Mchungaj barikiwa sana kwa Neno hili, mimi nilifikwa na wakati mgumu na nikaamua kuomba maombi maalum, na Mungu alinijibu vilevile nilivyoomba. Kweli Mungu yupo. Nilimwambia naomba unipe Mume , na ukinipa huyo mume asitoke katika nchi ambayo kuna kizazi yenye kizazi nilichozaliwa, Wala upande wa Mama yangu na wala upande wa baba yangu. Mchungaj tokea hapo nauchungaga sana ulimi wangu. Mungu yupo
@veronicamagige29622 жыл бұрын
Amen
@harounjc6550 Жыл бұрын
Ni mengi napaswa kujifunza kupitia mafundisho ya Mungu kwako mchungaji, Mungu nitie nguvu👏
@mariamgodwin71862 жыл бұрын
Mungu akubariki Kuna kitu nimejifunza kikubwa sana kupitia ujumbe huu
@graceasagwile83622 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@frida48912 жыл бұрын
Love you pastor sana
@heavenlight50842 жыл бұрын
Ni kweli dady!more you strangle to pray God answer you prayer