗🙏
@alfredandakalu447
@alfredandakalu447 Ай бұрын
God healing upon her
@dorcasmutua5262
@dorcasmutua5262 Ай бұрын
🫂🫂🫂🫂🫂Neema ya uponyaji Iko juu yake❤
@mdawidatiki6960
@mdawidatiki6960 Жыл бұрын
When I was a kid (probably 9 or 10 years old), i asked my mum quite a futuristic question;WHO COMPOSES GOSPEL MUSIC?Her response was ;they are composed in heaven then let down to earth to be sung by God's appointed people.This song is one of them!
@cynthiamuriithi4678
@cynthiamuriithi4678 Жыл бұрын
Amen 🙏
@evansmurage9112
@evansmurage9112 Жыл бұрын
Wow. This feels unexplainable
@janeongachi4377
@janeongachi4377 Жыл бұрын
Im blessed always
@hellennjoki3710
@hellennjoki3710 Жыл бұрын
Very true
@gracenyawera4219
@gracenyawera4219 Жыл бұрын
100%
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Жыл бұрын
Powerfull Ministration 🔥🔥🔥🔥🔥. Hii Neema Isiwapungukie Marafiki na Ndugu zetu 😭😭😭🙏🏽😭🙏🏽🙏🏽
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 Жыл бұрын
A collabo please 🙏
@victorypraisechoir8687
@victorypraisechoir8687 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aIDGaKefp9CjrMk
@SadickMoses
@SadickMoses Жыл бұрын
Hongera sana dada yangu nabarikiwa sana MUNGU azidi kukutumia zaidi,
@SadickMoses
@SadickMoses Жыл бұрын
Ndugu zangu wasipitwe na neema ya MUNGU
@florenceneno911
@florenceneno911 Жыл бұрын
Nyimbo zako zanibariki xana
@osmanhamadiosman8636
@osmanhamadiosman8636 Жыл бұрын
Am a Muslim but this song nasikia wepo wa mungu n wimbo unao nibariki Kila wakati
@davidmuya3
@davidmuya3 Жыл бұрын
@osman the Love of Christ is upon you my brother.
@johnsonminja8264
@johnsonminja8264 8 ай бұрын
❤Take it make yours God is real heaven is real
@EdgarLeonard-yp2rb
@EdgarLeonard-yp2rb 3 ай бұрын
Make sure you don't miss , heaven is real my dear
@user-xy9lj2sp7b
@user-xy9lj2sp7b 3 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mungu akukumbuke na uwapendao❤
@gladysnancy6097
@gladysnancy6097 23 күн бұрын
Neema ya Mungu isikupite, ingia rahani mwake kamili. Yesu anakupenda hata sasa, ukawe neema kwa familia yako
@shikuprecious_official
@shikuprecious_official 3 ай бұрын
Neema yako baba kwenye uzao wangu baba
@emmanuelrotich1321
@emmanuelrotich1321 2 ай бұрын
Leave a like if you're here at 2024 for every like I relisten the song it's so touching ..... Our families and loved ones to receive Jesus💝💝💝
@sophyschone2410
@sophyschone2410 Жыл бұрын
This is not just a song, its an intercession prayer,to interceed for souls🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@mr_kova.
@mr_kova. Жыл бұрын
Kabisa kabisa🔥🔥🔥
@Winter_Wills
@Winter_Wills Жыл бұрын
Indeeed
@itikakanyelela9104
@itikakanyelela9104 Жыл бұрын
It indeed is an intercession
@ImmanS991
@ImmanS991 Жыл бұрын
Sure
@noelielieza7353
@noelielieza7353 Жыл бұрын
@@mr_kova. gg
@joshuapiniel2977
@joshuapiniel2977 Жыл бұрын
Tanzania We are blessed Tanzania God loves us 🙌🙌🙌Dada Rehema Mungu akubariki kuna mahali nimetoka
@user-in7wx6ni6e
@user-in7wx6ni6e 3 ай бұрын
Today being April 5 i will come back to tell you guys what the lord is doing and will do a date like this.....and day ....., am struggling to pray for reunion for family members to reunite and be one as a Family guy pray for me likes za walking by God's grace and mercy we walk by Faith 💫
@joymwangi7584
@joymwangi7584 2 күн бұрын
You will testify
@jacobmutio
@jacobmutio Жыл бұрын
From Kenya ,when i listen to this song I find myself locked in my room crying to the heavens.Thank you Rehema,Tumika na mbingu zaidi
@monicahwairimu3170
@monicahwairimu3170 Жыл бұрын
Me too....😢❤
@ianjesse8525
@ianjesse8525 Жыл бұрын
Your not alone me too this powerful worship music find my self just crying 😭 from this song feel the presence of God
@josephmagessa5523
@josephmagessa5523 11 ай бұрын
@@ianjesse8525
@carolinemutiso8264
@carolinemutiso8264 10 ай бұрын
Ameeeen
@aronblesseddan5449
@aronblesseddan5449 Жыл бұрын
Ata kwa nchi yangu Kenya 🇰🇪 Neema ya Mungu isitupite🙏
@anithaanthony7922
@anithaanthony7922 10 ай бұрын
Thank you from Tanzania citizen s🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kibaliolive7325
@kibaliolive7325 5 ай бұрын
Amen. Thank you brother.
@carolinenanjala6346
@carolinenanjala6346 Ай бұрын
Amen amen and amen ❤
@khantronics
@khantronics Жыл бұрын
Funua Neema Yako Familia Yangu ikujue Funua Neema Yako Marafiki Wangu wakujua....That's my prayer🙌🙌....Glory to Jesus🥺
@loicesmokes3585
@loicesmokes3585 Жыл бұрын
Nice song
@goodluckrahim5210
@goodluckrahim5210 Жыл бұрын
10:45
@goodluckrahim5210
@goodluckrahim5210 Жыл бұрын
10:45
@samuelnjihia4402
@samuelnjihia4402 Жыл бұрын
May it be so
@victoriambise190
@victoriambise190 Жыл бұрын
Watoto wangu wakujue Mungu...hata nikitangulia mbele ya HAKI..jina lako Yesu liandikwe ndani ya mioyo Yao .wewe ndiwe yote..wewe ni utoshelevu kwa Kila nafsi We Bwana..wewe ni asili ya mema yote .Nakupenda Mungu..nakupenda .naamin unaona Bwana.
@eliufoosimonchuri4160
@eliufoosimonchuri4160 3 ай бұрын
Bwana akujalie sawa na haja ya moyo wako. Nami naomba hivi kwa uzao wangu
@gabrieldevid9
@gabrieldevid9 17 күн бұрын
Hakika huu ni iujumbe unao nibariki sana rafiki😊. MUNGU atabaki kuwa MUNGU barikiwa sana.
@kulola
@kulola 16 күн бұрын
Whose here with me today hata nami sitaki kukosa halleluya
@hopemuturi8490
@hopemuturi8490 Жыл бұрын
There is an uprising of true worship and worshippers of God in Tanzania. Warm greetings from Kenya ♥️
@itsWANGARI
@itsWANGARI Жыл бұрын
Yes🥰 This song is a prayer
@missjane3595
@missjane3595 Жыл бұрын
Very true
@cynthiavugutsa523
@cynthiavugutsa523 Жыл бұрын
Very very true. More of God's grace upon them
@Therealukulele
@Therealukulele Жыл бұрын
I believe that God has remnants in every generation. He has released His Holy Spirit and a hunger for him all over. Be among the true worshipers in your country/state
@letsloveandshare7487
@letsloveandshare7487 Жыл бұрын
May God bless Kenya also
@justustiego.tiego.365
@justustiego.tiego.365 Жыл бұрын
Your songs are not just ordinary songs, but they always draw us closer to God. Hakuna mkristo kamili ambaye anaweza kupinga uwepo na nguvu za Mungu kwenye nyimbo zako, wacha Bwana azidi kukujaza na kukutumia jinsi apendavyo kwa ajili ya ukuu wake. Receive more grace from Nairobi Kenya!🙏🙏
@fredrickojiambo254
@fredrickojiambo254 Жыл бұрын
Nice
@san-yiwa1223
@san-yiwa1223 Жыл бұрын
@@fredrickojiambo254
@agiripinosimbeye1885
@agiripinosimbeye1885 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@atukuzwefelix755
@atukuzwefelix755 Жыл бұрын
Waàao Am blessed💝
@justustiego.tiego.365
@justustiego.tiego.365 Жыл бұрын
@@atukuzwefelix755 Amen, Glory to Jesus.
