Rigathi Gachagua asema Mlima Kenya ilipata nafasi zaidi kwenye baraza la mawaziri

  Рет қаралды 20,014

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa eneo la Mlima Kenya limewakilishwa vilivyo kwenye sura mpya ya baraza la mawaziri. Gachagua aliyezungumza katika ibada ya jumapili eneo la Kinangop kaunti ya Nyandarua amewasuta wanamkosoa kwa kutowakilisha eneo la kati vilivyo akisema eneo hilo limepata nafasi za kutosha kwenye baraza la sasa.

Пікірлер: 116
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Ай бұрын
His sentiments are always along tribal lines,it's always mlima mlima mlima all through
@Allahiswiththeoppressed
@Allahiswiththeoppressed Ай бұрын
Tribslists, he should be MCA in mount kenya not the vice president.
@elizabethnjoki6397
@elizabethnjoki6397 Ай бұрын
Village head
@user-dx5xt5ue3r
@user-dx5xt5ue3r Ай бұрын
Now what kind of man is this Kila time mlima
@NDARUA.S
@NDARUA.S Ай бұрын
gachagua is shallow minded. n cannot focus on big country issues... unfortunate
@johananmacharia2003
@johananmacharia2003 Ай бұрын
SAY NO TO TRIBALISM. WE ARE ALL ONE PEOPLE AS WELL AS GOD'S CHILDREN❤
@andrewmuigai6573
@andrewmuigai6573 Ай бұрын
Uongo yako
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 Ай бұрын
Jamaa ni mkabila kweli.. Sasa kama unapenda watu wako waondoe kwa maeneo ya watu wengine uwarudishe kwao.. Maana wewe sio kiongozi wa kitaifa ni kiongozi wa kikabila.. Sasa kusanya watu wako sehemu moja uwaongoze sisi ambao utupendi tutaongozwa na wengine ambao wanapenda watu wote..
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
Huyu ni tribalist
@kyalokavilu7755
@kyalokavilu7755 Ай бұрын
Huyu mzee hafai ofisi yeyote ya uma ana ukabila sana
@MorrisMunyaa-qd7io
@MorrisMunyaa-qd7io Ай бұрын
umesema ukweli bro
@dickens123
@dickens123 Ай бұрын
Kuna kaushamba pia ya usapere
@elizabethnjoki6397
@elizabethnjoki6397 Ай бұрын
Sasa wingi wa cs central inatusaidia aje kama Wakenya we r past tribalism
@mamuomar5749
@mamuomar5749 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rhoonestsirooyan4823
@rhoonestsirooyan4823 Ай бұрын
Huyu mtu kazi ni mountain... You will go home soon
@robisammeytv7547
@robisammeytv7547 Ай бұрын
Tribal chief,so the rest we are not your people 😅😅😅a whole deputy president.
@morrismuthui955
@morrismuthui955 Ай бұрын
The shareholder thing again? This man go home!
@user-vv6pr4bj8p
@user-vv6pr4bj8p Ай бұрын
Mbona huyu nimkabila sana.Hafai kazi ya serikali huyu😏😏😏😏😏😏😏
@alextercisio
@alextercisio Ай бұрын
Wewe huyo wako wakiita mikutano uko western na eastern si ukabila nonsense kwedeni uko
@rashowshine7849
@rashowshine7849 Ай бұрын
Huyu ati anataka kuwa prezo 😂😂😂
@user-yk1vy4gj6w
@user-yk1vy4gj6w Ай бұрын
Hahaha mshenzi sana sijui alitolewa wapi
@joeukim2173
@joeukim2173 Ай бұрын
Raila si mkabila alichagua odm tupu
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
U love ur people, na wewe ni kiongozi wa taifa. Sisi wa Kenya wengine utupendi and ur deputy president. Roho chafu such a leader ndio anazidisha chuki kwa makabila mengine.
@kentosh120
@kentosh120 Ай бұрын
He is being fought in Mt Kenya.
