REV. DR. ELIONA KIMARO: MWAKA MPYA, MTU MPYA/ WEWE NI TOLEO JIPYA/ NEW VERSION

  Рет қаралды 22,403

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Күн бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA - 31 DEC 2023
UJUMBE WA LEO: MWAKA MPYA - MTU MPYA

WEWE NI TOLEO JIPYA
(NEW VERSION)
1 Samwel 7 : 12 - 17

1 Samwel 7 : 12 - 17
12 Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Eben-ezeri, akisema, Hata sasa Bwana ametusaidia.
13 Hivyo Wafilisti walishindwa, wasiingie tena ndani ya mipaka ya Israeli; na mkono wa Bwana ulikuwa juu ya Wafilisti siku zote za Samweli.
14 Nayo miji ile Wafilisti waliyokuwa wamewapokonya Waisraeli ilirudishwa tena kwa Israeli, tokea Ekroni mpaka Gathi; na Waisraeli wakauokoa mpaka wake mikononi mwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Israeli na Waamori.
15 Naye huyo Samweli akawaamua Israeli siku zote za maisha yake.
16 Naye huenda mwaka kwa mwaka kuzunguka mpaka Betheli, na Gilgali, na Mispa; akawaamua Israeli mahali hapo pote.
17 Na kurudi kwake kulikuwa mpaka Rama; maana ndipo ilipokuwa nyumba yake; nako ndiko alikowaamua Israeli; na huko akamjengea Bwana madhabahu.
BAADHI YA WATU TOLEO JIPYA KATIKA BIBLIA

1. YAKOBO
2. YUSUFU ... REVISED STANDARD VERSION:
REVISED STANDARD VERSION...RSV 2024
3. RAHABU KAHABA
4. YESU KRISTO
A SENSE OF PURPOSE
KUSUDI LA KUWEPO

