AFISA MTENDAJI Amnyonga MKEWE Mpaka KUFA/BABA na KAKA wa MAREHEMU WASIMULIA/ "MUME alikuwa MLEVI"...

  Рет қаралды 5,048

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 39
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 9 сағат бұрын
Waandishi wa habari acheni hii Salamu ya heshima yako.mzee kama huyo unashindwa kumuamkia shikamoo.c umri wa mzazi wako huyo.mnatuharibia vijana na hii Salamu yenu ya kihuni
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 8 сағат бұрын
Sana hovyo kabisa
@saraallen6341
@saraallen6341 8 сағат бұрын
Kwanza heshima yako ndo nn jamani mimi huwa sielewi
@mauasylla5024
@mauasylla5024 6 сағат бұрын
Najiuliza hii " heshima yako" ilianzia wapi? Ni ukosefu wa adabu. Inanikera sana.
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 2 сағат бұрын
Kuna wazee wengine hata ukiwaamkia hawakuitikii na wengine huku jibu "poa". Sasa wazee kama hawa utawasalimia kwa salamu gani?
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 47 минут бұрын
Wapumbavu Sana sijui anaweza kumuambia baba yake mzazi heshima yako
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 37 минут бұрын
Maskn Hana kesi huyo kaka Km anashida ya akili na chet mnasema anacho basi kaua bila kukusudia 😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 сағат бұрын
Poleni sana familia, imetuumiza wengi, ukatili wa hali ya juu, Mtangazaji nenda kahoji wazazi wa mwanaume pengine hili sio tukio la kwanza kuua
@SelinaChares
@SelinaChares 25 минут бұрын
Salama gani hiyo ukosefu wa adabu
@sizamazongera5610
@sizamazongera5610 7 сағат бұрын
Nyoyo zimekuwa katili kuua inaonekana kawaida
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 7 сағат бұрын
What is heshima Yako 😢
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 43 минут бұрын
Poleni sana
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 7 сағат бұрын
Waandishi ndo mnasababisha maadili yakose kwenye jamii, salam gani hiyo?
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 11 минут бұрын
Kumbe huyo Diana aliolewa na Chizi
@agnessima5032
@agnessima5032 5 сағат бұрын
Ukiona mwanaume haelekei bora umwache tu kwa usalama wako.
@FatumaMuya-w5h
@FatumaMuya-w5h 5 сағат бұрын
Ndugu hata kama ukimuacha atakufuata huko ulipokimbilia
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 сағат бұрын
Sema ukiona "mtu" haelekei... Sio ukiona "mwanaume".... Hata wanawake wapumbavu na makatili wauaji wapo sana siku hizi. Hakuna upande wenye nafuu
@MKOLOSAIZENGO-o7f
@MKOLOSAIZENGO-o7f 22 минут бұрын
Ney wa mitego ooohh kumbe niko bongo😭😭😭
@chikujuma18
@chikujuma18 47 минут бұрын
😢😢😢 Inalilah wainalilahi rajighun pole wafiwa
@GhardesGh
@GhardesGh 6 сағат бұрын
Pole kwa familia
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 9 сағат бұрын
Ndo kusalimia vp kwa mtu mzima
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 8 сағат бұрын
Hii Salam huwa siipendi kabisa
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 5 сағат бұрын
mtangazaji bado sana uwiiiiiii
@mrmarineboardtz
@mrmarineboardtz 5 сағат бұрын
Mmh mbaya sana😢
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e Сағат бұрын
Afisa mtendaji!Ametenda mambo
@hussenyahaya8675
@hussenyahaya8675 10 сағат бұрын
Ingekuwa aliyeuwa mchaga wangesema ndo tabia yao sasa mchaga ndo kauwawa
@joneshelberth1025
@joneshelberth1025 8 сағат бұрын
Mushi na Shirima wote ni achaga ndugu. Hapo muuaji na aliyeuliwa wote wachaga
@neemakoka599
@neemakoka599 Сағат бұрын
Angetafuta maombi jamani. Hiyo ni roho mchafu.
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 19 минут бұрын
Tabia mbaya kumsalimia mtu mwenye umri wa babako "Heshma Yako" babako ungemwamkia hivyo?
@Honorx6Honorx6-w4n
@Honorx6Honorx6-w4n 9 сағат бұрын
Iyo salam sasa
@roselambert6700
@roselambert6700 9 сағат бұрын
Balaa jamani
@eliamanyisapallangyo337
@eliamanyisapallangyo337 9 сағат бұрын
Mtu ana hadi cheti cha ukichaa!!!!
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 сағат бұрын
Nina wasiwasi ameshaua tena au ameshafanyia ukatili watu wengi mpaka amezoea, inaumiza sana na yeye angebondwa tu afie mbali
@saimongilala8938
@saimongilala8938 57 минут бұрын
Ujinga heshima yako diyo nn sasa
@ThekraJanga
@ThekraJanga 35 минут бұрын
Yan wewe mwandishi huelewi kabisa
@MKOLOSAIZENGO-o7f
@MKOLOSAIZENGO-o7f 22 минут бұрын
Ney wa mitego ooohh kumbe niko bongo😭😭😭
SABABU SAKATA LA DKT TULIA ACKSON, SIYO WA KWANZA KUSHUTUMIWA
13:22
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,8 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 58 МЛН
Kuapishwa kwa Raisi Mwinyi mwaka 1985_@TBC_Online
1:34
Lumuly lmage Photography
Рет қаралды 31 М.
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
ALIEJIFANYA KATIBU WA ACT MTAMBWE AOMBA RADHI
10:29
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 8 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН