Bwana Yesu asifiwe mchungaji, nina barikiwa sana na mafundisho yako tokea nmeanza kufatilia mafundisho haya online nmevuka mahali pa kubwa sana. Mungu akubariki na azidi kukuinua sana maana umeokoa nafsi zetu maana kama si hii neema ya Mungu sijui tungekuwa wapi. Mungu azidi kuinuliwa na kujulikana ulimwenguni kote. 🙏
@rahimajuma5306 Жыл бұрын
Mungu alubariki
@sabinachimbuvu5409 Жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Mchungaji Nimebarikiwa Sana Na Neeno Mungu Akubariki Sana
@forminaformina76945 ай бұрын
Amina.MUNGU.nitendee.na.mimi
@JackieSiriwa7 ай бұрын
Barikiwa Sana Sana pastor
@childrengospelmissiontanza1474 Жыл бұрын
Hakika nazidi kupata mafunuo yenye kunivusha kutoka chini kwenda juu.Ubarikiwe sana Mchungaji.