@Racine14
@Racine14 3 ай бұрын
Amen! Mungu akubariki dada @Rehema
@margaretkaswii5548
@margaretkaswii5548 6 ай бұрын
My 3month old is put to sleep not by lullabies but worship... Watching baby shark or listening to baby songs doesnt do magic but worship,worship!! Today, it was 'Adonai' that made her sleep😢❤❤❤😢❤
@serahmuthoni7735
@serahmuthoni7735 4 ай бұрын
You gotta a worshiper right there,...her spirit is alive and drawn to the spirit of God.
@margaretkaswii5548
@margaretkaswii5548 4 ай бұрын
@@serahmuthoni7735 Amen Amen and Amen. Thank you God🙌🏾🙇🏾‍♀️🙏🏾🙏🏾😪
@eliufoosimonchuri4160
@eliufoosimonchuri4160 3 ай бұрын
Asante sana. Will be doing this kuliko cocomelon and the like
@LvPanther-dp8tg
@LvPanther-dp8tg 2 ай бұрын
May the Lord keep you & forever hold your children in His hands. You're planting good seeds in them
@judithobiora8619
@judithobiora8619 Жыл бұрын
I am a Nigerian, I first watched this song on Trace Gospel and was touched, thank God for the translation, even without the translation the song has a way of connecting one to God with a heartfelt worship. This song is birthed from a place of prayer and worship. I had to download it without lyrics. God bless you ma for this!!!!
@omoragbonosaze396
@omoragbonosaze396 Жыл бұрын
Same here
@mussambelwa9566
@mussambelwa9566 Жыл бұрын
Ameen Man of God.....
@mohamedimponzi4975
@mohamedimponzi4975 Жыл бұрын
Amen be blessed the song is good 100%🎉🎉🎉🎉
@rahilaabdulkarimluka7354
@rahilaabdulkarimluka7354 Жыл бұрын
Same here
@ericmunyao5807
@ericmunyao5807 Жыл бұрын
Be blessed Judith Obiora
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 Жыл бұрын
Funua neema yako Yesu familia yangu ikujue,marafiki zangu wakujue,ndugu zangu,jamii yangu, Taifa langu likujue wewe neema yako izidi juu ya kila kitu maishani mwangu😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@jannyblessed
@jannyblessed 6 ай бұрын
I heard this song for the first time in a matatu to work today, I searched for it when I got to work, I have replayed it so many times, I sent to my family what's app group, I am now playing it and it makes me break down before God. May His grace abind in my household, career, finances, relationships, my children's destiny, in my foundations and all corners of my life and those that I love. Glory to God forever. I feel so healed and refreshed ❤
@deaconochieng1220
@deaconochieng1220 5 ай бұрын
That's what happened to me today...I love it!
@AngelMsowa
@AngelMsowa 5 ай бұрын
Funua neema yako familia yangu, maisha yng marafiki zangu wakujue . That's my prayer 2024🙏
@JoseLittoh-
@JoseLittoh- Жыл бұрын
Neema yako Yesu iwe nasi kila mahali na kila maeneo.. Bila Neema yako hatuwezi... Powerful 🔥 🔥 🔥 🔥 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@victoriamima2547
@victoriamima2547 Жыл бұрын
This is not just a song It's a prayer HALLELUJAH NIFIKISHENI 1K PLZ
@millyetyang-dx2vv
@millyetyang-dx2vv Жыл бұрын
Soooo touching ooooooh neeeeemaaa yako yesuuu😭😭😭😭 Barikiwa rehema
@husenitamba9918
@husenitamba9918 Жыл бұрын
Neema yako yesu Neema Neema family yangu ikujue yesu
@emmanuelmatete6963
@emmanuelmatete6963 Жыл бұрын
We can't do anything without your grace ....... Worshipers from Kenya just wave
@marygathoni1905
@marygathoni1905 Жыл бұрын
👋 may the grace be sufficient in all of us the God we serve
@faithkavata9443
@faithkavata9443 Жыл бұрын
👋
@marygathoni1905
@marygathoni1905 Жыл бұрын
👋
@faithwamboi3181
@faithwamboi3181 Жыл бұрын
👋
@clemencewakesho1312
@clemencewakesho1312 Жыл бұрын
👋
@patrickkubuya
@patrickkubuya Жыл бұрын
Ameeeeeeen Nisikose kukulaki hewani Yesu, hio ni ombi langu
@sharonwanjiku77
@sharonwanjiku77 Жыл бұрын
Amina ❤️
@annsimiyu8428
@annsimiyu8428 4 ай бұрын
Funua neema yako watoto wangu wakujue, neema yako mume wangu akujue,neema yako familia yangu ikujue,neema yako ndoa yangu ikujue,neema yako marafiki wangu wakujue,neema yako taifa langu likujue.
