Naam, ni mwaka sasa. Vipi muendelezo wa hili swala
@taifocuscompany9246 Жыл бұрын
Watakuwa wamekwama
@jaafarmanhekman Жыл бұрын
hahahahahahah@@taifocuscompany9246
@sababusiosababu9919 Жыл бұрын
mmeshindwa hata kuonesha picha za mabaki hayo ya mji ovyo kabisa
@jaafarmanhekman Жыл бұрын
hahahahahhaha
@sababusiosababu9919 Жыл бұрын
hayaa ndio maajabau sana ya TZ kuchukuwa watu ambao sio wa eneo husika kisha kuwahoji lakini tabia hii ipo katika miji ya waislamau tu hua wao hawahojiwi ;lakini mkienda umasaini huwa hamuhoji wapemba mtamuhoji masai mwenyewe lakini ajabu ni mkienda maeneo ya pwani mnachukua watu wenu kutoka maporini huko ; huo huwa mpango wa kupambana na uislamu tu