#RipotiYaLeo #EFM #VeronicaSimulizi #SimuliziZaMaisha Simulizi hizi huruka katika kipindi cha #Ubaoni cha EFM katika sehemu ya Ripoti ya leo, na kusimuliwa na Veronica Frank hivyo wao ndio wamiliki wa simulizi.
Пікірлер: 35
@shamsaseiph72953 жыл бұрын
Mtu na mdogo wake wameshatiana mimba😃😃😁
@fahamuplus3 жыл бұрын
Kama uliona vile
@tiffahtiffahbaaby82393 жыл бұрын
Ni kweli katika maisha unaweza kuwa na wanaume kibao mambo yako yakawa hayaendi Ila cku moja bila kuamini mungu anaweza akakupatia mtu sahihi mungu tusaidie
@maryambusaidy29543 жыл бұрын
HUYU Michael atakuwa ni SHANGAZI YAKE... MADHALI wako mji mmoja.
@tiffahtiffahbaaby82393 жыл бұрын
Hatari kufa teena mmmh Michael Bora damu ziendane Ila Kaka na Dada washatiana mimbaaaa
@ashelizakaria6306 Жыл бұрын
ila hii dunia inammb ambyo uwezi kuyafikilia haraka kii hvyo
@evashayo98963 жыл бұрын
Nzrr
@corneliamagnus51863 жыл бұрын
😢😢😢 mmmmmmmmmh Nan ataotea
@lucyjoseph91423 жыл бұрын
pole sana Michael
@halimamussa9613 жыл бұрын
Yaani hatumfaham uyu mama sijui ni nan
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Atakuwa ni shangazi uyu mama🤔
@user-ei7il9pd7c Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@annastaziamethusela62703 жыл бұрын
Heeeee mtoto wa kaka na wa dada wametiana mimba
@kissalazoanord33163 жыл бұрын
Jamani duniani kuna mambo jamani
@tiffahtiffahbaaby82393 жыл бұрын
Bora Bora ziendane ili Michael aside jamanii
@jeckajoseph44183 жыл бұрын
Kwel uyo atakuwa mama white
@contholemi78633 жыл бұрын
Leo nimekuwa wakwanzaa😘
@contholemi78633 жыл бұрын
Pole sana maiko kwa unayopitia...so sad kwakwelii😪
@user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын
Duu mtihan
@joycekazungu40033 жыл бұрын
Pole xana Michael Kwa unayo pitia
@carolinetalam58323 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪
@fahamuplus3 жыл бұрын
Safi
@mwajumakitambulio25173 жыл бұрын
Kama limama White ndio likomeee haaaaaaaaah Mwenyezi Mungu apishie mbali lisiwe limama White! Mara Paaaaaah Michael na Pendo ni Watoto wa Baba mmoja.
@carolinetalam58323 жыл бұрын
@@mwajumakitambulio2517 waiting for pt9
@maryambusaidy29543 жыл бұрын
UTAKUTA MICHAEL NA PENDA NDUGU KWA BABA MMOJA
@annahpsimon11563 жыл бұрын
🙆♀️Toobaa wamenyanduana mtu na ndug yake
@fahamuplus3 жыл бұрын
Hahahah hatari
@maryngonyani88433 жыл бұрын
Songea redio inashka ngap
@edwardsichone10053 жыл бұрын
Nenda mateka inakamata vizuri pale
@joycengailo66133 жыл бұрын
Huyu mama sio mama white kweli?
@rithamsechu72203 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Sio yeye bwana uyu mama mdogo
@halimamussa9613 жыл бұрын
Mwenzangu! Sitofahamu kwa kweli
@rachelphilbert73943 жыл бұрын
Sizani ila nahisi ni mmoja wa ndugu zake ama alizaa na babake hapo awali.
@jenipherjustini16863 жыл бұрын
Mama white huyo
@lovenessmallya61553 жыл бұрын
Ila angekua mama white Michael si angemjua jaman au ndo kubadilika tena