Naomba mungu anibariki siku moja watu uku nje waache kunidharau i need respect one one day,,,,Amen God is with me in Jesus name
@christinaemanuelyusta422810 ай бұрын
Mungu naomba unipe kibali kwenye biashara yangu niweze kutoka maana ninachangamoto.nipo chalinze naombee mnsaidie jaman
@deborahfredrick18199 ай бұрын
Pole sana
@RashidNyongesa10 ай бұрын
Naomba kibali Mungu ndoa irejeshwe na isimame
@merveillekavira144610 ай бұрын
Baba mimi nimepoteza kibali changu mimi mwenyewe.Mungu anisamehe sana anirudishiye tena hicho kibali.
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
Mungu naomba kibali kubali mbele ya matifa mbele ya watu mbele ya makabila Bwana nisaindie nibe kibali hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 😢😢😢😢
@gladyskerubo607511 ай бұрын
Naomba kibali Mungu wangu
@beatricestanslaus378711 ай бұрын
Napokea kibali kwa jina la yesu.
@AnnaBuritho11 ай бұрын
Napokea kibali cha kukubaliwa kwajina la YESU.Amen
Mungu nipe kibali, pesa yangu iwache kupotea potea. Amen.
@FatumaNakamba11 ай бұрын
Mungu naomb Kibari nikubalike kila napokanyaga na kila nifanyacho Kipate kubali mble zako🙏
@EliadaMtifu-f9h2 ай бұрын
Kwakweli mchungaji ubarikiwe na bwana ,nami naomba mungu anipe kibari katika maisha yangu
@RukiaKipenzi-k9f11 ай бұрын
Kuna mtu alinidulumu pesa nyingi sana so naomba mungu unipe kibali
@GraceZunda7 ай бұрын
MUNGU naomba nipate kibali nikubalike kwenye biashara yangu na familia yangu ipate kibali katika kazi zao kwa damu ya YESU Ameeen
@MariaJuma-q2k9 ай бұрын
Nakushuru Mungu kwasomo hili,kwani nimelipata kwa majira sahihi,ya uhitaji wangu,Mungu amenifunulia nakataliwa nandugu zangu Mimi nawatoto wangu,then nakutana nahili SoMo,haya nimajira sahihi yakushughulikia hii roho
@princessshila61304 ай бұрын
Very powerful teachings
@MamaAlani-d9f3 ай бұрын
Mungu atusaidie Dia hii hali ata mm Na inaniumiza sana....MUNGU ATUTETe
@NitakaseKonga Жыл бұрын
Asante Mungukwa ujumbe mpya wa kunitia nguvu kupitia mtumishi Pastor Mkabwa.
@carolyneliona98662 ай бұрын
Eeee mungu nipe Kibali popote ninapo enda nikubalike ,Kazi zangu zikubalike Katika jina la yesu Kristo 🙏 Amen.
@ElizabethMuthui-k5g6 ай бұрын
Pastor may God continue blessing you always 🙏❤️👍💪,,,aki tangu nikujue kupitia mitadao ukiubiri neno la mungu ,,,nimejifuza mengi katka hii safari ya ki Imani 👏👏👏👏,,,
@Jane-h5n7u Жыл бұрын
Naenda kazini kila siku na sipati kulipwa na watu wengi wamenizulumu pesa zangu kilasiku naanza maish mapya 😢😢 Mungu naomba kibali
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭the same me
@ElizabethLaizer-h5i Жыл бұрын
We we ni mimi jamani, Ee Mungu nope kibali machoni pa watu wako, nipe kibali Cha kazi yangu ikubalike, nipe kibali Biashara yangu itambulike kimataifa,
@SandraNyota-cy6qn11 ай бұрын
Mungu atusaidie
@PeterChemos-f5m10 ай бұрын
Ww 2 book@@saumusulaiman4742
@MariaJuma-q2k9 ай бұрын
Pokea kibali Cha kazi nakulipwa madeni Yako yote kwa jina la YESU KRISTO,kuanzia Leo hiyo Roho yakadhulumiwa naikemea juu yako kwa mamlaka ya JINA la YESU,utainuka tangu Leo nasiku zote zamaisha Yako hutorudi nyuma Tena.
