Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

  Рет қаралды 12,971,567

Rehema Simfukwe

Rehema Simfukwe

3 жыл бұрын

Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.Wafilipi 4:12
Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene. Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa. Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote.
Live recorded at: Shillo Studios
Audio captured by: S&M Entertainment
Mixed/Mastered by : Samuel
Video captured by : Upendo Media
Video Edited by: Fredrick Stephano
Video Directed by : Huruma Charles
Music Directed by; Samuel Yonah
Musicians & Vocals:
Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
#RehemaSimfukwe#Chanzo#GospelVideo

Пікірлер: 4 400
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 4 ай бұрын
2024 Bado ukiisiliziza unaskia uwepo wa MUNGU ndan yko😢 halleluyaa
@Epimack_s
@Epimack_s 4 ай бұрын
Philippians 4:12-13 12 I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. 13 I can do all this through him who gives me strength. AMEN
@boazwambua387
@boazwambua387 8 ай бұрын
I remember the first time heard this song I was arrested by the Holy Spirit and I cried like a child right in front of my wife and children..... The kids were like Daddy are you crying?... I couldn't control myself. Barikiwa sana Rehema Mungu azidi kukuinua... This is just a glimpse of how things will be in Heaven .... Just worshipping the KING OF KINGS, THE LORD OF LORDS, THE ONE WHO TELLS THE SEA THAT THIS IS THE FAR YOU CAN GO.
@rosena_-yw6tq
@rosena_-yw6tq 2 ай бұрын
thanks I would love to also listen​@Follow_JesusDaily
@alexojeto5658
@alexojeto5658 2 жыл бұрын
My son wasnt feeling okay last night and i and him hardly slept,today morning when i boarded a bus to work,this was the first song that was playing in the bus. I reached the office and quickly searched the song title and cried to God sababu yeye ndio chanzo cha uhai wake,some hours later i called the nanny to know how hes doing and was happy to hear that hes better and just playing around. Lord my heart is full,i will always praise you Jehovah even in the midst of darkness. Holy is your name
@FredGDangote
@FredGDangote Жыл бұрын
amen.bro.We praise God.
@TREASUREDVISIONER
@TREASUREDVISIONER Жыл бұрын
We bless God...
@FredGDangote
@FredGDangote Жыл бұрын
@@TREASUREDVISIONER true.
@mugodaniel1753
@mugodaniel1753 Жыл бұрын
Amen
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 Жыл бұрын
Praise be to God
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 3 жыл бұрын
Nyimbo kama hizi sio za kuandika ni direct kutoka kwa Roho Mtakatifu mwenyewe.....MUNGU akupe kuliishi kusudi lake na kuufikia utimilifu wa wito wako ....
@sarahchaggu7073
@sarahchaggu7073 3 жыл бұрын
Exactly.
@barakaephraim8367
@barakaephraim8367 3 жыл бұрын
Wewe wasema stay connected!
@anordalex7571
@anordalex7571 3 жыл бұрын
Yes nakubali, yani ni uhimbaji ulotukuka saana, unaoweza kumwinua Mungu kwenye kiti cha enzi akasema kweli duniani kuna watu.
@sylviakisanga7507
@sylviakisanga7507 3 жыл бұрын
yes
@joynyassy972
@joynyassy972 3 жыл бұрын
Amina, na apewe sifa Mungu mkuu
@Gikonyoea
@Gikonyoea 2 жыл бұрын
I've never admitted this to anyone but this is the only worship song that moves me to tears, and every morning at work because I'm always the first person to arrive...I put this song on full blast and I loose myself in God's presence...I end up crying my heart out singing this song and God did come through for me by surrendering myself completely to Him and from being a laughing stock for family members, to being unappreciated and underpaid at work God has opened the door for me to fly outside the country and work there during the world cup next year...truly Matthew 6:33 works, never loose hope, never go back to the world, God will come through for you!
@jmtvgospel2642
@jmtvgospel2642 2 жыл бұрын
Wow i love this
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 2 жыл бұрын
I'm get a power to keep gone even there cross wind ahead May God let me to be safe,not only me but with my family. Thanks My Lord Jesus Christ for the gift give to me 🙏🙏🙏
@pastorsallytv2024
@pastorsallytv2024 2 жыл бұрын
Powerful testimony Alvin
@praxykiki2091
@praxykiki2091 2 жыл бұрын
Congratulations bro,keep going Glory to God ,Glory to God.
@jerushanjiru3927
@jerushanjiru3927 2 жыл бұрын
Woooow this is awesome God our source of life!!! Blessings to you!
@sheilamabera2578
@sheilamabera2578 Жыл бұрын
Spiritual revelation to all those who have faced rejection and experience hardships in life
@mtoto_wa_Mfalme12
@mtoto_wa_Mfalme12 Жыл бұрын
10 Million Viewers 06/06/2023 Hawa watu wote Million 10 umewabariki kwa Wimbo huu. Mungu AKUBARIKI Mtumishi 🙌
@joycewangeshi6202
@joycewangeshi6202 3 жыл бұрын
May everyone listening to this song never lack favour before God's eyes.🙏
@mercymtitu3444
@mercymtitu3444 3 жыл бұрын
AMINA MPENDWA..THIS SONG BLESSES AND HEALS THE SOUL.
@florahangel1718
@florahangel1718 3 жыл бұрын
Amen and Amen. Same to you
@joynyassy972
@joynyassy972 3 жыл бұрын
Amen. this song is pure unadulterated worship sweet melody to our heavenly father hallelujah!
@geofreybonyo9762
@geofreybonyo9762 3 жыл бұрын
Amen and Amen
@faithkirui8350
@faithkirui8350 3 жыл бұрын
Amen
@WorshipHubwithChama
@WorshipHubwithChama 3 жыл бұрын
My neighbor just woke me up, with some loud music, instead of being angry, I had to search this song, What a song!.. what a song to wake me up.
@gwarawara887
@gwarawara887 3 жыл бұрын
Mungu ana njia nyingi
@JBB875
@JBB875 3 жыл бұрын
Glory to GOD
@emilyadhiambo7199
@emilyadhiambo7199 3 жыл бұрын
Me too, i forgot to close the television,this song woke me up,
@penelopestanley7021
@penelopestanley7021 3 жыл бұрын
Me too this song wake me up I heard it from my sister's phone.
@alphashila6957
@alphashila6957 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@JanethJanethjackson2024
@JanethJanethjackson2024 16 күн бұрын
Ninajua kushiba na kuona njaa katika yote wew bado upo 😓😭
@talentplug7794
@talentplug7794 Жыл бұрын
After being abandoned and rejected at birth, God was not done with me. Every day I am reminded that He had a plan and a purpose for me despite my hurtful past. Kweli yeye ndiye chanzo cha uhai na maisha yangu. Wonderful song, makes me remember all the good God has done in my life. All glory to Jesus!
@josphineakinyi2750
@josphineakinyi2750 Жыл бұрын
Amen 🙏I see God's faithfulness in this song.
@apansiamushi6115
@apansiamushi6115 Жыл бұрын
Grory to God 🥰
@veronicatilia7846
@veronicatilia7846 Жыл бұрын
GLORY to God
@norahnosh
@norahnosh Жыл бұрын
he really is GOD
@Lydiamaheli-uj7ok
@Lydiamaheli-uj7ok 9 ай бұрын
Glory be to God
@boazdanken
@boazdanken 3 жыл бұрын
MUNGU Akubariki Sana Mtu wa MUNGU umenibaliki Sana Glory to Jesus
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
Amen Amen my kaka
@furahaminde673
@furahaminde673 3 жыл бұрын
UMENIBARIKI SANA GLORY To GOD
@sundaykasyupa2430
@sundaykasyupa2430 3 жыл бұрын
Napenda unyenyekevu wako Boaz Danken. Mungu uwainua wanyenyekevu, Mungu uwapinga wenye kiburi. I love you my brother
@happychonde3451
@happychonde3451 3 жыл бұрын
Boaz you are blessing to our generation
@nuruchandi4134
@nuruchandi4134 3 жыл бұрын
Hallelujah
@adeladavis1876
@adeladavis1876 3 жыл бұрын
Yaani nilivyosikia huu mwimbo , nikaanza kulia maana nimepitia mambo mengi ila Bado Yesu ananipigania 😢😭😭😭 kuna muda nakataa tamaa kuendelea ila 🙏🏼
@upendosanga7044
@upendosanga7044 3 жыл бұрын
Usikate tamaa Mungu yupo nawe hayo yote ametaka upitie kwa kusudi kabisa na kwa utukufu wake
@JBB875
@JBB875 3 жыл бұрын
Usikate tamaa mpendwa, MUNGU yupo nawe, MUNGU Ni mkuu na ni mwaminifu sana
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
@@upendosanga7044 amina
@anthonyfahami5183
@anthonyfahami5183 3 жыл бұрын
Barikiwa sana dada
@anthonyfahami5183
@anthonyfahami5183 3 жыл бұрын
Barikiwa sana dada
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 10 күн бұрын
Kila nikipitia Magumu basi hii nyimbo unifariji mana Mungu ndio chanzo cha uhai wangu na anajua kwanini alinileta duniani,Being into hard times and trauma lately as I quit my university studies due to insufficient money to pay for my fee,But I believe in God I'll soon get back.
@IscaAtieno
@IscaAtieno Жыл бұрын
Right now am not in my right state of mind but i really don't want to complain coz i know God is helping someone else who needs Him more than me i know it's going to be fine 🙏🙏
@azizamuhali5531
@azizamuhali5531 3 жыл бұрын
Nikikumbuka vile nililala na njaa, nikadharauliwa, nikakataliwa, nikasemwa namengine mengi huu wimbo unaniingia akilin mpk moyoni 😢 Mungu ni mwema sana hata sasa ameniheshimisha 😇😇
@wardanyambura.4499
@wardanyambura.4499 3 жыл бұрын
Mimi hapa pia.
