WATOTO wa baba Mch Moses MAGHEMBE Njooni na likes hapa Wapendwa na MUNGU awabariki sana.
@Amosbenard632118 күн бұрын
Ubarikiwe sanaa babaangu kwa Kulitazama Kanisa kwa Jicho la Mbali. Nabarikiwa sanaa kuwa Mwanafunzi wako.
@FarijiEdson19 күн бұрын
Na mimi ni mfuatiliaji SUGU wa Rev Moses Magembe. Nabarikiwa Don't forget for watching this channel and keep praying for this ministry. Like, comment, subscribe and share for many as you can. Glory and Honor to JESUS.
@marklyanga396919 күн бұрын
Unamaliza vizuri pasta, tunakuombea ulete uamsho kwa kanisa la Tanzania.
@chrispinantabaye486619 күн бұрын
Uamsho unaletwa na Roho Mtakatifu,uamsho hauletwi na mtu utasubiri sana.Mungu mwenyewe ndiye anayeamsha kanisa lake kama mwili wa Kristo na sio kama dhehebu au chama😷!
@FarijiEdson19 күн бұрын
roho mtakatifu anashuka kupitia mtu uelewe wewe hawezi kushuka kwenye jengo la kanisa na Mungu atumia mtu aliye mkusudia yeye na kumpa huo mzigo siyo madhebu.
Mungu akubariki Baba mchungaji kazi ya Mungu isongembele
@ommykibona802618 күн бұрын
Ubarikiwe Baba 🙏
@JohnKapinga-wo1ow19 күн бұрын
Amina Mungu akutie nguvu zaidi
@ElishaMasele-q6c19 күн бұрын
Ubarikiwe sn mtumishi wa Mungu aliye hai
@RobertSilington18 күн бұрын
Balikiwa sanaa mtumishi wa BWANA
@BARNABAHALAMA-l8k19 күн бұрын
Ubariki pastor hayo ndio maono ya mungu
@emmanuelrweikiza611718 күн бұрын
Mungu wabariki sana
@ZIRHUMANAFISTON18 күн бұрын
Amina 🇨🇩 Bukavu
@washoka-tz19 күн бұрын
I have received that power of God 😭😭
@jovitaaugustine375317 күн бұрын
Amina 🙌
@Nywage20018 күн бұрын
Kazi iendeleee baba 🎉🎉🎉🎉🎉
@fidemikaeli814519 күн бұрын
Kabisa, Mungu tusaidie
@elibarickShabani19 күн бұрын
Be blessed more Man of GOD 🙏
@LIKIMONMSWIMA-c9o19 күн бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa
@askarwayesu19 күн бұрын
Mtumish ninawazo moja kwamba anzisha hata mchango wa redio ili wasio na mtandao wapate kusikiliza uamsho mpya kwa njia ya redio
@AnnaSimon-yx9hh18 күн бұрын
Jambo zuri saana mno! Hata kama aliye na sm akiwa hana mbs bado injil inasongambele hakuna kizuizi, Ninaimani Mungu aliyeanzisha kazi njema atazdi kutenda makuu zaid na zaid ya tufikliavyo.
@mhelezijoackim-kl9vb18 күн бұрын
Mawazo yako mazuri sana, tumwombe Mungu kwa neema yake inawezekana
@johnsebastian-bx6qn18 күн бұрын
Amina
@aimen558419 күн бұрын
Amém ❤
@joshuamatagane19 күн бұрын
MATENGENEZO MATENGENEZO...
@LusajoMwaipopo-s1b19 күн бұрын
Kazi iendelee
@williamgeorge-hd2tn19 күн бұрын
Huyu mzee ni hazina
@kedricksiame616719 күн бұрын
Hakika Baba Tutazidi kukuombea
@luciamajula471918 күн бұрын
Tupo pamoja baba nakukumbuka kwenye maombi
@vanuadventures19 күн бұрын
Magembe Bible School (MBS)
@zacharianyanda542418 күн бұрын
Baba anzisha matawi mikoani?. TAG haipo tayari kujirekebisha.
