Acha kumuita mzee mzee mzee, he's still very young and good looking too...mvi sio uzee, umri wake wengine ndio wanaoa na kuanza families
@hollojuma95382 жыл бұрын
Good mzee wa tkitok🤝
@abdallajuma21813 жыл бұрын
Allah Akbar subhanallah yaani bado bado kweli yaani
@oswardsanga79082 жыл бұрын
Mzee hongela sana waliokuona walikua wanafanya nini
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Miaka ni number tu!! Umri na afya ndio muhimu hana uzee wowote
@manjaugodwin78343 жыл бұрын
Haloo upo vızur kaka
@mahmoodalsubhi16193 жыл бұрын
Tuna kupenda sana baba etu
@alphangoda85183 жыл бұрын
Mzee muogope mungu 2 hao wote. No binadamu Kama wewe
@charlesmentod73143 жыл бұрын
Kweli jamaa alikukosea sana #Babuukisauji
@aminakawawa19353 жыл бұрын
Nakukubali mashallah huko sahihi 😂😂🤲
@bintrashid69673 жыл бұрын
😂😂😂 umenichekesha
@raujohn82383 жыл бұрын
Uyu mzee ndio kiboko ya wapumbavu wote wanao hongea upumbavu katika mitandao
@ruqayahaloraimi40073 жыл бұрын
Kisauji endelea hivyo hivyo kula raha
@charlesmentod73143 жыл бұрын
TikTok hatoki Jaman🤣🤣🤣
@ruqayahaloraimi40073 жыл бұрын
Mimi nakujuwa Tangu zama za babloom tanga ilikuwa na enjoy Sana wakati huo na ulikuwa mwembamba sio hivyo ilivyo Sasa. Ni mtu mwenye heshima yako na mimi nakukubali Sana.
@Iam_fadheel3 жыл бұрын
Babuu kisauji Mr chocolate flavour
@nasekawanga17372 жыл бұрын
Uyu ni ding ake bob junior!?
@saloomidd10843 жыл бұрын
Huyu mzee ana akili nyingi sana na ana hoja za kisomi kumuhoji inabidi ujipange sana
@rayaali75513 жыл бұрын
SASSAA HUYOO UNAE MWITA KIJIUSTAADH SI NDIO ALIE KUPANDISHA JUU KWA UMAARUFUU ? TENAA SASA UNAMDHARAUU KUMUITA KIJI KIJI KIJI USTAATH
@abdallajuma21813 жыл бұрын
Huuu bado mtihani na hapo haelewi chochote ameshaelekea kibla
@mariamshabani78253 жыл бұрын
Wache kukuita mzee age is a no uko vizuri hata huoneshi kua mzee ni hizo nyele tuu nasikuhizi ndio fashion
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🤣🤣🤣💪
@husnaali16102 жыл бұрын
Achananao wakings ao
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Huyu bwana ni mwenye busara sana!!
@elizabethkyando36483 жыл бұрын
Kwan na huyo ostaz anafanya nini jmn kwenye tiktok
@swdaalii68923 жыл бұрын
Kwanza c Mzee, sikia sauti yk
@salimbilali51743 жыл бұрын
Uyu mzee ako na busara wasio muelew ndio huend wrong side na yey......
@fatmaalnabhani36092 жыл бұрын
Wanaodhani watakaoishi MILELE ni wachawi Seif
@alonsobrazzel30113 жыл бұрын
🇹🇿🕋🕌 - Si hawa Waoane na yule Dada Zakim Abubakari. Si Alisema anataka Mtu wa Miaka 30 na juu? Hakuyeka LIMIT na ni Muislamu.
@georginajohn84563 жыл бұрын
Hahahaaaaaawaaa Waaambie wakawapangie baba zao nimecheka kama baba zao walizeeka wakawa wachawi wanatakana wewe uwemchawi hahahaaaa
@mwanakonyaume36112 жыл бұрын
Mzee kijana hapazeeki mtu spo
@mashramadhani19893 жыл бұрын
Umri sio kitu jamani ujanja walianza hao ambao mnawaona watu wazima mambo aliyofanya huyu wewe dogo hujafanya na mpaka anaona ujanja wenu wa kusasa..kuweni na adabu ..
@jumamohamed7893 жыл бұрын
Watanzania wengi ni wapumbavu hasa visichana vilivyo Hongwa visimu miaka ya 2000, utasikia ooooh face book ni ya kisasa wajinga sana na washamba, mnajua mitandao ninyi ambao hata mavi matakoni mwenu hamjajua kujitawadha? Wanao juwa mitandao ni watu wazima siyo nyie vikarambwana vya juzi.