MUNGU akubariki SANA Mchungaji Yohana kwa uimbaji.Sifa,heshima na utukufu apewe MUNGU milele awapaye watu wake vipawa na karama
@HosianaGirigo5 ай бұрын
Mungu akutunze najifunza sana mchungaji wangu.
@BYAMUNGUGERLASMASHAURI5 ай бұрын
Mimi nafuatilia kutoka Congo butembo. Nabarikiwa sana
@pauldanford40574 ай бұрын
mungu akubaliki sana baba tuambie kweli tupone
@kafundijohn4 ай бұрын
Mch, magembe mungu akubariki hata hivyo utajiri ni wetu sisi wanawe mana imenenwa dahabu na mali zote ni zake yeye na tatuta kopa bali tutakopesha ndipo mpaka tuwe na mali tusaidie wasio jiweza otherwise napenda injili yako ina uhai pumzi ya mungu
@henryMlay-n1i5 ай бұрын
Asante baba tusaidie tujue asili yetu
@MaryLyimo-y9z5 ай бұрын
Ubarikiwe baba kwa kazi ya Mungu.
@IsayaSchone-kt7uq5 ай бұрын
Mungu akubarikii san kwa ujumbe mzurii
@rahelmunuo14155 ай бұрын
Hongera sana mchungaji Yohana kwa uimbaji unaogusa mioyo.
@moreenjackson18793 ай бұрын
Barikiwa Sana
@FIDELMPONGO5 ай бұрын
Mbarikiwe sana.
@rahelmunuo14155 ай бұрын
Hongera sana na Mungu akibariki sana kipawa kikuu cha uimbaji na sifa inayohuisha miyoyo
@JacoboSindani2 ай бұрын
Amen Sese ukweliunauma
@rahelmunuo14155 ай бұрын
Hongera sana na Mungu akibariki kipwa kizuri cha uimbaji unaogusa miyoyo
@geofreymshama82115 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU injili adimu mno kiukweli YESU akutumze
@scoviagervasi51755 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji wangu! uliyenibatiza mwaka 1999 mwezi wa 3 nakumbuka siku uliyonibatiza nd siku uliyoniombea pia ujazo wa Roho Mtakatifu , nanilijazwa pia siku hiyo hiyo, kipnd hicho ukiwa kwenye jengo dogo kule bondeni majumba sita!! Endelea kuusema ukweli Baba maana ukweli unaweka huru!!
@gospelsuppoterstanzania32722 ай бұрын
Naomba aliyeko mtamboni asi mute sana sauti kwenye baadhi ya matukio maana wengine tuko dalasani tunajifunza huduma kwa pande zote. Barikiwa sana.
@WinnerAnord5 ай бұрын
Ubarikiweee
@Uwezawako5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Yohana kwa uimbaji mzuri
@domicianalipiustv91445 ай бұрын
Hakika neno linalosema katika nyakati zamwisho ku
@domicianalipiustv91445 ай бұрын
Wa wasafi watazidi kujisafisha sanaa a
@FarijiEdson5 ай бұрын
Agano langu na Mungu ni kuonana kwanza na Moses ingali u hai
@renatusmtakyawa5945 ай бұрын
Tafuta kumuona Mungu siyo mwanadamu uyu nichombo tu utamponza bure
@judithmartin94425 ай бұрын
Mungu wa Bwana Yesu nampenda sana
@jeruwinrweyemamu5 ай бұрын
Ashukukuliwe Mungu alikuita na Uvalikiwe
@melinalumambo32185 ай бұрын
Amen Baba timekuelewa
@m.m.tvmbebamaono5 ай бұрын
Kwa kweli itifaki ya mbinguni imezingatiwa ,mbarikiwe sana
@JamesKabodo5 ай бұрын
Hongela sana baba
@josephwanyonyi31255 ай бұрын
Nimebafikiwa sana na somo hili.
@celinaphysoo49195 ай бұрын
Jmn hadi raha huo uvaaji tu Mungu anapokea utukufu
@christianmlelwa23515 ай бұрын
Mungu atusaidie
@LetisiaKibiki5 ай бұрын
Ubarikiwe SEMA tupone Mimi nimepona
@injilinjeyakutazakanisa5 ай бұрын
Yehoshua akubariki na kukutunza. Nikipewa nafasi nitashauri jambo.
@Witness-kg7fr5 ай бұрын
Haleluuuuyaaaa God help us 😢😢😢
@shadrackmussa81975 ай бұрын
Nipo mwanza nahitaji cd za nyimbo zako mchungaji
@SnhZjhz5 ай бұрын
Yaani zinauwepo kweli kweli usikose
@RehemaAmasi-o4s5 ай бұрын
Ni ukweli baba Mchungaji pamoja ma kufa kwa Kanisa mabaki yapooo. MUNGU atusaidie Kanisa tutubu na kuurejelea upendo wa Kwanza. MUNGU akubariki baba kwa kuhubiri kweli bila kuogopa chochote.
@YusuphhamisRajab-cv7po5 ай бұрын
Mimi nataka nikutane na huyo mchungaji
@AngelKipundwe5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@VeronicaEdesiusBernard5 ай бұрын
Amen
@ruthaloyce10125 ай бұрын
Kweli baba tunahitaji rehema
@shillahmbogo55565 ай бұрын
Safi sana
@Uwezawako5 ай бұрын
kumwita mch; wetu baba siyo kosa ni kibiblia,Paulo anamwita Timotheo mwanaye katika imani(1Timotheo 1:2).