@gitongatitus155319 күн бұрын
My question is where can we put the knowledge/information of truth spirit. That Jesus Christ had said when truth spirit come shall teach things that Jesus Christ had not teached in his teaching. According to the book of John chapter 16:7-15 and John chapter 14:17. As well as the things that Jesus Christ had teached and had not included in the current bible. According to the book of John chapter 14:25. In the church that is being bound or driven by the bible doctrine that are being perceived to be the real revival. Or another word what was the kind of church that Jesus Christ had said he will build in Peter according to the book of Mathew 16:18? Because the church that Jesus Christ would build in Peter was not known by people during those days. That being the case who had originatend with the doctrine of the current church. Is it possible the current church's doctrine is the manmade weigh/measurement of sanctification, holiness and perfection? Iam asking these questions because if you listen to the teaching of Jesus Christ. He reveals his purpose to humanities is to give them life according to John 17:2-3. Among other different chapters of bible where Jesus had been teaching either through his teaching or through parables. Detonating because during Jesus Christ's time life had not being received by humanities. Because it was until after the full cycle of Jesus Christ had taken place. That involves crucifixion, barried in the grave, resurrection acceding and later return being truth spirit that was the ability to enable humanities life to have life. In the context of being enabled to understand life had originatend from Life who is Jesus Christ in the physical. Meaning the church of Jesus Christ is people having life in the context of understanding humanities life had originatend from Life but not from where the humanities structure bodies had been created. Therefore if the church of Jesus Christ is humanities having life. The doctrine or revival of such a church is according to the book of Mathew chapter 10:8 read together with Mark chapter 10:43-45.
@askarwayesu19 күн бұрын
Dhehebu linaitwaje
@Niceissues19 күн бұрын
GCC
@Rev.Runyamboofficial18 күн бұрын
GCC means what in words ?
@josephgeorgematiku106418 күн бұрын
GCC MEANS "GOSPEL CAMPAIGN CENTRE",.@@Rev.Runyamboofficial
@josephgeorgematiku106418 күн бұрын
@@Rev.Runyamboofficial GOSPEL CAMPAIGN CENTRE
@josephgeorgematiku106418 күн бұрын
ILA SIO JINA LA DHEHEBU. MAELEZO ZAIDI ATAKUJA KUTOA JUMAPILI HII.
@fidemikaeli814519 күн бұрын
Amen
@BakoPoultry19 күн бұрын
Huyu alijipanga mda mrefu kuondoka TAG
@davidbarnabas-e8f19 күн бұрын
hiyo ni akili yako
@gloriamselle210518 күн бұрын
Kanisa la Yesu si TAG...ni wakristo wote ulimwenguni waliompokea YESU na kuuacha uovu. Anzia hapa halafu endelea kufikiria ...Incase huna akili ya kujifunza bali ya kukariri.
@emmanuelrweikiza611718 күн бұрын
kama bado yupo kwa Yesu si hilo ni la kufurahia na kumuunga mkono
@isayamwanjoka395819 күн бұрын
Kwanini unapenda kusema uliokoka mwaka fulani.... Hiyo haisaidii kitu Mungu haangalii muda alioajiri wafanyakazi wake bali hutazama wokovu na matendo yako ya sasa
@washoka-tz19 күн бұрын
Wewe Bado hujaelewa somo
@FarijiEdson19 күн бұрын
Tunaongelea uamsho ndugu kama unaona nguvu iliyopo sasa ndani ya kanisa ni kubwa kuliko miaka ya sabini... kurudi nyuma upo sahihi kusema hivyo
@LIKIMONMSWIMA-c9o18 күн бұрын
@@isayamwanjoka3958 ni kwel,,, mtu wa MUNGU,. Lakin Kuna muda lazima uhusianishe wokovu,,wa zamani na wasasa ,, ndipo utakapo ona mtumishi wa MUNGU,,, anataja mwaka alipo okoka,,, sema labda sijajua una maana Gani , mtu wa MUNGU
@gloriamselle210518 күн бұрын
Huwezi rudi kwenye asili kama asili yenyewe huijui au huna anaeijua ambaye atakueleza. Think.
@askarwayesu19 күн бұрын
Kirefu cha GCc ni aje
@joshuanjiuka287019 күн бұрын
Gospel Campaign Centre (GCC)
@askarwayesu19 күн бұрын
@joshuanjiuka2870 Asante
@askarwayesu19 күн бұрын
Mbona jina Kama linaonekana la mahali hapo tu wakat huduma hii naiona Ni uamsho wa dunia nzima halafu namshukur mungu Sana nilikuwa naomba uamsho tanzAnia mungu kajibu maana madhehebu umefika sehemu yakaingiza ; Uhusiano na selkar Uchumi na Biashara mirad kuliko injili Sheria na katiba za kidhehebu