Rich African villages you never see! This is Kamachumu Kagera Tanzania

  Рет қаралды 4,203

Explore with Bertin

Explore with Bertin

6 ай бұрын

Rich African villages you never see! This is Kamachumu Kagera Tanzania
#rich #africanvillage #tanzania

Пікірлер: 51
@peterngaiza8297
@peterngaiza8297 2 ай бұрын
Well done my Haya brother! Be proud!
@jtheophil5499
@jtheophil5499 3 ай бұрын
Kagera will be the best region ever no.matter what.
@mybrain8940
@mybrain8940 Ай бұрын
Kilimanjaro has beautiful ones to but Kagera is place to be Salut will love to live there look at the landscape what a place infrastructure. Government gat my G
@kiatu
@kiatu 6 ай бұрын
Realty on the ground-dispelling misconceptions and myths. Great content
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
Thanks
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 5 ай бұрын
Nimependa sana mandhari ya Bukoba/ Kagera. Kwakweli ni kuzuri na kumeendelea
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
Yes ni pazuri sana
@kibito8339
@kibito8339 5 ай бұрын
This is my home village!!And am really proud of it..the heritage..the weather..the people..the culture.thats why every end of the year....it is a must..to end and start the year there while am there with my parents and my family
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
You have beautiful and developed villages
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
BEUTIFULL EQUTORIAL WEATHER , INTELLECTUAL ABILITY PEOPLE , KAGERA INFACT NOT A JOKE..
@aminata3702
@aminata3702 5 ай бұрын
Mimi ni muhaya umenikumbusha nyumbani japo sijawah kukanyaga kabisa 😂 ,Ila you earned a subscription ☺👍👍
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
Ahsante...You have to visit your roots tho..
@deotum7431
@deotum7431 6 ай бұрын
Next time broo vist Katoma, Gera na Kanyigo huko utashangaa kabisa kabisa, huko ni magorofa tuu trust me
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
Next time
@augustinempule7385
@augustinempule7385 6 ай бұрын
Kuzuri huko bro
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
Kabisa
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 ай бұрын
Wapi kuzuri .umasikini kitu kibaya sana kagera in kuzimu kabisa
@user-gq8eo1pj1u
@user-gq8eo1pj1u 6 ай бұрын
Thanks for showing our region but you must try your best to get deep into villages, I mean migombani where cars can not pass. Why? Because Haya people build inside villages where the graves of their ancestors are. Hawana utamaduni wa kujenga mjini or by the road side. Most villages are hidden behind those hills that you see from the road
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
I will be back. Kagera and kilimanjaro ni mikoa ambayo imenivutia sana. Nitarudi kutengeneza content zenye mambo mengi zaidi
@officialjasonraider
@officialjasonraider 6 ай бұрын
So so accurate
@paschazianestorymatunda6490
@paschazianestorymatunda6490 5 ай бұрын
In those villages,Cars can pass. And Almost every household can be reached by car.. and there are very nice houses as well. More nicer with big farms. People tend to own 1 to even ten acres some might be scattered some farms might be in one place.
@edsonedward146
@edsonedward146 6 ай бұрын
What you're doing is good. You may need to speak to people, do interviews, explore places in depths. You cant just drive 100km/h, have a camera rolling and call this work please.
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
Next time
@InnocentGoldenRetriever-ed7tt
@InnocentGoldenRetriever-ed7tt 5 ай бұрын
Yan kagera so maskini wenyew hach wako side mapato Yao ila watu uku life bora tafuta vijij vya ivo mkoa mwingin huwez pat
@corrolesscps
@corrolesscps 16 күн бұрын
Alafu sasa na hali ya hewa Bukoba inaonekana ni nzuri, na amazongira Mazuri, wamejenga nyumba nzuri, Sio kama sehemu zingine Yaani Mikoa Mengine hasa ya pwani Mmmh
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 6 ай бұрын
Kwa mujibu wa takwimu, huu ndio mkoa wa pili toka mwisho kwa umasikini Tanzania ( last but one). Hii ni ajabu!
@explorewithbertin
@explorewithbertin 6 ай бұрын
