DIVA Amuomba MSAMAHA Mumewe/BADO NAMPENDA/Nilikosea/Anatakiwa ABADILIKE"

  Рет қаралды 113,832

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Ikiwa ndoa yake ipo kwenye hali tete ina teteleka Mtangazaji Diva The Bawse amefunguka kuwa yupo tayari kukaa chini kuyamaliza na mume wake Abdul kama Mwanaume huyo ataamua kubadilika. Lakini pia Diva ametumia muda huo kumuomba radhi mume wake kutokana na mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni kuhusu mumewe
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#DivaTheBawse

Пікірлер: 624
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 10 ай бұрын
Watu wenye Upendo wa kweli/dhati huwa wanapitia changamoto kubwa sana Kwa mahusiano! DIVA ni mtu calm, anajitambua, waelewa tutatamuelewa, Binafsi ninamkubali, Yuko makini, ana msimamo na mambo yake Kwa future yake💪🥳
@jaziramwimbo9145
@jaziramwimbo9145 10 ай бұрын
Maskini! Nimemuonea huruma.Mungu amsaidie ,hvi vitu vinachanganya!.pole sana Diva,tabia ya mtu haibadiliki.
@kaboyiimmaculate4129
@kaboyiimmaculate4129 10 ай бұрын
She is very depressed
@Sam_me01
@Sam_me01 6 ай бұрын
With abdul his big problem ni tamaa yake kwa wanawake anatamaa sana. Angetulia tu na mwanamke mmoja akafanya maisha mana umri unaenda sio kijana mdogo tena. Diva you are right and what you did is for your own good and don't let anyone tell you otherwise
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 10 ай бұрын
Your voice tone say it all, you still love that man and you're hurting and bleeding inside
@raheemaal-hady9328
@raheemaal-hady9328 10 ай бұрын
For the first time nimemuelewa Diva! Kanyoosha sana maneno, na kama mtu ukimskiliza open mindedly utamuelewa.
@MimaMummy-zk2qi
@MimaMummy-zk2qi 10 ай бұрын
Kabisa once upon atime I had a relationship like this but Alhamdulilah I separate with the guy and now am well and fine be strong my dea diva 💖
@zakiashauri
@zakiashauri 10 ай бұрын
Nimemhurumia masikini anampenda sana mumewe
@kileohemed4958
@kileohemed4958 10 ай бұрын
Beautiful interview 👌
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 10 ай бұрын
Pole diva, just close your eyes and MOVE ON❤❤❤mr right will come for you
@RoseLekule-j3t
@RoseLekule-j3t 9 ай бұрын
😅😅😅😅
@Sam_me01
@Sam_me01 6 ай бұрын
Am with you gal what you said is totally true 👍 Hao wanaosema hawakuelewi for real hawako timamu😂.
@johnsosy3128
@johnsosy3128 10 ай бұрын
Dini tofauti ndochangamoto hapa. Umelelewa kama Christian woman huwezi kuishi kwa amani na huyo jamaa, nijambo lakiroho usilizarau unless uamue kuteseka hivi maisha yako yote.
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 10 ай бұрын
Johnsosy thats not true you're lie here my friend marriage other religion but they're still together until now
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 10 ай бұрын
Huyo diva haeleweki dini yake ni ipi
@johnsosy3128
@johnsosy3128 10 ай бұрын
@@user-to6up4hg2w Haya mambo yakiroho my friend yapo real kuliko tunavyo Dhani,ukiona wanaishi kwaamani basi Kuna mmoja kaamua kuamini upande wa mwenzake100% au Kila mtu kakubali kulainisha sana Imani yake ili kumridhisha mwenza wake Tena hapo mtaishi Kwa kuvumiliana sana maisha yenu yote.
@sabrinamwampiki6456
@sabrinamwampiki6456 10 ай бұрын
Hakuna jambo la kiroho wala kimwili ,huyu kaka ni mshenzi sana , mbona aliowa wanawake wa kiislamu na wakamshinda ,huyu dada ndio akili hana
@kiri5807
@kiri5807 10 ай бұрын
Jambo la dini ni imani . Huwezi kubadili dini kwa kufata ndoa tu ni unafiki , ndio huyu Diva .
@FurahaMwajeka
@FurahaMwajeka 10 ай бұрын
Nice speach diva kweli Abdul aamue watu wa kuwa weka pembeni ni ufanisi pia
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 10 ай бұрын
MASKN DIVA WANGU.❤❤❤ MIE YAMENIKUTA HAYO. NILKUA KILA LEO NAONGEA. JAMAN DIVA SIO KICHAA KUONGEAAA. KUNA MENGI ANAPITIA😢😢😢IPO SKU MUNGU ATAKUVUA SALAMA NA HUTOONGEA TENA UTAKAA KIMYA NA NDIO MWSHO WA HYO MALAYA ABDUL. WANAUME NYOKO ZENU MNATUMIZAA KENGE NYIEEE
@bavanmusictz6771
@bavanmusictz6771 10 ай бұрын
😀😀😀ww ni mbongo hzooo yugareeee yunooooo zann..nenda kwenye point😀😀
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 10 ай бұрын
Too much talking my dear. Its so tough for a normal man to deal with you. May be you should be married with an Angel 🙌🙌
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 10 ай бұрын
Diva na mumewe bado wanapendana watu wacheni kuaribu ndoa za watu sio vizuri
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 10 ай бұрын
Hata Huyo mumewe still love her
@kimcoonsweeptie3342
@kimcoonsweeptie3342 10 ай бұрын
Wanapendana kweli
@judamsaki5609
@judamsaki5609 5 ай бұрын
few women I do understand ....and she is so magnetic professional what not big up DIVA
@EllyMarua-ge8rf
@EllyMarua-ge8rf 10 ай бұрын
Yan diva anapenda kuishi kizungu wakt ni mwafrika ishi km mwanamke wa kiafrika afu usione wanandoa wowote wapo wanafuraha ukadhani hawapitii misukosuko ukiwa mwanamke unastaimili mambo huku unaomba Mung amtengeneze mmeo awe Kama unavyotaka usikimbilizie mambo mitandaon wanaokupa sifa uko mitandaon wanakudanganya
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 9 ай бұрын
Hii story ilivoanza tu inaonesha kalogwa how mtu hampo kwenye mahusiano anakwambia akuoe ghafla tu mungu akufanyie wepesi sis utoke katka hiko kifungo
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 10 ай бұрын
Mmmh hayuko sawa jnm yaani hii sasa ni kujidhalilisha na huyo mganga wake anamuongelea kwa dharau kbsa kuwa ameoa binti mbichiii .Maskini Bibi analazimisha. Ndoa😳😢
@FouzHaroon
@FouzHaroon 10 ай бұрын
Mwandishi leo kapatikana maana sio kwa mohojiwaji huyo maana ataki kuulizwa Swali..😀😀😀
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@RahabuLyogo-cq5yu
@RahabuLyogo-cq5yu 10 ай бұрын
😂😂yeye ndo anajpangia maswal ya kujbu,hakun mwanaume anaependa mwanamke mjuz wa kla jamb
@hyy4114
@hyy4114 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Misrest710
@Misrest710 10 ай бұрын
Hahahaha kabaki sure sure 😀😀
@MohamedAli-mv6dk
@MohamedAli-mv6dk 10 ай бұрын
Good interview, keep on with life, when one door closes,another one opens, no need of taking each other in public
@ElinaPoul
@ElinaPoul 10 ай бұрын
Diva utateseka sana na uyu abdul na hatobadilika, uyo Hana mapenzi ya dhati naww yupo naww kwa sbb zake akishakamilisha yake hutomuona Tena kwako, ni ww unakubali kuendelea kupoteza mda, ni kweli si rahisi kuachia na inauma sana ila jua tu apo ulipotea bora usikilize ushauri wa mange uwa anashauri ya kweli na ya kuwatakia mema japo anaonekana mbaya
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 10 ай бұрын
Mtoto akililia wembe,uliambiwa ww hyu sio mwanaume ukawa unachamba watu haya umejionea sasa😂😂😂😂
@mwanajeiothmanhabeeb91
@mwanajeiothmanhabeeb91 9 ай бұрын
Siyo rahisi kumuelewa Diva kama hutomsikiliza kwa makini. Namuelewa sana huyu Dada na alikuwa na real love kwa mumewe
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 10 ай бұрын
Diva ni mzuri bila kuvaa miwani. Na anajua kujieleza vzuri.
@jestinaluvanda-jm4tc
@jestinaluvanda-jm4tc 10 ай бұрын
Jamani mbona huyu anapata shida waganga sio wazuri ona anavyoteseka awe anakaa na Dida hizi mambo hazimpagi shida😅😅
@emmatryphone6921
@emmatryphone6921 10 ай бұрын
Diva. Usifamye interview tena. Kaa kimya hao wanauza na wewe ni brand. Kaa kimya na fanya mambo yako kimya kimya waone tuu
@zedylui4861
@zedylui4861 10 ай бұрын
Dah! Nimejisikia huruma sana, Diva sio wa kumshambulia saizi ni kumtia moyo, Kwa kifupi Hana ujanja Kwa Abdul, sura yake tu anapojib maswali inaonesha anampenda mwamba na anamuhitaji ila anashindwa Cha kufanya, I feel sorry for her😢😢
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 5 күн бұрын
Siwa kuombewa msamaha huyo ni hatari kwa maisha yako dadangu
@beatricekemirembekiwanuka7768
@beatricekemirembekiwanuka7768 10 ай бұрын
Hata sielewi anaongea nn jamani 😅😅😅😅😅watu wake wa karibu wamsaidie ana ugonjwa wa afya ya akili 😂😂😂😂
@Misrest710
@Misrest710 10 ай бұрын
Namuona anazunguka jamani anajielezea San Kama anatafuta muafaka jamani
@zipporahwayua9498
@zipporahwayua9498 10 ай бұрын
Diva, is this really what you want? You can leave marriage cz of infidelity, why are you entertaining this man? Ain't you tired?? Pls decide once and for all the life you want. I know it's not easy, but pls drop this man.
@juliethfrancis7799
@juliethfrancis7799 10 ай бұрын
Diva bado moyo,akili na utu wako haujakubali uhalisia wa kuachana na huyo bwana! Kaa kimya achana na hizi interviews zinakupunguzia heshima. Tuliza akili yako muda ukifika utaamua kwa uzuri! Mtu habadiliki sbbu umetaka au umemshauri kwa maoni yako dear stay silent 😶 He is narcissistic and he Will never change for you.History inajirudia. Itafute thamani, furahaa na amani yako then pendo la kweli litakutafuta lenyewe kwa muda usioutarajia. Stop feeding his ego huyo ni vampire yuko king'ang'anizi sbbu ana furahia mateso Yako and he doesn't luv you!!! Come on amka mwanamke, umepuuza hizo red flag and now they are turning 🖤🖤 ukijipoteza kwenye hili tope ni hasara Yako! Hana cha kupoteza huyo mpuuzi!
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 10 ай бұрын
My ex husband ni narcissist na Huwa haoni akikosea ni hupoint mistakes za mwingine au wengine tuuuu. Yeye hata akikosea atasema because of you ulimfanya akoseee. Watu aina hii wasioona makosa tao ndiyo narcissist na Huwa milele hawabadiliki.
@RareRobertha
@RareRobertha 10 ай бұрын
Kila sik apendae anaonekan mjinga kun sik utaelew ninacokiongelea
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 10 ай бұрын
@@HappyMwaigwisyamimi kutwa na deal na narcis men. Ni watu wabaya sana wanakuharibu kisaikolojia totally. Ukiendelea nao unaishia kuwa depressed kwa kuchitiwa, kudharauliwa, kusingiziwa kila kitu nk
@beauty2239
@beauty2239 10 ай бұрын
Kwa kifupi diva ajawahi ishi kweny mahusiano ya kweli kayaanza Kwa huyo mumewe na wanaonekana walionyeshana mapenzi fire❤️‍🔥 sasa hizo fujo ZOTE za diva nikuona Kwa nn yy na anateseka ndyo maana anakuja mitandaoni kupooza machungu but sio sehem salama ila muhimu utulivu ndani ya nafsi upooza moyo taratibu huku ukiilinda heshima yako Kama mwanamke
@DiaPlamoz
@DiaPlamoz 8 ай бұрын
Dia Plamoz 🇹🇿🦁
@digitalworld5577
@digitalworld5577 10 ай бұрын
Huyu Diva sidhani kama anajielewa, hana msimamo katika maongezi . Anaulizwa kama bado anampenda hajibu yes or no, mara anataka divorce, mara anataka kuolewa, mara akikaa sawa watayamaliza...yaaani hajielewi
@MadamVee-im4px
@MadamVee-im4px 10 ай бұрын
Dada achana na huyo mpuuzii ana roho ya ibilis utapata mwingne we mzuri
@Ashrey82
@Ashrey82 9 ай бұрын
Wote wanapenda tuwaache na ndoa yao! Mahusiano mengi ndivyo yalivyo Abdul mpende mkeo mfanye maisha
@btylove1870
@btylove1870 10 ай бұрын
Aibu naona mimi! Diva please unahitaji kutumia dawa za ugonjwa wa akili hauko sawa upstairs. Ndugu wa diva wako wapi jamani?
@MariamAbdullah-q6x
@MariamAbdullah-q6x 10 ай бұрын
😅😅😅
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 ай бұрын
Kwakwel 😢😢😢dah,,mara maex wasifiwe mara mzungu mara MUME apondwe mara apongezwe Yaan MUME anataka umaarufu anautaka.dah
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Huyu madawa ya abduli mganga yanamzuru jaman khaa😂😂
@Jp2025content
@Jp2025content 10 ай бұрын
Kwanin haihitaji kutumia madawa yoyote tu aache kiromoromo ndo kinamonza na kufata watu wanataka nin na kuendekeza ustar tu Hana maradhi huyu
@annakbunga8377
@annakbunga8377 10 ай бұрын
Kabisa kabisa kweli
@maryjosephat8603
@maryjosephat8603 5 күн бұрын
Abdul alikua Anatafuta maisha,kipato chake kama mwanaume ndo maana alinifanya chizi huko nyuma….but kwa sasa hivi ndo nakwambia kaoa ile kwerikweri lbda akutwe disappointed lkn ndo kaoa ivo na anajisikia dume kuhudumia familia baada ya kuhudumiwa all those years
@ShemsaSeleman-l5x
@ShemsaSeleman-l5x 10 ай бұрын
😂😂😂😂dada kiukweli anampenda bado shem shem
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 10 ай бұрын
Huyu dada nimkichaa bado anapenda mwanaume aliyemuita bibi,mara mie muislamu ohoo Nina mchungaji wangu,ohhh sitakosa mwanaume wa kunioa nuna mzungu mara ohh naweza kurudi mara ohh talaka mkichaa sana huyu
@gracepatric4371
@gracepatric4371 10 ай бұрын
mtangazaji kapatikana😅😅😅😅 hana hata nafasi ya kuuliza wala kuchangia chochote😅😅😅😅😅wooooi
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 10 ай бұрын
You Understand?😂😂😂 we Understand we Akili punguani......na Abdul pia Tapeli....sasa mumepatana
@raishahatibu7095
@raishahatibu7095 10 ай бұрын
Diva mungu anakuona, hivi unaijua vizuri familia ya Abdul?
@AISHAYAHYA-pd8kl
@AISHAYAHYA-pd8kl 10 ай бұрын
Kila neno lazm abdul iwepo hmmm hatr mapenz😢😢
@ashaali7154
@ashaali7154 10 ай бұрын
The family were using you as well as Abdul himself. So get away from that problem as fast as you can otherwise they will bring you down with them. Pleeees Diva ruuun 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
@Ruu974
@Ruu974 10 ай бұрын
Diva akipinguza mdomo mambo yake yatakua sawa she talks alot
@WINIFRIDAIGULU-bf1fh
@WINIFRIDAIGULU-bf1fh 10 ай бұрын
Na anampelekesh san mwanaume utadhn ni super
@jumakuswa715
@jumakuswa715 10 ай бұрын
Diva mm nimekulewa abduli hayuko sawa na hana elimuu ya ndoa hebu arudi darasani a some mtume kaelekeza nini kuhusu ndoa,
@farijala1
@farijala1 10 ай бұрын
Suala la Kujistiri ni la Kiimani. Kama uislamu Unasema Kujistiri, Huwezi kuwa na Option yako kwamba Unaweza Usijistiri na Ukabaki Kuwa Safi. Huwezi kuwa Jambazi halafu halafu useme mie ni mtoa Sadaka Mzuri
@gracemathias6082
@gracemathias6082 10 ай бұрын
Diva unatuangaisha ujue em just move on bana 😢😢
@AfricaQueen
@AfricaQueen 10 ай бұрын
🤔Huyu kashadata Chizi muongo sana na Hana Ujancha Tenaaa kwishaaa.
@noelobed12
@noelobed12 10 ай бұрын
She can’t, unfortunately 😂😭💀
@judyngowi391
@judyngowi391 10 ай бұрын
Kadata jamani, anahitaji maombi, huyo mganga kamloga
@Mwigaa95
@Mwigaa95 10 ай бұрын
Mwanamke aki kupenda lazima awe ana kusimulia hadithi za wanaume wanao mtongoza 😄
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 10 ай бұрын
Abdul ni Mume wa wote
@asnathcharles9842
@asnathcharles9842 10 ай бұрын
Na ww ni mumeo😂😂😂😂
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 8 ай бұрын
Jamaniiiiii 😅
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 9 ай бұрын
Yani mwandishi kaenda kuhojiwa yeye agh ila divaa 😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 9 ай бұрын
Divaa maskini kujionaga Kim kadarshian ndo kuna mponza wakati hata huyo Kim mwenyewe alitulia kwenye ndoa akuleta u star 😢😂
@chaurembo9379
@chaurembo9379 10 ай бұрын
Kumbe Abdul nae ulikua unamuelezea matatzo yko ya Mahusiano kama yule hacker 😂😂😂
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 10 ай бұрын
Si ujinga huo
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 10 ай бұрын
Diva punguza Interview ,maneno mengi hayasaidii kitu ,nakupenda Diva
@naimakhamis8748
@naimakhamis8748 10 ай бұрын
Pole sana diva unaonekana unampenda sana Abdul anakutesa mno
@Naira8787-q9p
@Naira8787-q9p 2 күн бұрын
Jamaa hatari lile nilinywewe cose lina taka usupa star
@sophiemohammed9961
@sophiemohammed9961 10 ай бұрын
😂😂😂😂 nimechekaa sanaa ,akii uyu alo sawa na rafikiangu mwengine akii sem sem issues na amekosewa yy na ataomba msamaha yy duuu😂😂😂
@ifferbae
@ifferbae 10 ай бұрын
Dada punguza mdomo pyeeeee unaulizwa swali moja unasoma kitabu kizima 😅😅kwa maelezo hayo ww kwa mganga hupindui
@CeciliaShauri-vc7up
@CeciliaShauri-vc7up 10 ай бұрын
Sanaaaa....hadi anachosha
@rihannaahmed
@rihannaahmed 10 ай бұрын
Are you still love Abdu😂😂😂 or Are you still in love with Abdul😂
@babyakasha4002
@babyakasha4002 10 ай бұрын
😂😂😂subiri, subiri kwanza ngoja nielezee. hamna kitu hapo huyu kapigwa kitu kizito hajielewi.
@EricTrillz
@EricTrillz 10 ай бұрын
Diva my dear hizi familia za kiswahili uziwezi😢😢😢
@sund2553
@sund2553 10 ай бұрын
Huyu bado anampenda mganga na mganga atamchezea sana huyu mdada hajielewi haki
@EsterMsafiri-nx9cd
@EsterMsafiri-nx9cd 10 ай бұрын
Katakua kamemroga😂😂
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 10 ай бұрын
Hajawajua bado ukipenda ushilikina matokeo yake nihayo unakua combo chakutumiwa tu
@LuluMushi-tu7jd
@LuluMushi-tu7jd 10 ай бұрын
😂😂 mbona mganga
@rihannaahmed
@rihannaahmed 10 ай бұрын
Ndoa hufungwa mbinguni na wakuachanisha ni mungu pekee
@IyaAhmadi
@IyaAhmadi 10 ай бұрын
Allah awaraisishiye waweze kumalizana izo tofauti Zao waweze kuishii kwaaamanii
@johnmalisa9373
@johnmalisa9373 10 ай бұрын
Huyu demu anaongea sana..mshikaji sijui alikua anakaaje naye
@neemamollel6057
@neemamollel6057 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂kama kameza kanda
@shimammymammy5298
@shimammymammy5298 10 ай бұрын
Yaani yeye kika siku kuwasema watu kwenye utangazaji wake ila yeye asiandikwe😅😅😅😅kitulize mama
@WINIFRIDAIGULU-bf1fh
@WINIFRIDAIGULU-bf1fh 10 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu awajabahatik kuzaa watoto ilikua ni aibu kubwa san wangeona hay haipit mwez ni interview ya ndoa khaaa😂😂😂, sasa sisi tukijua tunasaidia nn zaid ya kuchek tu
@razzaqdavoo9697
@razzaqdavoo9697 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 duuuh mwenyez Mungu nifundishe kunyamaza
@gracepatric4371
@gracepatric4371 10 ай бұрын
duuuuu ila unaaongea sana mwanamke mwenzetu khaaaaa wanaume kweli hawapendagi kelele mm tu nimeboreka anaongea pekeake😅😅😅
@lightouma477
@lightouma477 10 ай бұрын
Unajua ndoa haikosi kikiri kakara,ila huyu dada anaitaji kupendwa sana,moyo wake umeumizwa, she need to be loved,she need huge....
@babyakasha4002
@babyakasha4002 10 ай бұрын
subiri, tunamaliza subiri😂😂😂 hamna kitu hapa. wanaume hawapendi wanawake wanaongea ongea mambo ya ndani kudhalilisha familia kuongelea mapungufu ya mmeo. Ndoa sio radio station. She's totally confused😮
@jtheophil5499
@jtheophil5499 10 ай бұрын
Basi mme wako ndo alikuwa anatoa information zako.Pole sana Diva lakini hakuna mme hapo ukweli usemwe.Umeona wapi mmw anaomba pesa na hasipopewa anampost mwanamke mwingine..Utoto mwingi hata umueleweshe vipi hakuna kitu hapo,hawezi,kubadilika.Mmh Diva umepitia mengi.
@zainabusabas7421
@zainabusabas7421 10 ай бұрын
Diva amua kutoka kwa huyo kiumbe habadiliki kama ushalogwa 😅😅😅😅kutoka sahau
@sistersade9039
@sistersade9039 10 ай бұрын
Diva hataki kuachwa. Anaingia huku akitoka hataki kujibu direct. Sasa si unyamaze? Mbona kusebu sebu kingi? Diva is like a child ata hajui anataka nini. She needs to see a therapist for sure 😊
@pengefeza2563
@pengefeza2563 10 ай бұрын
It is natural process.
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 3 ай бұрын
Jamani kwani kiswahili chetu kimewakosea Nini?? Kwani Nini musitupe burudani ya mahojiano kwa kiswahili chetu vizuri nikama munavhetua na kakiingereza saana mimi sipendi
@josephinenavin6299
@josephinenavin6299 10 ай бұрын
Wanawake kama Diva ndo wanasababisha maisha yanakuwa magumu hela zinapotea Tanzania
@gracepatric4371
@gracepatric4371 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@asnathcharles9842
@asnathcharles9842 10 ай бұрын
Mumuache sheikh jaman mbn yy yuko kmya na anamtetea sana diva akin diva ndo hampi heshima mumewe ....yeye analeta ustar ndani kwake analeta u diva akiwa na mumewe ..............ukiskilza mahubiri ya pastor rose shaboka anasema akiwa na mumewe uchungaj anaeka pembeni anakua mke na yy anatakiwa awe hivo ampe heshima mumewe
@pengefeza2563
@pengefeza2563 10 ай бұрын
Hamuna ameisha fanya interview. Yule mme ana visa ni kweli Diva alimpenda ao anampenda bado ila jamaa yule hajatulia.
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 9 ай бұрын
Na ustar ndo unawaponza hakii amuulze fahyma alifanya Kim kardashian mbona alivopelekewa paula sahv akili imemkaa sasa huyu kibibi nae mwache akilambe
@ndegeofficial9928
@ndegeofficial9928 10 ай бұрын
Da mungu msaidie madam wetu atachanganyikiwa
@khadijasaidy6468
@khadijasaidy6468 10 ай бұрын
Yaan diva kapendaa mpaka kapitiliza pole sana mapenzi shikamoo
@judyngowi391
@judyngowi391 10 ай бұрын
Yule mganga nasikia haachwagi
@winnieexavery3304
@winnieexavery3304 10 ай бұрын
Daaah kumbe kuna watu Wanalia masaa 24😳😳😳 huli? Hunywi maji? Machozi hayakauki? Weeeeee kata simu Loveness
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 10 ай бұрын
Diva. Mwanamke alietimia ana heshima na adabu mambo ya yandan ni privacy kama kiachana achaneni kimya kimya kila mtu afate nafasi yake publick kuanika maisha yenu ni kijidhalilishaaa sanaaa ni dfedheha hii
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 10 ай бұрын
Pole diva true love inatesa sana
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 8 ай бұрын
Majina yetu yanashida mm nimeteswa Sana na haya maneno
@HafidhKindi
@HafidhKindi 9 ай бұрын
I dont believe when u said if u want to marry marry your best friend !!. Because i married my best friend and it was a horrible
@MohamedMkota
@MohamedMkota 10 ай бұрын
Yn. Abduli. Akiangalia hii atakucheka sn atajua tu kwake hupindui my dear. Hii ndoumearibu ss hata km unampenda. Ungejikaza. Angerudi tu. Hp ndo patakutesa sn mpezi
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 10 ай бұрын
Diva yule muzungu ulimtoa Google 😅jamani harafu unaongea sana eti bland duh muganga mwaka huu kazi unayo utajuta mpaka unakufa
@esnathmdeda
@esnathmdeda 10 ай бұрын
Huyu dada sijui ufahamu wake uko wapi dooh😢 alafu Punguza kuongea sana mana kitu chochote kikizidi tu inakuwa tatizo🙌🏾!. Kwanza mmasema karogwa huyu hata hajarogwa 😅I think mganga alikuwa anamfanyia kila kitu kwa bed ndo kime mchanganya😂😊
@sophiemohammed9961
@sophiemohammed9961 10 ай бұрын
Jibu swali unampenda Abdul 😂😂😂
@marthageorge5043
@marthageorge5043 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 10 ай бұрын
Already mganga amefanya interview na Manara TV. Amesema atapaswa kupata medali kwa kuishi na Diva alivyo mgumu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 ай бұрын
Tapeli😂😂😂😂😂 mganga gani
@asnathcharles9842
@asnathcharles9842 10 ай бұрын
Kabisa diva akatibiwe
@hyy4114
@hyy4114 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 5 ай бұрын
Mmh wala hausemi uongo Diva ,yaani hii kitu inanikera sana
@mishiomarhassan7115
@mishiomarhassan7115 10 ай бұрын
Diva jibu nikuwa bdo unapenda huwezi heal kingine huwezi mbadilisha kama hajamuwa kubadilika 😂ipo siku upendo ukisha utahitaji hata ushauri wa yeyeto 😢
@SitheyCuteradhia
@SitheyCuteradhia 9 ай бұрын
Namuelewa sana huyu dada,,..hauezi elewa km halijakukuta
@aj-gw1rl
@aj-gw1rl 10 ай бұрын
Diva wewe huna nia ya kumuacha mganga. Unatoa ushauri wa nini tena😂
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 10 ай бұрын
Wewe Dada please please ondoka kwenye maisha ya huyo kaka 😮utateseka mnooo,
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 10 ай бұрын
Huyu Divya naona hayupo sawa liability maana ugomvi kila leo mwanaume naye Malaya ila anajua huyu mwanamke hawezi Pata mwanaume maana hayupo sawa 😂😂😂
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 10 ай бұрын
Aah Diva acha ujingaa😅😅! Miaka 32 akakuprotect mbibi kma ww
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 8 ай бұрын
SHEKHE ANAWATU WENGI MAANA NDIO MKUU WA TASISI KADIRIA MALIZENI HAYO MAMBO MAANA MNATUABISHA SANA MBONA ABDUL HANA SHIDA NIKAZI TU PUNGUZA HASIRA SHEM
@kilogreek4050
@kilogreek4050 10 ай бұрын
Kwanini Usimzalie Mambo yasingekua mengi mmepishana miaka mitatu nani mkubwa hiyo miaka 3 ??????😂😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 10 ай бұрын
Humu kwenye media ukiongea English uwe constently perfect otherwise tutatoa makosa kibao za 1- accent 2- pronunciations & 3- Fluency 4-Grammar use, Maana kuna walümu humu. Ongea kiswahili tu watu wakuelewe
@maryamChumas
@maryamChumas 10 ай бұрын
Da diva pole my ❤❤❤❤❤
@DM_15
@DM_15 10 ай бұрын
Ila diva anajiona bado dogo. Hajioni kamakwasasa nimmama, kilasiku brand brand brand brand . Hiobrandi wolpa aliikimbia akaamuakuish kawaida nsasa anamjengo na ako na kid. Nimawazotuu jamani kwasababu yupo kitambosana huyu dada. Am sorry kwa ninaye mkera kwa hii sms
@mangofish9079
@mangofish9079 10 ай бұрын
Wewe diva hio miaka yako na huyo Abdul wako munadanganya umri wenu wewe diva umezaliwa baina 1984 - 1986.
@ashahassan7414
@ashahassan7414 10 ай бұрын
Huyu Dada hayako sawa kabisa Diva kuanza unaongea sana hata huyo mtangazaji hutaki kumpa nafasi ya kuongea aulize maswali jmn khaaaa wewe Dada
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
KSA X SACO II MAKE IT, MAKE SENSE 8.0.
1:26:57
Kemi Sope-Agbebi (KSA)
Рет қаралды 42