Kiukweli mm kwa upande wangu najifunza jinsi ya kuendelea na haya maisha yetu yenye changamoto sana nakuombea kwa mungu Dada Veronica na huishi miaka mingi sana hapa duniani ninajifunza sana tena sana
@jacklinejosephat99733 жыл бұрын
Watu hamn shukran jamani yeye mwenyewe anaambiwa labda mwenye tukio ndo aliishia apo msimlaumu veronika wawatu japokua penina imeisha atujaelewa ila tusonge mbele
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Nakupenda da Vero ila kilicho tokea kwa penina mm hata sikujua nikajikuta nairudi mara kadhaa nikihis ni kasm kangu kumbe😀😀🙌🙌
@lucyjoseph91423 жыл бұрын
😂😂
@khemedipinguhamisi76963 жыл бұрын
@@lucyjoseph9142 hi
@florenceacharlz55643 жыл бұрын
Penina alimpata dadaake tu ambae pia alimkimbia ila wazaz hawajulikani walipo
@agneschami9683 жыл бұрын
Imeniuzunisha Sana jamani mpaka nimelia
@francissimwandu70443 жыл бұрын
Vero vp mbona huwa hutaji miaka mfano kama huyu darasa la saba mwaka gani samahani lakin
@oliversimon45253 жыл бұрын
Ninzur sana
@princessprosper63393 жыл бұрын
Da vero mbona redioni chenga shida nini..
@devotavomela36043 жыл бұрын
Zanzibar EFM mnapatikana kwa frequency gan
@ladykimnan9023 жыл бұрын
Da vero penina imeshia wapi nipo tanga nawapata vyema efm
@heriethshemboni34843 жыл бұрын
Daaah mpaka machozi yamenitoka😢
@marcogarireta55493 жыл бұрын
Ulikuwa wap Dada Veronica. Tulikumic hatari
@modricnoma36863 жыл бұрын
Dada Veronica 💜💜💜
@joycechaz28403 жыл бұрын
Jamani penina iliishaje me sijaelewa niliona imekata gafla mpka leo
@salomechitunda19323 жыл бұрын
Ni kweli cku hizi haikamat jamaniiiiiiiiii
@renaldmrosso5883 жыл бұрын
Mbona inahuzunisha hivo
@ireneherman763 жыл бұрын
Dada vero mbn Dodoma redio Haikamati lakin ttz nn tunakosa mamb mazur
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Knanihudhunisha jmn.
@yonayoh37363 жыл бұрын
Inasikitisha sana😢
@ditrickdeodatus45443 жыл бұрын
Mbona nilkuwa nakutafuta sikuoni jamani
@lulukamanga69453 жыл бұрын
Mbona penina haijaisha
@mariamjuma19283 жыл бұрын
Mbona wewe hujapost Michael namba mbili na aliyepost kama amekucopy tu.....?
@gracekeneth10313 жыл бұрын
Sa penina imeishaje🙄aah Kaz ipo!
@halimamussa9613 жыл бұрын
Mbona mwanzo 2 inanitoa machoz uko mwisho?alafu kwa penina umetuacha vibayaaa
@khemedipinguhamisi76963 жыл бұрын
penin kashapata mume na anambimba tena yadockta imaliziwa hapa yotube
@mwajumaselemani28023 жыл бұрын
Mbona redio Dodoma aishiki🤦♀️
@oscarjohn4773 жыл бұрын
hii naiskiliza lkn ulcho tufanyia ya PENINA nakosa lakusema kwakwel 😅😄😅🙌
@Electri-ambi3 жыл бұрын
Hata sikujua iliishaje
@oscarjohn4773 жыл бұрын
@@Electri-ambi yaan anaanzaga kwakuivuta vuta arafu akiona siku zmebak chache sasa apo sasa ndo mwendo unakua wa ayeyaa😅
@kassimathumani13153 жыл бұрын
Story zenu za kutunga hizo penina haijulikani imeisha vip umeanza nyingine mbona haueleweki
@asiamussa37803 жыл бұрын
Vero kumbe comments za mashabiki zako unaziona! Why don't u answer??????
@abelabebwa15493 жыл бұрын
Mbona Penina alishaimaliza
@bolelambunda65543 жыл бұрын
Mbona imeisha
@dianarosekaugira56083 жыл бұрын
Dah inasikitisha huyo atakuwa mama white
@lovyemmanuel36053 жыл бұрын
Mama white tatzo
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Duh jamani 😢😢
@samwelimoshi56142 жыл бұрын
Ila ww uko vzr kila kona upo
@dianarosekaugira56083 жыл бұрын
Naomba kama itawezekana rudia penina maana hatujaelewa
@khemedipinguhamisi76963 жыл бұрын
si usikilize hapa dadada mbona zipo hapa
@praygodmangi8273 жыл бұрын
It doesnt make sense - unaanzisha story wakati mwisho wake unajua huna. Hoja za watu ni za msingi - sababu tu watu wana follow na kusikiliza haikupi wewe ticket ya kuwadisapoint - kama story haikufika mwisho wake - ulitakiwa utoe taarifa. So dissapointed