RIPOTI YA LEO (OMEGA SEHEMU YA 08)

  Рет қаралды 5,687

Fahamu Plus

Fahamu Plus

Күн бұрын

#RipotiYaLeo #EFM #VeronicaSimulizi #SimuliziZaMaisha
Simulizi hizi huruka katika kipindi cha #Ubaoni cha EFM katika sehemu ya Ripoti ya leo, na kusimuliwa na Veronica Frank hivyo wao ndio wamiliki wa simulizi.

Пікірлер: 26
@fistonmakopa598
@fistonmakopa598 2 жыл бұрын
Vijana tuna tamaa sana😭😭😭
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 2 жыл бұрын
Sanaa
@zuwenaiddy7820
@zuwenaiddy7820 2 жыл бұрын
Tamaa mbaya mungu niepushie
@wilbardvalerian6556
@wilbardvalerian6556 2 жыл бұрын
LISTENING FROM ARUSHA TANZANIA
@marymogela1488
@marymogela1488 2 жыл бұрын
Mungu tunusulu
@neemambusiro6396
@neemambusiro6396 2 жыл бұрын
Mi nawaza hizo hela ndo tunazotumia wengne jamani
@fatumahamadi8707
@fatumahamadi8707 2 жыл бұрын
Tamaa mbaya jamani 😓
@annakbunga8377
@annakbunga8377 2 жыл бұрын
Mmmh Tamaa mbele nyuma Giza daaah
@marymsolamsola2553
@marymsolamsola2553 2 жыл бұрын
Tamaa mbaya
@anthonyakyoo5020
@anthonyakyoo5020 2 жыл бұрын
Duuh,utajiri wa aina hiyo sitaki hata kusikia ,heri nife na umaskini wangu.
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 2 жыл бұрын
Bora nipike mama ntilie ninacho kupata Nile na mama baba wangu na ndugu zangu kiroho saafi kuliko kuwa na pesa zisizo na amani na mama angu hajala akaaa hakuna kafara isiyotoa damu ya binadamu unajikuta umeua ndugu woooooote ukabaki Kama mchawi hata mtoto huna
@claramboya2018
@claramboya2018 2 жыл бұрын
Watu na hela zao bwana tuwaache,hatujui wanapata kwa njia gani,ni kuomba MUNGU atuepushe na tamaa za dunia hii,
@irenegrasihani2651
@irenegrasihani2651 2 жыл бұрын
Tupunguze tamaa jamani angalia omega kashakua muuhaji
@fora2009
@fora2009 2 жыл бұрын
Wallahi nahogopa sana
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Ninasikiliza rippt hii napata baridi mnoo.kwa ajili ya kuogopa tu lkn.
@ilhamjulioo9655
@ilhamjulioo9655 2 жыл бұрын
Tuombe mungu atupe maisha yakujikimu nasio utajiri
@anthonykiabe319
@anthonykiabe319 2 жыл бұрын
Omega wewe duh!
@rachelphilbert7394
@rachelphilbert7394 2 жыл бұрын
Ww Omega hukufikilia watoto wakaka ako jmn duh! Dunia haina huruma
@jazilakaura7474
@jazilakaura7474 2 жыл бұрын
Tunajifunza sanaa
@mwanahawayunus3653
@mwanahawayunus3653 2 жыл бұрын
Tamaaa mbaya umewamaliza lakini bado haoni sheithani🥲
@gilbertmabula8105
@gilbertmabula8105 2 жыл бұрын
Veronica
@juliethmbuya9491
@juliethmbuya9491 2 жыл бұрын
Mali kama hizo bora zinipite ee mungu naomba nisaidie
@hildarbrown4317
@hildarbrown4317 2 жыл бұрын
Duuu hiz tamaa zitatutoa roho
@joycekazungu4003
@joycekazungu4003 2 жыл бұрын
Dhaaaa ama kweli tamaa mbaya kweli
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 2 жыл бұрын
Omega nafatilia kutoka nairobi
RIPOTI YA LEO (OMEGA SEHEMU YA 05)
27:06
Fahamu Plus
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO (RUTHI SEHEMU YA 05 - MWISHO)
25:34
Fahamu Plus
Рет қаралды 8 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
How to Improve Fluency in English || Speech in English | Learn English With Stories
28:23
The 5 Types of People Who Can Ruin Your Life
42:58
High Conflict Institute
Рет қаралды 3,2 М.
The Influence Expert: 7 Ways to Get People to Do What You Want (Even When They Don't Want To)
1:08:46