Mungu akubariki mtukufu ulietukuka Rv Dr Eliona Kimaro mheshimiwa mpakwa mafuta ww peke yako ni mfano wa kuigwa Nakufuatilia sn Mungu kaweka kitu ndani yako kwaajili ya wengine. Binafsi salut kwako
@miriamalute1540 Жыл бұрын
Mungu Mungu niondolee kiburi 2024
@schoollife58139 ай бұрын
Hekima na maarifaa aliyokupa mungu tunamshukuru.akuinue viwango vingine.akupe uwemfalme watanzania
@lilianchepotibin13232 жыл бұрын
Asante baba Eliona Kimaro kwa mahubiri ya mafundisho kweli. Umenifundisha jambo nzuri sana , kunyenyekea !nafuatilia kutoka kenya
@gracedamas58832 жыл бұрын
Kwer mie na kiburi hasira dharau Du!Mungu anifungue aisee
@bernadethabenangodi2 жыл бұрын
Asante mch. Mbona kama napata hisia ya muimbaji fulani... ILa kiburi Mungu atuondolee jamani
@Jesica-k4l3 ай бұрын
Mungu nisaidie unyenyekevu Maisha yangu yote
@ndeningayakimaro7906 Жыл бұрын
Mafundisho yako yamenipeleka hatua nyingine kwa kipindi hiki kigumu cha ugonjwa,namshukuru Mungu wetu aliekuona kama alivyomwona Daudi machungani
@Jesica-k4l3 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu namuomba Mwenyezi Mungu aubariki uzao wangu usiwe na kiburi
@CelinaDavid-g7q10 ай бұрын
Barikiwa baba mchungaji naomba nafasi ya kukuona
@rahabnkya82762 жыл бұрын
"Kwa kuwa umejisifu namna hii mbele ya MADHABAHU hii, basii ...." mwimbaji mwenye kiburi alitamkiwa na mchungaji. Naye haku perfom completely anywhere ....ooooo kama yuko aje kuomba msamaha kwanpastor. Ndiyo salama yake.
@veonicaanthony-pn9nu Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe sanaaaa Baba kwa ujumbe, nabarikiwa nikiwa mkoa wa Ruvuma
@carolinewawira7192 жыл бұрын
We love u and your true preaching 👏 be blessed and live long .🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@victoriasarwat47362 жыл бұрын
ubarikiwe baba nimejifunza juu ya unyenyekevu.....Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu
@JuliethKalukwa-iz1nx Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa Neno la uzima kamwe halita futika katika maisha ya msikilizaji barikiwa sana mtumishi
@prospermushi55967 ай бұрын
Mungu skulinde mchungaji
@RebeccaMosha8 ай бұрын
Mungu nipe kunyenyekea mbele zako bila kuyatafakari ya wanadamu yanayoturudisha nyuma na kuiacha kwel yako, Mungu azidi kukupandisha utukufu hadi utukufu mtumishi wake nas tuzidi kujifunza
@doreenmoshi60622 жыл бұрын
Mungu nifundishe unyenyevu
@jescaedwardkurumela4333 Жыл бұрын
Asante Mchj Duuu
@FlorenceMichaellaswai Жыл бұрын
Nabarikiwa sana🙏🙏
@jecintakurraru4727 ай бұрын
Asante sana Padre....Ubarikiwe sana kwa kunijenga kiroho
@fridahpaul8972 жыл бұрын
Nimejifunza Sana hapa, Asante sana baba kwa mafundisho yako
@loveme6056 Жыл бұрын
Wakati nasikiliza nilikuwa nasinzia sinzia ila habari ya uyo muimbaji imenikata usingizi wote na kujisikia vibaya sn, Mungu awasaidie waimbaji wote, waache kujiinua
@AtimGrace-zu3pq3 ай бұрын
Mungu akubariki Sana
@kdv6959 Жыл бұрын
Mimi nmekua n kiburi sana lakini leo hii umeniponya baba kwasababu nimepoteza vingi kwasababu y kiburi tangu leo nmbadilika kweli
@obeidynyambele2678 Жыл бұрын
Mungu akupe kuishimiaka mingi sana
@stanleymsenga9444 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@DEVOTHAKISAKA5 ай бұрын
Asante ubarikiwe mchungaji
@stansiauisso5441 Жыл бұрын
wimbo number wimbo number wimbo number..nimecheka mno
@peninabensonpen8702 жыл бұрын
Amen Mchungaji Mungu akubariki sana na hio neema ya ufunuo mafundisho mazuri sana Amen Amen
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Mbavu zimekosa gris, shauri kiburi sasa WENGINE wanapumua kwa shida! Duu MTU asijiinue kana kwamba wewe ni wewe tu, jamani. BABANGU nakushukuru kwa somo hili. MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA utufunike kwenye mbawa zako zako BABANGU.
@singiradandunguru50882 жыл бұрын
Eeee Mungu nijalie unyenyekevu Asante mtumishi wa mungu
@BerthaYakobo6 ай бұрын
Asante mungu akubariki
@mcharoamani8524 Жыл бұрын
Amina mtumishi unafundisha vizuri
@sabrinawakesho45422 жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana. ni ombi langu Mungu aniondolee kiburi🙏🏼🙏🏼
@bhokeshinta51408 ай бұрын
yaan natamani hili fundisho wangesikiliza hawa wararabu labda wangejua umuhimu wa kulea.l huku mtoto anaogopewa hapigwi hafokewi ee Mungu nipe unyenyekevu
@shikfaith60212 жыл бұрын
Mungu ni jaze unyenyekevu maishani mwangu
@angelambanga3512 жыл бұрын
Mungu akubariki. Asante baba kwa mahubiri yenye mafunzo.
