#RipotiYaLeo #EFM #VeronicaSimulizi #SimuliziZaMaisha Simulizi hizi huruka katika kipindi cha #Ubaoni cha EFM katika sehemu ya Ripoti ya leo, na kusimuliwa na Veronica Frank hivyo wao ndio wamiliki wa simulizi.
Пікірлер: 69
@lightnessshayo21902 жыл бұрын
Sehem ya Kwanza Jaman Hatuoni Tutaelewaje Sasa 🤔🤔🤔🤔🤗🤗
@rahmabakari76952 жыл бұрын
Sehem ya kwanza jaman
@kithia1002 жыл бұрын
Thot ni Mimi pekee sioni
@gibomalenard87032 жыл бұрын
Mmhhh huyu baba mbona Kama ana Jambo lake
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Siyo fresh
@armanyagwara51762 жыл бұрын
jaman da veroo hatujapata sehem ya kwanza
@annahalick75202 жыл бұрын
Mimi NAMI sijaiona nimetafuta sehemu zote
@mwanaidihamisimtupa51262 жыл бұрын
Sehemu ya kwanza ujatuma unatuzingua
@francheskajonh69632 жыл бұрын
Kabisa
@joycekazungu40032 жыл бұрын
Sehemu ya kwanza daa vera
@julianamartine78822 жыл бұрын
Tuwekee sehemu ya kwanza hatuioni
@fatumakyengya453 ай бұрын
Huyu Baba Huyu mbona Kma anajambo lake
@rayaalaisari45922 жыл бұрын
Na mimi natafuta sehemu ya kwanza... Sijaziona tangu Jana nasubiri... Hakuna....
@rayaalaisari45922 жыл бұрын
Mimi nahisi hiyo mimba ni ya baba sio Bure jamani Kuja tusubiri tusiki mwisho wake
@ireneherman762 жыл бұрын
Kumbe sio babake kbs ndo mnaa na Uyo mtt n wa babake daaah 😭😭😭
@ankogeorge89722 жыл бұрын
Mimi nilisikiliza kwenye redio
@janethmlay42332 жыл бұрын
Hamna sehemu ya kwanza jamni
@freddokuckelmann85022 жыл бұрын
Tulieni jamani, nadhani walisahau kuandika sehemu ya kwanza au sehemu ya kwanza bado haijalipiwa tax
@marrybenn96212 жыл бұрын
Ya kwanza jaman
@vailetadam33662 жыл бұрын
Sehemu ya kwanzaa hamnaa
@salumahmeid97092 жыл бұрын
Hii riport ya fahim imeanzia ya 2 tu kwenye u tube
@joycekazungu40032 жыл бұрын
Isije ikawa Baba anakuendea kinyume ukiondoka analala Na mkeo
@ireneherman762 жыл бұрын
Ata me nahis baba analala me mke wake daaah 😭😭😭
@alexmhufu25132 жыл бұрын
Sijaona sehemu ya kwanza
@fridachami3962 жыл бұрын
Sehemu ya kwanza hamna
@rabeccabenedict62822 жыл бұрын
Ya kwanza hamn mbona
@wakywenaky78222 жыл бұрын
Ila huyo baba wa fahim mbinguni hatawakuta malaika wa kumpokea✍️✍️✍️✍️✍️
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Nimeitafta sehem ya kwanza cjaiona jmn
@francheskajonh69632 жыл бұрын
At mm
@leahdaniel2712 жыл бұрын
Sehehem ya Kwanza haipo,huyo Mzee sio poa
@annahalick75202 жыл бұрын
Asije akalala na baba mkwe
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Kweni veronica mwenyew ana matatizo gani 🙄🙄apost kwa wakati pia kwenye Accnt Yake hakuna jmn na Ya kwanza ikwapi 😢zina tufariji sisi tulio kuwa mbali na kwetu tunajifunza mengi
@gracehamishamisikitundu79982 жыл бұрын
Hii nafikiri sio ya veronica
@beatricesoa79702 жыл бұрын
Andika veronika simulizi ndo acount yake
@beatricedenis20142 жыл бұрын
Yan nilijua ni mm peke angu ndo sion sehem ya kwanza dooohh nin hichi sasa,🙄🙄
@zuwenaalamin89852 жыл бұрын
Tupo weng
@veeinn79652 жыл бұрын
Natafuta sehem yakwanza
@rithamsechu72202 жыл бұрын
Natafuta sehemu ya kwanza
@emmanueltesha60922 жыл бұрын
Dada vero sehem ya kwanza hukutuma
@Deedlr47672 жыл бұрын
Uyu sio vero
@missmwayway47042 жыл бұрын
Kwahyo sehemu ya kwanza inapatikana wapi? 😡😡😡😡😡😡😡
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Sehem ya Kwanza Amna tunaelewa nn sasa wengine tunaweka bando kwa jili ya simulizi tuu