Jamani uchawi usiku haulali mchana haulali maangaiko bado Kwa mungu nako mkongoto
@glammummy2 жыл бұрын
sielewi hata wanafaidika na nini jamani
@msaysha58866 ай бұрын
@@glammummyhamna hata wanacho pata zaidi ya hasara tu kuna mama mmoja kijijini kwetu mwaka jana mwezi wa 6 kamtoa mwanae kafara mwanae ambaye ndo anamhudumia kamuuwa na wachawi wanataka hivyo yule yule anae kusaidia ndo wanamtaka sasa hapo kuna faida gani kwenye uchawi 😢
@salumahmed1498 Жыл бұрын
Bibi mwanga jomn....
@carolinetalam58322 жыл бұрын
Ooh pole sana Hamisa
@zuhuramdee52922 жыл бұрын
Mwenyez Mungu atawale maisha yetu duuu
@tynamadega67592 жыл бұрын
Hamisa mungu akufungulie ufaham😫
@aderinacharles94152 жыл бұрын
Jamani huyu bibi
@lovenessmjaka97542 жыл бұрын
Bib Ana maneno ya kufariji
@Lailal-bg8di2 жыл бұрын
Oooh bibi jamani 😎🤭😔😔
@vivianlucas63892 жыл бұрын
Huyo Bibi anakera
@eatelesales89672 жыл бұрын
Mnooo na huyu mtoto atakuwa wa kizaman watoto wa sasa hivi wajanja sana wangeshaanza kupata akili ye anapelekeshwa tuuu