Q JAY Afunguka MAZITO/Nilikata TAMAA/Nikawa MLEVI kupindukia/Nimeokoka sasa hivi

  Рет қаралды 9,365

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 31
@brownngullo4051
@brownngullo4051 8 күн бұрын
Wiki moja tu imetosha Yesu kambadilisha Q Jay
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 күн бұрын
Hongera sana Qj kwa kumrudia Mungu.Ukafanyike baraka kwa wengine pia. Wimbo wako wa "Sifai" huwa ninao kwenye playlist yangu miaka yote. Halafu kumbe ni wakunyumba bhana!😂
@rerisamba
@rerisamba 7 күн бұрын
Mpaka sura inaleta mvuto congratulations pastor
@GaudenceMagwaja
@GaudenceMagwaja 4 күн бұрын
Natamani kuwa sehemu hiyo ya malezi, pastor BARIKIWA sana
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 9 күн бұрын
Mtumikie MUNGU Kwa Jina la YESU
@rev.eliasbenjaminlugomejr.4854
@rev.eliasbenjaminlugomejr.4854 4 күн бұрын
Aanze kuimba gospels atakuwa vizuri ana kipaji "change ur talents to serve God"
@rerisamba
@rerisamba 7 күн бұрын
ABC global woiye pastor Dickson corineli woiye Mungu kakutumia kuokoa hii nafsi usimuache endelea kumutunza huyu jamaa
@victormakaranga3396
@victormakaranga3396 7 күн бұрын
Dah hongera sana kaka tulikutana mwanza tukapga story sema mzee ulikuwa chakari😂😂nakubka na maneno Yako fungo jema umechagua 🙏
@FreeGod368
@FreeGod368 8 күн бұрын
Mwez mmoja qj ashabadilika ad sura kapendeza😮😮
@emmanuelelisha173
@emmanuelelisha173 3 күн бұрын
Pole sana na hongera mimi kwa macho yangu nilikuona ulikuja ofisini kwangu huko Mwanza sikuamini kama ni wewe mungu mkubwa
@luktz853
@luktz853 7 күн бұрын
MUNGU ni mwema siku zote daima haachi nyuma watu wake🙏🙏
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 9 күн бұрын
Umechagua jambo jema!Yesu ndio jibu la mambo yote!
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 9 күн бұрын
Nilimuona miaka kadhaa nyuma pale dodoma alinikuta B one records,kavaa kapens tu yuko tungi balaa...niliumia sana siku hiyo huyu jamaa nampendaga sana
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 күн бұрын
Sawa Diwani,salamu zao Nkonko
@monyogang3004
@monyogang3004 5 күн бұрын
God speaks through thoughts, thanks pastor
@Avsjr22
@Avsjr22 7 күн бұрын
Utukufu kwa BWANA YESU
@oscanyakunga
@oscanyakunga 8 күн бұрын
Mungu nimwema sasa uyo ndie mwenyewe
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 9 күн бұрын
Hongera sana MUNGU BABA wa Mbinguni amekuponya
@NoelChambo
@NoelChambo 2 күн бұрын
Ubarikiwe
@rerisamba
@rerisamba 7 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 8 күн бұрын
MUNGU ni MWEMA
@christopherjoseph9981
@christopherjoseph9981 7 күн бұрын
Ila CHADEMA bana, wamewafanyisha polisi maandamano bila wao kupenda!nina uhakika polisi leo wamesimamisha kila kitu na kuingia gharama kuzurura mtaani bila ishu
@simbaboymawe435
@simbaboymawe435 8 күн бұрын
Mm naamin kilichomsaidia Q jay kurud kweny hali yake haraka ni mazoez pia jamaa ni mtu wa mazoez sana nilkua nikifany nae mazoez uwanja mmoja hata nilipoona stor zake kuw karud kijijin na kawa mlev nilishangaa san coz alkua poa tu mpak mwaka jan mwanzon hakua vbay
@rerisamba
@rerisamba 7 күн бұрын
Wewe unataja maxoezi naunaona pastor alimtafuta kama amechoka nasahizi ndio ana mlea kuanzia kula mpka kulala
@simbaboymawe435
@simbaboymawe435 7 күн бұрын
@@rerisamba sjui umeelew nilchoandika
@PresenterJavi
@PresenterJavi 9 күн бұрын
Amen, Nipo Humoooo
@kimjamestz
@kimjamestz 7 күн бұрын
oyaaaaa RICK hii INTERVIEW imenyoooka sana
@YusuphMwalongo
@YusuphMwalongo 9 күн бұрын
Mwandishi nimekukubali maswali yako yamenyoka
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 8 күн бұрын
mhhh kachakaa
@charlestobby6031
@charlestobby6031 8 күн бұрын
Hapo ameanza kunawiri ungemuona mwanzo si ndio ungeshika kichwa😢
@joseygaudence4922
@joseygaudence4922 7 күн бұрын
mwanaume hachakai huwa anapauka akipata mafuta analudi kati 😊
O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1
25:00
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
USIYOYAJUA KUHUSU KARIAKOO || KARIAKOO HISTORY!!
33:03
Kariakoo Radio
Рет қаралды 4,5 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57