@priscaanthony1067
@priscaanthony1067 3 жыл бұрын
Tupo wengi
@samwelnaal7952
@samwelnaal7952 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@piussimon2722
@piussimon2722 3 жыл бұрын
Amen
@milliybiu9204
@milliybiu9204 3 жыл бұрын
I can't get enough of this song, so powerful
@eyvezale7357
@eyvezale7357 2 жыл бұрын
Tears😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I just heard this song from our church worship team Karura Community Chapel, Nairobi🇰🇪🇰🇪 and since then I can't stop thinking about it
@user-bw7db5un3q
@user-bw7db5un3q Ай бұрын
wewe ni chanzo Cha uhai wangu Mungu yupo atakuwepo Wimbo unainua sana kiimaniii😢❤
@isiongongaira7920
@isiongongaira7920 Жыл бұрын
Tangu siku ile niliskiza huu wimbo,kipindi kile nilikua nayapitia magumu sana ila nilipata utulivu,muumba wetu hawezi akatuacha tukateseke,mwenyezi mungu akuzidishie mengi Rehema (wengi wanapata kupona kupitia huu wimbo pata kubarikiwa nawe)
@Lydiamaheli-uj7ok
@Lydiamaheli-uj7ok 9 ай бұрын
Amen, ubarikiwe pia
@prettysunshine7537
@prettysunshine7537 2 жыл бұрын
I Listened to this song when I was at the verge of giving up due to lack of school fees...and it reminded me that he's the source of my life😭😭😭😭😭dear lord am greatful🙏🙏....keep on touching souls minister of God
@user-ki4ii4fx6u
@user-ki4ii4fx6u 2 ай бұрын
Amen He is a faithful God, he'll do it in time
@barbiemuzira6051
@barbiemuzira6051 2 жыл бұрын
The first day I listened to this song I cried more than I have ever cried in my life remaindering me where God got me from ,my childhood was not easy I grew up like a grown up woman struggled in everything and i realized that God was the source of my life,be blessed more than you think
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 2 жыл бұрын
Halleluya Glory to God
@editafabian8877
@editafabian8877 Жыл бұрын
@@rehemasimfukwe Glory to GOD
@vividchris3746
@vividchris3746 2 жыл бұрын
THIS IS THE KIND OF WORSHIP THAT IS BEYOND OUR ABILITY EVEN THE GUITAR GUY FORGOT HE IS THERE TO PLAY THE INSTRUMENT AND HE IS CARRIED AWAY BY THE ANNOINTING IN THE SONG. REHEMA SIMFUKWE YOU ARE A BLESSING
@irenemrua1350
@irenemrua1350 Жыл бұрын
Miaka miwili sichoki kuusikiliza huu wimbo. Mungu wa mbinguni kupitia wimbo huu naomba Usinipite Mungu wangu, naomba ukanitendee makubwa ndani ya mwaka huu 2023 angalau nifanye hata kidgo ya matarajio😭😭😭🙏🙏🙏🙏NAKUINUA MUNGU WANGU
@popemunala3705
@popemunala3705 Жыл бұрын
P
@albertnyaluke5487
@albertnyaluke5487 Жыл бұрын
Amina mungu awe katikati yetu katika mafundisho ya wimbo huu
@marynyakunga9575
@marynyakunga9575 3 жыл бұрын
Nasikiliza kila siku hii nyimbo nikiwa nalia na kumwambia Mungu yeye ni CHANZO CHA UHAI WANGU
@kambua
@kambua 3 жыл бұрын
What a powerful song woman of God 🙌🏾
@marygaitaa
@marygaitaa 3 жыл бұрын
Very powerful song
@dianaauma6559
@dianaauma6559 3 жыл бұрын
Yes
@joyousjunebosire2176
@joyousjunebosire2176 3 жыл бұрын
@RehemaSimfukwe you and Kambua may God bless you for blessing us
@hildahkageha668
@hildahkageha668 2 жыл бұрын
Amen
@raelvuguza3815
@raelvuguza3815 2 жыл бұрын
😢 nice song
@elegoodness6267
@elegoodness6267 5 ай бұрын
I'm from Nigeria. And i heard this song to the glory of God. I don't even know the country singing,but i just want to worship with you and say that, Jesus Christ is the source of my life too. I love this God that created so many languages in the world. This one is too super. God bless you my sister Rehema
@elegoodness6267
@elegoodness6267 5 ай бұрын
Which language are they singing with please
@fravianmwizarubi4426
@fravianmwizarubi4426 5 ай бұрын
Kiswahili from East Africa
@magrethlyimo24
@magrethlyimo24 3 ай бұрын
This song from Tanzania, Kiswahili language
@casmiraugust6853
@casmiraugust6853 3 ай бұрын
​@@elegoodness6267Swahili..Tanzania
@fredrickmakori8037
@fredrickmakori8037 Жыл бұрын
Wewe ni chanzo cha uhai wangu kweli
@brownangeldancers9563
@brownangeldancers9563 2 жыл бұрын
I played this song again and again at a point when my fiance dropped me just like that ...I was on a travel..receiving this trebled heart break text and block..any minute I lost sleep at night.i would play it and cry like never before my mouth wild open full of pains.but I give glory to GOD.this song opened a new door for me.a greater proposal with two great wishes of a man with his own house and a wish to add a second kid.i found all these two.Glory be to God.God bless u siz for such a powerful song.am blessed. Mostly this part of..wacha upepo na uvume.with my wedding cloths in my cupboard..kuna Mungu...God bless u siz..thnks alot
@erenestawanjiru1935
@erenestawanjiru1935 2 жыл бұрын
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawsome Testimony....What A Mighty God We Serve.
@daisyeunice8772
@daisyeunice8772 2 жыл бұрын
Might have taken you through hell
@daisyeunice8772
@daisyeunice8772 2 жыл бұрын
We serve a living God, He wanted to separate you from the previous relationship which
@linnmoraanash
@linnmoraanash 2 жыл бұрын
God was preparing a way for you after all cries now you can smile
@loraynwyali9746
@loraynwyali9746 2 жыл бұрын
How did u manage to get over I'm going through the same thing n it hurts so much
@DERICKMARTON
@DERICKMARTON 3 жыл бұрын
Ila niwaambie ukweli jamani Mungu ametubariki saana AFRICA hongera saana dada yangu so proud of you🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
@happychonde3451
@happychonde3451 3 жыл бұрын
Revival
@sylviakisanga7507
@sylviakisanga7507 3 жыл бұрын
yep
@bgal7773
@bgal7773 3 жыл бұрын
@@sylviakisanga7507 dy Hkk O
@jabezjedidiah1429
@jabezjedidiah1429 14 күн бұрын
To God Almighty be glory and honor and thanks
@langsondavid8123
@langsondavid8123 Жыл бұрын
Naitwa langson David nkwamu wa Sumbawanga Rukwa Tanzania.Napenda uimbaji huu.nikisikiliza wimbo nabubujikwa na machozi.Mungu awabariki Dana.real touched
@amonidafa9665
@amonidafa9665 2 ай бұрын
Endelea kuufurahia uzuri wa Yesu
@moreenkamadi7474
@moreenkamadi7474 Жыл бұрын
Am going through alot silently, l always pray to God to see me through,,, today l dreamt l was singing this song. Woke to search for it. I have really cried. I feel God in my way. Jesus is real
@monicakiwia5649
@monicakiwia5649 14 күн бұрын
Hope everything went well with you dear one ❤❤
@mamabyela18
@mamabyela18 2 жыл бұрын
I heard this song for the first time during my cousin sister's funeral, right there I realised that nothing realy matters in this world except worshiping the author and finisher of my life, Jehova Jireh
@lucimueni9746
@lucimueni9746 2 жыл бұрын
What a nice vibe Mama....imagine this is not our home we are just passing by But we need to thank God that He gave us an opportunity to live on this world.Glory be to God our Father.