@spensarfulgence4754
@spensarfulgence4754 11 ай бұрын
Huu wimbo umefanyika baraka kwa kila asikilizae Top song 🎉
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 Жыл бұрын
Funua NEEMA yako, FAMILIA yangu ikujue, Ili tusipitwe na NEEMA yako Eeh YESU. 😭😭❤️❤️😭😭
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 Жыл бұрын
Kwa sasa Tanzania tunamtukuza Mungu kwa viwangi vya juu saaana dada neema be blessed with this song wote ninaowapenda naomba wasipitwe na neema yake Yesu
@MargaretKinyanjui-dr6og
@MargaretKinyanjui-dr6og Жыл бұрын
Mungu funua neema yako nchini kenya🙏
@mercysemeyian1010
@mercysemeyian1010 3 ай бұрын
Ill not get enough of this sing😢funua neema yako bwana
@eagtmwangazachurchdodoma
@eagtmwangazachurchdodoma Жыл бұрын
I dedicate my Prayers with this song to all Tanzanianis to know Jesus
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 Жыл бұрын
Ameen
@happinessmisanga4944
@happinessmisanga4944 Жыл бұрын
Amen I second u let our dear citizens know the Lord
@drinahmmboka8046
@drinahmmboka8046 Жыл бұрын
Fungua neema yako yesu😭😭😭😭
@adamphinias2457
@adamphinias2457 Жыл бұрын
amen
@marionwanjiku4226
@marionwanjiku4226 Жыл бұрын
Asanti kwa kutumika na roho mtakatifu ku release such a powerful song, Kenyan 🇰🇪 iam blessed. Neema yake kweli yatosha
@jescacharles2274
@jescacharles2274 Жыл бұрын
Balikiwa sana Kwa wimbo mzuri umenibarikii agins
@ArkamaMuabesh-sc7eg
@ArkamaMuabesh-sc7eg Жыл бұрын
Funua Neeme yako familia,ndugu zangu wakujue,ubarikiwe mtumishi Mungu azidi kukutumia🙏🙏🙏🙏
@magdalenaphilimon9641
@magdalenaphilimon9641 21 күн бұрын
Mungu naomba nisipitwe na neema yako mtoto wangu,familia yangu,wazazi wangu Mumewangu marafiki zangu wote wasipitwe na neema yako
@ministerjeremyjeradi254
@ministerjeremyjeradi254 Жыл бұрын
Powerful ! God bless you my Sister ! Much love from NAIROBI KENYA ! FUNUA NEEMA YAKO 🔥
@druthjohn7622
@druthjohn7622 Жыл бұрын
Tupo wengi... 🇰🇪 Baraka Tele kwa kila asikiaye huu wimbo
@JKINGS123
@JKINGS123 Жыл бұрын
Huo wimbo mzuri sana na una nguvu every time listening to it nabarikiwa sana 🙏
@DeborahMushi-fs2xw
@DeborahMushi-fs2xw Жыл бұрын
Mimi atasijui nimpe Nini Mungu wangu, kweli ila Mungu anajua shukrani za moyo wangu kwake, Ameeeen
@julianas2072
@julianas2072 Жыл бұрын
Wimbo wangu wa kila siku, neema isipite wote niwapendao Yesu nakuomba.
@dorcasmagondu2729
@dorcasmagondu2729 Жыл бұрын
Naomba unapofunua neema yako usitupite na sisi tuliochekwa tukaonekana hatufai mbele za macho ya watu
@irenebiddiz3732
@irenebiddiz3732 Жыл бұрын
Powerful song nimesikiliza mara 200 zaidi jamani,Yesu usiwapite familia zetu
@rebecaomary8103
@rebecaomary8103 9 ай бұрын
Wimbo umefunikwa na wingu la Mungu mwenyewe.Mungu asikie maombi haya. Wapendwa wetu wafikiwe na hii neema ya Mungu. Waokolewe
@kenwafula3163
@kenwafula3163 Жыл бұрын
May God bless you sister I like this song so much 🙏🙏🙏🙏🙏 am from bungoma
@viviansekei5258
@viviansekei5258 Жыл бұрын
Familia na rafiki zangu wasipitwe na NEEMA YAKO 🙌🏽. Ni Neema yako pekeee yatoshaaaa! Napokea Baraka hii kwa utukufu wa Bwana!! Barikiwa Sanaa Sis , Mungu akufikishe viwango kwa viwango, kwa kuendelea kuvuta watu kwake Yesu kristo. Umebarikiwa hakika!! 🙏🏽
@robertmabruki3531
@robertmabruki3531 Жыл бұрын
Kama hujawahi kupambana na roho za familia na asili, huwezi kuelewa kitu Roho mtakatifu ameshusha kupitia wimbo huu. Wimbo huu umenifanya nimeijua neema ya Mungu kwa mtazamo mwingine mpana sana. Nimefahamishwa mambo mengi ya kifamilia na asili zetu katika mtazamo wa neema ya Mungu. Sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Amen
@judithdafa3346
@judithdafa3346 Жыл бұрын
Amen🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@edwinmahenge5187
@edwinmahenge5187 9 ай бұрын
​@@judithdafa3346Amen
@edwinmahenge5187
@edwinmahenge5187 9 ай бұрын
When i hear the song ireal enjoy
@CCNK78
@CCNK78 3 ай бұрын
Amen!!
@chrissjoseph8279
@chrissjoseph8279 Жыл бұрын
Nimeliya sana kweli, nashindwa niseme Nini... Neema Yako Yesu 😭😭😭😭😭
@AnetMhaya-xf8ez
@AnetMhaya-xf8ez Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana nauwu wimbo nakupenda sana dada yangu mungu akubariki
@elishamwakasege9794
@elishamwakasege9794 Жыл бұрын
Love this song from South africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@cathrinkathy9468
@cathrinkathy9468 Жыл бұрын
Dear Lord🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲 Eeh Yesu naomba neema yako isinipite mimi na familia yangu
@fredmwangi2876
@fredmwangi2876 Жыл бұрын
Tanzania is ministering nations,more grace Rehema
@immaculatekyamanywa435
@immaculatekyamanywa435 10 ай бұрын
God answered one of my prayers around June this year and immediately i played this song. For that whole i played and sang it in the office to the level that my colleagues started singing. Now i am away from the country and one of my colleagues sent me a msg saying...today i listened to Neema yako and i miss you! I know it wasnt just a song something powerful moved them through this song. Endelea kubarikiwa Mtumishi!
@eunicekariuki3139
@eunicekariuki3139 7 ай бұрын
Amina
@jacquelineerasto1971
@jacquelineerasto1971 Жыл бұрын
Haya ni maombi yangu kwako wote niwapendao wasipitwe na Neema yako Funua Neema yako Familia yangu ikujue Funua Neema yako Marafiki zangu wakujue🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@pauljoel
@pauljoel Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana wenye nguvu,hakika haya ni maombi 🔥
@joycechumbi9529
@joycechumbi9529 Жыл бұрын
T
@user-st8zl4vj2m
@user-st8zl4vj2m Жыл бұрын
grat hit,,,neema yako bwana iongezeke
@judykawira1223
@judykawira1223 3 ай бұрын
Funua neema yako kwangu(you know my state) however sitaikana injili,sitalikana jina lako,familia yangu(mom and bro),my hubby(You know his desires for the Kingdom) and my church (where you have instructed us to worship and minister from) and finally our little blessing Adie Debbie..we have given her back to you, she will not love the world and anything found in it.We are raising her for the kingdom.She will love you, she will find pleasure in preaching the gospel and worshiping at your feet.I am gld for i will be back to this comment not long from noww.
@getrudeshagora
@getrudeshagora Жыл бұрын
Listening this from 🇮🇶 iraq ,I can’t help but sob like a baby.. this song is my prayer😭😭😭
@tiinitheophas1332
@tiinitheophas1332 Жыл бұрын
Be blessed
@getrudeshagora
@getrudeshagora Жыл бұрын
@@tiinitheophas1332 Amen
@adamphinias2457
@adamphinias2457 Жыл бұрын
Grace of God is upon you!
@gradnessrojas8343
@gradnessrojas8343 Жыл бұрын
YESU Wangu ongeza neema katika maisha yangu , familia yangu na pia kwa watanzania wenzangu wote na nchi yangu ya TANZANIA ❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@doreengaspar6772
@doreengaspar6772 Жыл бұрын
Day a
@gabrieldevid9
@gabrieldevid9 9 ай бұрын
🇹🇿Amina barikiwa pia ndugu maana niwachache wanaoweza kuwaombea na wengine🙏
@Asaph_Daniel.
