RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 05
38:50
11 ай бұрын
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
11 ай бұрын
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 03
44:05
11 ай бұрын
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 02
42:11
11 ай бұрын
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
11 ай бұрын
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 09
44:28
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:06
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 07
42:52
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 06
42:09
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 05
39:37
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 03
40:59
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 02
42:10
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 10
34:12
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME  09
42:54
RIPOTI YA LE  MOHAMED VOLUME 08
36:13
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 07
41:06
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 06
36:41
RIPOTI YA LEO   MOHAMED VOLUME 05
33:55
RIPOTI YA LEO   MOHAMED VOLUME 03
38:24
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 04
40:34
RIPOTI YA LE0  MOHAMED  VOLUME 02
40:03
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 01
36:18
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 08
42:50
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 07
43:00
Пікірлер
@joycemetili3876
@joycemetili3876 10 сағат бұрын
Yaani Mchungaji alikuwa vacation..Khaaaa! ...1Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 11 сағат бұрын
Jamani, njia za mkato na tamaa ya utajiri sio nzuri. Fanya kazi kwa bidii, muombe Mungu nae atakufanikisha na utaishi kwa amani. Utauwa na kuridhika ni faida kubwa
@joycemetili3876
@joycemetili3876 11 сағат бұрын
Hela ya zamani rupia!! ..ndio umasikini umekuijia hivyo!..hakuna utajiri hapo wameshachukua nyota yako. Pole sana Alex lakini usife moyo, Bwana Yesu ni Bwana wa mabwana, SImba wa Yuda anaweza kuyafungua maisha yako na kukurejeshea
@joycemetili3876
@joycemetili3876 13 сағат бұрын
Huyu Athumani, mbona yeye hamiliki chuo kama anajua njia za kufanikisha chuo???!!!! Huyu ana wivu na mafanikio ya Alex na anaitaka nyota yake au ni mshirikina anatumiwa na wenye vyuo wengine kuwaharibu washindani wao. Siku zote kuwa makini sana na watu wanaojidai wanajali sana mafanikio yako kuliko yao...ni waharibifu watakuingiza kwenye mateso. Ukiingia kwenye ushirikina lazima upigwe na kitu kizito baadae.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 15 сағат бұрын
Uuuwwwiii!! Jamani!! Uonevu mkubwa namna hii!!😭😭😭Huyu mtu hakuwa na hatia kasingiziwa, wahalifu wamepatikana lakini bado mnamfunga na kumhukumu kunyongwa!!...mfumo wetu wa sheria unafeli wapi?!😡..yaani mtu kapoteza kila kitu kasoro tu uhai wake. Mtu kama huyu akirudi uraiani anaanzia wapi?! Kwanza anakuwa na hasira, uchungu na kutaka kulipa kisasi..wengine wanatoka na magonjwa...Ndio unakuta mtu anaamua kufanya uhalifu maana hana ramani ya maisha. Mungu isaidie nchi yetu iwe inatenda haki kwa wananchi wake.
@AminahAminah-u3o
@AminahAminah-u3o Күн бұрын
jamani inasikitisha
@wineththomas4803
@wineththomas4803 Күн бұрын
😊z
@cinemaxsport
@cinemaxsport Күн бұрын
Pole sana Neema.. Wanaume wa naman hiyo tunawajuwa
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 күн бұрын
Duuh! Napata wasiwasi kuhusu huyu mama na huyu kijana...usikute hao ni mapapa zaidi wanamlaghai tu Rahma ili waje wamuuze bei kubwa kwa watu wa madawa ya kulevya😭😭
@joycemetili3876
@joycemetili3876 3 күн бұрын
Siku zote shetani ni muongo na mdanganyifu...anakuzamisha taratiiibu mpaka unajikuta umezama kabisa
@joycemetili3876
@joycemetili3876 3 күн бұрын
Mke alienda kutuma makombora ya damu ya YESU...akili za mume zimerudi normal.. huyu dada atapigwa na kitu kizito we subiri
@joycemetili3876
@joycemetili3876 3 күн бұрын
Ukisikia kazi za shetani ndio hizi...1 Timotheo 6:10 Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi. Yak 1:14-16 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike. Mwana wa Mungu (Yesu Kristo) alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 3 күн бұрын
Eee Mungu wangu!! Mwanadamu akikengeuka anakuwa kiumbe wa hatari sana.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 4 күн бұрын
NAJMA, usimuache Bwana Yesu shetani asije akapata tena nafasi..Mungu akulinde akutunze
@joycemetili3876
@joycemetili3876 4 күн бұрын
Haleluyaaa! Nampenda sana Bwana Yesu, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana...Simba wa Yuda, Bwana hodari wa vita. Yeye hajawahi kushindwa vita na haitatokea ashindwe vita yoyote. Pole Najma kwa uliyopitia lkn utukufu kwa Bwana Yesu aliekufungua na kukukomboa.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 4 күн бұрын
Mungu ambariki sana mama mlezi, kaka na wifi yako walioamua kukupigania maisha yako
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 күн бұрын
2024 mwishoni mwa mwaka nasikiliza yaaani huyo mganga nilivyo na hasira naweza mpiga vibao, Sipendi waganga sbb ni waongo wameuwa watt wa Magdalena bd wanamkejeri,,,,,,, Tumuamini Mungu akikubariki hana masharti wali majuto.