@larinaawino2542
@larinaawino2542 Жыл бұрын
God have mercy on me🙏🏽 I can't stop crying because of this song.🙏🏽🙏🏽
@gildachris9953
@gildachris9953 Жыл бұрын
@@lucimueni9746 dbnmczx ex
@costasmsumba4525
@costasmsumba4525 Жыл бұрын
Thank you Jesus
@esthermwangi1559
@esthermwangi1559 Жыл бұрын
Ameeeeeen
@aliceo9529
@aliceo9529 2 жыл бұрын
After facing rejection and hatred from the, family from the church, this is where I got my solace..for someone who has experienced pure hatred, I found love in this song 🎵 ❤thank you
@mbarikiwaamina5885
@mbarikiwaamina5885 Жыл бұрын
Jesus is there for you...he realy love you and his love is sufficient
@anyubangu4148
@anyubangu4148 Жыл бұрын
I read your message, it builds up my spiritual muscles. Thank you.
@angieblessed
@angieblessed Жыл бұрын
Amen
@karentabitha12
@karentabitha12 Жыл бұрын
This message is one of the quoted verses Paul wrote , kindly read you will see this message. I think it's the book of Luke tht says woe to those tht are loved by the world but you who is not loved by the world is loved by God. Jiwe waliokataa waashi Sasa n jiwe la pembeni... When people reject you know tht God will never reject you n you are highly favoured . I have faced through tht but i learnt to keep God first in everything and i have gained favour infront of him and he brought the right connections so don't mind who is not for you focus on God only if you focus on man you will loose focus on God those tht reject you now are not true people they are fake. B blessed
@vivianjasphet113
@vivianjasphet113 Жыл бұрын
You are blessed dear❤️
@user-bv6gh2ve2g
@user-bv6gh2ve2g Ай бұрын
🙏katika yote wewe bado ni Mungu.
@petermuisraeli254
@petermuisraeli254 Жыл бұрын
Who is here tonight? January, 2023 What a wow ... Huu wimbo umenibariki sanaaa
@epaphraslugendo8790
@epaphraslugendo8790 4 ай бұрын
Am here, and still touched
@epaphraslugendo8790
@epaphraslugendo8790 4 ай бұрын
January 2024
@ndindamuthini9865
@ndindamuthini9865 3 жыл бұрын
She's the Tasha cobbs of Africa💯💯
@karistachusi4874
@karistachusi4874 3 жыл бұрын
Yes dear and jekalyn karr their voices resembles
@lucymukiri2134
@lucymukiri2134 3 жыл бұрын
@ed4Jesus
@ed4Jesus 3 жыл бұрын
in every single way n form,
@fencilatemesi3341
@fencilatemesi3341 2 жыл бұрын
Wow may God bless you this is so touching my sister,, kwa kweli yeye n chanzo
@Ambmercymasika
@Ambmercymasika 3 жыл бұрын
Beautiful and powerful 🙌
@merie8265
@merie8265 3 жыл бұрын
Eeh nimekulike wa Kwanza mercy nipee like hahaha
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
Ooh my dear Thank you so much... God bless you so so much ..keep the fire burning in you too sis
@kelvinkijo7500
@kelvinkijo7500 3 жыл бұрын
Baraka sana watumishi wa BWANA
@stevebiko2289
@stevebiko2289 3 жыл бұрын
The two of you can do a piece together that could light up the world with worship
@brendamshai5394
@brendamshai5394 3 жыл бұрын
Glory to Jesus. Kweli wewe Yesu ndio chanzo cha uhai wangu. Kama sio wewe ningekuwa nimezikwa nikasahaulika. Asante Yesu kwa kunishika mkono wakati wa majaribu na kunipa ushindi.
@luiseirangabiye328
@luiseirangabiye328 19 сағат бұрын
Uyu ni uwepo wa roho mtakatifu n'a ukuu wa Mungu wetu yeye ambae ni canzo ça uweoo wetu.sifa heshima n'a utukufu viwe vyako milele Mungu muumba wa mbingu n'a ardhi
@loisewambui4086
@loisewambui4086 Жыл бұрын
This song was sung in Nairobi Kenya 🇰🇪 during Rhemafeast 2022..I cried a river as I reflected on how God is the source of my life..He is everything that I have God is faithful as a Father
@michellewangila5163
@michellewangila5163 Жыл бұрын
Rhema feast is an unexplainable experience.
@jamesthiongo312
@jamesthiongo312 Жыл бұрын
I was there and now I'm here..
@violetbukusi929
@violetbukusi929 Жыл бұрын
Me too Loise... the song has been an anthem for my spirit since RHEMA FEAST 🙌🙌🙌
@sialema8500
@sialema8500 Жыл бұрын
God is faithful as a father indeed. His promises and love are true and everlasting❤❤
@eveotiato2210
@eveotiato2210 2 жыл бұрын
In the month of may, God saw me through all I was going through as a house help in Thome estate. He elevated me From a house help to a credit officer This was the song God bless you Rehema
@sheizzybaby6923
@sheizzybaby6923 2 жыл бұрын
Wow!! Congratulations & God Bless You!!
@tomyumguzz
@tomyumguzz 2 жыл бұрын
9:00 - 10:30
@tomyumguzz
@tomyumguzz 2 жыл бұрын
God is faithful, Amen Amen. Never forget the experience you encountered in this deep soaking worship, welkam to Citam Thika Rd, on every Wednesday for prayers and on Sundays for our services start
@user-ki4ii4fx6u
@user-ki4ii4fx6u 2 ай бұрын
Amen
@henrickmruma
@henrickmruma 3 жыл бұрын
I am addicted to this song. God has revealed great things to me through this song. I pray that it touch a lot of lives and generations. You are always blessed rehema.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
Thank you so much my brother im humbled
@abiyamashaka5716
@abiyamashaka5716 3 жыл бұрын
it will do so brother,its a song with too much anointing
@isaacmutai1677
@isaacmutai1677 3 жыл бұрын
AM TOO ADDICTED TOO,WHAT A BLESSING..
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 3 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe dada wew ni kabila gani? I'm so sorry where is your originality?.... I'm so blessed with your anointed and powerful song
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
@@nickodemsimchimba594Mbeya,Mbozi, Kamsamba
@melanieshalua7882
@melanieshalua7882 Жыл бұрын
The first time I found this song accidentally on KZbin it has about 200+K views I new it is going to be the big song...and It is !!
@Emilianamfoi
@Emilianamfoi Ай бұрын
Wimbo huu umenifanya nitoe macho zi sababu ya kipindi kigumu ninachopitia, ahsante MUNGU kwa kuwa ww ni chanzo cha uhai wangu.
@lameckvlad5672
@lameckvlad5672 3 жыл бұрын
Nikisikiliza huu wimbo kuna namna naona vile Mungu akishughulika na mambo yangu. Glory to God 🙏
@magrethstanl5891
@magrethstanl5891 3 жыл бұрын
kumbe tuko weng hata mim Ni hvyo kbsa
@meriothm2856
@meriothm2856 3 жыл бұрын
A loudest amen
@esthernjogu9683
@esthernjogu9683 3 жыл бұрын
Alishughulikia???
@lameckvlad5672
@lameckvlad5672 2 жыл бұрын
Acha upepo nao uvumu Mimi nitakwabudu wewe Blessed blessed 🙏🙏🧎‍♂️🧎‍♂️
@elimastevo3466
@elimastevo3466 2 жыл бұрын
Amen
@hellenpascal9605
@hellenpascal9605 3 жыл бұрын
This is time Tanzania will rise and Worship God who is the source of everything 😭😭😭😭😭
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 3 жыл бұрын
Bless u
@Kira1995.
@Kira1995. 4 ай бұрын
I have listened to this song this morning and I'm full of emotions because truly God is the reason for my existence. This is going to be one of the songs on my wedding this year in Jesus name.
@Richard_Range
@Richard_Range Жыл бұрын
They say in Life there are no second chances, But GOD gave me a fresh start! Na Wewe (GOD) ni Chanzo! Aleluyahh Hii nyimbo inanibariki sana🙏🏽
@marionwanjiku4226
@marionwanjiku4226 3 жыл бұрын
Here in 2021 listening for the first time and tears just flowing freely, deep words, thank you lord😢😢😢
@ezeenconceptzguc6532
@ezeenconceptzguc6532 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.....
@lilianmushi6240
@lilianmushi6240 3 жыл бұрын
@@ezeenconceptzguc6532 SCAM dont you fear God you people.
@alexodanga9702
@alexodanga9702 2 жыл бұрын
It's a touching song
@christinasillo792
@christinasillo792 2 жыл бұрын
True Amen
@dorisngenomusic5214
@dorisngenomusic5214 2 жыл бұрын
I'll be ministering with this song in my church this coming Sunday and I'm really praying it'll be a blessing😊🤗
@lewismukoya5853
@lewismukoya5853 2 жыл бұрын
May God bless you Rehema
@mirriamwambui446
@mirriamwambui446 2 жыл бұрын
Where my sister we join you
@josatinooking388
@josatinooking388 2 жыл бұрын
i have been planning to minister with the song for a month now, the day i get a chance i will do it with my whole heart and i do pray it shall be a blessing to the ppl of God
@hiltrudekihiyo3323
@hiltrudekihiyo3323 2 жыл бұрын
I can't say more God has shown Mercy in me during delivery oh! was last year I keep singing the song when I have no other option
@carolngile6086
@carolngile6086 2 жыл бұрын
AMEN 🙏
@marywambui5891
@marywambui5891 Жыл бұрын
Indeed this song is a miraculous song,, after listening to it 20times God just opened my doors,, still counting my blessings while listening to it 🙏🙏🙏let it be a blessing to everyone
@ulunjimhango949
@ulunjimhango949 Жыл бұрын
AMEN
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 Жыл бұрын
Good Morning, Father Lord, today's a new day, a chance for a new start! Yesterday is gone & with it any mistakes, regrets, or failures I may have experience!It's a good day to be glad & give thanks & I do Lord!Thank YOU for today a new opportunity to love, give & be all YOU want me to be! HALLELUJAH!
@asiatumaulana6853
@asiatumaulana6853 3 жыл бұрын
Well im from zimbabwe and im teaching myself swahili .this is going to be on my everyday worship playlist
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
Glory to God jamaniii we love you Zimbabwe
@TheJakamburi
@TheJakamburi 2 жыл бұрын
It's a beautiful song
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Na huu ndio wakati wako uliokubalika machoni pa bwana keep up we are together,nice song
@happinesswilliam2948
@happinesswilliam2948 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako itwao leo nasikiliza
@davymtui5854
@davymtui5854 3 жыл бұрын
Blessing
@cia_asila
@cia_asila 3 жыл бұрын
Amen
@agneskyalo2363
@agneskyalo2363 3 жыл бұрын
Amen I love this...
@kelvinkijo7500
@kelvinkijo7500 3 жыл бұрын
Tupo pamoja
@msemakweli3132
@msemakweli3132 2 ай бұрын
Napenda nyimbo zako Sana ila hata Kwa neema sisikii ukitaja Yesu wala Mungu Yehovah..labda mwisho mwisho naomba jina lake litajwe mwanzo Hadi mwisho. Jivunie Yesu wako unayemwabudu..
@user-cr2gd4rc8w
@user-cr2gd4rc8w 3 ай бұрын
Nyimbo imenibariki sana kipindi ambacho nilihisi mungu ayupo lkn bada ya kusikia hii nyimbo kua mungu ni chanzo cha uhai wangu nimepata tumaini upya ahsante mtumishi kwa kazi nzuri
@benedictoryona4811
@benedictoryona4811 3 жыл бұрын
The first day I heard this song,horry spirit spoken to me about my struggling, he said to me he always with me,in the darkness he is my chanzoo
@salomejackson7812
@salomejackson7812 3 жыл бұрын
God be with u my ccter good news groly to jesus
@upendosanga7044
@upendosanga7044 3 жыл бұрын
Kujua hilo tu mtukuze Mungu endelea kumwomba Mungu atafanya jambo kubwa utashangaa ,mi am testimony Mungu yupo anaishi
@queenamani5302
@queenamani5302 3 жыл бұрын
Nashukuru mungu hicho ndiyo nacho weza kusema ila dada mungu aku bariki maana nahisi leo ndugu zangu wange pata msiba lakini kupitia this song najikuta nina sababu yaku ishi god bless you dear
@fransavinhonacmela827
@fransavinhonacmela827 3 жыл бұрын
Zipo wapi like za #WaTanzania Nakwabudu nakwabudu.WEWE ni chanzo cha Uhai wangu
@mercymeriy7851
@mercymeriy7851 Жыл бұрын
The song always reminds me of Apostle PAUL in the bible...
@didindayiragije927
@didindayiragije927 8 ай бұрын
is there anyone who's still listenning to this food soul untill now like me? I can't be tired to listen this amazing song. Thank you psalmist Rehema for your sweet songs!
@mutheumumu
@mutheumumu 3 жыл бұрын
Couldn't stop crying when I first listened to this song, my sister was playing it! God is truly faithful! God bless you Rehema for allowing God to use you.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
Glory be to God dear
@bonphaceemmanuel9072
@bonphaceemmanuel9072 3 жыл бұрын
Nkwel mungu n chanzo cha uhai wetu na jina la bwana limidiwe,,,,mwimbaj hongera yan nimesikiliza iii gospel ad natokwa choz
@oficialybadclever2377
@oficialybadclever2377 2 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe 🙏🙏
@estherthea8180
@estherthea8180 2 жыл бұрын
Phillipians 4:12 I rejoiced greatly in the Lord that at last you renewed your concern for me. Indeed, you were concerned, but you had no opportunity to show it. I am not saying this because I am in need, for I have learned to be content whatever the circumstances. I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. I can do all this through Him who gives me strength.
@esther4402
@esther4402 Жыл бұрын
I have condition that has troubled me for a long time and at this moment at night as I was thinking about this condition I heard this song in my spirit, I had never listened to all of it. Mungu wewe ni chanzo cha uhai wangu,najua utaniponya na nitakuja kushuhudia papa hapa.
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe Жыл бұрын
I speak healing up on you in Jesus name
@esther4402
@esther4402 Жыл бұрын
@@rehemasimfukwe Glory to God,not long after this I got complete healing. Mungu ni chanzo cha uhai wetu hakika. Sifa na utukufu ni zake.
@jasmenmeru2330
@jasmenmeru2330 Ай бұрын
Barikiwa mama, Mungu akuinue Mimi niko Kasulu -KIGOMA -Tanzania Tunapita katika mapitio magumu sana Ila MUNGU atutete
@ireneokobwa7081
@ireneokobwa7081 2 жыл бұрын
I have been going through financial strain and trusting God for a breakthrough but when I heard this song for the first time I started thanking God cause He is still Faithfull no matter what He is STILL GOD!!!!!
@georgemaina-fh8ph
@georgemaina-fh8ph 2 жыл бұрын
Absolutely!!
@jacintambatha4479
@jacintambatha4479 Жыл бұрын
Sure, HE never changes,HE is God of all ages
@mariethavenance4566
@mariethavenance4566 Жыл бұрын
Bg up sister wimbo unauwepo mungu akubariki
@mariethavenance4566
@mariethavenance4566 Жыл бұрын
Deborah
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 жыл бұрын
Nimeusikia huu wimbo mara moja tu kwenye radio ya mtu mwingine roho yangu ikanihakikishia kuwa ndani ya huu wimbo yupo Mungu barikiwa sana dada😔
@Thedanniels
@Thedanniels Жыл бұрын
This is a powerful song....even if you didn't want to pray and just give up in God,this song can revive you again
@gracenyae001
@gracenyae001 Жыл бұрын
Nitamsifu mungu mpaka kufa kwangu 🙏🙏🤞bila yeye ningekuwa nimekufa
@graceriziki-bk8sc
@graceriziki-bk8sc 5 ай бұрын
Na mimi nita musifu munga hadi siku ya pumuzi zangu za mwisho apa chini ya jua ame ni rudishia uwai wakati nili kua nime jua nime pata magonjwa ya moyo
@EmilianKatubayemo
@EmilianKatubayemo 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana dada yangu wimbo huu ni wambinguni hakika
@doricasedward9601
@doricasedward9601 3 жыл бұрын
AMEN
@evarlightpaul3740
@evarlightpaul3740 3 жыл бұрын
Hakika Mtumishii 🙏
@zoravoofficial607
@zoravoofficial607 3 жыл бұрын
...too much anointing in your ministry my sister,goooooo
@gilbertjuma7294
@gilbertjuma7294 3 жыл бұрын
mkuu ubarikiwe saaana
@user-lf2zr3fj9g
@user-lf2zr3fj9g 12 күн бұрын
Daaah! Jaman kila ninapo isikiliza hii nyimbo lazima nilie machoz kwasabb nakumbuka magumu mengi sana niliyo yapitia katika maisha yangu😢 ila acha Mungu ubaki tu kuwa Mungu maana umenitoa mbali sana mimi na wanangu...hakika wewe ni chanzo cha uhai wangu na wewe ni chanzo cha mafanikio yangu na pia wewe ni chanzo cha kila jema linalotokea katika maisha yangu.😢 I worship you Dear Lord❤🙏😭😭😭
@user-lf2zr3fj9g
@user-lf2zr3fj9g 12 күн бұрын
Dada Regema Mwenyez Mungu azidi kukupa kibali cha kuendelea kuifanya kazi yake, Mungu azidi kukupa kipawa cha kuifanya kazi yake, nakupenda sana dada angu na Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu❤
@marynjerimbugua3800
@marynjerimbugua3800 Жыл бұрын
Thank you lord for everything 🙏 ,you deserve all the honour and glory .
@kuinduhiu5659
@kuinduhiu5659 2 жыл бұрын
Hallelujah! Philippians 4:12 I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want.
@wilsonnjeru9840
@wilsonnjeru9840 9 ай бұрын
🎉❤
@lindahopondo
@lindahopondo 7 ай бұрын
I have been looking for this😊
@muhohothegreat
@muhohothegreat 2 жыл бұрын
Listening to this song past midnight amidst thoughts, depression and hopelessness may God provide to anyone struggling and doubtful. Bwana wewe ni chanzo chetu please restore happiness to our faces.
@alicekinyanjui9777
@alicekinyanjui9777 2 жыл бұрын
Amen
@carx-24k86
@carx-24k86 2 жыл бұрын
AMEN
@styizzymonroe1267
@styizzymonroe1267 2 жыл бұрын
And hearts
@gloriousn6425
@gloriousn6425 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@marthamwalukoba5865
@marthamwalukoba5865 2 жыл бұрын
Rehema mungu aendelee kuinua karama yako endelea kumheshimu mungu
@rosemurimi7348
@rosemurimi7348 Жыл бұрын
Ahsante mungu,wewe ndio chanzo cha uhai wangu,looking back to where I come from??wewe ni mungu,katika yote,wewe bado ni mungu,thank you lord for blessing me with a new opportunity,job...nakwabundu katika kila Hali,😭😭😭😭😭😭
@pamelamugo9627
@pamelamugo9627 Жыл бұрын
In the midst of my severe depression, anxiety, en panic attacks, this message comforts me 💯🙏 It's my prayer to meet this woman of God one day en I believe she'll be the one to make my dreams of praising and worshipping God for the rest of my life but.....Am in desperate situation of being in the presence of God ..........................
@noahgondwe4779
@noahgondwe4779 3 жыл бұрын
Daaaaa aiseeee, so touching. Why hivi uwa hakuna matamasha ya worship jamani, vifua vyetu vina maumivu mengi ambayo naamini praise n worship Inaweza fungua kabisa
@spiritofexcellencewanyonyi8434
@spiritofexcellencewanyonyi8434 2 жыл бұрын
I perceive revelation that I will still boast in lack , trouble etc
@serahnjeri5654
@serahnjeri5654 3 жыл бұрын
Much Love 😍❤️💕from ±254🇰🇪 Praise JESUS for this blessed and anointed song🙏🏾God Bless You my sister and take you to greater heights. You are a blessing 😘😘😘
@ilvgod1188
@ilvgod1188 Жыл бұрын
Asante Yesu hakika wewe ni chanzo Cha kuacha njia zote mbaya,wewe ni chanzo Cha kufanikiwa katika maisha yangu ,wewe ni chanzo Cha kuokoa ndoa yangu ,wewe ni chanzo Cha kunipa watoto wabaraka ,wewe nichanzo Cha kupata kibali ,wewe nichanzo Cha kila kitu katika maisha yangu ,nakuinua,nakutukuza ,nakusifu ,nakushuhudia Asante Yesu , Asante Yesu nakupenda Sana
@chirstinaeustace5919
@chirstinaeustace5919 Жыл бұрын
When listening to this song I feel holy spirit is on me,I worship you Lord
@mediustibamwenda4454
@mediustibamwenda4454 3 жыл бұрын
The song describes my whole life I have shaded 😭 I have gone thru pain but nothing will ever separate me from the word of God. With God's time, I blv everything will turn out right
@paulandwiga6373
@paulandwiga6373 2 жыл бұрын
Am here thinking of giving up and then I go to KZbin and find this song as a suggestion I can't help but breakdown ,may God remember me and others that may facing a hard time ,He will see us through😭😭😭😭
@jamesmwangi1527
@jamesmwangi1527 6 ай бұрын
There's a presence of God in this great song
@bilhaclare5976
@bilhaclare5976 Жыл бұрын
My family was aburndoned but through these song I know God's time we will be as one😭😭ts hard to explain but God knows
@millytete7223
@millytete7223 2 жыл бұрын
Whenever am going through crisis in my life I listen to these song,I lost daddy son years ago,I was very young and starting from scratch wasn't easy,as a single mother I have undergone alot of ups and down bt I appreciate God yeye ni chanzo Cha uhai wetu,
@younginspired3899
@younginspired3899 2 жыл бұрын
There's something in this lady's voice, i can feel this in my heart.. 😭😭
@joanyohana2371
@joanyohana2371 Жыл бұрын
During my depression,this song gave me strength to move on and know that GOD is my only strength🙌.He is the source of life🙌🙏
@Lydiamaheli-uj7ok
@Lydiamaheli-uj7ok 9 ай бұрын
Indeed is the source of our life,be blessed
@Victoria_Reagan
@Victoria_Reagan Жыл бұрын
Today i have literally cried 😭😭😭😭😭..yani i felt God's presence, His love...I just want to praise and worship him thank Him to God be the glory
@annalyamuya3160
@annalyamuya3160 3 жыл бұрын
Ninajua kushiba na kuona njaa, katika yote wewe bado ni Mungu, ninajua kupendwa na kukataliwa.... naujua udhaifu na kuwa na afya katika yote wewe bado ni Mungu Acha upepo uvume nitakuabudu wewe.... chanzo cha uhai wangu Yesu ( nakuabudu) Wimbo huu umenibariki sana nilikuwa nausubiri kwa hamu sana 🙏🏿
@rhodawilliam5548
@rhodawilliam5548 3 жыл бұрын
Had goosebumps...OMG i cnt get enough of this song....Mungu azidi kukutumia minister rey
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
🤗
@zipwangui
@zipwangui 3 жыл бұрын
Woow thought i was alone. Just heard the song today. Made me shed tears knowing He has always been God, father, the king of kings.
@RoseRose-hz9mx
@RoseRose-hz9mx 3 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe😘 🤲
@boazwambua387
@boazwambua387 3 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe hi siz can I invite you to our church?
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
@@boazwambua387 0714101562
@tracyochieng8869
@tracyochieng8869 Жыл бұрын
Knowing that some things come and go some situations in life change due to maybe unavoidable circumstances but God is still God...through it all He still remains God through thick and thin He is still God and i rely on Him for everything🙏🏽
@robingass8412
@robingass8412 2 жыл бұрын
I'm glad I came across this song. My life is meaningless without God. I have enjoyed and suffered in equal measure. I have hurt inside that nobody can even think about what I almost did. God through his mysteries made me change my mind. I'm glad you sang this song
@rosemwandagina8778
@rosemwandagina8778 Жыл бұрын
P po s*
@emmymoriasi8392
@emmymoriasi8392 10 ай бұрын
❤❤
@daisywusi7556
@daisywusi7556 6 ай бұрын
I resonate with you dear bro
@Aswito_MadamSports
@Aswito_MadamSports 2 жыл бұрын
I've heard this song being sang in our youth church and I had to look for it🙌it really ministered to me. May God bless you Rehema
@magdalinenjeri9694
@magdalinenjeri9694 2 жыл бұрын
Powerful song
@patrickkubuya
@patrickkubuya 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dada Rehema
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 3 жыл бұрын
ooh my brother God bless you so much
@ed4Jesus
@ed4Jesus 3 жыл бұрын
Amen @Patrick Kubuya, hata nawe una kibali kikubwa. Baraka tele pia
@patrickkubuya
@patrickkubuya 3 жыл бұрын
@@ed4Jesus amen and glory be to the Lord Jesus Christ
@patrickkubuya
@patrickkubuya 3 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe kweli huu wimbo ume kuwa faraja kwangu
@patrickkubuya
@patrickkubuya 3 жыл бұрын
@@rehemasimfukwe hakika huu wimbo ume kuwa faraja kwangu
@FidelisEmmanuel-qv4nn
@FidelisEmmanuel-qv4nn Ай бұрын
Eeeh mungu wangu wew ndo chanzo cha uhai wangu nakupenda mungu wangu mungu akubariki Dada kwa wimbo huuu
@victormutoro4852
@victormutoro4852 Жыл бұрын
To fail and to succeed?to be hungry and to be full and remain to be God ,This song has blessed me my family Thank you Rehema for being used by the holy ghost to bless us .
@Daphney_Amisi
@Daphney_Amisi 2 жыл бұрын
There's really something about this song 😭😭😭🤍🤍 Listened to it recently after losing my dad and it's making my healing better! 🙏❤️😭 I cry so hard when I listen 🤍
@tweletuchannel
@tweletuchannel 2 жыл бұрын
May you find complete healing in Jesus name
@joymasavu5125
@joymasavu5125 2 жыл бұрын
Hugs ❤️
@gloryraphael1837
@gloryraphael1837 2 жыл бұрын
very sorry may our almighty God you strength
@mercymeriy7851
@mercymeriy7851 Жыл бұрын
I also lost mom few months ago.today memories are too much unbearable..am relaxing listening it.i feel much better than the midday..
@wemakibanga
@wemakibanga Жыл бұрын
​@@tweletuchannel k😅
@charlestelvin1828
@charlestelvin1828 3 жыл бұрын
What a magnificent worship song, God bless you Rehema Simfukwe for gracing us with such a beautiful song
@fandeyh.mashimba156
@fandeyh.mashimba156 2 жыл бұрын
Hallelujah! Who is listening this anointed gospel with goosebumps coming up...Oh...powerful
@catherinewanjiru878
@catherinewanjiru878 Жыл бұрын
Woooii me
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Hata nipitie magumu kiasi gani bado utabaki kuwa mungu kwangu umenilinda na kuniponya kwa mambo makubwa sana mungu nakushukuru wewe mungu
Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA  79110098 to 811
9:24
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 15 МЛН
UFC 302 : Махачев VS Порье
02:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,4 МЛН
Uniongoze Yesu
8:11
UPENDO NKONE
Рет қаралды 683 М.
Rehema Simfukwe - Chanzo ( Official Video Lyric)
9:19
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 493 М.
Ancient of Days (Worship Medley) - Fortune Afaglo
14:57
Fortune Afaglo
Рет қаралды 2,5 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 65 МЛН
Nita Amini (Live)
13:00
Israel Mbonyi
Рет қаралды 843 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 1,9 МЛН