Kazi za nyumba ni ngumu sana hasa sisi tulioko huku arabun ni mungu tu atutetee
@user-ui6rf8yx7s Жыл бұрын
Yaani hatuna tofauti na magereza😢😢
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Another banger tuned 🇰🇪
@subirajuma9050 Жыл бұрын
Daaah kuolewa ukiwa Binti mdogo kwa Mzee mzima inaumiza tena bila hiyari yako.😢 Huku ni usukumani, kwa wakurya ndiyo tabia hii wanayo yakuwekeza kwa Binti tangu mdogo
@anastaziamathias8861 Жыл бұрын
Kuko ni umasaini ndiyo huwekeza mtoto akiwa mchanga kama WA kike awe mke kama WA kiume anaekuwa rafiki hizo ni Mila za Kanda kaskazini Masai hao
@immaculatakadyanji5927 Жыл бұрын
Umasaini.
@charitylema Жыл бұрын
Da Vero mbona hii ni ya janaa😟😟
@rehematawalani73311 ай бұрын
Hii kutokana na kuchelewa kupata mapema ukimalizaga simulizi. Sasa zile siku za j3 huwa tunasubiri sana bila ya matokea na zinakuja tofauti tofauti na tunadhindwa kuelewa hii ya lining au hii ya lini. Ombi langu ni hilo tu HASANTEE sana dada Veronica tunakupenda sana naitwa rehema tawalani kutoka Pakistani lkn pia ni mtanzania harisi
@rehematawalani73311 ай бұрын
HASANTEE Daa Veronica Lkn pia ushauri wangu unapoiaza simulizi mpya uweza unatujuza yaani tumemaliza ya mtu furani na sasa tunaanza yay MTU furani ili ata sie wafuatiliaji tunakua na muelekeo
@SophiaYohas-wd5ev Жыл бұрын
Ma bosi wengi hawataki ulale mchana Yan weng
@shaababy2570 Жыл бұрын
Nyie story ya Maria imefutwa
@pricillahningah5582 Жыл бұрын
Hata Mimi naitafuta Sana siiyoni
@herself7545 Жыл бұрын
Kweli mwenye link ya story ya Maria tafadhali please share
@ireneherman76 Жыл бұрын
Yanii nimesubr kwel Bora t
@jacklinechuga2569 Жыл бұрын
Alikuwa ni masai sikosehi
@user-ui6rf8yx7s Жыл бұрын
Au wakamba hao ndiowakoivo manyara pia kuna madini machimbo wengiwao wametokea kenya