@jemimak5360 Жыл бұрын
Aksante kwa mafundisho
@fransiskammassy61732 жыл бұрын
Amen mchungaj napokea kwa jna la yesu
@estharlovely62022 жыл бұрын
Amen na ubarikiwe Mchungaji
@princejeffwakigooco2 жыл бұрын
Mungu niondolee kiburi
@hilgathjoshua8804 Жыл бұрын
Ameni Ameni
@yustermunuo61532 жыл бұрын
Ubarikiwe saana mch.
@esmilykipele40082 жыл бұрын
May the Lord help us 🙏🙏🙏
@aikaassey61982 жыл бұрын
Nimebarikiwa amina
@gracegesare53132 жыл бұрын
Thanks for the word of GOD and good teachings that we may overcome unyenyekevu utuongoze. Be blessed father of the church.
@bupemwakiteleko16082 жыл бұрын
Mungu na atupe kunyenyekea siku zote
@bernadethabenangodi2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na hili
@dadarehema2 жыл бұрын
Asante Mungu neno lako limetufikia kwa wakati.Stay blessed Pr.
@aminapius47532 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu umetufudisha
@esthermodestus76492 жыл бұрын
Ni kweli kabisa asiyejua kupata kapata, nimebarikiwa sana.
@jacksonmollel92062 жыл бұрын
Ni kweli mungu atausaidie
@ElizabethGastor Жыл бұрын
Mchungaji
@janewathiru53582 жыл бұрын
I love your sermon, they are a blessings to me. It was King Belshazzar who saw the hand not Nebuchadnezar Daniel 5:5-12. God bless. Mungu atupe unyenyekevu
@emmanuelruwanja38142 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@amissiking23352 жыл бұрын
Ubarikiwe sana tena sana mtumishi wa Mungu
@asta.tanotdoor72 жыл бұрын
Asante sana ujumbe mzuri mmmno nimebarikiwa AMEN. AMEN
@brianketon98982 жыл бұрын
Very true,,May God's grace be there for us
@atuenemsalilwa25482 жыл бұрын
ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa somo hili
@obeidynyambele2678 Жыл бұрын
Baba mungu akupe kuishi miakamingi mchungaji
@nangatv92182 жыл бұрын
Asante mchungaji dunia ya mazombie confusion era ... Yaani malezi uozo ukiwaambia watu wananuna
@godblessnaibala60202 жыл бұрын
L
@philemonkisula8812 жыл бұрын
Asante Yesu wangu Kwa ujumbe huu
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Eeeh Mungu Tusaidie tuwe wanyenyekevu nipo Darasani Mchungaji najifunza kila siku kwako kila siku inayoitwa leo!Eeh Mungu nipe uvumilivu!
@gracekagoma32313 ай бұрын
❤❤🎉
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Mungu nifundishe niwe na unyenyekevu katika maisha ya Kwangu
@esthermodestus76492 жыл бұрын
Amen
@lucymukhavi14052 жыл бұрын
God,help us to get rid of any pride in ourselves, let us yearn to be humble in and at all times. God bless you Rev. Kimaro.
@nyakibarirange6442 жыл бұрын
Cm to be my
@edwinkimambo75922 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa somo
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Kiburi kaburi!
@dancun2172 жыл бұрын
Mtoto ana Allergy 🤣🤣🤣,mayai mayai
@aminapius47532 жыл бұрын
Ebeneza
@emmyndone10672 жыл бұрын
Mungu wa Elia akutunze
@merselinaju71974 ай бұрын
Amenn pasta nikyeli kibor shauya na mimi nilikowa na baba yaya Toto yago kikweli kibor kyauwa motosamehe yanaome twasok mojo nimeishi namome mijak ine minawatoto yayill Jeje Akipata besa Anakibiya Akikosa Anarodiya hayo maischa nilijauak sikaiwa. Ila Anakibor sana Akieda otowa kaholshafo Naksema mimi sije saiziyak Anapisha. dipo mimi nakowasaiziyak khiy hali mimi nilichosha nayo niliamowa kowamyewe miwak mine iliyopita sasa nashoga yatoto myengeye Anekowa kama Jeje nilimwachiwa yatoto Atak mimi niwe natafot pesanimop jabapaloaliyezekan mimi kotafot kwajoliyawa Toto kisha nimop jaman engi yanaome motosamehesana sisijatoj obwa kowayafotiyen
@nangatv92182 жыл бұрын
Ndio ujue jinsi wanawake hawapendi kuambiwa ukweli kwa maana mada inagusa kila kona. Vigelegele hamna...
@dadarehema2 жыл бұрын
Message/sindano imeingia nguvu ya kushangilia tutoe wapi 🤦🤦🤦
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
@@dadarehema tumeuchuna🤣🤣🤣
@rahabnkya82762 жыл бұрын
MUNGU alimtengua Yakobo mguu, alishindana na NABII wa MUNGU lkn akabadilishiwa HATA jina akaitwa Israel. Ee MUNGU NISAIDIE juu ya wanangu Allan na ANGELA.