@018crewtanzania3
@018crewtanzania3 6 күн бұрын
Wanawake wengine ni kuwaombea tu wengine ni MAROHO YA KIMASKINI YANAWASUMBUA SIO BURE
@joycemetili3876
@joycemetili3876 7 күн бұрын
Deusdedita huyo rafiki alikuwa mbaya...hujui walichoongea na mganga wake..pengine alkuwa anakuonea wivu akaamua kumuondoa kaka Tom. Tuwe makini sana na marafiki, na sio kila kitu unamwambia rafiki yako. Kuna wakati wa kukaa kimya na mambo ya kunyamaza
@joycemetili3876
@joycemetili3876 7 күн бұрын
Hayo ni mapepo ya mganga yamemvaa Tom...au hata inaweza kuwa ni mganga mwenyewe kaja kimazingara
@joycemetili3876
@joycemetili3876 7 күн бұрын
Huyu rafiki hajatulia kabisa halafu mshirikina!!😡😡
@joycemetili3876
@joycemetili3876 8 күн бұрын
Mambo ya Walawi 20:27 “ Tena mtu mume au mtu mke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa; watawapiga kwa mawe; damu yao itakuwa juu yao.”
@hadija_makange
@hadija_makange 8 күн бұрын
😢😢daah hussen kanitoa machozi napia kaonyesha msimamo mkali sana mwanaume na ndio inavyo takiwa
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 күн бұрын
Hapo kuna cheni kubwa sana
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 күн бұрын
Vero upo vizuri sana unajua na inajua tenaaa🎉🎉🎉🎉
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 9 күн бұрын
Naikumbuka stori ya Ambwene
@joycemetili3876
@joycemetili3876 9 күн бұрын
Mama anakazana kumchonga binti ili afit kwenye moyo wa kijana😂😂 Huyu mama itakuwa anataka kulifanya agano lake la kichawi liwe na nguvu zaidi
@joycemetili3876
@joycemetili3876 9 күн бұрын
Shetani muongooo!! anakuongezea tatizo juu ya tatizo... mikwara mingiii!!!! Kiboko yake ni Bwana Yesu tu. Pole sana Essau kwa uliyopitia ...hili ni fundisho kwa sote. Mjue sana Mungu ili uwe na amani AYUBU 22:21
@joycemetili3876
@joycemetili3876 9 күн бұрын
Esau amekuwa anapuuzia sana ndoto anazopata..na hata baada ya janga lililomkuta shule ya kijijini, bado huku shule ya mjini hachukui tahadhari kabisa yaani amerelax. Mdharau mwiba mguu huota tende
@mariapjohn1
@mariapjohn1 10 күн бұрын
dada napenda simulizi zako sana name pia napenda kua kama wewe nawezaje dada
@joycemetili3876
@joycemetili3876 10 күн бұрын
itakuwa vichaa/wendawazimu wengi wapo katika mazingira kama haya aliyopitia Sikujua. Pole sana Sikujua kwa uliyopitia.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 11 күн бұрын
Posta posta posta!!! Hivi posta kuna niniii!! Story zako zote Da Vero posta inakuwaga na jambo lisilo zuri
@joycemetili3876
@joycemetili3876 11 күн бұрын
Zab 51:17 Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.... na pia.Mungu anasema katika kitabu cha Mathayo 12:20 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi ufukao moshi hatauzima, mpaka atakapoifanya hukumu ya haki itawale Moyo wa toba humkaribisha Mungu ahusike na maisha ya mtu. Asante sana Zenobia kwa ku-share story yako ya maisha. Nimejifunza mengi..hasa kurudi na kuwaomba msamaha niliowakosea ili maisha yangu yabarikiwe. Mungu akubariki akutunze
@GeorgeKessy
@GeorgeKessy 12 күн бұрын
Yamenikuta hayo ya Mussa ila mimi Mama ndo alinionganisha kwa binti yake 😢. Mwaka wa nne sasa naishi mwenyewe yaliyonikuta mungu ndo anajua.
@shanizuberi7984
@shanizuberi7984 12 күн бұрын
Tatzo ya hamisa alikua mbishi sana na kujifanya anajuwa
@ms_twiii
@ms_twiii 14 күн бұрын
Kitu cha kujifunza: Kitu kinacho hatarisha afya, utu na uhuru wako usikubali
@joycemetili3876
@joycemetili3876 16 күн бұрын
Roho zinazopiga uchumi wa mtu zipo kabisa jamani...mimi nimepitia hilo ni Bwana Yesu ndie alienitoa huko. Usimchukie mtu hizi ni roho za giza zinazomfuatilia mtu, yeye kama yeye wala hajui na hana kosa. Sio rahisi sana mtu kuelewa inapotokea akaambiwa kwenye familia yao ndio kuna shida.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 16 күн бұрын
Yaani Josephine wewe ni mwanamke wa nguvu mwenye moyo mwema sana..wewe ni mama bora❤❤chukua maua yako💐💐🌹
@joycemetili3876
@joycemetili3876 17 күн бұрын
Pole sana Josephine.. Huyo mpuuzi itakuwa alikuwa na mwanamke mwingine..ndio akajifanya hakujui. Atakuja kujuta maana mara nyingi hawa watoto wanaowakataliwa na baba zao, Mungu huwainua na kuwabariki baadae wanakuwa msaada sana..
@joycemetili3876
@joycemetili3876 17 күн бұрын
Sandra, wewe ni mwanamke mwenye moyo mwema sana. Mungu akufute machozi akuondolee mateso. Lakini kikubwa mpe Bwana Yesu maisha yako ..mwachie hii vita akupiganie. Hiyo nyumba utaweza kuiuza vizuri tuu na wala hakuna kitakachokudhuru. Bwana Yesu ni kiboko ya wachawi. Asante sana Sandra nimejifunza mengi kupitia hii story yako.💐💐
@hadija_makange
@hadija_makange 17 күн бұрын
Mbona sehemu 10 hamna
@hadija_makange
@hadija_makange 18 күн бұрын
Mwanaume akiwa na pesa sana anaweza kukuingiza popote pale
@hadija_makange
@hadija_makange 20 күн бұрын
Yani ndio nasikiliza simulizi japo imepita mda lakn aki naogopa 😢😢yn nikilala naifikiria
@hadija_makange
@hadija_makange 20 күн бұрын
Dunia hii tumtumaini sana mungu bila hivyo tutajikuta tunaishi pazuri kumbe ni kwenye misitu
@EddahNkhata-o2n
@EddahNkhata-o2n 21 күн бұрын
Ila magdalena ana cha kujibu kwa Mungu😢
@joycemetili3876
@joycemetili3876 21 күн бұрын
Pole Mussa, ni maumivu makali kudharauliwa kiasi hiki...lakini Mungu kakuepusha na jambo kubwa, mshukuru Mungu, mrudie Mungu atakuponya moyo wako ulioumizwa atakupa mke mwema. Wema wako Mungu atakulipa.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 21 күн бұрын
Kwa hiyo baba alimuegesha binti yake kwa Mussa!?!! Duuh! Hii inapatikana tu Singida😄😄..Kweli Dunia ina mambo
@joycemetili3876
@joycemetili3876 22 күн бұрын
Sina imani na dada mshauri...yawezekana yeye ndio katoa siri kwa meneja
@joycemetili3876
@joycemetili3876 23 күн бұрын
Kumgawa mkeo kama mkate??!!
@fifiminani8372
@fifiminani8372 24 күн бұрын
👨🏿‍🍼❤❤❤❤❤❤❤