@Asaph_Daniel. 6 ай бұрын
All the way from Nigeria.... Believe me this has blessed me in no small way❤. God bless you ma
@geraldmwanzia7947
@geraldmwanzia7947 6 ай бұрын
Neema ya Mungu itutagulie kwa wote tunaomtumaini yeye Kweli Mungu ni mkuu sana
@mervynsande9497
@mervynsande9497 Жыл бұрын
This song looks into the situation in many African families, friendships and nations. May God's grace be abundant in helping our society turn to Him wholly🙏
@lucyberyl7482
@lucyberyl7482 Жыл бұрын
I don't know why am crying but my desire is to see those around me being saved,how sweet will it be when we dine together in Heaven with family,friends and everyone ,God convict your people through the Holy spirit,your Grace is sufficient 👌🙏I believe
@noelkhaday5673
@noelkhaday5673 Жыл бұрын
wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako😭😭
@pceodhc
@pceodhc 3 ай бұрын
Yesu funua wema wako kwenye maisha yangu ili familia na marafiki zangu wazidi kukujua na utukufu ukurudie wewe! Naomba na kuamini! Amen! 🙏🏾
@Clareeihe2
@Clareeihe2 Жыл бұрын
Lets give it up for the Back vocalist... Indeed this is my Prayer for My people
@celinashauri6362
@celinashauri6362 Жыл бұрын
I've worshipped and pray whole night dwelling in God's mercy with words on this national anthem 😭😭😭🙌🙌🙌 I got different visions and chance to touch some hearts in players.. you are my blessing for years WoG.. may God keep you Safe and Secure for many souls and generations yet to come😭🙌🙌🙌
@tevinlove9469
@tevinlove9469 Жыл бұрын
May His grace exceed on us amen
@noelielieza7353
@noelielieza7353 Жыл бұрын
@@tevinlove9469 hi t
@sarahmbonea7651
@sarahmbonea7651 Жыл бұрын
Neema yako Mungu wangu ifunue kwenye familia yangu
@mashakajeremiahnkinda452
@mashakajeremiahnkinda452 6 ай бұрын
Hakika ukristo stautelekeza na kristo stamtelekeza naomba imani yang isipungue kristo Bwana❤❤❤❤
@nasherapeter8653
@nasherapeter8653 11 ай бұрын
Ee bwana neema yako isinipite pamoja na familia yangu❤
@jeffrweza4089
@jeffrweza4089 Жыл бұрын
May Russians and Ukraine get to know and understand you through this song Jesus..🙏🙏
@gabrieldevid9
@gabrieldevid9 9 ай бұрын
Amen🥰
@nixonmugo8207
@nixonmugo8207 3 ай бұрын
Amen
@consolatawamaitha4892
@consolatawamaitha4892 Жыл бұрын
Tanzania u are such a blessing.i love gospel songs from tanzanian because they are spirit filled.mubarikiwe Sana gospel artist from tanzania much love from🇰🇪🇰🇪
@indoshimilliemmayi
@indoshimilliemmayi Жыл бұрын
There is power in worship, hata kama sitaona muujiza bado nitamwamini mungu milele.
@LifeHealth26
@LifeHealth26 Жыл бұрын
Pokea miujiza yako in Jesus name
@adamphinias2457
@adamphinias2457 Жыл бұрын
kuwa hai tu ni muujiza ndugu,, majira mema unayoyatarajia yapo mlangon mwako pokea kwa jina la yesu!
@jeanlucsimonbarabwiriza1381
@jeanlucsimonbarabwiriza1381 Ай бұрын
Hallelujah amen nyimbo nzuri sana, eeeee baba wambinguni turyeuze myoyo yetu, tujaze neema yako baba 🎉
@benedictoryona3086
@benedictoryona3086 Жыл бұрын
My father was slave of alcohol and marijuana my mom used to pray for him and the Grace of God 🙏 saved him,wamesalia wadogo zangu leoo naililiaa Neema ya Mungu iwafungue😭😭😭## wokovu ni Neema🙏🙏
@judithdafa3346
@judithdafa3346 Жыл бұрын
God will make a way for them🙌🏼so sorry!