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 Ай бұрын
Rigathi is a tribalist should not be anywhere near power 😢😢😢😢😢
@ev.dauglasotiso1597
@ev.dauglasotiso1597 Ай бұрын
This is shame
@zahragedo8720
@zahragedo8720 Ай бұрын
Huyu mzee hana agenda ingine isipokua ya ukabila nkt, hv neva seen d.president behaving like this, why mudavadi not talking of nyanza òr any other leader talking of his or her region.or what is soo important about the so called mt.kenya.i wonder
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo Ай бұрын
Rig g hongera bona watu umwa ukiogea mambo ya mt kenya
@abdulrahmanbagaran
@abdulrahmanbagaran Ай бұрын
Haha ukabila hiyo unayo utakosa kiti ya urais as kenyan twataka hii maneno ya ukabila ikwishe hiyo ndo shida kubwa katika nchi yetu. Anyway am jst saying but won't be easy to end tribalism politics!
@rajah9328
@rajah9328 Ай бұрын
Langu swali je ni Naibu wa Mlima Kenya tu pekee au Kenya nzima c awe tu Governor ety 2032 uwataka uraic hawe tu Mlimani basi
@jerryarmstrong9035
@jerryarmstrong9035 Ай бұрын
Kuna jambo hamuelewi kwamba mlima ndiyo Kenya mlima ndiyo kusema na ni kabila telezi ni wa kupembelezwa tunahitaji mlima all thru more than 4 million votes hao ndipo Kenya mlima ndiyo kusema na daima na hii katiba ya raila ya green card mlima wil always alternate bitwin 1 n 2
@kenmichigwan234
@kenmichigwan234 Ай бұрын
Huyu si akuwa tu kwa Council of elders mlima kenya
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
Terrible tribalist. Pole sana Wakenya. Hapo hakuna Deputy President 😢
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
Let's hv 41 other DPs representing other tribes bcz huyu ni wa Nyeri
@cuttingedgeConsistentTraders
@cuttingedgeConsistentTraders Ай бұрын
Ghai, ata anajua any other part exists other than mlima? Every day!😂😂😂 Kenya is going tribeless but he is struggling to maintain the status quo of tribalism, so hard that he has to speak it daily. He deserves an award kwa kupenda watu wake😂😂😂
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 Ай бұрын
Tribolism aja mzee
@denisouncho2513
@denisouncho2513 Ай бұрын
Kwani hakuna place ingine Gachagua anajua apart from mlima,huyu aanguke tu na ruto wake
@mcrmusic-zh8hf
@mcrmusic-zh8hf Ай бұрын
Gachagwa hafai kua kiongozi.why ako na ukabila na yeye ni naibu raisi wa Kenya yote.nahisi hatufai Sisi wakenya alifaa kua gavana wa uko kwao
@PeterRamadhan-d1u
@PeterRamadhan-d1u Ай бұрын
Aende nyumba uyu Mzee hafai kuwa rais
@shhhhh.
@shhhhh. Ай бұрын
We're in a new Kenya, ukabila jiekee mzee
@PaulSanteto-nk7rt
@PaulSanteto-nk7rt Ай бұрын
Huyu jamaa he speaks abt mlima from morning to evening,someone tell him he's a do for Kenya!!
@eddyedduu6912
@eddyedduu6912 Ай бұрын
Huyu mzee ni mkabila sana
@MorrisMunyaa-qd7io
@MorrisMunyaa-qd7io Ай бұрын
simpewe viti nzote mlima
@shadrackmaswi7241
@shadrackmaswi7241 Ай бұрын
Ukabila utakumaliza wewe Do
@puritynyamburamathenge7810
@puritynyamburamathenge7810 Ай бұрын
Gachagua breakfast mlima, lunch mlima, dinner mlima na nyumba itu andu aitu, tribal, kenya is bigger than mathira & kikuyus
@blessedramsey396
@blessedramsey396 Ай бұрын
He understands how the 'mtu wetu' politics work.
@kelvinmaina4357
@kelvinmaina4357 Ай бұрын
How will this benefit me
@jerryarmstrong9035
@jerryarmstrong9035 Ай бұрын
Maji ndiyo namba 1 ministry lands namba 2 ministry ICT ndiyo kule dunia IPO ikiendanga mlima acheni kulia tunatafuta combination ya kutusaidia kunyorosha watermelon 2027 asubuhi mapema odm ni Yule prodigal son alikuwa amekufa na sasa amefufuka tushangilie tumpigie Mungu kelele za shangwe
@user-gu5hh5oq7u
@user-gu5hh5oq7u Ай бұрын
It's not weakness it being tribal.
