Rejoice Gospel Choir Ft Victor Maestro - Kama Si Wewe ( Official Music Video )

  Рет қаралды 21,030

Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)

Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@EAGTSEMTEMAIRINGA
@EAGTSEMTEMAIRINGA Ай бұрын
Amaizing Song Watumishi... barikiweni Sanaaaaa❤
@EvasJoram-rq8xp
@EvasJoram-rq8xp 3 ай бұрын
Waliosubilia huu wimbo kwa hamu wagonge like hapo, jaman Huu wimbo unafungua anga Yan ukiuskiliza kwa makini,lazima uache vyoote na uzame rohoni na kukutana na majibu yako.very powerful song.MUNGU awainue saana Rejoice Choir🙌🙌🙌
@kelvinamani3957
@kelvinamani3957 22 күн бұрын
Wimbo wangu Bora wa mwaka 2024 natamani siku moja nione wakiperfom mbele yangu hakika Mungu anipe pumzi
@eliachogo3966
@eliachogo3966 3 ай бұрын
Karibu watu wa Mungu, hawa watu wapo Iringa-Mafinga, kwa Rev Donald Julius Kikoti. Kama umebarikiwa nao makofi mengi kwa Mungu wa Mbinguni aliye wapaka mafuta watu hawa.
@gekenemwita-nc7ve
@gekenemwita-nc7ve 2 күн бұрын
Safiii kijana nimeona kazi mzuri kumbe ata ukiwa inje unafanya mambo
@AndrewMadu-o8t
@AndrewMadu-o8t 8 күн бұрын
Well done Daughters and Sons of the MOST HIGH. This is truly Awesome and Spirit-reviving. Keep soaring higher and higher Eagles of the ALMIGHTY. The sky remains your starting point. Unborn generations will surely celebrate your exploits from generation to generation. Remain blessed Wonderful Ministers of this age.
@atuswegemposi1668
@atuswegemposi1668 2 ай бұрын
Mbarikiwe wana wa Mungu ❤❤🎉🎉
@tricykalukwa5697
@tricykalukwa5697 2 ай бұрын
Ubarike kadada kutoka Mbeya unatuwakirisha Vizuri Iringa Proud of you Sololist lazima kusudi la Mungu litimie ndani yako hata iweje
@tumpengusa86
@tumpengusa86 2 ай бұрын
Acha niimbe MUNGU
@davidbyamasu7885
@davidbyamasu7885 5 күн бұрын
Oh hallelujah Nita mwiimidi Bwana
@RehemaChristopher-q2c
@RehemaChristopher-q2c 2 ай бұрын
Amefanya makubwa Mungu wetu hakika sifa ni kwake🙏
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 3 ай бұрын
Victor karibu sana mafinga yetu yenye baridi kali😅😅😅
@omenyabonface
@omenyabonface 3 ай бұрын
This is not a sing but a neutral prayer which fits every soul. God bless you. Sometimes I feel like going back to last and my hold way but his love holds me back
@emmanulmavika125
@emmanulmavika125 3 ай бұрын
kwaya yangu pendwaaa nabarikiwa na huu wimbo kila siku natabir wimbo utafika mpka kimataifa@rejoycechoir🔥🔥🔥
@peters2022.
@peters2022. 3 ай бұрын
Sending love from Kenya Bwana atukuzwe juu ya mataifa yote
@Liliannziku-h6f
@Liliannziku-h6f 3 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana na wimbo rejoice choir huduma yenu iwe ya viwango
@ezekieli_jm
@ezekieli_jm 2 ай бұрын
So powerful song
@NistAke80
@NistAke80 3 ай бұрын
A powerful song of testimony. God bless Jumuiya yetu ya Africa Mashariki.
@euniceoriisa1866
@euniceoriisa1866 3 ай бұрын
Kama sii wewe kutushika mkono am going under depression but I feel this song is redeeming me
@mwamudaniel7912
@mwamudaniel7912 3 ай бұрын
Wow. This is loveable. Be blessed great men of God.
@euniceobiny3871
@euniceobiny3871 2 ай бұрын
Kama si wewe bwana ninge kuwa wapi mimi
@neemamlawa-bm2zc
@neemamlawa-bm2zc 2 ай бұрын
Mbarikiwe
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 2 ай бұрын
Aminaaaaaaaaàh bwana aiminidiwe sana🙏🙏🙏
@Fredymhema-xq2dv
@Fredymhema-xq2dv 3 ай бұрын
Jmn daaaa fireee🎉🎉🎉🎉
@victormwakipesile6990
@victormwakipesile6990 2 ай бұрын
When Victor meet Victoria 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🙌🙌🙌
@estherkinyaga5172
@estherkinyaga5172 2 ай бұрын
😅😅😅
@simpassagrace6907
@simpassagrace6907 3 ай бұрын
Amen zaburi 106:1-2 Mungu awabariki sana, nawapenda.
@tunujaphetshandu362
@tunujaphetshandu362 3 ай бұрын
Aisee Kama si Mungu kutushika na kutubeba tusingekuwa hapa so annointed stay blessed and lifted rejoice choir❤
@JaneKele
@JaneKele 3 ай бұрын
nilitembea hatua chache nkaona nmekwama kumbe MUNGU umeongeza hatua🥰🥰🥰
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 3 ай бұрын
Hiyo inaitwa hayoo mbinguuun
@nickdr_tv
@nickdr_tv 2 ай бұрын
PASTOR JERY KWENYE BASS 😊... GOD BLESS YOU ALL
@MariamuMahenge
@MariamuMahenge 2 ай бұрын
Mungu awabariki wapendwaaa
@azormatthew7813
@azormatthew7813 2 ай бұрын
Waoooh
@ådrynodry
@ådrynodry 3 ай бұрын
Thank you Jesus💃💃💃💃💃🙌🙌🙌Thank you Lord🙌💃🙌💪🌏🌍🌎…
@Fortis_me
@Fortis_me 3 ай бұрын
😊
@faithtimothy6396
@faithtimothy6396 2 ай бұрын
❤❤❤✋✋✋
@MalakiKitomari-sx2gw
@MalakiKitomari-sx2gw 2 ай бұрын
Mungu azidi kuabudiw jmn
@daisykilatu7903
@daisykilatu7903 3 ай бұрын
Glory to God
@SarahieTeddy-tu2rl
@SarahieTeddy-tu2rl 3 ай бұрын
Oooooooooohb🙌🙌🙌🙌🙌🙌 its fourth times niko naangaliaaaa this song any ways in life kuna wakat unapita unajihis peke yakoo yaan very lonely this song reminds me ten times that kumbe ata ule wakat MUNGU anakuwa na ss ……. Nimejifunza kutulia na kumtukuza MUNGU above everything 😢❤ # nisije wahi kumsaidia MUNGU kazi yakeee ❤️❤️🙌🙌🙌🙌🙌. 2024 YESU usinipiteeeeeeeeee
@elishaanyosisye4078
@elishaanyosisye4078 3 ай бұрын
kazi njema barikiwen sana🔥 kaka Victor barikiwa kwa kuzoea baridi kwa muda😄
@ambeledavid6107
@ambeledavid6107 3 ай бұрын
Hongera sana @Rejoice Gospel Choir. 🔥🔥
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 3 ай бұрын
Dada anasauti huyu napenda mno.Barikiweni nyote
@eliudmgani1615
@eliudmgani1615 2 ай бұрын
🎉❤
@ALEXGULUNDU-w9n
@ALEXGULUNDU-w9n 3 ай бұрын
I like this.. amazing song... Glory be to God
@saramarko6440
@saramarko6440 3 ай бұрын
Praise be GOD! Well did rejoice 🔥🔥👏
@zamdamalango9816
@zamdamalango9816 3 ай бұрын
Be blessed rejoice choir ❤
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 3 ай бұрын
Victa kaka karibu sana
@noeljailo7651
@noeljailo7651 3 ай бұрын
Groly to God 👏👏👏
@favouredblessed1642
@favouredblessed1642 3 ай бұрын
God Bless you people of God
@eliachogo3966
@eliachogo3966 3 ай бұрын
This is powerful 👏🙌
@glorymalisa9326
@glorymalisa9326 3 ай бұрын
Haleluya
@amosimgeni
@amosimgeni 3 ай бұрын
Ameen Mbarikiwe Mnoo
@shadrackmuoki6438
@shadrackmuoki6438 3 ай бұрын
Barikiweni Kwa kazi nzuri
@ambrosetheone_media3501
@ambrosetheone_media3501 3 ай бұрын
Hakika kazi ni Njemaaaaaa Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi
@IpmanMwambope
@IpmanMwambope 3 ай бұрын
Jamn kway yangu mung zid kuibaliki
@ayoubdallu4476
@ayoubdallu4476 3 ай бұрын
Safi sana wana wa MUNGU 🔥🔥
@talantamhanga6961
@talantamhanga6961 3 ай бұрын
They did a very good Job
@DorcasMeshack-y1h
@DorcasMeshack-y1h 3 ай бұрын
🎉🎉❤ kama si wewe mungu ningeitwa nani 😌 najivunia jina la yesu
@jacklinechobo
@jacklinechobo 3 ай бұрын
Wooooow! Kazi nzuri sana my dear MUNGU awabariki sana kwa utumishi mwema,,, 🙏♥️♥️♥️❤️
@DorisMsilu
@DorisMsilu 3 ай бұрын
Glory to God🙌
@miriamamos3986
@miriamamos3986 3 ай бұрын
🎉
@DoriceMbembela
@DoriceMbembela 3 ай бұрын
Mungu awabariki
@dastankalinga442
@dastankalinga442 3 ай бұрын
Upako juu ya uoako
@samweljohn123
@samweljohn123 3 ай бұрын
Hatimae imetoka kazi yenu ni njema sana mbele za MUNGU
@danielkalinga6051
@danielkalinga6051 3 ай бұрын
Mungu kafanya kwaukubwa
@DevothaMahajile
@DevothaMahajile 3 ай бұрын
The song is very amazing,may God bless rejoice choir
@leonidaernest136
@leonidaernest136 21 күн бұрын
❤❤❤
@noeljailo7651
@noeljailo7651 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samwelnalimi1769
@samwelnalimi1769 3 ай бұрын
🎉🎉🎉❤
@mercygonah6111
@mercygonah6111 3 ай бұрын
❤❤🎉
@dastankalinga442
@dastankalinga442 3 ай бұрын
Nabarikiwa sana kazi njema mno
@GlorySamweli-f1o
@GlorySamweli-f1o 3 ай бұрын
❤. My sister umebarikiwa san na sauti ,,,Be blessed all team
@graysonmykoh-5526
@graysonmykoh-5526 3 ай бұрын
Wow
@gracemgonzo3222
@gracemgonzo3222 3 ай бұрын
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@onesiajohn2255
@onesiajohn2255 3 ай бұрын
Mwe naingoja Kwa hamu Kila muda nafngua
@rejeoicegospelchoir
@rejeoicegospelchoir 3 ай бұрын
💥
@shadeshope361
@shadeshope361 3 ай бұрын
Great.... Waiting 🎉🎉🎉
@moseskinyua-dd9tp
@moseskinyua-dd9tp 3 ай бұрын
Nice Songz God bless
@ambrosetheone_media3501
@ambrosetheone_media3501 3 ай бұрын
Najivunia sana this choir and am proud to be one among of the family member of rejoice gospel choir
@rejeoicegospelchoir
@rejeoicegospelchoir 3 ай бұрын
@@ambrosetheone_media3501 Amen, amen brother🙏
@rejeoicegospelchoir
@rejeoicegospelchoir 3 ай бұрын
@@ambrosetheone_media3501 Amen,amen brother 🙏🙏
@SarahieTeddy-tu2rl
@SarahieTeddy-tu2rl 3 ай бұрын
Halleyaaaa halleluyaaaa
@noeljailo7651
@noeljailo7651 3 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@DastanMichael
@DastanMichael 3 ай бұрын
Huyu dada mbona kama ni babysia
@estherkinyaga5172
@estherkinyaga5172 2 ай бұрын
Hapana ni Victoria
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 3 ай бұрын
Nimeziona baraka
@RehemaChristopher-q2c
@RehemaChristopher-q2c 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
Rejoice Gospel Choir - Umwema (Official Live Music)
16:14
Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)
Рет қаралды 45 М.
Rejoice Gospel Choir_ Ni wewe
6:43
Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)
Рет қаралды 123 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,2 МЛН
Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )
14:44
Paul Clement Official
Рет қаралды 176 М.
Rejoice Choir - Ni Neema ( Live Music Audio )
6:39
Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)
Рет қаралды 211 М.
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - ELOHIM (Official Live Video)
7:29
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 1,4 МЛН
Rejoice Gospel Choir - Ni Neema ( Official Music Video ) +255750805734
6:42
Rejoice Gospel Choir Mafinga(EAGT)
Рет қаралды 623 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 6 МЛН
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
11:00
Agape Gospel Band
Рет қаралды 1,7 МЛН