@mercykendi4723
@mercykendi4723 Жыл бұрын
Neema Yako yesu isipite kwa maisha yangu na familia zetu- much love my sister from Nairobi Kenya 🇰🇪
@athumanmagogo2870
@athumanmagogo2870 11 ай бұрын
Mercy hbr ya kwako
@user-hh5kk8up6z
@user-hh5kk8up6z Жыл бұрын
Fungua neema yako marafiki wangu wakujue 😭😭😭😭😭😭😭
@LevinaKawindi-us4ui
@LevinaKawindi-us4ui 11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo wako dada mungu akubariki sana Kila uingiapo na utokapo
@rahelynocha642
@rahelynocha642 Жыл бұрын
Jesus your grace🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@pastorsafari6087
@pastorsafari6087 Жыл бұрын
Powerful. Ubarikiwe sana Rehema. We thank God for your ministry
@TabithaNdungu-fd5lm
@TabithaNdungu-fd5lm Жыл бұрын
Wow 🎉naomba Mungu afunguwe neema yake Kwa familia yangu Kwa ajili. Ya uponaji na success beyond my imagination ❤
@Rebecca-md3ff
@Rebecca-md3ff 3 ай бұрын
Nafsi yangu ikujue,familia,mume,watoto,wazazi wangu wakujue..wewe ndiwe mueza yote,hatuwezi bila wewe,naomba neema yako katika kila hatua nayoichukua🤲🙏niongoze katika biashara&ndoa yangu....naomba neema yako katika tabia za kifamilia...🤲🙏
@wairimundichu5973
@wairimundichu5973 Жыл бұрын
My prayers Tonite.... Love from 🇰🇪... Ewe Mungu funua neema Yako Kwa wakenya wote...
@mwaminilameck9845
@mwaminilameck9845 Жыл бұрын
Nakuombea AFYA NJEMA,uzidi kutukuza Mungu kwa Uzuri na Utakatifu wake.
@AbigailyBintmfalme-go4lj
@AbigailyBintmfalme-go4lj 11 ай бұрын
Maombi yangu kwako Yesu Kristo, Neema yako iwafikie na family yangu pia,Amen
@eunicekioko2795
@eunicekioko2795 Жыл бұрын
Eee Bwana funua neema Yako kwetu,,bila hii neema hatuwez lolotee🙌🙌🙌🙌🙌
@isaacsimalif6185
@isaacsimalif6185 Жыл бұрын
NEEMA yako bwana isitupite , much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Asant Sana Bwana Yesu kristo Kwa Neema yako imebeba Maisha yangu 🙏❤️😭🙌 @Rehema Mungu akubariki Sana Dada mtumishi uzidi kuhudumia ROHO za watu 🙏🔥❤️💃
@ericsilversmarage8737
@ericsilversmarage8737 3 ай бұрын
Neema yako MUNGU yatosha. Your Grace GOD is sufficient. Thank you GOD ALMIGHTY
@LisetteTambwe
@LisetteTambwe 3 ай бұрын
Asante kwa Mungu kutupatiya dada rehema n'a nyimbo unziri Yaku siku naku abudu.❤❤❤funua neema nyumba yangu ikuwe kama naku sifu nakuku adubu zaidi ya sana
@sharu1452
@sharu1452 9 ай бұрын
This song was taught to me by my Tanzanian friend. ❤❤❤. Huu wimbo inanibariki kila siku ninapoiskia. Ombi langu ni kwamba neema ya bwana itafikia familia yangu nzima na pia marafiki wangu wote. Thank you so much Simon for teaching me such an amazing song.❤❤❤ Neema ya Mola iwe nawe siku zote ya maisha yako. Will miss you so much
@annmbugua5605
@annmbugua5605 Жыл бұрын
I've been listening to this song everyday and yet can't get enough of it ,,Yani I'm feeling like ni kama Nini niliimbiwa huu wimbo at this time familia yangu Ina changamoto,tufunulie neema Mungu wetu 🙌😭
@ryanmusyoki4972
@ryanmusyoki4972 Жыл бұрын
Ezra 8:23 we fasted and petitioned our God about this and He answered our prayers 🥺❤️💯🙏
@graceanamlay5154
@graceanamlay5154 Жыл бұрын
what a powerful spiritual song❤ Tunamwona mung kupitia Dada Huyu Am personal greatfull🎉tubarikiwe wote❤
Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA  79110098 to 811
9:24
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 16 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 37 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 76 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 37 МЛН