@AlexWaiguru-k5m
@AlexWaiguru-k5m Ай бұрын
Uyu anafaa akuwe chief wa mlina lakini sio kiongozi wa taifa la kenya
@wanytex1971
@wanytex1971 Ай бұрын
Economy disaster
@aliabdi-r3i
@aliabdi-r3i Ай бұрын
This Oldman is a failure,all the talking about mt kenya
@elbajnaf3186
@elbajnaf3186 Ай бұрын
So kila mmoja ako na haki ya kupenda watu wake zaidi na sio ukabila.
@julyjuly-ik9er
@julyjuly-ik9er Ай бұрын
Waaaaah
@Houseofprayercentertz
@Houseofprayercentertz Ай бұрын
HUYU MTU ANAPENDA UKABILA, HUYU HAFAI KUWA NAIBU WA RAISI, ANAFAA AWE DIWANI,
@MohammedAli-hz7to
@MohammedAli-hz7to Ай бұрын
Huyu ni mjinga sana anaukabila
@hezbonmeso1669
@hezbonmeso1669 Ай бұрын
Waah Kweli mountain Kenya n special sana
@elizabethnjoki6397
@elizabethnjoki6397 Ай бұрын
Wapi it only caters for interest of s few
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 Ай бұрын
​@@elizabethnjoki6397Hizo nafasi zinasaidiaje mwannchi wa kawaida huko Mlima Kenya. This guy should be nowhere near power 😢😢😢😢😢
@alexsimwa8657
@alexsimwa8657 Ай бұрын
Are you the Deputy for Mt Kenya only Matako yako
@user-qy5vs6zu6x
@user-qy5vs6zu6x Ай бұрын
8/8 tukonanyiiinyiii
@ericsababu8825
@ericsababu8825 Ай бұрын
The problem for the dp still he doesn't understand he is the deputy president of Kenya not mount kenya
@alvingamez4590
@alvingamez4590 Ай бұрын
Time has shifted mitego hakunasa
@denisouncho2513
@denisouncho2513 Ай бұрын
Huyu jamaa hakuna place ingine anaendanga kama si mlima nkt
@stephenogutu1008
@stephenogutu1008 Ай бұрын
Mkabila. Tribalist! Bure kabisa!
@PeterNgige-tw4ey
@PeterNgige-tw4ey Ай бұрын
Kingpin
@HannahMwathi-dk9dh
@HannahMwathi-dk9dh Ай бұрын
He is just like Ruto, Railsa and Joho
@melvinbubby
@melvinbubby Ай бұрын
Tp hell with this mlima kenya and politics based on tribes tumechoka
@andrewmuigai6573
@andrewmuigai6573 Ай бұрын
Kwenda uko na watu wenu wakipewa cs mnatoka kusherehekea
@user-yk1vy4gj6w
@user-yk1vy4gj6w Ай бұрын
Huyu sura mbaya alitolewa wapi sisi mulima sisi mulima hajui lingine
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 Ай бұрын
Boy, here we go again. Shareholder politics !
@denisouncho2513
@denisouncho2513 Ай бұрын
Tribalist bure kabisaaa aende home huyu one term dp
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 Ай бұрын
What abaut us
@josephsantayian-nj1bx
@josephsantayian-nj1bx Ай бұрын
huyu ni mkabila be scared of Gachagua
@Togita-Ongaga
@Togita-Ongaga Ай бұрын
99% this is the highest position he got, After this let him go back to mathira
@andrewmuigai6573
@andrewmuigai6573 Ай бұрын
Kwenda uko
@ianjoseph5325
@ianjoseph5325 Ай бұрын
Muthee tiga kuhingica gikuyu...
@jamesodhiambo3032
@jamesodhiambo3032 Ай бұрын
Fala
@Muzammil99p
@Muzammil99p Ай бұрын
Nguruwe ni nguruwe tu 😂😂😂
@lokedavid4949
@lokedavid4949 Ай бұрын
Wakikuyyu Baz si wakwende mlima Yao kama ni hivyo wanafanya Nini burnt forest?
@maxlemusa3520
@maxlemusa3520 Ай бұрын
When will we get out of this tribal or regional politics
@yJe461
@yJe461 Ай бұрын
Villager, wana tu! We had over 8 in the previous cabinet na hawajatusaidia. CSs are appointed to serve the country not Mt. Kenya
@roseokumu823
@roseokumu823 Ай бұрын
The selfish DP forgetting other tribes
@kinuthiaedwin9017
@kinuthiaedwin9017 Ай бұрын
When will this villager start thinking like a vice president? But do i say?
@Touristbwire
@Touristbwire Ай бұрын
This guy with his team should just vacate the ofisi coz I don't what they are doing all along
@davidmuiga4248
@davidmuiga4248 Ай бұрын
Im from "the mountain" but i dont care whether a Cs is from here or not im already represented by my incompetent mp all the way to governor what i care is can you do the work. Sadly this type of nonesense ati someone is from your region excites the older generation which is kind of idiotic
@estherwanjiru3745
@estherwanjiru3745 Ай бұрын
Huyu jamaa ameteswa kisiri...Mungu msaidie
@mfalmeentertainment3090
@mfalmeentertainment3090 Ай бұрын
this guy Gachagua is very very tribalism, yeye kila kitu ni kuhusu watu wa mlima Kenya......
@user-ek7dy3ys7v
@user-ek7dy3ys7v Ай бұрын
Your character denies you being a leader
@dianamumbikamawira4273
@dianamumbikamawira4273 Ай бұрын
sasa wanatusaidia aje surely?
@dancunmwaniki8171
@dancunmwaniki8171 Ай бұрын
The question is ...do they have power .....what can they do with those positions.....hizo positions ni bure tu.....
@user-gu5hh5oq7u
@user-gu5hh5oq7u Ай бұрын
You were called for Kenyans and Kenya does not belong to kikuyus only we more than 53 tribes by the way our next president Will come from taita.
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh Ай бұрын
Mzee mkabila sana huyu
@StanleyKebenei-ir9qm
@StanleyKebenei-ir9qm Ай бұрын
Eti nakuru?
@NDARUA.S
@NDARUA.S Ай бұрын
He doesn't know that's apolitical game that Ruto played on Him.. doesn't he see it
@jonadabondara9655
@jonadabondara9655 Ай бұрын
When Luos get two ministers and are 2.5m how many ministers do you expect Kikuyus to get with their over 6m voters?
@elizabethnjoki6397
@elizabethnjoki6397 Ай бұрын
Hukũ kwa tribes tulitoka we want our resources managed well period
@samsonokenye4130
@samsonokenye4130 Ай бұрын
Lol ati 6M voters😂
@RoyKevin-f4t
@RoyKevin-f4t Ай бұрын
Luos are 6.5million,,,stop your nonsense,,,they are so many,,,let them be included
@johnthuo7312
@johnthuo7312 Ай бұрын
Calling Gachagua tribal that will not silent him
@salimadiyo9442
@salimadiyo9442 Ай бұрын
IT WILL FROM THE REST OF KENYANS EXPECT KIKUYUS
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Ай бұрын
Wacha ukabila wwe
@jameskimani6850
@jameskimani6850 Ай бұрын
Niatuhuukire
@user-yc5qk4jf5l
@user-yc5qk4jf5l Ай бұрын
Very stupid then he is calling himself mamau child
@aligatanga2458
@aligatanga2458 Ай бұрын
Mjinga tu huyo mkabils
@victorkimolu1283
@victorkimolu1283 Ай бұрын
He hates other tribes
@sadiqugas8736
@sadiqugas8736 Ай бұрын
This guy is total fraud
@Etv_254
@Etv_254 Ай бұрын
Murima 😂
@shabankolia8204
@shabankolia8204 Ай бұрын
Haha😂😂
President Ruto urges China to re-profile Africa's debt
3:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,4 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 66 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 99 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Vituko na sarakasi za makala ya mirindimo
4:35
KTN News Kenya
Рет қаралды 164 М.
Je, polisi walionaswa wakiwaua waandamanaji watahukumiwa?
2:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 512 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН