Naona Mungu akikuongezea miaka ya kuishi kwa ajili ya kuifanya kazi ya Bwana.
@EdwardJohn-rc4rw17 күн бұрын
Mungu akupe nguvu baba ili mahali hapo pajulikane
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur18 күн бұрын
Barikiwa sanaaaa Bishop Magembe Endelea Mbele Tunaitaji kweli na wewe unahubiri Kweli,ni heri tuikose dunia lakini kamwe tusikose kuingia MBINGUNI.
@Amosbenard632118 күн бұрын
Nipo Tayari Baba Kuihubiri dunia. UAMSHO NA MATENGENEZO. EZEKIELI 22 : 30. Nipo Tayari kwa lolote liwalo na liweeeeeeeeee
@mastidiabusima-y1y17 күн бұрын
Injili ya kweli ndo kama hii haimuonei aibu yeyote ..inahubiri utaua,utimilifu na utakatifu ...nabarikiwa sana na mahubiri yako
@joshuangonya-jt5dj17 күн бұрын
Naona wengi wa walio kaa hapo, wamevaa kwa kujisitiri, mungu awe pamoja nanyi.
@mapendobahati82018 күн бұрын
Mungu akutiye nguvu Mtumishi for US .
@vanuadventures18 күн бұрын
Pure gospel,
@peterlazaro285318 күн бұрын
Baba Mungu akubariki daah umebaki wewe tu namkumbuka maubiri ya Baba yangu lazaro
@dibrojoseph68618 күн бұрын
Kutoka Morogoro tumebarikiwa sana na Mafundisho baba
@John-w8v3c16 күн бұрын
Tunaomba pia kama inawezekana kuwa inatafsiriwa kwa Kiingereza maana ujumbe huu unahitajika na kiazi chote, si watanzania tu! Sasa uzuri inaenda na mtiririko mzuri sana kwa hiyo ikiwa inatafsiriwa pia, itayanufaisha na mataifa mengine hata yasiyoongea Kiswahili! Mungu awabriki sana baba kwa kazi kubwa unayoifanya!
@ommykibona802618 күн бұрын
Ubarikiwe Baba🙏🙏
@BeatriceDaudy-w3v11 күн бұрын
Nimebarikiwa 🙏🙏 MUNGU msaidie mtumishi wako
@officialeliudcharles381718 күн бұрын
Amen amen
@Babavicktoria17 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wake
@DanielBigilwaMkamaLambert18 күн бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@staphordsanga243618 күн бұрын
Ameni,Amen, Ameni Mungu akubariki Baba mchungaji songa mbele tuko pamoja na wew
@MaishaNungwi18 күн бұрын
Amina baba kwa injiri ya kweli
@truthprinting806418 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@jesusnetworkministry18 күн бұрын
Babu Yangu tunakuitaji Kiboje Zanzibar 🎉🎉🎉🎉
@BenedictorYona11 күн бұрын
Yuko mchungaji john Othuman hukooo mtimienii yeye
@LIKIMONMSWIMA-c9o18 күн бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa baba
@jovitaaugustine375317 күн бұрын
Amina 🙌
@dominickmassi782118 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@officialeliudcharles381718 күн бұрын
Natamani kufika hapo naiona nguvu ya maombi
@Uwezawako18 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@spovajnet253218 күн бұрын
Amen jitahidini sasa mrekebishe tatzo la kukatikakatika matangazo jamani mbona Hilo hamjalifanyia Kazi kwa miaka?
@judithmartin944218 күн бұрын
Ivi mzee mwaikela kamfuata Mlezi wake au kabaki huko maana uwa anamtaja sana mwaikela jamani.
@PartsonLazaro17 күн бұрын
Mwaikela kabaki TAG
@judithmartin944217 күн бұрын
@@PartsonLazaro jamaniiiiii
@FarijiEdson18 күн бұрын
Arise PCC
@mami_4monko11 күн бұрын
Kokote uendako tutaenda pamoja kulisikia neno la kweli..uamsho ni sasa