Mhubiri: Mch. Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Пікірлер: 43
@catherinegimbika1545
@catherinegimbika1545 9 ай бұрын
Mwaka wa kusaidiwa na Bwana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@neemaringo3502
@neemaringo3502 9 ай бұрын
Nimerudia zaidi ya mara tatu hii Ibada. Haya Mahubiri hayakua ya kawaida. Hakika ni Mungu peke yake aliyehubiri. Atukuzwe Yesu Kristo. Amen
@bhokeshinta5140
@bhokeshinta5140 9 ай бұрын
Amen nimezaliwa upya Mungu akuweke mtumishi wake nije siku Moja nikuone live now nipo Muscut Oman
@saramsuya
@saramsuya 9 ай бұрын
Baba mafundisho Yako yamenifanya kuwa mtu mwingine Mungu azidi kukuinua sana uzidi kuwa baraka Tanzania
@aishaahmed7363
@aishaahmed7363 9 ай бұрын
Nilipata wasaa mzuri wakufungua mwaka nikiwa na mch kimaro kwa kukumbatiwa kwa upendo wa Mungu kabisaa kwakweri najiona nmebalikiwa sana Mungu azidi kukupa roho ya kutokubagua watu una upendo na kila bila kujari unamjua au hamjua umefanyika baraka sana
@furahamtweve4222
@furahamtweve4222 9 ай бұрын
Mwaka wangu wa kusaidiwa na mungu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
Hii video STILL shows consistency, na nitaendelea kusikiliza tena na tena, neno la Mungu ni sheria(@RSV) TOLEO JIPYA JIPYA KILA IITWAPO LEO. ASANTE MCHJ DR.ELIONA MUNGU AKUBARIKI BABA!
@KelevinaKokunyikila
@KelevinaKokunyikila 8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu hakikakwa mjomba nimetoka mimi na familia yangu ni toleojipya
@Eillen-v2y
@Eillen-v2y 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nakusikiliza nikiwa Saudi 🇸🇦
@janethobama7124
@janethobama7124 8 ай бұрын
Ammmeeeen napanda viwango vya juu kwa jina la yesu
@JanethMangula
@JanethMangula 9 ай бұрын
Hakika nimezaliwa upya na kuandikwa kwenye kitabu Ahsanteee sana Pastor mahubiri yako yananibariki sana Mungu akutunze AMINA
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 Ай бұрын
Nasaidiwaaaa na Bwanaaaaaaaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏
@MartinaGodfrey-c7o
@MartinaGodfrey-c7o 9 ай бұрын
❤ mungu akubarki mtumishi wamungu najiskia kubarkiwa na kufunguriwa zaid
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 9 ай бұрын
Naamuru kutoka kwa mjomba kwa jina la Yesu
@waeliroderickkoshuma8347
@waeliroderickkoshuma8347 9 ай бұрын
Ninajengwa kikamilifu na kubarikiwa sana na mahubiri ya kumaliza mwaka 2023 kwenda 2024 kuwa toleo jipya
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 Ай бұрын
Mimi toleo jipyaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏
@BaynerRashid
@BaynerRashid 7 ай бұрын
Aminaa
@TukulambaMwakabenga
@TukulambaMwakabenga 8 ай бұрын
Amen amen thank so much mane of God God bless you and your family
@matildakilufi7739
@matildakilufi7739 9 ай бұрын
Amina. Ni mwaka wa kusaidiwa na Bwana katika familia yangu
@happinesslyimo8876
@happinesslyimo8876 9 ай бұрын
Heri ya mwaka mpya, kipekee sana Rev. Dr. Kimaro kwa mafundisho mazuri na rahisi kuelewa watu wa rika zote. Hakika nimeelewa na mimi ni Toleo Jipya kwa Jina Yesu.
@lilianmuchoki1659
@lilianmuchoki1659 6 ай бұрын
Hu mwaka ni wangu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana. KIPEKEE MWENYENZI MUNGU AKULINDE AKUPE MIAKA MIINGI SANA MCHJ DR ELIONA KIMARO. KILA NINAPOKUSIKILIZA MAHUBIRI YAKO NINAJAA FURAHA NA UPAKO WA AJABU KABISA. HATA SASA NI EBENEZER! HALELUYA, NA KHERI YA MWAKA ALFA NA OMEGA. AMEEN
@BaynerRashid
@BaynerRashid 7 ай бұрын
Aamen
@EllyAyo-uq6ol
@EllyAyo-uq6ol 9 ай бұрын
NINATOKA KWA MJOMBA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI
@mujawabegayvonne9751
@mujawabegayvonne9751 9 ай бұрын
Nimebarikiwa sana.
@BeathaSwai
@BeathaSwai 3 ай бұрын
Napanda viwango mara mbiliii
@olivernyange2349
@olivernyange2349 8 ай бұрын
Hakika,ni mwaka wangu wa kusaidiwa na bwana na wala si mwanadamu mi na watoto wangu walitusukuma sana ili tuanguke lakin bwana akatusaidia na atatusaidia tena na tena
@janethobama7124
@janethobama7124 8 ай бұрын
Ammmeeen
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 9 ай бұрын
Ameeen❤❤❤❤
@MarryaMarrya-m7e
@MarryaMarrya-m7e 8 ай бұрын
Amen 🙏🙏💕💓💓
@claratemba44
@claratemba44 9 ай бұрын
Amina
@catherinegimbika1545
@catherinegimbika1545 9 ай бұрын
RSV 2024
@amosziro7054
@amosziro7054 9 ай бұрын
Amen
@janethobama7124
@janethobama7124 8 ай бұрын
Rsv 2024
@judithabuko6006
@judithabuko6006 9 ай бұрын
Kwa mjomba nimetoka na sirudi tenaaaa
@elichiliameela3204
@elichiliameela3204 9 ай бұрын
AMEEN
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
MIMI NI TOLEO JIPYAAA 2024, NASIMAMA NA TAMKO HILI LA MTUMISHI WA MUNGU MCHJ DR. ELIONA KIMARO.
@DayananicodemDayananicodem
@DayananicodemDayananicodem 8 ай бұрын
Ameni
@judithabuko6006
@judithabuko6006 9 ай бұрын
Ameeen
@lightnessisaya2790
@lightnessisaya2790 9 ай бұрын
Rsv2024❤❤❤
@EllyAyo-uq6ol
@EllyAyo-uq6ol 9 ай бұрын
MI NI ISRAELI,NINASAIDIWA NA BWANA
@bhokeshinta5140
@bhokeshinta5140 9 ай бұрын
Amen nimezaliwa upya Mungu akuweke mtumishi wake nije siku Moja nikuone live now nipo Muscut Oman
@josephmnyasenga226
@josephmnyasenga226 8 ай бұрын
Amen
Unamkumbuka Mungu? Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:31
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,7 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI
59:31
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 8 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 41 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
JAMANI WALEVI WANANUKA SANA ULIWAH KUKAA NAO KWENYE USAFIRI "PASTOR MGOGO
41:19
WATU WENGI WANAKOSEA HAPA,WEWE JE?
43:49
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 41 М.
PASTOR E. MABULA | NGUVU YA SHUKURANI KWA MUNGU | TAG  -DCC
27:28
Doxor Christian Centre(TAG DCC)
Рет қаралды 93
REV. DR. ELIONA KIMARO: FURAHI SIKU ZOTE
59:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 14 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 79 М.
Namna Majeraha ya Moyo Yamefunga Maisha Yako | Rev. Dr. Eliona Kimaro
12:39
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 9 М.
SEHEM UA 2-SIRI HII INALETA TABASAMU KWA MUNGU |PR.DAVID MMBAGA|
40:44
REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II
1:02:17
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 5 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26