Labda wana namna yao kupima umaskini ( serikali mara Nyingi utazama per capita). Hicho kipimo ndo kinafanya hata nchi za Africa zionekane maskini mbele ya zile za kizungu maana wanaangalia money circulations and transactions tu. Hata kwa Tanzania mikoa ambayo watu wake wananunua sana mahitaji na kufanya transactions Nyingi basi wataonekana matajiri kuliko wale waliojenga nyumba nzr vijijini na chakula chao wanatoa shambani kama ilivyo Bukoba vijijini. But so far in my opinion Kagera and kilimanjaro are the most developed regions in Tanzania when you consider housing,social services and quality of life by just looking areas I have visited. Kagera as the region to have higher per capita.people have to invest heavily at Bukoba town since the town has many oppurtinies unoccupied
@officialjasonraider
@officialjasonraider 6 ай бұрын
@@explorewithbertinnice assessment 👏🏾👏🏾
@ahmedkyama4734
@ahmedkyama4734 6 ай бұрын
​@@explorewithbertin❤🎉🎉😊
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 5 ай бұрын
Umeenda mikoa mingine mpaka vijijini? Muda unakimbia, Tanzania inabadilika!
@chamajoseph
@chamajoseph 5 ай бұрын
Mikoa mingine tofauti na Kilimanjaro Hanna kitu labda nyumba za majani na matembe
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Tunaomba uingie vijijini ndani unaonyesha hapo kwenyelami ya kwenda bukoba
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
Watch this kzbin.info/www/bejne/hoWmaoeGbsp0prssi=_XxLgmOGAId-WbMo
@tituschepes847
@tituschepes847 Ай бұрын
Drone aukuwa nayo
@explorewithbertin
@explorewithbertin Ай бұрын
Sina drone mkuu
@tituschepes847
@tituschepes847 Ай бұрын
@@explorewithbertin sawa hongera kwa kazi yako maana hata mimi natamani siku moja nifanye jamvi kama ilo
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Kwanza mkoa wa Kagera ni masikini kuliko yote tanazania huyu jamaa mwongo sana danganya wazungu sio sisi..
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
Self hate is real
@daviddeus41
@daviddeus41 5 ай бұрын
We unatokea mkoa Gani??
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
@@daviddeus41 tanga
@upendomtui6544
@upendomtui6544 4 ай бұрын
Sasa basi wewe sema hizi picha ni za wapi sisi tutakubali tu,....unajua Kuna viti viwili hapa Chili na wivu,...mbona sisi tunakubali wachaga ni watafutaji wazuri? Kama nada ingekuwa hiyo ya wachagga ungehemuka hivo??? Achaa wivu vijiji vya Bukoba ni vizuri mnoo
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
Labda tajiri kwa mbwembwe ,utapeli na umalaya
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
It seems you hate yourself. Don't use offensive words to your fellow africans and Tanzanians.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
@@explorewithbertin dont fake life
@explorewithbertin
@explorewithbertin 5 ай бұрын
@@samwelmatemu8873 sorry. It feels sad that you spread hate instead of love. Get your life together bro. Thanks for watching I will have to delete your comment. We Explorers don't spread hate and differences but rather exploring the reality on the ground
@lakasid3860
@lakasid3860 5 ай бұрын
Kina matemu huwaga hawana akili naunapotokea hamna elimu ni wajinga sana 🚮
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 5 ай бұрын
@@lakasid3860 mimi mwenyewe sija soma na degree mbili
Rich African villages you never see! This is Bukoba Tanzania East Africa
9:51
Rich African villages you never see. This is Marangu Tanzania East Africa
8:09
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 77 МЛН
ZIJUE AINA ZA NDIZI BUKOBA/SENENE NA SAMAKI
3:44
AFRICA ONE TV
Рет қаралды 8 М.
BURUNDI MUYINGA Gasorwe
8:13
Braylen
Рет қаралды 1,4 М.
This is Kigoma Tanzania 2024. Things have changed
20:19
Explore with Bertin
Рет қаралды 9 М.
THE RICH STREETS OF BURUNDI, bujumbura 🇧🇮 (ep 24)
16:00
Thee Pluto Show
Рет қаралды 56 М.
Rich Rwandan Villages You Never See. Road trip to Musanze Rwanda
13:15
Explore with Bertin
Рет қаралды 12 М.
My first impressions of Bukoba City Tanzania | Am shocked
9:15
Explore with Bertin
Рет қаралды 9 М.
Africa has good schools too! This is ihungo high school Bukoba Tanzania
11:00
Explore with Bertin
Рет қаралды 1,8 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН