Team diva punguzeni jaziba diva ashajitoa kwenye dini yetu ya kiislam kwaiyo ashajikuluu diva ni mtalaka tayari fildunia wali akhera washaachana sawa dunguu 🙄
@efrahfarahahmed89602 күн бұрын
Swadakta
@LindaMbilinyi-n3n2 күн бұрын
Kwa kipi ww meno km mapande ya mihogo ovyoo
@rahmaarrington9019Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na ulimi kama nyokaa.. anatumia mgongo wa Diva
@LindaMbilinyi-n3n22 сағат бұрын
@@rahmaarrington9019 sahihi kbsaa😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣😃🤣
@RayOmar-vk2nn2 күн бұрын
Muandishi ni mchonganishi wallah
@WardaYousuf-g2n2 күн бұрын
Humpendi vp usimpe talaka usimtese mtoto wa watu
@nyasolugoe88918 сағат бұрын
Anampenda Diva huyo km umpendi mbona hutoi talaka 😂😂😂
@aairraahseif56482 күн бұрын
Kama hukuitoa Talaka atapokea nini?achakupindisha maneno,ati hakuipokea Talaka utadhani ulinitoa hio Talaka,ukikataliwa ujue kuachia Abdul, uwe ni mwenye kuheshimu mafundisho ya Mtume wetu S. A. W. Unaiabisha Dini wewe! nausipo mpa talaka basi wewe ni king'ang'awa wa hovyo
@agnessmwajojo-gr4ko2 күн бұрын
Diva ur missed😂
@kemmypius2035Күн бұрын
Jaman mm nashindwa kuelewa wanaomtukana jamaa ..wana shida gan .mbona jamaa anajibu maswali vizur anaeleweka anaulizwa anajibu ...au mmechanganyikiwa hamuwezi ku connect ...anajibu kila anacho ulizwa ...au nyie mnalazimisha awe na ubaya ..anataka kutoa talaka ila upande wa pili ni shida ...visa ...na mwanamke alikua anatamani waachane wameachana ss mnataka afanyaje ss....PUNGUZENI VISIRANI
@maryamtan682Күн бұрын
Machawa hao na chuki zao kwa mwamba.
@sakinaomary7207Күн бұрын
Baada ya muda mrefu upi huyu mmeoana muda si mrefu, usimhusishe diva hujiwezi
@ashaali71542 күн бұрын
Hili limwanaume linatia kichefuchefu kila siku mitandaoni hata hiyo dini anayojifanya anaijua haisemi hivyo. Mbona una mdomo mwanaume kuliko mwanamke? Looo hata dini huijui wewe mnafik tu. Unautia uislam madoa bure laanakum wewe.
@kemmypius2035Күн бұрын
kafanya nn jaman mbona mnavisirani ..hiv ...hiv mnpo sawa
@UmmuJauzan2 күн бұрын
Anaweza kua bwbwbwa huyu kazi kubwnua midomo tu
@shakilaahmed57612 күн бұрын
Bado wampenda diva..diva rudi utukuwe usukani
@Jehhus_062 күн бұрын
Mganga mshamba
@shakilaahmed57612 күн бұрын
Waji shauwaa 😂😂😂
@kemmypius2035Күн бұрын
mbona amejieleza vizur tu ... Amng'ang'anie kwann ss jaman mtu ana mke mpya ...ana mtoto ...
@samiraabdimahamed44492 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@JokhaSaid-e1c2 күн бұрын
Miata minne ya Aibu na kesi nyiiiingi mpaka tukazijua tabia zao wote wawili Leo kasahau
@Naju6452 күн бұрын
Siumpe talaka watu mkiachana mwanaume toa talaka
@belak9992 күн бұрын
Umemuelewa lkn au ulikurupuka
@kemmypius2035Күн бұрын
@@belak999ety sijui ni kiziwi ...huyo ...mbona kajieleza sana jaman ...