the bongo flava musicians could never write one song equal to Remmy
@masekebabere328218 сағат бұрын
Rest In Peace Dr. Remmy anyone here 2025
@mikekamili66869 ай бұрын
There's no African president that united his people like the late Mwalimu Julius Nyerere's. His legacy will live forever. Mwenyezi Mungu aendelee kuweka roho ya marehemu Nyerere pema peponi 🙏.
@SarahMsinga Жыл бұрын
Wallah sasa hivi ni hatareee Fire 🔥 no Tanzania 🇹🇿 ya Umoja Mugano Upendo hakuna tena imeendaaaaa
@husseinguyo11772 жыл бұрын
In deed Mwalimu Nyerere is a Hero and Courageous Legendary Leader... Who takes his Country's interest us Priority and Nothing like Tribalism in Tanzania... Rest in peace Mwalimu wetu.
@kiplarono8515 Жыл бұрын
hapa kwetu ni ukabila tupu ,ukienda mahali watakujua tu 😢. Tanzania kuzuri hawana ukabila
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
Sober MINDS
@thadeusmarkiminja2282 Жыл бұрын
Watu wanatoka kwenye nchi zao wakifika bongo wanatusifia kwa umoja.wanatakakututengenisha kwa faida yao Washington kwa nguvu za mwenyezi mungu.
@travelwaka770 Жыл бұрын
Namuona babu yangu hapo😢, kumbe wakati wenzake wanakimbilia kununua viwanja mjini yeye alikua anaruka kopo😂😂
@hatibbaraka3956 Жыл бұрын
Hahaha wakati huo na hela ilikua ngumu sana.
@Kenyan_Duke8 ай бұрын
ni Kula raha mjini aiseiii!!
@pikanaauntzuu14664 ай бұрын
@@travelwaka770 🤣🤣🤣🤣🤣alikua anaruka majoka🤣🤣matokeo yake kawaachia jina la ukoo tu
@Jal210 Жыл бұрын
Voice of the African mwalimu Nyerere was the great leader
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
RIP Remmy Ongala we still miss you.bado tunasikiliza songs zako ndani ya 2023
@bigshipsounds Жыл бұрын
anytime am youtube then i bump into remmy ongala that is it......... mziki zake nzuri sana
@reubenmwengela80152 ай бұрын
Tanzania Nia yetu ndiyo nchinya kusifikia wote ulimwenguni watu wote watambua Tanzania yetu ndiyo nchi ya kupendeza
@laurentnkanga5449 Жыл бұрын
Nakupenda sana Dr remmy
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Dah,huo ndio utungaji wenye maadili!
@jamaa276011 ай бұрын
Kazi Nzuri Ongala!!
@dicksonmlimwengu137 Жыл бұрын
Kama miaka hiyo mzee aliona ccm imekwisha! Leo hii vipi
@fasterwalker14649 ай бұрын
Hahahaha ccm ya mama Samia 🤣🤣🤣 Hafu waislam wanamwita Nyerere kafir maskin Akili zetu waislam za ovyo sana
@bethramndekamachi58375 ай бұрын
Nimejiuliza sana hili swali aisee
@rashidisaidi8535 Жыл бұрын
Unaopoa duuu neno lilikuwep duu
@OnesmoNtengo3 ай бұрын
Huyo mzee anayepiga gita anaitwa kassim mapili
@samsonkusupa68092 ай бұрын
Hii ndio maana ya mziki live
@GazCheetah Жыл бұрын
Legend Never to be forgotten love and miss you Bro, RIP
@maduhuruben38252 жыл бұрын
Huyu jamaa alikua ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@michaelthevisionary Жыл бұрын
His style if music goes with that of Franco Lwambo Makiadi
@dennismutinda7 Жыл бұрын
This guy was a stand up composer, melodious voice. Sauti zito
@petrocristian53643 жыл бұрын
Mwamba namuelewaga sana
@joannyagichuhi3545 Жыл бұрын
A true legend......rest in peace
@michaelboniface7003 Жыл бұрын
Wazanzibari nikama wana wanatabia sawa wote coz anae lalamikiwa ni Rais alie kua mzanzbar that time
@fasterwalker14645 ай бұрын
Hapo Raisi alikua Mwinyi
@GazCheetah5 ай бұрын
I miss this artist,he was awesome
@iamnormal8648 Жыл бұрын
Huu muziki ni historia ya nguvu.
@bethramndekamachi583710 ай бұрын
Kumbe CCM toka enzi, inazingua😂 km Nyerere hapakuwa na mgao na technology ilikuwa duni ila Basi bana
@fasterwalker14645 ай бұрын
History ya nyerere uliza wazee tu maana wao ndo waliongozwa nae watakusimulia mm babaangu kashuhudia uongoz wote wanyerere maana mwalim kachukua uraisi mzee anamiaka 5 anamaliza mzee anamiaka 28 ananiambia mwl alikua bonge la kiongoz licha maisha kua magumu ila aliweka mikakat imara sana sema ndo hvo kila mtu hawez kukupenda hata magu tumemshuhudia ila wapo wasiompenda na tupo tunaemkumbula
@MakhosaniThomasNkavele Жыл бұрын
Great song
@elishaedson8612 жыл бұрын
Atali sanaa aisee
@reubennjeche Жыл бұрын
Wow wonderful good indeed
@mountkenya2 жыл бұрын
mwanamusiki aliyembombea.
@JosephKihara-mx8jsАй бұрын
Mama
@siddyoneonlinesi5433 Жыл бұрын
Hatari
@Kkktkangeonlinetv Жыл бұрын
hakuna mgao wa umeme
@bethramndekamachi58375 ай бұрын
😂😂
@venancemwarabu71689 ай бұрын
Which country is this!? Super matimila
@yussuphsultan14007 ай бұрын
Tanzania
@SarahMsinga Жыл бұрын
Haki I’m just 😭😭😭😭🙏🏽 why Good ppl Died ?
@sangomamourice35395 ай бұрын
Asante Dr
@massive17653 жыл бұрын
Lete vitu kaka
@philipphanuel71812 жыл бұрын
Huyu mwamba haijawahi tokea bongo
@abelritte1808 Жыл бұрын
Kuna coment naitafuta
@fredkawiche1133 Жыл бұрын
Uyo mzee anaepiga ilo guitar anaitwa nan?
@AlexKing-yg2cc Жыл бұрын
Huyo Mzee (mwenye mvi na suti ya bluu bahari) anaitwa Kasimu Mapili. Ni marehemu.