@violetnafula49486 ай бұрын
Mungu nipe kibali cha kukubalika Nipe Neema ya kipekee itokayo kwako! Mungu niongezee kibali Mungu wangu!
@zaituniwambura294911 ай бұрын
Ni somo zuri. Sana ndio muda ninaopitia lakini naamini kuanzia muda huu nitakubarika Amen
@BrianWekesa-o5e17 күн бұрын
Pst Amen nabarikiwa sana niombee nami nibate kibali
@Maria-k7x5u7 күн бұрын
Ameeen kibali kijuj yangu
@ZenaPeter-w7f Жыл бұрын
MUNGU kupitia nenola mtumishi wako nipate kibali mbele zako MUNGU wangu
@ChanceKalire3 ай бұрын
Mimi ni chance mucongomani anaye ishi uganda kama mukimbizi.nimezowa kufiata mafundisho yako kwenye mutandao ya KZbin,kweli nimezbarikiwa na mafundisho yako mutumishi wa Mungu ime nisogeza mahali fulani katika maisha ya ukristo.acha mbingu zi nene mema juu yako.
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana mutumishi wa mungu ❤❤❤❤
@AbdullahiNassor-i5j2 ай бұрын
Asante sana paster❤😂😊🎉
@juliethkimario2454 Жыл бұрын
Mungu naomba kibali mimi na familia yangu hatuna mtu wakutusaidia katika shida
@joycelanda898711 ай бұрын
Yupo Yesu aliye hai atakushindia
@violetnafula49486 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Mungu wewe ni Mungu wa kweli! Zidi kunipa kibali chako kila wakati! Nipe kibali kitokacho kwako shusha malaika wako kwangu eeeeh! Mungu wangu
@sswarez-x9p3 ай бұрын
Nimefanya kazi miaka miwili na akuna nilichokifanya zaidi ya kudhulumiwa na watu, kuanzia leo nipe kibali mungu na nyota yangu ikang'ae kwa jina la yesu
@rosemuia Жыл бұрын
Amen Amen mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha my GOD bless you and your family growly to JESUS
@paulostephano9221 Жыл бұрын
Nimejifunza sana mengi katika masomo yako pastor George
@Barakakny Жыл бұрын
Naomba leo mungu anikubalie maombi yangu
@junicnamuwenge69576 ай бұрын
Amen 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ameen Ameen and Ameen Our God is powerful
@JOSHUANASSARY-r9v10 ай бұрын
Amen pastor.Napokea kibali cha Mungu.
@DinahMiloyo-k5w Жыл бұрын
Mimi Niko Saudi na ninapitia halii hii ngumu sana pastor,ninabadilishiwa manyumba Hadi nimechoka,nahitaji maombi sana
@FransiscaKavishe-xu6de5 ай бұрын
May God give favor dear
@saraemmanuel7285 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba ninakuelewa sana wewe hunilea kiroho sana Mungu akutunze
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ndio Yesu
@samid193711 ай бұрын
Ameen mtu wa Mungu kwa mafundisho hawa umeongea maisha ninayopitia naomba Mungu anipe kibali hii roho inanisumbua Mtumishi niombee
@barack269211 ай бұрын
Amen napokea ktk jina la yesu aliye hai
@XavierManfred9 ай бұрын
Ameen napokea kibali kwa Jina la Yesu
@veronicajohn7645 Жыл бұрын
Amen Pastor.
@JudithMokaya-kw8dn10 ай бұрын
Mungu nipe Kibali maombi yangu napo omba yakubaliwe n napo omba maudui wanatoroka
@mercyndoli529611 ай бұрын
Ameni ameni ❤
@ConfusedBakedCustard-go7vf11 ай бұрын
Napokea kibali cha kukubaliwa kwa jina la yesu ameeeeen
@oman58756 ай бұрын
Amen,nimepokea kibali kuanzia leo kwa jina la Yesu 🙏🏿
@HekimaHissa-de3lu9 ай бұрын
mwenzi mungu nipe kibali nikubalike kwenye maisha yangu
@carolinekageha18842 ай бұрын
Mimi napitia hayo pastor
@ResparGirbert11 ай бұрын
Amen Amen, Bwana naomba kibali chako kimaisha,na hata Huduma yangu nami nitakutukuza Bwana
@NoellaBilembano4 ай бұрын
Ubarikiwe niongee mtumishi wa mungu ili na Mimi Muwe nami Ali ubarikiwe
@janekanyonyo47686 ай бұрын
Mtumishi umbarikiwe sana nimejifunza mengi kutoka kwako Mungu azidndi kukuongoza
@ketrinamakobwe907811 ай бұрын
Mungu nipatie kibali niweze kupata kazi nzuri
@BettyNanniesAgencies3 күн бұрын
Asant Sana pasta
@AnnaBuritho11 ай бұрын
Napokea KWA jina la Yesu.
@CatherineMwanjala-v8g4 ай бұрын
Kuanzia sasa natangaza kukubalika kwa jina la yesu
@NeemaMgaya-ez9un4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wa mungu
@MaryMsella Жыл бұрын
Amina napokea Kibali ktk maisha yangu
@MaryKariuki-u8d6 ай бұрын
Mungu nipee kibali nafanya kazi ngumu pesa hainisadii kil😢😢🙏
@SophiaSteven-nc1li8 ай бұрын
Asante yesu kwa neno hili baba ubalikiwe
@violetnafula49486 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi wa Mungu umefungua njia zangu haki nimejua nilipopotelea ! Kupitia huu ujumbe njia zangu zimefunguka
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful
@annamazengo975 Жыл бұрын
Amina mtumishi umekuwa msaada wangu Sana na umenibadilisha.
@NeemaDaudi-vp1eg7 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwajili yako yote uliyofundisha ni mm kbsa kila neno ulilosema ni mm kaabsa
@kanezajosephine46111 ай бұрын
Naomba muniombeye mume wangu apate kazi
@tinakatana45137 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙌
@RhodaKapaya5 ай бұрын
Naomba Mungu akaachilie kibali ndani yangu
@PerisChari11 ай бұрын
Mungu naomba nipate Kibali machoni pako na pa wanadamu
@jenipheradhiambo48146 ай бұрын
Poster niombe sana nimekataliwa na marafiki baka kwa ndoa
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ameen pastor
@jacklinegodfrey2968 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana 🙏 siku nikija mwanza natamani nikione nikuletee na zawadi nabarikiwa sana mahubiri yako
@ZipporahMakumi11 ай бұрын
It's my prayer God will make me a walking testimony after listening to this sermon in Jesus name.🙏
@jenifariwa258811 ай бұрын
Mungu naomba unipe kibali nikubalike barua nilizoandika ipate kibali nipate kazi Amen
@DeboraDaniel-i9n11 ай бұрын
Be blessed more pastor God may use you for more and more and you have a good message to on each reson
@GueenMwashambwa6 ай бұрын
Mungu hakik unaishi ninaamini upon na uta
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Baba nisaindie nikubarike bwana Yesu Kristo wanasareti
@faryndobesa7600 Жыл бұрын
Hamujambo bandung u mimi ninataka Mungu anipe kazi nzuri isiyo na matatizo nakukaamuda.mrefu na kuombeya watoto wangu 😅❤❤❤🎉
@salhajakubo453811 ай бұрын
😢😢Nafaya vitu lkin naona mambo nimagumu tu eee MUNGU NIPE NEEMA YA KUKUBALIKA NIPE NAOMB KIBALI BABA😭🙌🙌🙌 mpk nahis kukata tamaa kuedelea kupambana
@rosealali61 Жыл бұрын
Very very true , 😢
@SaidAliSaid-r1s8 ай бұрын
Naomba mungu anipe kibali chakukubalika kila sehemu
@VeronicaJohn-l5s Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutumia ili ss tuokolewe nimejifunz meng ukungu akubariki
@barack269211 ай бұрын
Eee
@Jenitha-ub8mr7 ай бұрын
Naomba mungu kibari kwenye ndoa yangu
@nadzua1750 Жыл бұрын
Napokea kibali leo kutoka kwa mungu amen 🙏 🙌
@emmymongina542011 ай бұрын
Napenda kusikiza pastor 🙏🙏🙏🌹
@SophiaEmmanuel-e3p9 ай бұрын
Umenitia moyo mtumishi wa mungu anipe kibali Kwa jina la yesu
@Anifanusura7 ай бұрын
Asante paster unaniponya
@AnniciaPinda9 ай бұрын
Naomba bariki kazi za mikono yangu
@ruthabed10 ай бұрын
Mungu naomba kibali katika biashara zangu
@JudithMokaya-kw8dn10 ай бұрын
Mungu nipe kibali nikubaliwe kazini
@kayitarecharles6993 Жыл бұрын
Mungu wa George napokea kabari na kukubalika kila mahari niendapo ktk jina la YESU 🙏
@safialuhizo4979 Жыл бұрын
Ahsante yesu naomba Tina na rehema mbele zako nisamehe Kwa kuwa mtovu WA nidhamu Kwa habari ya kutokuwa mtiifu na mwaminifu nisamehe,,naomba roho mtakatifu usiniache niambatanishe na wewe nikasimame Kwa shauri lako na kuwa mwaminifu
@MaryNginia11 ай бұрын
Mchungaji namka Saa Tisa usiku na ninalala Saa Tano usiku na biashara yangu hainisaidii inaisha tu😢😢😢
@GiftSisso2 ай бұрын
Pole, shetani atanaka kukuaktisha tamaa, wewe anza kushukuru , tangaza ushundi Mungu anataka kuona uvumilivu wako huku ukimpendea Mungu. Hali hiyo ilipata kama miaka 3 - niliharibikiwa kila sehemu, mradi za mtaji wa milino 40 ulikatika ndani ya miezi 6. watoto shule wakashambuliwa, mahusiano yako ICU! nilimlilia Bwna nikaenda nikatoa sadaka ya shukurani kuwa Bwana naamini hutaniacha! nikaanza kudai ahadi zake. Nataka nikuambie hivi Mungu amebadilisha mambo! nakutia moyo kuwa usikate tamaa songa mbele bila manunguniko. Mungu hapendi manunguniko na hapendi kulazimishwa, anahitaji nafasi akufanyie mambo. Barikiwa. Fuatilia mafundisho ya huyo mchungaji yaishi hutojita. Mie sio wa kanisa lake lakini ana ujumbe wa Mungu kwa kwa 99%
@priscamalombosimba7174 Жыл бұрын
Mungu nipe kibali chakukubaliwa na kila mtu pia nikubariki siku zote
@RajinaMagimpe5 ай бұрын
Mungu naomba nipate kibar katika kanzi yangu nitimize ndoto yangu ninaamin bwana atatenda
@shshygibb22364 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Eeeeh dhambi hiyo itakua ya ajabu Sana hata Mungu Atamani Kuweka pashia Jeusi uonekanapo Mbele auf machoninpake???!!! Loo ooh loo...wachananeni na kutenda dhambi wenzangu❤❤❤❤❤Tenda Mwema ya Mungu kupitia Damu ya yesu Kristo na kupitia Jina lake Yesu Kristo Aliye Hai......Amen...Be Blessed Prophet Pastor Georgia Mukabwa ❤❤❤❤❤❤Oye Niederosterreich St Pölten ❤❤❤❤❤❤
@MaryNginia11 ай бұрын
Mungu ninaomba unipe kibali kutoka kwako
@maseaJoe8676 Жыл бұрын
Asante pastor kwa hili somo barikiwa sana Hallelujah
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
❤❤❤❤
@jacklinejerr2447 Жыл бұрын
🙏Napokea kibali
@rabilubinza7661 Жыл бұрын
Mahubiri mazuri sanaa huku mbele sauti imekata natamani kulia somo zuri na nimejipata hapa tusaidie fundibmitambo hakuna sauti
@HinohiatHidoCo5 ай бұрын
Kumbe wote mnakosa sauti nimesikitika sana kukatika kwa sauti. Ikiwezekana somo lirudiwe ili likamilishe "clip"